Mtoto mwenye Kipaji cha Ajabu Omari kutoka Kenya aendelea kuwatikisa Masheikh wa Afrika Mashariki

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 707

  • @risperladee5718
    @risperladee5718 4 года назад +21

    Am a Christian but am inlove with this kid..ohhh..sheik nurdin kishii right?..

  • @nasriaali5288
    @nasriaali5288 4 года назад +17

    Mashaa allah nampenda uyu mtoto allah ampe nuru duniani na akhera amlinde na hasad na majini na watu.amiin.

    • @dreytunes8902
      @dreytunes8902 4 года назад

      Mungu ampe akher shekhe omary mohammad nimtoto mwenye nuru kubwa san mwenyez mungu azid kumlinda

    • @sultanirihani6915
      @sultanirihani6915 2 года назад

      @@dreytunes8902 zzzzzzzzzz

  • @irakozesandrinesandra1560
    @irakozesandrinesandra1560 6 лет назад +15

    Mashaallah kwa gufurahiya omar nimekuta maconzi ananitoka ntatoka burundi nikuje kukuona kenya siku moja inshaallah

  • @coffeewithauntiekiki6219
    @coffeewithauntiekiki6219 4 года назад +16

    God give me a son. Na nitamtunza akutumikie. Am Christian and am moved❤️❤️

  • @margaretkaruma4760
    @margaretkaruma4760 4 года назад +11

    Kama Fatuma, na sema mashallah. Na kama Wanjiru na sema be blessed you are going places. You are blessed to become a blessing Amin

  • @hannahmwaura7130
    @hannahmwaura7130 4 года назад +11

    MashAllah..i love this kid..may ALLAH akupe maarifa ziada InshAllah.

  • @tsunamidigital5431
    @tsunamidigital5431 4 года назад +16

    The kid is blessed.. I remember him meeting the president.. Allah askie dua yake na atimize ndo zake. Mi mkristo lakini napenda vile wislamu huwa wameshikilia kabisa..tuishi na furaha siku zote

  • @aminamol266
    @aminamol266 6 лет назад +8

    maa shaa llah tabaraka. hii clip sichoke kuangalia. nmecheka mpk machoz. yaarabby mlinde na husda mtt wetu

  • @zeytooniddi1226
    @zeytooniddi1226 6 лет назад +33

    MaashaAllah Allah akupe kila unaloliamba kwa Allah na akuepusha na kila hasad

  • @poposunitha5283
    @poposunitha5283 2 года назад +3

    Wallahy Omar umenitoa machozi mengi sana ya furaha,mi pia nna mwanangu yuaitwa Omar,yarabb mlinde kiumbe huyu na umjaalie kisomo zaidi ya alicho nacho na unijaalie kizazi chema yarrabb na Naibu wake Omar Akiwa Kishki ni favourite hadi nilimpa jina mtoto wa dadangu jila la kishki,ya Rabby mjaalie mtoto wa dadangu awe kama Kishki

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 года назад +5

    Ya habibi masha Allah Allah akuongoze na akupe kipaji cakumutangaziya Kaziyake masha Allah masha Allah

  • @fatmahassan3014
    @fatmahassan3014 6 лет назад +13

    mashallah mashallah mashallah...Allah akuongoze

  • @zurfabwinyo3600
    @zurfabwinyo3600 4 года назад +9

    Masha Allah Allah akupe umri mrefu omary

  • @princeofsounds3067
    @princeofsounds3067 4 года назад +11

    Dogo nakupenda tu sana, Mungu akujalie yote mazuri unayoyataka. Congrats my little brother 🙏🙏👏👏👏👏💪

  • @MohamedyMmbaga
    @MohamedyMmbaga День назад

    Mashallah mungu amuandalie Pepo mtoto huyu pamoja n wazazi wake n mm inshallah

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu7641 Год назад +3

    mashallsh habibty mm pia nimoja natamani uhuru mwigai Kenyatta asilimu nampenfda TU binafsi hivyotu Allah amjaalie awe Muslim inshallah kwa uwezo wake

