Hapa Ndipo alipo lala Sheikh Abuu Idd Mohammed Idd Mohammed

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Maziko Kijijini kwa Sheikh Mohammed Idd

Комментарии • 139

  • @HasnutMfuruki
    @HasnutMfuruki 4 дня назад +2

    WAANDISH I WAHABARI.
    KUNAMENGI YAKUSEMWA.MSIWAACHA KINA MAMA WANAMENGI JUU SHEKH MTETEZI WA UMMA OLS KINA MAMA TUNAMENGI YAKUSIMULIA❤

  • @HalimaFatushi
    @HalimaFatushi 6 дней назад +17

    Allah akusamehea sheikh ,dhambi zako zote, akuepushe na moto mkali wa jannam ,akupee mwaangaza katika kaburi lako na akupee pepo

  • @HasnutMfuruki
    @HasnutMfuruki 4 дня назад +2

    WALLAH LOVE❤ MUHAMAD IDDI SHEKH.
    ALIKUWA AKIMTUMIKIA MKUU MTUFUKUFU WALIYULLAH.
    WA LIYYI M.MUNGU. KWELI ALIKUWA NIMKWELI WA ALLAH..NDIO MAANA M MKUU WA NCHI KAMZIKA❤ ABUU IDDI 🎉

  • @EnthusiasticAtv-gn6pb
    @EnthusiasticAtv-gn6pb 2 дня назад +1

    Inna lillahi wa inna ilayhi raajiuun.
    Mwenyezi Mungu amrehemu sheikh wetu in shaa Allah

  • @MariamuMustafa-n9m
    @MariamuMustafa-n9m 4 дня назад +1

    Mwenyezimungu ampe kauli thabiti shekhe wetu na mungu amjaalie mama yetu rais wetu mama Samia Kwa kusimamia jambo hili

  • @MohamedibrahimMwatembo
    @MohamedibrahimMwatembo 4 дня назад +2

    Yaarabi msamehe shekhe wetu hakika wewe ndio kuombea msaha alie kosewa na shekhe wetu abuu iddi basi nasi tunamuombea msaha kwa wale alio tofautiana nao basi wamsamehe shekhe wetu Allah (s.w) amlaze mahali pema peponi

  • @neimasoud155
    @neimasoud155 4 дня назад +2

    Allahu maghfillahu Warhamahu Waaskin fil Janah Yarabbi msamehe mja wako. aAmzizishimie kaburi lake atujaalie sisi waja wake tutakutana na Mtume Wetu Muhamad Swala lah Alahy Wasalama. Amin Amin. Amin Kabuli Bijahi Rasuul kwa Waumiin wote.

  • @AhmedMohamed-mw3ev
    @AhmedMohamed-mw3ev 6 дней назад +11

    Allah amsameh makosa yake na amkubalie mema yake na sisi Allah atujalie mwisho mwema

    • @w4058
      @w4058 5 дней назад

      Allahumma Aamiin

  • @NuruJumanneHamimu
    @NuruJumanneHamimu 6 дней назад +10

    Allah amrehem shekhe Wang Abuu iddy lolimodo wawengi allah Akulipe janaa.

  • @Noor-o4i
    @Noor-o4i 6 дней назад +2

    Innallilah wainalilah rajiuni 😢 shekhe Allah akusamehe makosa yk mwnyezi mungu akulaze mahali pema peponi 😢

  • @epic_jaguar26
    @epic_jaguar26 3 дня назад

    Allah amsameh tulimoenda. Shkhe. Wetu allaah. Kampenda said hatuna. Budi tuseme innallillah wanna Allah rajiunii

  • @user412
    @user412 3 дня назад

    Allah amrehemu kipenzi chetu na amlaze pamoja na vipenzi vyake. Amin. Hatutomsahau

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 5 дней назад +5

    Allah akurehemu maalim wetu😢 akupe kauli thaabit akukubalie mema yako akusamehe ulipokosea akuingize ktk pepo yake firdaws ameen yaarab, na sisi Allah atujaalie husnul khaatima.😢😢😢😢

  • @AlyHemed
    @AlyHemed 3 дня назад

    Yaayabi msamee shekhe wetu pale alipo kukosea bas pia utuonyeshe njia ilo sahihi yarabbi

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 6 дней назад +3

    Oooh jamani EE MWENYEZI MUNGU Tujalie mwisho Mwema Amina

  • @wedmoosa3503
    @wedmoosa3503 6 дней назад +1

    Allah amrehemu ndugu yetu,sheikh mohamed idi, tangu alipozaliwa mpaka amefariki yupo karibu na ndugu wa familia yetu ya AMTCO na KIZOTA.

