YABAINIKA! ISRAEL ilifyatua kwenda IRAN bomu lake hili la mwendo kasi liitwalo RAMPAGE!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 269

  • @martinisadru
    @martinisadru 9 месяцев назад +3

    Bwana ally mchambuzi mwenye elimu ya juu sana, Hongera sana mr ally.

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td 9 месяцев назад +6

    Good job from 🇧🇮💐 tunawapenda san

    • @MohamediOmari-nz4vv
      @MohamediOmari-nz4vv 9 месяцев назад +1

      Mpumbavu unafurahia watu waifa nchi yenyewe ni mashoga tu

  • @ramiamisanya9873
    @ramiamisanya9873 9 месяцев назад +4

    Mpo vizuri sns

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 9 месяцев назад +12

    TUOMBEE DUNIA AMANI 🙏🏿🙏🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿

  • @officialmubytz1076
    @officialmubytz1076 9 месяцев назад +2

    Taarifa makini big up sanaaaa

  • @shebbylove3140
    @shebbylove3140 9 месяцев назад +1

    Shukran kwa habari daily zadunia sir Sky

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 9 месяцев назад +9

    Wew uongoo hao waisraeli waongo sanaa

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 8 месяцев назад +2

    Taifa teule...🚀

    • @HeboniBabu
      @HeboniBabu 4 месяца назад

      Wewe shogatu wazazi wamepata asala Mtoto sio liziki

  • @soineeliudi5959
    @soineeliudi5959 9 месяцев назад

    Umejibu vizur sana pasipo kuegemea upande wowote big up braza

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 9 месяцев назад

      Sio braza, ni bradha ( brother )

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 9 месяцев назад +4

    Bundara sky uu mchambuzi mzuri zaid ya wengne maana taarifa zako ni sahihi ndio sababu naipenda Channel yako aina uongo

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 9 месяцев назад

      Lakin taarifa hii niya uongo

    • @peterjr8073
      @peterjr8073 9 месяцев назад +2

      ​@@Mumewanguwe unbishana adi picha za satellite duuuh

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 месяцев назад

      @@Mumewangu kwa hio hii ya kichapo Cha Iran peke yake ni ya uwongo 🤣🤣hizo zingine ni za Kweli 😅😅😅 haki yaMungu mnakazi kwelikweli

    • @Joycenangonga
      @Joycenangonga 9 месяцев назад

      ​@@Mumewangu😂😂😂😂😂 leta huo ukweli na ulete na picha zako za satelite

  • @msafiripascal2757
    @msafiripascal2757 9 месяцев назад +2

    Ongera kijana kwakaziyako umejitaidi mungu akufunguliye riskizako

  • @husseinamani
    @husseinamani 9 месяцев назад +19

    Propaganda za magharibi tunazijuwa Iran iko salama kabisa 👊💪

    • @SaidChilaza
      @SaidChilaza 9 месяцев назад +2

      Kweliiiiiiiiiiiiiiii

    • @peterjr8073
      @peterjr8073 9 месяцев назад +3

      We uko iran

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 месяцев назад +3

      ​@@peterjr8073KWANI WEWE UPO ISRAEL???

    • @BhuzoheraBhuzohera-w5i
      @BhuzoheraBhuzohera-w5i 9 месяцев назад +3

      Mnakalia udin TU ss hapo magharibi inahusikaje

    • @pastorzakariatv1786
      @pastorzakariatv1786 9 месяцев назад +1

      Mkaid hafaidi mpaka tamkute iran ilipiga Makelele yaliyo ongozana kusema Islaël ikijibu itajibiwa haraka Kiko wapi kombola tu zinatua katikati ya nchi yangekuwa mia

  • @JerusalemChoir-c3p
    @JerusalemChoir-c3p Месяц назад

    Mungu amua vita hii

  • @NeemaGumbo-k5n
    @NeemaGumbo-k5n 3 месяца назад

    Uyu Ali masubi ni mtu na nusu nakwambia Wana sns 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 9 месяцев назад +11

    Ni uwongo wa Israel wameshindwa Vita

    • @modekaijames
      @modekaijames 9 месяцев назад +5

      Leta ukweli sasa kama watu Habari ndio kazi yao wewe mchimba chumvi unasema uongo

    • @h.alshidhani8971
      @h.alshidhani8971 9 месяцев назад +1

      Waongo wakubwa Hawa mayahudi ​@@modekaijames

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 9 месяцев назад +4

      Endeleeni kusema uongo ngoja yatokee yale ya Iraq ya Sadam Hussen

    • @ndindaqueen9346
      @ndindaqueen9346 9 месяцев назад +2

      Iran can't defeat Israel period American wenyewe wanajua nguvu za israel

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 месяцев назад

      😅😅😅😅😅😅😅😅​@@modekaijames

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 9 месяцев назад

    Be blessed Israel

  • @Diagomozen
    @Diagomozen 9 месяцев назад +4

    Usiamini jambo hata moja kutoka CNN, MSNBC, NBC, BBC, NYT, ....etc. Hawo wote Niwaongo.

  • @BLACKSUNDAY999
    @BLACKSUNDAY999 9 месяцев назад

    Napenda sn story zako

  • @TuntufyeMwakaluka
    @TuntufyeMwakaluka 9 месяцев назад +2

    Iran Si alisema akishambuliwa ataanzisha vita vip tena

    • @raymrash
      @raymrash 9 месяцев назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣 amesanda...hata ungekuwa wewe huwezi kuendelea kupigana na mtu ambaye umemrushia mabomu mengi na hayajampata alafu yeye kapiga hayazidi ma5 yamekupata

  • @chimnyengeUpdate
    @chimnyengeUpdate 9 месяцев назад +5

    Wa kwanza Leo likes zabgu

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 9 месяцев назад +1

    Israel hatoboi kamanda wa unasusi kajiuzulu karr hivhvo Israel hatoboi aliseme wiki saa hi miezi 7 hatoboi

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 9 месяцев назад

    Haoo ni mashoga tuu mwenyezi mungu azidi kuwalani hao makafili

  • @adamsonmwaisumo6791
    @adamsonmwaisumo6791 3 месяца назад

    Hawa jamaa wanapenda taarifa za uongo

  • @samuelmuthui4699
    @samuelmuthui4699 9 месяцев назад +1

    Walitumiwa silaha zaidi ya 300,unajibu na kombora moja😂😂😂😂. Israel wanaogopa Iran.🇮🇷

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 месяцев назад

      Sio Moja ni 3.. