Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 апр 2024

Комментарии • 344

  • @saidiyusufumuhode3159
    @saidiyusufumuhode3159 Месяц назад +26

    Huyu Iran anatisha sanaa Allah aendelee kuwapa ufaham zaidi

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 Месяц назад +49

    Ebwana umetafsiri vizuri sn istoria nzuri kweli kumbe iran inanguvu ivyo nawasapoti iran mungu awalinde kilasiku mungu ukaha kwamwenye haki ❤❤❤❤ iran

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 Месяц назад +3

      Ulikuwa hujuwi ilo, kwa waarabu huyo ndie kidume anaeogopewa na nchi za kimagharibi.

    • @user-io8hn1jb4d
      @user-io8hn1jb4d Месяц назад +4

      Iran sio waarabu

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 Месяц назад +1

      @@user-io8hn1jb4d Upertia ni kabila tu, lkn ndio haohao.
      Au kwsbb wanazungumza Kifursi.

    • @user-hy5zd5rn6r
      @user-hy5zd5rn6r Месяц назад

      Uko na mchezo,angalia ni nchi ngapi ziko na mabomu ya nuclear uone kama Iran ni Moja wao.Nchi ni 9 na Iran haipo kwenye hiyo orodha

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 Месяц назад

      ​@@user-hy5zd5rn6riweke ww iwepo mgawaji wa technology 😅😅

  • @abdul-qadirkhamis2518
    @abdul-qadirkhamis2518 Месяц назад +10

    MA shaa Allah.. I wish nionane na wewe one day in shaa Allah.... You are genius, again and again, and more than again....

  • @ibrahimsalad1717
    @ibrahimsalad1717 Месяц назад +7

    Mashallah unajua history keep it up bro, hizi nchi za kiarabu ni vibaraka tu kukiongozwa na Saudi ile siku watashtuka itakua too late, nawaombea tu Iran mungu awasimamie nawakubali sana hawa

  • @somoeomar4861
    @somoeomar4861 Месяц назад +4

    Shukraan sana leo ndo nimeelewa kila kitu umetueleza vizuri sana thanx alot

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 Месяц назад +15

    Mtenda akitendewa!! Yani hii Israel na America ndio chanzo cha balaa kubwa duniani hilo linajulikana!!

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 Месяц назад +2

    Asante sana kaka ❤❤
    Wewe nimwana histor mzur sn,,anavitu vingi vya kutufundisha,,ukiashilia wachambuz uchwara,,binafsi nataman ungekuwa na jukwa maarum,,Ili tujifunze kutoka kwako,,Mungu akujalie afya njema ulichokipata nasisi tunufaike nacho❤❤❤💪💪,,

  • @allynassor1119
    @allynassor1119 Месяц назад +5

    Nimekuelewa pongez kwako mungu akuongoze ktk kazi na maisha yk

  • @rk-rp2un
    @rk-rp2un Месяц назад +5

    Hongera sana brother,nimeipenda ushauri ulioutoa,Mungu akubariki sana

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 Месяц назад +14

    Mashallah tabaraqah. Huyu mtaalamu umlete tenna kwa uchambuzi zaid

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 17 дней назад

      Kwasababu anasema iran inaogopwa na marekani na israel😂😂😂😂😂et nawe unaamni et

  • @dulax2457
    @dulax2457 Месяц назад +10

    Broo uko vizur from mombasa twakupata 100%wewe ni professer

    • @revocatusjilala2441
      @revocatusjilala2441 Месяц назад +1

      Tanzania tumebobea kwa Tafukuri, kuelezea mambo kwa kina, watanzania wengi ni great thinker kuliko wakenya!! Wakenya kazi Yao ni kubwabwaja

    • @SuperMtani
      @SuperMtani Месяц назад

      Asante

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 18 дней назад +1

    Duu safiii broooo

  • @onelinelyrics200
    @onelinelyrics200 Месяц назад +4

    Umetema facts! Ukweli Mchungu japo Mataifa ya kiarabu yanasaliti Ummah ikiwemo Suudia - kwa mfumo wa Petro-dolla kwa maslahi binafsi