  • @w4058
    @w4058 5 дней назад

    Inna Lilaah Wainna Rajioun Allah amsameh makosa yake amzidishie mema yake amjaalie qabri lake liwe njia ya peponi

  • @lukasjoseph-g7z
    @lukasjoseph-g7z 5 дней назад +2

    Allah amuhidadhi shekhe wetu inshallah.

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 5 дней назад +1

    Innalillah wanna ilaihi rajioon, M Mungu ampe kauli thabbit amiina

  • @aliysuleiman80
    @aliysuleiman80 3 дня назад

    Allah amjaalie Jannat firdaus

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 6 дней назад

    ALLAH S.W. AMWEKE MAHALI PEMA AKHERA NA SIKU YA QIYAMA (SIKU YA MWISHO NA SIKU YA HESABU)...AMIN.

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 5 дней назад

    Allah akupe kauri thabiti shekhe mwalimu wa mtoto wangu 😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @jokhajj
    @jokhajj 5 дней назад +1

    Allah akuangazie nuru kwenye kaburi lako

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 5 дней назад +2

    Allah Atujaalie khatima njema
    Amiin

  • @TatuRashid-d6t
    @TatuRashid-d6t 5 дней назад

    Site kwa Allah tutarejea,Tunamuombea kheri nyingi na M.Mungu amsamehe madhambi yake

  • @ThauratAthuman
    @ThauratAthuman 5 дней назад +1

    Allha Muweke Marham sheikh idd peppn aamiyna

  • @MwalimJecha
    @MwalimJecha 6 дней назад +14

    Huyu Shekh kafanya KAZI kubwa nzuri

    • @ShuwehaOmary
      @ShuwehaOmary 6 дней назад

      Kama ipi

    • @SafiaOmar
      @SafiaOmar 5 дней назад

      ​@@ShuwehaOmarylabda tukuulize umezaliwa mwaka gani ndio tukujibu

    • @arafawilliam2142
      @arafawilliam2142 5 дней назад

      Asiye macho hawezi kuona​@@ShuwehaOmary

    • @w4058
      @w4058 5 дней назад

      Kubwa sana

    • @HamisaMiraji-q9f
      @HamisaMiraji-q9f 2 дня назад

      We unaeuliza kama ipi ni kwamba sio mtanzania ama

  • @AyubuIkaku
    @AyubuIkaku 5 дней назад +1

    Allah mjaalie kauli thabiti inshaallah.

  • @KhamisiMwawari
    @KhamisiMwawari 5 дней назад +1

    Allah has a good plan for him allahuma rahmahu

  • @HassanNdarama
    @HassanNdarama 5 дней назад +1

    YA ALLAH TWAKUOMBA UTUFISHE HALIYAKUWA UMETURUDHIA YA MAJIDU😢 ...... NA TWAKUOMBA YA RABI WAONDOLEE HADHABU YA KABURI WALIOTANGULIA

    • @w4058
      @w4058 5 дней назад

      Adhabu kali za Allaah naam tujitahidini kumuogopa MMungu

  • @MariamMketo-f4f
    @MariamMketo-f4f 3 дня назад

    ALLAH AKUREHEMU

  • @mohmoudmohamed7202
    @mohmoudmohamed7202 5 дней назад

    Mungu amuweke pema nawema AMIIN AMIIN AMIIN

  • @dawoodathumani
    @dawoodathumani 6 дней назад +1

    allah amuhifadhi kwa rehma na baraka zake

  • @ShabaniMustafha
    @ShabaniMustafha 3 дня назад

    Naumia sana kwa kweli...Allah ampe kauli thabit

  • @salmasalum7771
    @salmasalum7771 6 дней назад

    ALLAH akujaalie kauli thabit akujaalie pepo ya firdaus❤

  • @lukasjoseph-g7z
    @lukasjoseph-g7z 5 дней назад +3

    Poleni familia pamoja na waislamu wote kwa ujumla.

