JENENZA LINAONGEA "INNALILAH WAINNA ILAHIMRAJOUN "// MARUHUM SHEIKH ABUU IDDI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • USISAHAU KU SUBSCRIBE

Комментарии • 495

  • @SamiaAhmed-f2q
    @SamiaAhmed-f2q 7 дней назад +36

    Allah akuujaalie pepo shekhe wetu kwa ukumbusho uliotuachia uwekinga yako kila inapo sikilizwq

  • @shabanimohammed919
    @shabanimohammed919 7 дней назад +7

    Innalillahi wainnaillah rajoun shekh wetu umetuachia pengo kubwa katika uislamu allah akujaalie upepo

  • @MussaMohamed-pd7pq
    @MussaMohamed-pd7pq 6 дней назад +6

    inallah wainaylahi lajinuni.mwenyezimungu akupekauli dhabiti.na sisi tuliokuwa nyuma yako.atujalie mwesho mwema

  • @yusuphmwinyi7850
    @yusuphmwinyi7850 7 дней назад +41

    Allah amrehemu shekh Abuu Eid na amsamehe pale alipokosea amiin

    • @thamani5842
      @thamani5842 7 дней назад

      Amiin

    • @ZeynAlly-y1l
      @ZeynAlly-y1l 7 дней назад +1

      Innalillah waiina Lilah rajiiun Allah amsmeh madhamb yak n making n adhab y kabr

    • @ibrahimabeid710
      @ibrahimabeid710 7 дней назад

      Amin. Allah amtilie nurundaniyakaburilake amin

  • @Veronicahcharles61comAsia
    @Veronicahcharles61comAsia 6 дней назад +7

    Mola mlezi akufanyie wepesi InshaAllah umetuachia ukumbusho sadaka tul jalia, yaAllah akukumbuke Ameen

  • @nurumkyaholaali4006
    @nurumkyaholaali4006 7 дней назад +23

    Allah atujaalie nashekh wetu huyu tukutane peponi pamoja na mtume wetu inshallah

  • @ABDULAZIZ-h8j3e
    @ABDULAZIZ-h8j3e 7 дней назад +20

    Inalillah Wainnaaillah Rajiiuun Allah akupe Kauli Thabit Akusamehe makosa yko Akuepushie na Adhabu ya Kabrii Maskani yko iwe Pepo Firdaus in shaa Allah na Jamii Muslimii ❤😢

  • @RamlahNassoro
    @RamlahNassoro 7 дней назад +8

    Allaah ampokee kwa furaha shekhe wetu Abuu Idd umetuacha na huzni

  • @selemanishekidele2933
    @selemanishekidele2933 7 дней назад +6

    Inna lillah wainna ilaih raajiun....Allah amrehem sheikh wetu na amfufue haliyakua amemridhia inshallah

  • @salmatuleteesehem71jmnmahm59
    @salmatuleteesehem71jmnmahm59 6 дней назад +5

    Innalillah wainnaillah rajiunh Allah akusameh madhambi yako na akupe kauli thabiti Sheikh wetu

  • @nurucinemax
    @nurucinemax 6 дней назад +4

    Allah akupe kauli thabith inshallh sheikh wetu❤❤❤😢😢

  • @InyabwanaFumo
    @InyabwanaFumo 7 дней назад +49

    Allah amsameh Shekh wetu na ampe qauli thaabit amjaalie kabri yke iwe Raudhwa Min Riyaadhil Jannah

  • @ShaibuAwadhi
    @ShaibuAwadhi 7 дней назад +21

    Mwenyenzi mungu akuondolee adhabu ya kabri na akupe kauli dhabit shehe wetu

  • @minnahhers7437
    @minnahhers7437 7 дней назад +7

    Allaah akusamehe na akujalie qauli thabit na akujalie pepo ya firdaus

  • @husnamadai7052
    @husnamadai7052 7 дней назад +6

    Inalillah wainaillah rajiun, nilikua nakuelewa sana Sheikh, Mungu akupe kauli than it, hukua mnafiki kwenye ukweli ulikua tayari uchukiwe.