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 Месяц назад +5

    Mchambuzi uko vizuri sana

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 Месяц назад +3

    Umeongea vitu Vizuri vya Mwanga Nimejifunza kitu kizuri sana Uendelee na Uchambuzi 🙏🏾

  • @mohamedjakaya5355
    @mohamedjakaya5355 Месяц назад +4

    Maelezo mazuri sana pamoja na ushauri juu ya kuwekeza kwenye elimu ya ujuzi

  • @user-db3vt4ei6b
    @user-db3vt4ei6b Месяц назад +5

    Very good mr for this story and i believe that one day you will be a big man in this world in term of revolutionilist

    • @0diraWilson
      @0diraWilson 6 дней назад

      Unazungumzia Ujinga usio ujua. ISRAEL ni Taifa ambalo MUNGU wa IBRAHIM alimpa. Sasa hizo ni historia za kijinga haisaidii kitu ni porojo za mchana, hujui lolote.

  • @user-vj8eu7ih4k
    @user-vj8eu7ih4k Месяц назад +11

    Kaka umeeleza vizur sana nimegain kitu kikubwa sana na allah anifanyie wepes inshallah ,Allah akupe maisha marefu na yenye mafanikio

  • @user-uv8lo5jo3s
    @user-uv8lo5jo3s Месяц назад +3

    Basi mtu anaeongea vitu vya maana kama huyu huwezi kusikia media zina muhoji hatasikumoja innalilah wainailaih rajiun

  • @PatrickBarnabas-fs4ow
    @PatrickBarnabas-fs4ow 5 дней назад

    Umetisha

  • @user-uz9mw1ie6z
    @user-uz9mw1ie6z 18 дней назад

    Mhadhiri umesaidia uchambuzi mzuri na umetupa manufaa sn kuelewa hali ilivyo mashariki ya kati na ht mgogoro wa Israel na Iran.
    Thanks

  • @alibinali_
    @alibinali_ Месяц назад +2

    Thanks kwa uchambuzi mzuri sana kuna watu wanaongea mambo tofauti ila wewe umechambua vizuri na bila ubaguzi na vyombo vingi vyahabari hawaongie ukweli

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 Месяц назад +2

    Cuba ndio nchi yenye vikwazo zaid

  • @fadhilimnyanga6400
    @fadhilimnyanga6400 Месяц назад

    Wapi mr Sebo..mmmh. nice historical facts.

  • @kokubukoba7510
    @kokubukoba7510 21 день назад

    Great analysis, asante

  • @hilalisaidseif8483
    @hilalisaidseif8483 Месяц назад +5

    MashaAllah kumbe bado Tz tunawanahistoria wazuri hivi endelea kutupa elimu

  • @senikomanya7223
    @senikomanya7223 Месяц назад +3

    Kweli aisee kama iran ingekua inasubir kupewa hakika ingekua imeisha anguka

  • @hajimrisholukamba602
    @hajimrisholukamba602 Месяц назад

    very knowledgeable, context analysis yako makes a lot of sense

  • @krisantmwaipungu1434
    @krisantmwaipungu1434 Месяц назад

    Well said brother

  • @user-tf3vf8rj8n
    @user-tf3vf8rj8n 20 дней назад

    Wallah umenifunz mingi sana amby siikuw nayajua
    Kaka Allah akubarik

  • @user-bo1ew3xq6w
    @user-bo1ew3xq6w Месяц назад +6

    Nimekkubali bro mambo unayo yasema yapo na maono makubwa sana.

