Mashaallah allah ajalie vizazi vyetu viwe wenye kheli kma uyu na mungu mzidishie kheli na uhai mlefu wenye manufaa hapa duniani na kesho akhela pia nakupe kwa ajili ya allah
mimi ni mkritu lakini nilivyosikiliza ndani ndani nikajikuta najuwa kuruani nikataka kuandika nikashindwa nimempenda sana huyu mtoto mwenyezi mungu akupe ulinzi mkali mungu anipe kizazi kama hiki❤❤❤
MAshaallah allah akulinde akupe kher n akulipe pepo funian na skhera akuepushe na husda allah akupandishe darja shekhe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hiki kipaji kutoka kwa ALLAH yatakiwa tukilinde aendelee kutupa Raha ,Namuomba ALLAH anipe kijana wa Mfano huu dini itasimama na kukonga nyoyo za watu ALLAHUMMA AMIN
Masha Allah -Tabarakallah.. Mwenyezi Mungu Akuhidadhi na Akuzidishie Ilmu... Anasoma/Amesoma Madrassa Gani huyu Ustadh wetu? Tuna hamu ya kujua na kuleta watoto wetu pia In Shaa Allah
Ewemolawetu jalia vizanivyetu viwekama mtoto huyu anayetanganza jinalamwenyezimungu 🇧🇮💕💕💕💕💕hongera Kinjana allah akupe umri mkubwa duniani na ahela 🎉🎉🎉
ASALAM ALEY KUM,ALHAMSULILLLAH NAMSHUKURU ALLAH KWAKUA MUISILAM.HII NI NEEMA KUBWA SANA WAIAILAM UNAOENDA KWA MWAMPOSA MNAJISIKIAJE UKIMUONA HUYU MTOTO WA KIIAILAM ALLAH ALIVYOMJALIA KUA NA KIpI CHA HALI YA JUU.ALLAH ANZIHIRISHA KUWA UWIAILAM NI DINI YA HAKI..
Mashallah sheikh Allah atuhifadhi na akuongoze KTK maisha usome uzidi kuebdelea mbele wallah haya au hizi ni athari za shehe wetu kule Zanzibar nazani wanao fuatilia watamjua takbir waislamu mungu awafanye wengi vijana km hawa inshallah
❤❤❤ Mashallah. Ya Allah MPE umri mrefu kiumbe huyu. Nasi utubadilishie tabia za wanetu ziwe kama za huyu kiumbe ili tupate vijana wema waunusuru uislam
Masha'Allah Allah akuzidishie maisha marefu hapa duniani na kesho Akhera Allah aikuze ilimu Yako akutakabalie akhamali zako na Allah awalinde wazazi wako Asalaam alaykum warahmatulah wabarakatuh
Mashallah nlimmis huyu MTT Allah ampe umr mrefuuu wenyeher na Baraka ❤
Mashaallah mashaallah mashaallah anasauti zurii mashaallah mungu amkuze katika imani atujalie heri na sisi watoto wetu waishike dini 🤲🤲🤲
Amiin Thumma Amiin
Mashallah nakapenda haka katoto.... Allah azidi kukuongoza na akulinde na husda mtoto mzuri😘❤❤💝
C katoto km unavyomuona macho I pako, huyu ni Swaheeb lfahama SHEIKH RAMADAN
🎉@@saumunurdin7318
Allah hamzidishie ujuzi amiiin
Saida
MashaAllah, Allah akukuze,akuongoze, akulinde ,akukinge na kila shari ya viumbe wabaya.