    • @AbdallahSuleiman-x4k
      @AbdallahSuleiman-x4k 7 дней назад

      Inasikitisha kweli subuhana allah

    • @hedaya-e9j
      @hedaya-e9j 7 дней назад

      Hakika shekhe alikuwa anafanya vizuri kwenye kutupa nasahaa ukimsikiliza lzm utapata mazingatio

  • @shahnazwillis3931
    @shahnazwillis3931 7 дней назад +14

    Inna lillahi waina illahi rajiun. Allah amjalie firdouse na wote waliyo tangulie mbele
    Nasi atujalie khasanu khatima

  • @hamoudrashid8044
    @hamoudrashid8044 7 дней назад +10

    M/Mungu amsamehe dhambi zake ampe kaul thabit Amin.

  • @MariamAaaa-s4b
    @MariamAaaa-s4b 7 дней назад +5

    Innalillah wainna illah rajiun Allah amsamehe madhambi yake shekhe wetu na amlaze mahali pema peponi

  • @MariamChisonjela
    @MariamChisonjela 6 дней назад +2

    Allah akbar mwenyezimungu amleheme shekhe wetu na akupe kauli thabiti inshaallah 🙏

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 7 дней назад +20

    Pepo Iwe Ndio Makazi Yk Upewe Kitabu Chako Kwa Mkono Wa Kulipa Allah Kaburi Lako Liwe Na Nuru Na Harufu Ya Miski Kaburi Lako Liwe Kati Ya Makaburi Mema Ya Peponi Amiin Amiin Amiin

  • @ZawadFadhir
    @ZawadFadhir 7 дней назад +3

    nimeumia sana kwahakika shekhe umetuachawengilkn hakunajinc zaidi yakukuombea duwa Allah akurehem inshallah

  • @KhamisAmoursaleh
    @KhamisAmoursaleh 7 дней назад +9

    غفر الله تعالى لك ورحمك وجعلك من الصالحين وثبتك بالقول الثابت

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 7 дней назад +4

    Inalilah wainahilah rajiun Mungu atuhurumie akurehemu akupe kauli thabiti na Mungu akusamehe na akupe Pepo inshallah

  • @hamidajuma49
    @hamidajuma49 6 дней назад +2

    Allahumma ighfirlahuu waskinhu fil jannah

  • @salamasaleh7077
    @salamasaleh7077 7 дней назад +9

    Mungu akujaalie uwe mtu wa peponi shekhe wetu

  • @rafikkarimomar8202
    @rafikkarimomar8202 5 дней назад +2

    Mungu ailaze mwili wa shekhe mwanaharakati waku pambania dini yetu ya islamu pmahali pema

  • @saadaissa2253
    @saadaissa2253 7 дней назад +28

    Allah amfanyie wepesi ktk safari yake amsamehe makosa yke ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia ameen

    • @thamani5842
      @thamani5842 7 дней назад +1

      Amiin

    • @HassanGagu-p7t
      @HassanGagu-p7t 6 дней назад +1

      Allah akuondoshee Adhab yakaburi shekh wetu😭😭😭

    • @HassanGagu-p7t
      @HassanGagu-p7t 6 дней назад +1

      Shekhe wangu wamskini wangu masjid mnyamani😭😭😭

    • @AminaEmi-d1j
      @AminaEmi-d1j 5 дней назад +1

      Amin yarabi

  • @allyhamad4344
    @allyhamad4344 7 дней назад +7

    Inalillah wa inna ilayhi ragiun allah amsamehe yy na wazee wetu wote na ss pamoja na safari hii mzito

  • @theknightking5345
    @theknightking5345 7 дней назад +6

    Allah ampe kauli thabit in sha Allah na amjaalie elimu yake alofundisha iwe sadakatul jaaria yake aliko Yarab

  • @ashaMgindo
    @ashaMgindo 7 дней назад +57

    Innalilah wainnailah rajuun mungu akupe kauli thabit akuondoahee adhabu ya qaburi😭😭