  • @user-sc4ql5kf9v
    @user-sc4ql5kf9v Месяц назад +2

    Hongera brother

  • @ShadrackMwikoni
    @ShadrackMwikoni 20 дней назад

    Teacher big up Sana natamani niwe kama wewe, wewe ni msomi mkubwa Allah akuzidishie ila niombee na mm mwanafunzi wako wa first year

  • @snuramushi9612
    @snuramushi9612 Месяц назад +5

    Mashallah umeisimulia vizuri sana tunategemea kukuona kwenye historia nyingine Inshaallah,,,kuhusu Iran kufanikiwa kujitengenezea vitu vyao wenyewe hii imesababishwa na ujasiri wao na utayari toka pale walipo uondoa utawala wa kifalme na kuweka utawala wakiislam walishakubali kupambana na lolote mbele yao sasa hawa wenzao bado waoga

    • @user-to7bs5pl4n
      @user-to7bs5pl4n Месяц назад

      MUNGU NDIYE ALIYE IBARIKI ISRAEL NA NDIYE ATAKAE ITETEA ISRAEL MUNGU LINDA MIPAKA YA ISRAEL ADUI WA ISRAEL NI ADUI WA MUNGU TUTAONA MUNGU WAO NA MUNGU WA ISRAEL NANI ZAIDI MUNGU IBARIKI ISRAEL NA MIPAKA YAKE HAKUNA ALIYE NA NGUVU KAMA MUNGU WA ISRAEL

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 Месяц назад

      ​@@user-to7bs5pl4n😂😂😂😂 mtajpa puresha bure kwaiyo mungu ndo Alie waambia wawe wanachokoza watu😂😂😂😂

    • @Alkaburu
      @Alkaburu Месяц назад

      ​@@user-to7bs5pl4nkwa hiyo wewe ni mpagani huna Mungu kama Mungu ni waisraeli?

    • @afrahamohamedi6301
      @afrahamohamedi6301 Месяц назад

      ​@@user-to7bs5pl4nwewe ni myahudi au 😮😮 ? wayahudi waliasi amri za Mungu ndio maana Yesu hana baba myahudi bali alizaliwa kwa njia tofauti bila manii ya mhuni mwizraeli . waizraeli ni watu washenzi wewe unawa entertain 😢😢 safari hii Izraeli itang'olewa na hata kama watatumia Atomiki bomu au haidrojeni bomu la Amerika au msaada wa urusi hautaleta manufaa yoyote kwa waizraeli

  • @HabibuMudhwahir
    @HabibuMudhwahir Месяц назад +4

    اللهم صل على محمد وال محمد

    • @user-yv2mx1vq3w
      @user-yv2mx1vq3w Месяц назад

      I am the National Chairman of Indiginous Shia Community: Tanzania lthna'ashariyyah Community (T.l.C)

  • @ramadhanmazije3882
    @ramadhanmazije3882 Месяц назад +1

    Hongera broo

  • @NoelNjementi
    @NoelNjementi 2 дня назад

    Kwer mumeamini kuwa Israel inatisha ee vita inakufa nawatu wengi

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn Месяц назад +3

    Mhh nimefumbuka mambo mengi Hsante Kaka

  • @Mbmaster-os5oi
    @Mbmaster-os5oi Месяц назад +2

    Hongera ndugu

  • @user-pf2qk8fz9o
    @user-pf2qk8fz9o Месяц назад +1

    Much respect kakamkubwa technical school ndo msingi

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 Месяц назад +2

    Uchambuzi mzuri sana

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 Месяц назад +2

    Irani ni mfano mzuri wa afrika kufata tujifunze technically skills sio kusifiya tu Israel na marekani

  • @NoelNjementi
    @NoelNjementi 2 дня назад

    Naisi tokea afe mlisi wahaminey naisi ujapona vzr kk

  • @user-sd5hj2im4q
    @user-sd5hj2im4q Месяц назад +1

    Maashaallah umetufunza

  • @saiddarrus6400
    @saiddarrus6400 Месяц назад

    Hats off brother

  • @radjabusuleiman6486
    @radjabusuleiman6486 Месяц назад +4

    WA SHIA ni watu hatari Sana, sio kama sisi wa SUNI waoga ule imam wawo khomein akitangaza tuu vita hapatokalika mashariki yakati wanamuamini ule mzee wawo kuliko Ata Wazazi wao akitowa amri hakuna wa kupinga amri yake.