  • @amrish1316
    @amrish1316 2 года назад +8

    Mashaallah 😟 may Allah grant him all his heart desires inshaallah

  • @ArafaNassor
    @ArafaNassor Год назад +1

    Mashallah mungu ampe umri mrefu ili tufaidike waislam wote

  • @alipqasse9967
    @alipqasse9967 4 года назад +18

    Mash allah mungu akuongoze mtoto wetu😍❤❤❤

  • @SalimBahero
    @SalimBahero Год назад +1

    Mashallah mungu Ampe umri mrefu ili tufaidike waislam wote

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 года назад +2

    Allah akuhifadh Omar bin khatwab mwenyewe ndo huyu

  • @linetnato4199
    @linetnato4199 4 года назад +6

    Mtoto akalia kiti mwengine apigania kiti😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥👏👏👏

  • @bintisharif8739
    @bintisharif8739 6 лет назад +8

    MashaAllah I love this young boy

  • @kingsleyomullah1109
    @kingsleyomullah1109 6 лет назад +55

    Yani machozi yafuraha yanidondoka wallah ya Allah mlinde mtoto huyu na unijalie na mm kizazi change kiwe kama Omary ya Allah

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 6 лет назад +77

    I'm Christian but I love Islam people who have the same attitude like this boy

  • @elizabethjulius651
    @elizabethjulius651 5 лет назад +22

    Mombasa swahili is dope

  • @ghaniyapoches2684
    @ghaniyapoches2684 4 года назад +1

    MaashaaAlla×3 kaniliza kwa furaha Allah akuongoze yaa Omar

  • @ShekhaSultan-go5yo
    @ShekhaSultan-go5yo 9 месяцев назад +1

    Mashallah allah atuongozee watto wetu❤

  • @AminaChamiki
    @AminaChamiki 9 месяцев назад

    Mashaallah Mungu akupe mwisho mwema kipenzi umary mwenyezi Mungu akujaalie afya njema ❤

  • @BurhaniTower-zb1wu
    @BurhaniTower-zb1wu Год назад

    ManshaAllah mtoto waniliza kwl Allah akupe umri mrefu inshaAllah na akuepushe n hasadi

  • @zuhoor-mc7hq
    @zuhoor-mc7hq Год назад

    Mashaalah umati muhamadu Allah akubariki mdogo wangu ❤️ ewe rabbi tujaalie tuipate kizazi Cha kheri amiin yaarabbali ghalamiina nashukuru Sana Allah akuzidishie elimu na upeo wa kutafakari amiin yaarabbali ghalamiina

  • @germanyicon8865
    @germanyicon8865 Год назад +1

    kudos hatts off boy

  • @gracekaranja4960
    @gracekaranja4960 2 года назад +2

    Waooh..this boy 🥰 keep up

  • @judiththuo472
    @judiththuo472 4 года назад +9

    A very brilliant kid. Well raised in the ways of God.

  • @Mauamunga
    @Mauamunga 10 месяцев назад

    Allah ampe maisha marefu inshallah nami aniajalie mtoto kama huyu inshallah

  • @husseinali9760
    @husseinali9760 4 года назад +1

    Masha Allah khr, Allah ampe kila lnye khr insha Allah

  • @najmaabdi5113
    @najmaabdi5113 4 года назад +2

    Mashaa Allah Allah amuhifadhi huyu mtoto pahali alipo in Shaa ALLAH,💞🥰

  • @christinetina4504
    @christinetina4504 4 года назад +10

    Huyu mtoto ako na comedy ndani yake yaani talent ipo wish ikuzwe

  • @ZuhuraSalim-x3v
    @ZuhuraSalim-x3v 9 месяцев назад

    😂😂😂😂omar uko wapi nina zawadi yako shekhe huyu mtoto mashallah Allah amzidishie

  • @bertywiththepeach3782
    @bertywiththepeach3782 4 года назад +16

    H my god I just love him thank you for the Duha

  • @muhammadginanani7457
    @muhammadginanani7457 4 года назад +1

    Alhamdulillah allah amjalie kijan huyu awe moja ya watukufu wema allahumn ameen

  • @ibrahimjoseph2789
    @ibrahimjoseph2789 4 года назад +1

    Mashaallah kwanza yupo serious acheki Allah nisamehe madhambi yangu nipatie mtoto mwema na muelevu kama huyu.💓💓💓