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 5 дней назад

      Shukran ndug

    • @w4058
      @w4058 5 дней назад

      Allahumma Aamiin

    • @w4058
      @w4058 5 дней назад

      Naam kaka angu Seyyid Muhdhar

    • @w4058
      @w4058 5 дней назад

      Allah tumimiminie naam kweli kabisa Allah atuwezeshe kuubeba

    • @w4058
      @w4058 5 дней назад

      Naam sahihi

  • @rajabuathumani1586
    @rajabuathumani1586 4 дня назад +1

    Innallilah wainalahi rajiuun

  • @Kimanga_Official
    @Kimanga_Official 5 дней назад

    Innalillah wainna ilayhi rajiun Allah subhanahuu wataala amsamehe madhambi yake ampe qauli thabit

  • @HasnutMfuruki
    @HasnutMfuruki 4 дня назад +2

    NAWAAPIA SIRI YAKUONDOKA ❤ ABUU IDDI.
    ALLAH.ANATUPENDA SANA.ILI TUPATE MDA WAKUJIFUNZA ELIMU YAKE KWA HARAKA SANA.HASSA SAFARI YAMAUTI
    YATIMA.WAJANE.TALAKA.MASIKINI❤LOVE SHEKH IDDI SALAAM KAULAN MIRABIRAHIM SALAAMUN KAULAN MIRABIRAHIM.AKUPE PEPO UTAKAYO

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 6 дней назад +7

    Inallilah wainailah rajiuna

  • @nassalnassor7689
    @nassalnassor7689 6 дней назад +24

    Yaarabbbi msamehe makosa yake sheikh Mohammad iddi,na umzawadie janna,ewe molawetu mtukufu

  • @IssaHassan-h3n
    @IssaHassan-h3n 2 дня назад

    Yaarabi kwabaraka za sheikh ABUU EIDY Na elim aliyokuwa nayo twakuomba utujaalie mwisho mwema

  • @AshaHassan-fl8tw
    @AshaHassan-fl8tw 5 дней назад

    Innalillaahi wainnaillaayhi raajiuni,pole sana ALLAAH,ni mjuzi zaidi

  • @MoudrikAlly
    @MoudrikAlly 5 дней назад

    Allah amsameh makosa yake shekh wetu. Kipenz

  • @sabra-n2d
    @sabra-n2d 6 дней назад

    Innallillaah wainnaillah rajion mbele yak nyuma yetuu allaah akupe kauli thabit kiongoz wengu allaah akupe pepo yak ya firdaus😢

  • @aishaomar8447
    @aishaomar8447 6 дней назад +2

    Innalillah wainna illeyhi rajiun allahuma ghufirlahu warhamhu wasqana fililjannah

  • @MaulidKisase
    @MaulidKisase 5 дней назад

    Allah akuhifadhi iddy

  • @Salsabiil12
    @Salsabiil12 6 дней назад

    Allah akujalie kauli thabit babaangu ya allah yaa arahma raahimiin mkinge na adhabu ya kabur yaaarahma rraahimiin

  • @luciakiponda1790
    @luciakiponda1790 5 дней назад

    Inna lilah wa inna ilayh Rajiun Allah ampe kauli thabit.

  • @MahmoudNyello
    @MahmoudNyello 6 дней назад +1

    الهم غفر له ورحمه وأسكنه في الجنة

  • @omaryjumbe14v8
    @omaryjumbe14v8 5 дней назад

    Allah Amrehemu Aaaaamiiin

  • @lullebolle808
    @lullebolle808 5 дней назад

    Mungu wetu mpokee shekh wetu na umsamehe mazambi yake

  • @ahmedsoudathman5088
    @ahmedsoudathman5088 6 дней назад +2

    أللهم اغفر له وارحمه واجعل قبره روضة من رياض الجنة

  • @ABUHAFIDHHUSSEIN
    @ABUHAFIDHHUSSEIN 5 дней назад +1

    اللهم اغفر له

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 6 дней назад +1

    allah amjalie kaburi lake liwe la watu wapeponi

  • @RAMADHANSALUM-u3v
    @RAMADHANSALUM-u3v День назад

    Inalillahi wainaylah rajiuna.

  • @KhalfanKiko
    @KhalfanKiko 3 дня назад

    Allah amsameh makosa yake

  • @mwajumaabeidy8137
    @mwajumaabeidy8137 6 дней назад

    Inna lillah wa Inna illaihy rajiun.Allahu maghfillah warhamhu wamaskanahu fil Janna

  • @BenoBeno-c4l
    @BenoBeno-c4l 6 дней назад +1

    Inna lillah wa inna ilaih rajighun Allah yarhamhu ...

  • @SeluSelu-lc8rp
    @SeluSelu-lc8rp 6 дней назад

    Inna lillah wainna ilayh rajeeun Allah mfanyie wepes na sis utupe khatma njema

  • @sabra-n2d
    @sabra-n2d 6 дней назад

    Allaah atupe khusni khatma waja wake najikuta naliya 😢

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 6 дней назад +4

    اللهم اغفر له ورحمه وسكن فاجن

  • @SeifuJambia
    @SeifuJambia 5 дней назад

    اللهم حفله ورحمه ؤاسنه فلجنن

  • @RehemaSeta
    @RehemaSeta 6 дней назад

    Allah tujaalie mwisho mwema

  • @madinahemed3650
    @madinahemed3650 5 дней назад +1

    Tunakuomba Allah umsamehe makosa yake. Ami

  • @AbdillahAli-k6y
    @AbdillahAli-k6y 6 дней назад

    اللهم اغفرله ورحمه ومسكنه في الجنة

  • @brutzuberi
    @brutzuberi 6 дней назад

    Allah ajalie awe.miongoni kwa pepo ya fidaus

  • @mrishongwikwi6448
    @mrishongwikwi6448 6 дней назад +2

    Allah tunakuomba umsamehe makosa yake.

  • @HAMISISWIYAHUDINI
    @HAMISISWIYAHUDINI 5 дней назад

    ALLAH AMPE KAUL THAABIT SHEKH LETU

  • @SaraAbdullah-y7g
    @SaraAbdullah-y7g 6 дней назад +1

    Assalamu alaikum warahmatu wabara kathu llahi

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 6 дней назад +4

    KINACHONIUMA ZAIDI,,HATUJUI TUNAPOKWENDA,,,TUTAKUTANA NA NINI 😢😢,,,

    • @samxx411
      @samxx411 6 дней назад

      Wallahi atujalie kheri ktk makaburi yetu

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 6 дней назад +1

      Wee swali Hilo NI ZITO na linatuhusu vilinyo

    • @HadiaAme-x5f
      @HadiaAme-x5f 6 дней назад +2

      Hakika na ndio maana tunaambiwa tuchukue zawadi na zawadi yenyewe ni kufanya hapa duniani kwa juhudi sana ingawaje sisi wanadamu twajifanya wepesi wa kusahau Allah atujaalie tuwe ni wenye kumkumbuka Allah na kumuogopa yeye kwa maslahi yetu sisi

  • @AliAwadh-qc8wk
    @AliAwadh-qc8wk 5 дней назад

    FIRDAUS INSHAALLAH

  • @mariammohammed9198
    @mariammohammed9198 6 дней назад

    Mlaze shek wetu mahali pema pepon ya allah

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 6 дней назад +5

    Mi nilinufaika sana na mafunzo yake kwenye chanel 10

  • @nacreahali9670
    @nacreahali9670 6 дней назад +1

    Inna lillahy wainna illaihy rajioun 😢

  • @KIDAURA-f5
    @KIDAURA-f5 6 дней назад +1

    Inna lillah wa Inna ilaih raajioun..