  • @abdulkasukari5481
    @abdulkasukari5481 Месяц назад

    Good Presentation

  • @peterokoo7962
    @peterokoo7962 Месяц назад +2

    Jamaa akovizuri sana

  • @abdulpagali7476
    @abdulpagali7476 Месяц назад

    I appreciate your informed presentation. Shida humfanya mtu kuwa mdadisi, mbunifu na kuwa mwenye uthubutu wa kutenda. Iran imewekewa vikwazo vingi baada ya mapinduzi ya 1979. Suluhisho kwao ni kuwekeza kwenye teknolojia inayowafanya sasa waogopwe. Sisi tumewekeza zaidi kwenye siasa. Walimu, wahandisi na hata madaktari hukimbilia kwenye siasa ambako raslimali nyingi za taifa zimewekezwa huko. Sasa marndeleo tutayapataje kwa kukopi na kipesti kila kitu? Vijana wanasomea vyeti tu na sio utaalam, masrifa wala ujuzi. Je, ubunifu utatoka wapi? Asante mwalimu kwa kunielimisha 🎉🎉🎉.

  • @NoelNjementi
    @NoelNjementi 2 дня назад

    Israel iliwambia Italipa kisasi mliona kisasi chake mliona kisasi chakutosha mpaka amtosaau mlivyo fanywa

  • @stanslauslawa4777
    @stanslauslawa4777 Месяц назад +1

    Bro comment yako juu ya elimu nimeikubali 100%

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 Месяц назад +3

    Nakuunga mkono sasa hivi serikali inatakiwa kuwekeza kwenye Teknolojia

  • @saidngumbi6222
    @saidngumbi6222 Месяц назад +2

    @simulizi na sauti

  • @user-ms1xg1fp4v
    @user-ms1xg1fp4v Месяц назад +2

    Tanzania inadaiwa deni kubwa sana na iran.Tumekopa tangu wakati wa Marehemu Ali hassan mwinyi akiwa Rais halafu tumeuchuna kama hatujui hatuna kamwe huo mpango wala hata hatujui tutalipa lini.Tunalipa madeni ya dhulma ya Riba ya wazungu na tumeacha kulipa deni lisilo na Riba yoyote.

  • @user-pe4lj4zl5n
    @user-pe4lj4zl5n Месяц назад +1

    Kweli kaka niwakati wa technology bro! 🎉

  • @fadhilimnyanga6400
    @fadhilimnyanga6400 Месяц назад

    Nice work broo..nakusoma mjomba

  • @GapsonRevoson-bn7nt
    @GapsonRevoson-bn7nt Месяц назад

    Nikili wazi napenda history lakin Kwa maelezo yako uliyoyatoa naona ninakazi kubwa kijifunza kutoka kwako ww umesimulia na kutatua Kwa maelezo yaliyonyooka na fact congratulations sana chief

  • @selemanshemea4093
    @selemanshemea4093 Месяц назад +9

    Lakini mbona tukio la Iran ndio linazungumzwa Sana?Israel kushambulia ubalozi wa Irani na kuua hilo sitatizo ,kweli dunia SASA IPO mikononi mwa waovu.

    • @suleim505
      @suleim505 Месяц назад +3

      Dunia imeshaharibiwa na waharibifu, na ndio wanaounga mkono uharibufu unaofanyika kwa mataifa ya wanyonge

    • @muhamadharun9432
      @muhamadharun9432 Месяц назад

      Propaganda za kusahaulisha uovu wa Israel

  • @nassoromussa2423
    @nassoromussa2423 Месяц назад +1

    Ufafanuzi mzuri sana, ila mhadhiri ameacha maswali mengi kwa TZ lkn na Afrika kwa ujumla. Yaani, ni kwa namna gani nchi za Afrika zimeshindwa kuwekeza katika teknolojia?? Shida ni nini hapa! Lakini nini kifanyike...