  • @MohammedAthman-p9k
    @MohammedAthman-p9k Год назад

    Yap it really Good boy Allah bless you dear

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 3 года назад

    Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH. Allah Akuhifadhi Ya Rabb. Amiin Amiin Ya Rabbal Al Amiin

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 Год назад

    Maasha Allah Macho Ya Asadi Yasikuone Insha Allah

  • @barwakhoallinoor2615
    @barwakhoallinoor2615 4 года назад +4

    Mashaallah May Allah grant you more

  • @halimasulaiman3229
    @halimasulaiman3229 4 года назад

    Maashaallah omar nakupenda sana Allah kufanyie wepesi

  • @starlinduale5682
    @starlinduale5682 4 года назад +6

    Masha Allah masha Allah may Allah protect you from evil eye Aamin ya Allah 🤲🤲🤲🤲

  • @hellenchitechi2659
    @hellenchitechi2659 4 года назад +3

    Wow, this is beautiful......

  • @zakianomohamed1814
    @zakianomohamed1814 6 лет назад +14

    masha allah

  • @HAJIMAGESA
    @HAJIMAGESA Год назад

    I love this boy mashaallh may allh grant you more

  • @NayratJuma
    @NayratJuma Год назад

    Mashaallah n mdog lakn manen meng Allah amkiz vyem insh

  • @KHAIRIYYAONLINETV
    @KHAIRIYYAONLINETV 4 года назад +3

    nimependa HIYO lafudhi tu aloooh!!!✔✔👏👏👏

  • @MalomboChakaya
    @MalomboChakaya 18 дней назад

    Mashallah ❤❤, Allah akuzidishie elmu

  • @hafidhalmaulidi1717
    @hafidhalmaulidi1717 6 лет назад +47

    Allah amjalie afya njema na kufanya yaliyo ya kher,,,,,amen

  • @salmaally3536
    @salmaally3536 4 года назад +3

    Masha Allah.mungu amlinde innehaallah

  • @sadajuma9836
    @sadajuma9836 6 лет назад +10

    mashallah tabarak llah

  • @patrickmulyungi7497
    @patrickmulyungi7497 4 года назад +4

    The boy is a gifted orator

  • @janemuthoni4743
    @janemuthoni4743 4 года назад +6

    This boy was so wise💖

  • @fadhilikizayi4182
    @fadhilikizayi4182 4 года назад +3

    Mahizb bhana!
    Allah atuongoze katika njia ya sawasawa

  • @RumeysaAbdullah-f5g
    @RumeysaAbdullah-f5g Год назад

    Mashaallah Allah akupe umr mref mtt ww❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mariammapendo6074
    @mariammapendo6074 4 года назад

    Mashallah nakapedra aka katoto jhaman allah awez kukulind bébé wetu

  • @HawaMzuri-h8x
    @HawaMzuri-h8x 4 месяца назад

    Ma shaallah natamani na mmi mtto angu atakua kama hyoo

  • @asmahanalio8340
    @asmahanalio8340 4 года назад +2

    Mashalaah may Allah protect u from evils eyes

  • @RzikiSaeed
    @RzikiSaeed Год назад

    Assalam.alykum... yaa Allah mlide mtoto huyu na hasad na utujaaliwe tuwe wenye kupata vzazi vyenye kufahamu din yetu ya kislam na kuifadhi ktabu chetu kitukufu

  • @hadijasalum6975
    @hadijasalum6975 4 года назад +4

    😍😍😍😍 Allah akupe maisha marefu mdog Wang😘😘😘

  • @sanuliabdalla625
    @sanuliabdalla625 4 года назад +1

    😁🙌👅👍✋✋✋👏👏👏👏👏mungu akuzidishie ishaallah

  • @abdiazizi6058
    @abdiazizi6058 6 лет назад +20

    MA SHA ALLAH that's all I can say

  • @lovenessmuzdiddy1936
    @lovenessmuzdiddy1936 2 года назад +1

    MashaAllah
    Allah azidi kukuongoz mtoto wetu

  • @salmamlanzi9696
    @salmamlanzi9696 4 года назад +1

    Mashaallah Allah amzidishie kheir

  • @nduwimanamadua9222
    @nduwimanamadua9222 10 месяцев назад

    Maasha Allah Allah mlinde kijana wako

  • @2ndhanddubaiautomotivecars481
    @2ndhanddubaiautomotivecars481 4 года назад

    Am a Christian. But I enjoyed this video. Kuna kitu imo ndani ya huyu mtoto. Na mwombea dua mungu amweke wepesi atimize ndoto zake.