  • @subbralssasubeerlssa7104
    @subbralssasubeerlssa7104 6 дней назад

    Inalilah wainah raajiun alalh amsamehe makosa yake

  • @w4058
    @w4058 5 дней назад

    Allahumma Aamiin

  • @ibnnjoka4808
    @ibnnjoka4808 4 дня назад

    Innalilah

  • @FatimaAbdulla-s4i
    @FatimaAbdulla-s4i 6 дней назад +1

    Inalillah wainaillah rajiun

  • @onnyfazal7986
    @onnyfazal7986 5 дней назад

    Innalilahi wainailahi rajiun

  • @HelefusalumAbdallah
    @HelefusalumAbdallah 5 дней назад

    Innalillahi wainnaillaihi rajiun

  • @ramahkesh9360
    @ramahkesh9360 5 дней назад

    Innalillahi wainnailayhi rajiuun

  • @issasekao9088
    @issasekao9088 День назад

    😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲

  • @MahmoudNyello
    @MahmoudNyello 6 дней назад

    Inna lillahi Wainna Ilayhi Raajiun

  • @AsmasaidiTitu
    @AsmasaidiTitu 6 дней назад

    Poleni sana

  • @siphifahashimu9723
    @siphifahashimu9723 6 дней назад

    Amiin

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 5 дней назад +1

    Hilo shuka huwa linafunikwa kwann wakat anaezikwa ni mwanaume? Sasa mazingatio ya umauti ni mawaidha yatapaitkana wapi wakat watu hawaoni maiti analazwa vipi kwenye kabuki?

  • @SafiaSeif-gw4ut
    @SafiaSeif-gw4ut 5 дней назад

    😢😢😢😢

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 5 дней назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💔💔💔💔💔💔

  • @mhrmahir3756
    @mhrmahir3756 6 дней назад +4

    hakuna kulala uko wewe mtoa post huku ni maisha ya akhera maisha mapya ukiingia tu kaburin bas umeaza maisha mapya kwaiyo kauli za kikafir tusilete hakulala amezikwa na anakwenda akhera maisha mapya Allah ameahamu

    • @saidimpako5186
      @saidimpako5186 6 дней назад

      Basi amesimamishwa hapo kaburini

    • @gulfstar6849
      @gulfstar6849 5 дней назад

      Ndugu yangu unajua unachokiongea kweli?​@@saidimpako5186

    • @allymbarouk5362
      @allymbarouk5362 5 дней назад

      Shida yako kwenye uelewa wa matumizi ya maneno, Kwa hyo hapo alipozikwa amekalishwa?

    • @masoudmohammed1148
      @masoudmohammed1148 5 дней назад

      Na hili pia mnataka kulifanya ni mswada wa kuanza kukhtalifiana sio mpka ukafiri tayri unaanza kuwaingiza wenzio. Nyie mmezidi bhnaa #Salafi

    • @mhrmahir3756
      @mhrmahir3756 5 дней назад

      @masoudmohammed1148 wew wajielewa lakin muislam gan unaeshangazwa na na kukosoa neno hili hwakuna hata mmoja alenipinga ispokua kunisapot kwel ni makosa kusema amelala ni matamko ya manasara na wasokua waislam sisi waislam tunasema amezikwa ametangua mbele ya hak na sio kulala bas mwamshe km kalala vp wew kwa nmetukana apo alaaa!! em km huna cha kusema tulia

  • @mohamedfikirini573
    @mohamedfikirini573 5 дней назад

    Innalillah wainna ilaihi raji'un

  • @RashidChamola
    @RashidChamola 5 дней назад

    Alikuwa muogo hapo atajuta kupotosha watu

  • @feruzyjuma
    @feruzyjuma 6 дней назад

    Upumbavu

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 6 дней назад

    Sasa hayo mashahid majani yanini namtakuja kujengea asahivi hapo

    • @JaniMohammed-j2n
      @JaniMohammed-j2n 6 дней назад

      Acha nyege wewe kinachokuuma ni nini ukiona hayo majani umeshindwa hata kumuombea dua Sheikh unaandiki ujinga

    • @saidimpako5186
      @saidimpako5186 6 дней назад

      mtume aliweka alama kaburini shida nin sasa

    • @alkhayriy7014
      @alkhayriy7014 6 дней назад

      @ummu jauzan kama hujui jambo nyamaza t ndo salama kwako siki kila uonalo lazima ulisemee
      Mengine utajishusha heshima t kwa kudhihiridha uekewa wako ukoje

    • @saidimpako5186
      @saidimpako5186 6 дней назад

      Hakuna uharamu wa kuweka alama mim sizungumzii kujengea

  • @MuhammadHamisi
    @MuhammadHamisi 5 дней назад

    nyinyi mawahabi ni wajinga

  • @feruzyjuma
    @feruzyjuma 6 дней назад

    Ujinga ktupu

  • @feruzyjuma
    @feruzyjuma 6 дней назад

    Ujinga mtupu

  • @HAMISISWIYAHUDINI
    @HAMISISWIYAHUDINI 5 дней назад

    ALLAH AMPE KAUL THAABIT SHEKH LETU