  • @YassinAwami-yi8jd
    @YassinAwami-yi8jd Месяц назад

    Tuwekeze kwenye TECHNICAL KNOWLEDGE... That is a point

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 20 дней назад

    Shida Tanzania siasa imetawala na uchawa tu,

  • @jafariHabibu-jc9zf
    @jafariHabibu-jc9zf Месяц назад +1

    Nakushukuru sana bro nimekupata vyema

    • @jumamohammed2748
      @jumamohammed2748 Месяц назад

      Mashallah mwalimu wangu Mr Mtani, nimekuelewa sana.

  • @yussufmiraji9408
    @yussufmiraji9408 Месяц назад +5

    Toka nianze kufatia siasa za mashariki ya kati ndiyo kwanza nitapate taluma mm nilikuwa najuwa iran ni nchi ya kawaida tu kumbe wana technology kubwa sana kiasi wazungu wamuogope iran irani is the best country in Islam in the world

    • @osmaniidrisa6290
      @osmaniidrisa6290 Месяц назад

      Lakini Iran ndio Audi mkubwa WA waislamu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Месяц назад +1

      ​@@osmaniidrisa6290ALAA SIO MUISRAEL ADUWI WA WAISLAMU???

    • @osmaniidrisa6290
      @osmaniidrisa6290 Месяц назад

      @@salimmalaka256 wote ni maadui WA uislamu lakini harari zaidi ni Yule anaejifanya sio Audi kumbe ni adui

    • @jumaali4893
      @jumaali4893 Месяц назад

      Unaushahidi wowote wa kuthibitisha ulichokiandika? au huna​@@osmaniidrisa6290

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 Месяц назад

      ​@@osmaniidrisa6290Naona bora Iran inaisapoti palestina kuliko Saudia ?!!! Sasa yupi aduwi zaidi ya waislam u ?

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 Месяц назад

    Lets wait

  • @RamadhanmwidiniUdulele
    @RamadhanmwidiniUdulele 27 дней назад

    My love teacher % fact

  • @Inbrajabtv
    @Inbrajabtv Месяц назад

    Ebanaeeh we uk vzr ahsant saana

  • @mehboobdosa3719
    @mehboobdosa3719 Месяц назад

    Safi,na

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 Месяц назад +3

    Ni vigumu sana ku gundua Marekani na Esraeli ni Nchi moja lakini uki chunguza na kufatilia matukio kwa akili tangu azimio laku anzishwa Taifa hilo na matukio yaliyo fuata hadi leo uta gundua

  • @issakawaya8315
    @issakawaya8315 Месяц назад +1

    Mashallah

  • @amrannjiwa
    @amrannjiwa 22 дня назад

    big up

  • @imanuelnguya9277
    @imanuelnguya9277 Месяц назад +1

    Aisee umeongea vzr sana ndg mchambuzi nimekusikiliza kwa umakin sana unaongea kwa utaratibu kabisa ongera bas pokea maua yako na pongezi sana kwa Iran

  • @icclcharters3389
    @icclcharters3389 19 дней назад

    Hapa mshenzi ni mmarekani

  • @user-fn5zt6tm1h
    @user-fn5zt6tm1h Месяц назад +1

    Anaejua anajua tu
    Hongera umetufumbua macho

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 Месяц назад +2

    Mkuu, umejitahidi lakini pia irani wako vizur hata katika matibabu, ukweli irani ni taifa pekee lililobaki duniani kuwa ni huru kutokana na Mataifa ya magharib Iran imebaki kuwa ni kikwazo pekee kwa nchi za magharib na marekani kuitawala mashariki ya kati, nia ya Israel ni kuiburuza marekani iingie katika vita ili wao wa Israel wawe mabwana wa mashariki ya kati

  • @user-nc7fx2qc2v
    @user-nc7fx2qc2v Месяц назад +1

    Wairani hawakubali utumwa kama waarabu

  • @deogratiusruzika8176
    @deogratiusruzika8176 8 дней назад

    Soma bibilia ndio utajua Israeli ni nani kuanzia Ibrahim yakobo isaka

  • @SaidiChinduli
    @SaidiChinduli Месяц назад +3

    Elimu sahihi wakati sahihi pokea🎉🎉🎉🎉🎉 yako.