Allah azidi kukuongoza katika kulingania dini Inshallah Amina 🙏🏻
Amiin
AMEEN
Amin
Aaaaamin thuma amini
Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah allah akujalie kila kher Katika maisha yako shekhe wetu
MashaAllah ❤❤❤ Allah akupe umri mrefu na skulinde
Maashallah,, Mwenyezi Mungu akujaalie mwisho mwema 🎉🎉🎉🎉
Mwenyezi mungu akukuze vyema na azidi kukupa imani ya kuupigania uislam
Mashaallah allah ajalie vizazi vyetu viwe wenye kheli kma uyu na mungu mzidishie kheli na uhai mlefu wenye manufaa hapa duniani na kesho akhela pia nakupe kwa ajili ya allah
Amiin
mimi ni mkritu lakini nilivyosikiliza ndani ndani nikajikuta najuwa kuruani nikataka kuandika nikashindwa nimempenda sana huyu mtoto mwenyezi mungu akupe ulinzi mkali mungu anipe kizazi kama hiki❤❤❤
Amiiin
Allahuma amina 🤲🤲🤲🤲
Mtoto Ana majini 1000
Hujui siri ya uislamu ndio sababu umedanganika
Waulize jihadi ni nini wakikujibu waulize Muhammad alipochinja watu mia saba sokoni ..😂
Mashaallah shekhe ramadhani allah akulinde na akukinge na watu wabaya na akuongoze vyema inshaallah
Amiin
Mtoto kumleavyo ndivyo akuwavyo m.a may Allah protect bad evil keep going my brother ❤
MAshaallah allah akulinde akupe kher n akulipe pepo funian na skhera akuepushe na husda allah akupandishe darja shekhe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wazazi tuchukue mfano wa mzazi wa huyu mtoto mashaallah allah awajaalie wazazi wa huyu mtoto
aamiin
Allah humjaalia amtakae, huenda ata wazazi wake hawatumii nguvu km unavofikiria ila Allah alishachagua awe ivo uyo mtoto
❤❤
Kweli
Mashallah mashallah sheh wetu mungu akupe umri mrefu nakupenda kwa ajiri ya Allah
Maaaashaallha
Hiki kipaji kutoka kwa ALLAH yatakiwa tukilinde aendelee kutupa Raha ,Namuomba ALLAH anipe kijana wa Mfano huu dini itasimama na kukonga nyoyo za watu ALLAHUMMA AMIN
Allahumma Aamiin 🤲
Allahumma amiin
Amiin
Amiin
Ameen
Mashaallah mashaallah tabarakallahu may Allah bless him and protect him evil eye Allah ma amini thuma amini 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Allah akukuze katika kheri na akulipe mazuri na akukinge na maadui
Masha Allah tabaraq Allah... Mungu nijali mwangu awe kama huyu mwana wa mwenzangu
Amiin
Amin
Amin
Amiin ya rabby 🤲 amiin
Maashallah Allah akuzidishie kipaji ufike mbali akuepushe na mahasidi. Ongereni wazazi wa mtt huyu.
mashaallaah mashaallaah nilifurah sana nilivyo kuona live allaah akutuze
Mashaallah na Allah amuwepushe na husda Na Allah amjalie umri mrefu wenye kheri. Allah Atujalie katika vzazi vyetu aviongowe ktka njia mzur
Inshallah mwenyezi mungu akulinde azid kukupa maneno ya Allah
Nahitaji mwanangu awe hiv ili nipatae wa kuniombea dua insha-Allah
Insha Allah
In shaa Allah kheyr
Inshallah..Muongoz3 ktk njia ilio kheri naye Allah atamsimamia Inshallah
Inshallah
Amiin in shallah
Mashaallah❤❤❤Allah akuzidishie umri,kher na barak katika safari yako ya maisha inshaallah
Masha Allah -Tabarakallah..
Mwenyezi Mungu Akuhidadhi na Akuzidishie Ilmu...
Anasoma/Amesoma Madrassa Gani huyu Ustadh wetu?