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 7 дней назад +6

      Amin

    • @mwanasitidzengo6691
      @mwanasitidzengo6691 7 дней назад +1

      ALLAHUMA AMIINY 😢

    • @MamahetuChikuti-mp5lj
      @MamahetuChikuti-mp5lj 7 дней назад

      Aamin rabil aamin

    • @FatmaKombo-y8e
      @FatmaKombo-y8e 7 дней назад

      Allahumma aamin

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 7 дней назад +3

      Kauli thabit inakuja na matendo na namna ulivyoishi ktk ulimwengu huu na waislamu wenzio uliwazulia lolote kwa hao wasio waislamu eh Allah atupe sote kauli thabit amini amini amini

  • @user412
    @user412 7 дней назад +6

    😭😭😭 INNALILLAHI WAINNAA ILAYHI RAJIUN. ALLAH AMSAMEHE MAKOSA YAKE NA AMJAALIE WEPESI KATIKA SAFARI YAKE, MALIPO MEMA YAWE MENGI MNO KWAKE

  • @ArafaSuleiman-db9pw
    @ArafaSuleiman-db9pw 6 дней назад +3

    Allah Swt akurehmu shekh wtu na akujaalie janatul fridiuas aalyah Bi idhini LLAH na kabur lako liwe kma mabustny y janah na kauli thabithy aaamiin innaa lilah wa innaa lilah rajioon

  • @shamepandu8422
    @shamepandu8422 7 дней назад +11

    Shaame Sheha Tumbatu Zanzibar
    Polen ndugu zetu wa Mkata Tanga waislam na familia ya marehemu

    • @Tupena-ov7xq
      @Tupena-ov7xq 7 дней назад

      Mimi mkristo lakini nilikua nasikiliza video zake, Acha ubaguzi wa kidini.eti polenta waislam!

  • @fatmakari3086
    @fatmakari3086 7 дней назад +5

    Mungu akupe mapokezi mema yaraby

  • @MauBecca
    @MauBecca 7 дней назад +3

    Daah nilikuwa nafatilia sana mawaidha yalo Sheikh

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 7 дней назад +4

    Mwenyeez Mungu Akupe Qauli Thabiti Na Upokelewe Na Malaika Wema Allah Akujaalie Ufufukuwe Karibu Na Waja Wema Allah Kujaliie Jannat Nahim

    • @SifranLove
      @SifranLove 7 дней назад

      Kwani kafaliki jamani

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 6 дней назад +2

    😢inna lilahi WA inna ileyhi rajiun Allah ampe kauli thabiti na wepesi wa kaburini sheikh

  • @fatmahassan4790
    @fatmahassan4790 7 дней назад +7

    Inna LiLlahi Wainna ILayhi Rajiun Mungu Amrahamu Amlaze Pema Penye Wema Peponi amkundulie kaburi yake amtilie nuur Ampe Kauli Thabit. Akutilie kwenye Hassanati zako. Shukran kwa ukumbusho.

    • @w4058
      @w4058 7 дней назад

      Amkundulie YAARABB

    • @w4058
      @w4058 7 дней назад

      Allah atujaalie tufuzu sote tupate neema hizo

    • @w4058
      @w4058 7 дней назад

      Kama tunavyo kuombea Wewe sheikh wetu

    • @w4058
      @w4058 7 дней назад

      Allah awamiminie Subra wafiwa na sote

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 7 дней назад +3

    Mungu ailaze Roho ya marehemu pema peponi Amen

  • @HassanMndeme-w9r
    @HassanMndeme-w9r 5 дней назад

    Tunakuomba M/Mungu umjaalie shekhe wetu na umpe pepo ya daraja la juu kabisa, Amiina.

  • @MarigaSalim
    @MarigaSalim 6 дней назад +1

    Innallillahi wainaillayhi rajioun....Allah amjaalie kaul thabt...Allah atujaalie mwisho mwema

  • @SaedHilal-w9c
    @SaedHilal-w9c 7 дней назад +1

    Subhannah Allah Allah s.w atuongoze katika dini yaa Rabbi

  • @MohamedMwamhenga
    @MohamedMwamhenga 6 дней назад +1

    Allahu biha bihusnil khatima yarabby akujaalie kaul thabit shekh😢

  • @HanifaMruma
    @HanifaMruma 7 дней назад +5

    Mungu msamehe Shekhe makosa yake na umjalie pepo yako In Shaa Allah

  • @FatumaHamisi-mh9ln
    @FatumaHamisi-mh9ln 7 дней назад +2

    Allah akulaze palipo pema pepon 🤲🤲🤲🤲

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 7 дней назад +3

    Wallahi hazina zinaenda mungu amlaze mahali pema peponi,jamani roho Zina umia mm binafsi imenigusa sana mungu ammpe janna.