  • @salimali-rf9er
    @salimali-rf9er Месяц назад +1

    Sadakta maneno yako👍🏻

  • @musasabuu2808
    @musasabuu2808 Месяц назад

    Mwenyezi mungu ibaliki iran

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Месяц назад +1

    Mchambuzi nakushukuru sana

  • @NgamelaYussuph
    @NgamelaYussuph Месяц назад +2

    Hivyo Vikundo Vimezuia Miaka Kumi Na mbili Marekani Kumuangusha Rais wa Siria

  • @issackmfeti6708
    @issackmfeti6708 22 дня назад

    Mtu kama huyu ni msaada sana kwa nchi, ama kweli ni mchambuzi nimemuelewa vizuri sana

  • @AnthonyGabriel-ou7wz
    @AnthonyGabriel-ou7wz 18 дней назад

    Tuambie imekuwaje Ajali ya Raisi wao?

  • @MohamedKasalama
    @MohamedKasalama Месяц назад +1

    Tuache ushabiki sikiliza point pamoja na vikwazo Iran imejweza ki uchumi na tecnolog tujifunze halafu jitu linaleta ushabiki hongera mchambuzi

  • @EligiusRichardGoldenboy
    @EligiusRichardGoldenboy Месяц назад

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv Месяц назад

    Safi sana Iran

  • @saidmsuya3165
    @saidmsuya3165 Месяц назад +2

    Huyu jamaa ameiva kielimu

  • @le-grandimmoimmo977
    @le-grandimmoimmo977 29 дней назад

    Wewe ujui unasema nini bwana ujaenda kwa ngome zote za america.

  • @mapromovichege6997
    @mapromovichege6997 Месяц назад

    Allah akbar

  • @user-nk4oq4ek9y
    @user-nk4oq4ek9y Месяц назад +1

    Yani bro apo umenionyesha kitu kikubwa sanaa Leo bro

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 Месяц назад

    good story

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 Месяц назад +1

    Ilo Co tatizo kuingia sirya wara rebanoni shida apo kuingia China au kuingia urusi au kuingia Korea

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 Месяц назад +3

    Iran fumua nuclear hao mazayuni na huyo mmarekani

  • @omaryyusuph3251
    @omaryyusuph3251 Месяц назад

    Ushauri mzuri sana serikali ilione hilo kwa jicho la tatu

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 Месяц назад +1

    Silaha wanazopewa waarabu hazitakiwi kuzidi uwezo wa Israel

  • @ramadhanmazije3882
    @ramadhanmazije3882 Месяц назад +2

    Tatizo ukijaribu tuu kuwekeza kwenye elimu itakayoikomboa nchi west wataleta figisu na hatuziwez figisu zao kwa kuwa uchumi wetu ni tegemez

  • @othmanshabani5856
    @othmanshabani5856 Месяц назад +2

    Umeongea point tupu kk

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 19 дней назад

    Israel na marekani hawaiogopi Bali wanataka watu Iran inatakiwa wawe Huru hawapo huru kwaana siyo mda mrefu tulishuhudia wanawake wakiuwa bila sababu wanaandamana lakini hawakuweza kwahiyo Mimi naona siyo nchi ambayo inaviongozi making huko mashari ya kati Kuna nchi Zina nguvu ila zimetulia sana mfano nchi yenye nguvu kama Kuwait Iran inapenda ukubwa ingali haijafikia level hiyo

  • @akidashekue163
    @akidashekue163 Месяц назад +4

    Muingeleza na Mmarekani Ndiyo Israel

  • @user-fc1kn9jd4f
    @user-fc1kn9jd4f Месяц назад +1

    ZAO LA PROFESA JUMA