Tuna hamu ya kujua na kuleta watoto wetu pia In Shaa Allah
Maasha Allah, Allah akulinde mtoto wetu
Mwenyezimungu akuzidishie uwezo said na zaidi tunanufaikasana na mawaidhwa yako
Masha Allah Mola wet u Mlezi. akuzaidishie fahamu
Mashaallah tabarakah Allah Be bless you brother 🎉🙏 ❤
Mashallah ❤❤❤❤mwenyez mungu akuepushe na husda za wanadamu
Mashallah tabarakalah Allah akuongezee Nuru na baraka inshallah
Mashaallah allah akuzidishie kipaji cha maneno ya allah na hadidhi za mtume s:a:w
Ewemolawetu jalia vizanivyetu viwekama mtoto huyu anayetanganza jinalamwenyezimungu 🇧🇮💕💕💕💕💕hongera Kinjana allah akupe umri mkubwa duniani na ahela 🎉🎉🎉
Mash'Allah! Allah! Akuhifadhi,Akulinde na kila aina ya Shar Husda za Ki'Shytwan wa Kijini na Ki'binadamu,akupe poa umri mrefu wenye Siha njema
Mashallah Allah SWT skulinde na kila hassad na husda iwe mbl nawe mwanangu nakupenda kwa ajili ya Allah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
mtoto upo vizuri sana mungu Akulinde sana katika Imani yako 👌🏽👌🏽
Allah akuzidishie umli wenye manufaa na erimu yenye manufaa
Amin yaribi laalamin
ASALAM ALEY KUM,ALHAMSULILLLAH NAMSHUKURU ALLAH KWAKUA MUISILAM.HII NI NEEMA KUBWA SANA WAIAILAM UNAOENDA KWA MWAMPOSA MNAJISIKIAJE UKIMUONA HUYU MTOTO WA KIIAILAM ALLAH ALIVYOMJALIA KUA NA KIpI CHA HALI YA JUU.ALLAH ANZIHIRISHA KUWA UWIAILAM NI DINI YA HAKI..
Mashaallah allah akuhifadhi naatujalie vizazivyetu viwe kamahuyo inshaallah yarabi
Mashaallah ❤❤❤🎉 mung akupe Muir mref na akulinde na hasad za walimweng
Allah akuzikuze naakuzidishiy. Ww pamoj nawtt wetu waangoze ili izid diniyetu yakislam ilitupat kujifunza ilitukakutan namtum wetu muhammad s.w
❤::mashaallah tabarakaah::❤
Mungu akupe afya njema Naumri mrefu ❤
Yaarabi mpe mtoto mwisho mwema ❤
Mashallah tabarakallah allah ampe elmu zaidi na zaidi amuepushe na kila balaa yy na wazee wake
Mashallah mwenyezi Mungu akupe kher inshallah mm n mkristo Iakn navutiwa San na mahube yakuruhan inshallah ntazd kujfunza🤲
Welcome to islam may Allah grant u hidaya
MashaAllah Mungu akongezeye
Ilm namaisha mazuri akurinde
Mm ni mchrist bt nakupongeza mdogo wangu mungu akusimamie uishi katika misingi yake🙏🙏🙏
🎉Masha Allah, wa jina Allah akukuze na akuongoze na akulinde katika hii DUNIA na akulipe MEMA kesho AKHERA.
Allahumaa Amiin 🤲
ALLAH akujalie ilim zaid na zaid akulinde na waja akupe umri mrefu
Allah akubariki na akulinde InshaAllah
Mashalah mungu akujalie uishii miak mingii ❤❤
😢Mashallah, Jazakallahu kher Mwanangu, Allah akulipe Jannah 🙏
❤❤❤ manshaallah huyumutoto Allah amupenini yarabi akupekilalaheli
Mashallah 🙏❤️ Alla anijalie na mimi uzao wa tumbo langu
Mashallah sheikh Allah atuhifadhi na akuongoze KTK maisha usome uzidi kuebdelea mbele wallah haya au hizi ni athari za shehe wetu kule Zanzibar nazani wanao fuatilia watamjua takbir waislamu mungu awafanye wengi vijana km hawa inshallah
Maasha Allah Allah akulinde misharii jioni waliisii
Mashaallah barakaallah mwanangu atawa hivi inshaallah tujitahidi kulea wanetu Kwa maadili haya
❤❤❤ Mashallah. Ya Allah MPE umri mrefu kiumbe huyu. Nasi utubadilishie tabia za wanetu ziwe kama za huyu kiumbe ili tupate vijana wema waunusuru uislam
Mashaa Allah mungu akulindia nahasada mwanangu mpee soma huyo anayea jita pro that's is true tabarakallah kutualimusha
Mashallah Allah akulinde na husda zawalimwembu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nakupenda sana
Mashaaalhaa Mungu Akulinde ❤
Maashallah uyo tunamtumia mtoto kama uyo amjibu mungu akupe afya njema na akuepushe na wabaya
Mashallah Allah ampe afya njema na umri mrefu zaidi apate kurigania din ya Allah ❤
Allah akulinde nan hasad azidi kukupa ufahamu
Jazakumu llah. Allah akupe umri
Maashallaah,ALLAAH,azidi kukupa ufahamu zaidi,na watoto zetu ALLAAH,awaongoze pia,,,
Mashallah Mashallah Barkallahfik Love Frm Kenya❤❤❤🎉
Sheikh and the first 9:41
Mashallah jazakalkher.