  • @carloshernandezvalda2136
    @carloshernandezvalda2136 7 дней назад +5

    Allah akujalie mionginimwa watu wape peponi inshallah

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 7 дней назад +3

    Mwenyezi mungu amsamehe na amrehemu amuweke pema pmoja na wema Ameen😢

  • @Fadhilchombo
    @Fadhilchombo 7 дней назад +7

    ALLAH akupe qauli thabit

  • @nurdinimzimbiri
    @nurdinimzimbiri 7 дней назад +7

    Allah amlipe alipopatia amsamehe alipokosea

  • @Jdshhd-rr3zy
    @Jdshhd-rr3zy 7 дней назад +1

    Inallilahi wahina hilahi rajioun mungu amjalie na kauli thabit inshallah njia ni Moja Alhamdullilahi

  • @JamilaMiraj
    @JamilaMiraj 5 дней назад

    Allah akulaze mahal pema peponi🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @RamadhanAdilu
    @RamadhanAdilu 7 дней назад +5

    Innalilah wainna ilayhiraajiun
    اللهم اغفرله ورحمه وعافيه

    • @w4058
      @w4058 7 дней назад

      Allahumma Aamiin

  • @nurdinmohamed1426
    @nurdinmohamed1426 6 дней назад +1

    innalilah wainna ilah rajioqh Allah akupe nur katika kaburi lako inshaallah

  • @rahmamohammed9678
    @rahmamohammed9678 6 дней назад +1

    Alhamdhulillah
    Allaahumma salii wa saliim Ala Sayyidina Muhammad wala alihi wa Ass habihi wa Salaamu ❤️
    Innalilah wa innah ileyh rajiion
    Allaah Amthabit billi kauli thabit yaa Rabbil Aalamiin 🤲🏾
    Allaah awarehemu maiti wetu wooote kwa ujumla 😭

  • @M.Mvamba
    @M.Mvamba 5 дней назад +1

    اللهم صل وسلم وبارك عل سيدنا ونبينا حبيبنا محمد وعل آله وصحبه وسلم تسليما كثيرا إلى يوم الدين

  • @Ali-ui7qh
    @Ali-ui7qh 7 дней назад +3

    INALILAHI WAINA ILAIHI RAJIUN ALLAH AKUREHEMU SHEIKH WA JAMII MUSLIM AMIN WASALAHU ALLASAYDA MUHAMAD WASAHABIH WAHAMDINI ALHAMULILAH

  • @fatmakhamis6064
    @fatmakhamis6064 7 дней назад +2

    Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun! Allah akupe qauli thabit na ajaalie kabri yako iwe ni kiwanja cha peponi in shaa Allah!😢😢😢

  • @OmanOman-l4f
    @OmanOman-l4f 5 дней назад

    😭 inna lillah wanna ilaih rajiuun mungu akusahe akuremu na akup jantu firdauth abuu idi Muhammad

  • @Hittumohamedi
    @Hittumohamedi 7 дней назад +1

    Mwenyez mungu aluweke Mahalia pema peppn AMIN

  • @w4058
    @w4058 7 дней назад +1

    Inna Lilaah Wainna Ilayhi Rajioun Allaah amsameh makosa yake amzidishie mema yake amtangulizie mema yake 😢

  • @MmMm-hx6ln
    @MmMm-hx6ln 6 дней назад

    Siku hizi hatuoni mawaidha kama haya yakusisimua na ukumbusho mkubwa tukapata mazingatio,😢😢 Allah akulipe kheri zako daima kipenzi chetu,❤❤