  • @Acha-m9k
    @Acha-m9k 3 месяца назад

    Masha all aah jazakallah kheir

  • @zombonijr2793
    @zombonijr2793 6 лет назад +16

    mashallah

  • @nchandzessaid680
    @nchandzessaid680 Год назад

    MASHAALLAH Tabaraka ALLAH May ALLAH guide you ❤❤

  • @simbadunguzi19
    @simbadunguzi19 3 месяца назад

    Mashallah mungu amlinde mtoto huyu🙏

  • @RichardMavoko-x1b
    @RichardMavoko-x1b 2 месяца назад

    Mashalah mungu amjalilie uyo mtoto

  • @deepmalikkenya1267
    @deepmalikkenya1267 3 года назад +7

    This boy is a comedian😂💕

  • @Yassinimsaudia
    @Yassinimsaudia Год назад

    mashaallaa Allah akuhifaadh

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 9 месяцев назад

    Mashaa'Allah Mashaa'Allah Takbir Takibir

  • @ashatsadza2449
    @ashatsadza2449 3 года назад

    Mashaallah mashaallah I wish is my son Allah bless this boy

  • @salmasamir2388
    @salmasamir2388 4 года назад

    Mashaallah mdg wng Allah akuzidishie Imani hiyohy

  • @AbdulAlly-f1x
    @AbdulAlly-f1x 2 месяца назад

    Allah akukutanishe na bwana mtume Muhammad s,w,s sheikh nurdini kishki

  • @omarfaki8848
    @omarfaki8848 2 года назад

    mashallah m/mungu akupe ujuzi mkubwa aamina ishallah

  • @JahfaraJawo
    @JahfaraJawo Год назад

    Assalamualeikum Alhamdulillah Albarke ❤❤❤❤❤

  • @ramaalmas8118
    @ramaalmas8118 6 лет назад +4

    Allah amjalie ampe afya njema..

  • @luleyosman4904
    @luleyosman4904 6 лет назад +7

    Mash Allah

  • @annekemuma6378
    @annekemuma6378 2 года назад

    mashAllah Mwenyezi Mungu ampee haja ya moyo wake

  • @rosepiere1857
    @rosepiere1857 6 лет назад +3

    Nimekufurahia saana Mungu akufikishe unapopataka

  • @faithfrancoh1449
    @faithfrancoh1449 4 года назад +6

    He can make a good comedian 😂

  • @dorothymutuku3063
    @dorothymutuku3063 4 года назад +1

    Kijana aliye barikiwa this is more than a talent. Instead of Uhuru converting to a muslim why not u convert to a christian?

  • @AbediHuseni-vu1li
    @AbediHuseni-vu1li Год назад

    Mashallah mung akujalie ufike mbali kiiman

  • @foziyahasani8005
    @foziyahasani8005 2 года назад

    Masha Allh Love you Youg boy

  • @IsmailmulumbaMakutano
    @IsmailmulumbaMakutano 10 месяцев назад

    Allah amulinde insha allah

  • @AshaSuleiman-p5z
    @AshaSuleiman-p5z 3 месяца назад

    Allah. Anzidishie ishallah

  • @jackaynjeru2008
    @jackaynjeru2008 6 лет назад +12

    Kenyan got talent

  • @missnelson9621
    @missnelson9621 4 года назад

    Masha Allah....salute you Omar

  • @MussaSaleh-k8i
    @MussaSaleh-k8i 16 дней назад

    Masha allah mola tujaalie tuwe na iman

  • @MohamedAli-ly9fw
    @MohamedAli-ly9fw 6 лет назад +16

    Mansha allah captain 👩‍✈️ omar