Mashaallah mtoto mzuri Allah akuongoze na akuepushe na jicho baya in shaa Allah na watoto wote umati Mummad (S.A.W)
Masha Allah tabaarakaAllah ALLAH bareek
Mashallah mungu amzidishie❤❤❤❤❤katoto na akatunze jmn nimekapenda bule
mashaallah mungu anibaliki mtoto awe kamahuyu lnshaallah Mungu awabaliki wazaz wako
Mashallah allah akutihifadhiye akupe umri murefu❤❤❤
Mungu akulinde na mahanadi akufanyie wepes
Mashanlha mungu amlinde uyu mtot tuzidi kupata faida
Mashaallah mungu akuzidishie kua na ilmu
Kikubwa ni kuwaombea dua NJEMA kwa Allah, vizazi vyetu visimame Sawa Sawa katika dini yetu ya kiislamu mashallah
Alhamdulillah Allah amzidishie aamali njema wallah
Masha'Allah Allah akuzidishie maisha marefu hapa duniani na kesho Akhera Allah aikuze ilimu Yako akutakabalie akhamali zako na Allah awalinde wazazi wako Asalaam alaykum warahmatulah wabarakatuh
Masha Allah,Masha Allah Allah akuongoze na akulinde
MashaAllah
Allah akuhifadhi
Mashallah mung Hanijarie watot zangu wapate nuru kama mtot anayejua Din vzr Inshallah
MASHAALlAH 🥰
Allah akulinde na akujaalie Umri mrefu .na akujaalie mwishomwema na sisipia Amin
Mungu akupe umri murefu
Mashaalah allaha.akulinde.na.hasad
Masha nllaaa anllaa akuzidishie kila la kheri mashanlaa ❤❤❤❤❤❤
Mashallah habibi my the grace of Allah be with you🙏
Masha Allah Allah akufanyie wepesi lnsha Allah
Mashalah nakupenda kwaajili ya alah mungu akuzidishie kill la kher natamani nami mwanangu are kuwa kama wewe mashalaah
Yes.Challenges are what make life interesting and overcoming them is what makes life meaningful. thank's our jabbaliiii
Masha Allah big love from kenya my lvly tz brothers and sisters ❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu hakujariye maisha maref nakuogezee kipaji zaid
Masha Allah ,Allah akupe helii katika maisha yako
Maashallah Allah akulinde akuongoe maisha yote
Mwenyezi mungu akupe subra mwanangu
Mashaaalah.eee mwenyezi mungu upe Maisha mazury na marefu.huyu sheehy mtoto.shafii
Mungu akulinde na akupe upeo zaidi hii ni hazina kwetu eaislam
Mashaalla allahumma baarik fiih❤❤❤
Macha Allah Cheikhs wangu, tupo pamoja tokea Lubumbashi Wantashi DRC CONGO
Manshaallah mungu akupe umli mlefu mdogo wangu
Mashallah mungu akulinde na kila balaa la walimwengu amina