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 3 дня назад

    Innallah wainaillah rajoon Mwenyeez Mungu akupe kauli thabit

  • @FadhilChai
    @FadhilChai 3 дня назад

    Innalillah wainna illah rajiun mmungu amuzawadie pepo inshsllah

  • @MwanahawaYahya
    @MwanahawaYahya 5 дней назад

    Allah akukinge n adhabu za kabri n akukinge n vituko vya sik y kiama amiiiin inxhaallah shekhe weet

  • @FarahiaAli
    @FarahiaAli 5 дней назад

    Allahu amsamehe dhambi zake nasi tujiandae naiyo safari 😢😢😢😢😢

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 7 дней назад +3

    Allah amrehem ampe qauli thabit amjalie janat ferdaus yarab Amin

  • @RamazanJuma
    @RamazanJuma 7 дней назад +4

    Mungu tujaalie mwisho mwema..Aamin

  • @asmasalumu
    @asmasalumu 7 дней назад +1

    Innalilah wainailayh rrajuun ALLAH akupe kauli thabit

  • @MirajiWaziri-hl2hc
    @MirajiWaziri-hl2hc 5 дней назад

    Subuhanna llaah ewe mola muwashienuru katika kaburi lake

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 4 дня назад

    Innalillah wainna ilayh rajiun 😭💔 Allah akuhifadhi janatul firdhaus akupe kaul thabit 🤲

  • @FathiyaAnwar
    @FathiyaAnwar 6 дней назад +1

    Inshallah amjaalie Kauai tabith.apokee kitabu chake kwa mkono wa kulia.m.nzimngu amsailishie ad habu ya kaburi na amfanyie wepisi kwenye maswali yake na pepo ya fridauss

  • @ashaMgindo
    @ashaMgindo 7 дней назад +17

    Nimeumia jamani eti leo 30/1/2025 umetuacha jaman nilikuwa nampenda sana uyu SHEKH

    • @ahmedAwesu-g8o
      @ahmedAwesu-g8o 7 дней назад +1

      Sema اللهم اغفر له و ارحمه sio umetuacha jamani, moyo unahuzunika , macho yanatoa machozi lakn hatusemi icpokua anayoridhia Allah.
      Mtume alisema maneno ayo

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 7 дней назад +2

      ​@@ahmedAwesu-g8o Innalillah wainnailaih rajioun, ni kweli usemayo ndugu yangu, eti umetuacha kama ana uhakika wa kesho.

    • @zamzamkabogota7510
      @zamzamkabogota7510 2 дня назад

      Innalillah wainaillah rajuun

  • @rushu1232
    @rushu1232 7 дней назад +1

    Masikitiko makubwa sana Mwenyeezi Mngu amueke pema penye wema ya Rabbi.

  • @SaadiyaMohammad-og5bg
    @SaadiyaMohammad-og5bg 5 дней назад

    Allahu akbar mungu akuwekia janna amin

  • @HodaHoda-z8d
    @HodaHoda-z8d 6 дней назад +1

    Allah tupe mwisho mwema utuswamehe madhambi yet maana ss sote tunakukosea yarabb tuongoze njiya ilionyook

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 7 дней назад +1

    Innalillahi waina ilaihi rajiun, Allah amsameh amjaalie pepo

  • @hilalskach6205
    @hilalskach6205 7 дней назад +2

    Mungu Akusamehe Madhambi yako shehe

  • @salimbiaisha6466
    @salimbiaisha6466 7 дней назад +1

    Allah akujaalie maghfirrah na akuingize peponi ya Firdaus

  • @BwanamakaKupi-f8u
    @BwanamakaKupi-f8u День назад

    اللهم انفعنا بعلمه،واغفر له وارحمه واجعل قبره روضة من رياض الجنة.امين.

  • @ZainbAbubakary
    @ZainbAbubakary 5 дней назад

    Innalillah Wainna ilayah Rajiun 😭 mwenyezi MUNGU akupumzishe kwa Amani

  • @SambongoSambongo-b8s
    @SambongoSambongo-b8s 6 дней назад

    Allah akupe kauli thabit na akupunguzie na athabu ya kabri

  • @AbdulghafurAbdi-cg2sq
    @AbdulghafurAbdi-cg2sq 6 дней назад

    Allah akupe umri na afya ili uzidi kutukubuxha ka sisi tuliopotea Allah atuongoze akujalie ww husunul mat katujalie kauldhabiti siku ya mwixhow atujalie kuitamka xhahada Axhhadu Alailahailallah wa Axhhadu ana Muhamadu Rasulullah Inxhallah

  • @fahmedharoub2139
    @fahmedharoub2139 7 дней назад +1

    Subhanallah mawaidha mazito. Km sadaqa yake ya kuendelea.
    Allah atujaalie nasisi tulio Baki husni l khatima wa jannat l firdaus

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 6 дней назад

    Allah amlehemu sheikh wetu hakika ya mauti ndio ndoto ya binadamu yenye kukamilika Allah atujalie mwisho mwema waja wake 🤲😢

  • @tumymohamed1278
    @tumymohamed1278 6 дней назад

    Allah akupunguzie adhabu za kabri.. Allah Akbar

  • @Wawesha28
    @Wawesha28 7 дней назад +2

    Innaalillah wainnaailaih raajighuun Mungu amfanyie wepes INSHALLAH katk safari yake

  • @hedaya-e9j
    @hedaya-e9j 7 дней назад +3

    Allah akufanyie wepesi uko ulipo kwasasa na akusamehe

    • @zamratayoub4604
      @zamratayoub4604 7 дней назад

      Allah akujali kaburi lako ikawe busitani Moja wapo katika mabustani ya peponi

    • @zamratayoub4604
      @zamratayoub4604 7 дней назад

      Allah akusamehe pale ulipo kosea

    • @zamratayoub4604
      @zamratayoub4604 7 дней назад

      Innalilah wainna lilahi rajiun

  • @SALIMMUUNGWANA-he9it
    @SALIMMUUNGWANA-he9it 7 дней назад +1

    Innalillah wainna ilayhi raaji'un Allah mpe kauli thaabit Sheikh wetu,, Allahumma Ghufir'lahu Warhamhu

  • @BiubwaMuhammed-un3dt
    @BiubwaMuhammed-un3dt 7 дней назад +2

    Innalillah wainnailaihi rajiun yarabbi amsamehe makosa yke nasie atupe husnulhatima

    • @SifranLove
      @SifranLove 7 дней назад

      Kwani kafaliki jamani

  • @AsyaBakari-b1v
    @AsyaBakari-b1v 6 дней назад

    Inalilah wainailahi rajiun Allah amsamehe madhambi Ampe kitabu chake Kwa mkono wakuliya Amin

  • @MchangaRocky
    @MchangaRocky 5 дней назад

    ALLAH AKUREHEMU MBELEYAKO NYUMA YETU

  • @Jumajey457
    @Jumajey457 4 дня назад

    Yaa Allah tujaalie mwisho mwema🙏🙏

  • @rukiaissa5878
    @rukiaissa5878 7 дней назад

    Innalillahi wainnaailaihi raajiuun allah ampe kauli thaabit sheikh wetu tulikupenda sana lakini allah amekupenda zaidi. Allah aliangazie nuru yenye kung'aa katika kaburi lako. Amyn

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 6 дней назад +3

    Allah atujaalie ummah tukutane peponi inshallah 🤲🤲🙏 wenzetu wanadondoka kila kukicha tunao pumua tujiandae nasi kukutana na Mollah Mlezi wetu 😢
    Je kwa maswali tupo tiari na majibu?😭😭

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 7 дней назад +1

    Innalillah wainaillahi rajiuni. Allah ampe shekh wetu kauli thabit

  • @barkanassir2528
    @barkanassir2528 6 дней назад

    Inna Lila waina ilaihi rajiun. Allah akueke pema palipo nawema peponi.

  • @maryamabdulhamid3521
    @maryamabdulhamid3521 6 дней назад

    Allah amsameh makosa yke amuweke pema peponi. Katangulia tuko nyuma yke mema

  • @MmMm-hx6ln
    @MmMm-hx6ln 6 дней назад

    Allah akupe malazi mema,❤❤

  • @SAIDSAID-o3d
    @SAIDSAID-o3d 6 дней назад

    Allah, akufanyie wepesi katika Safari, amiin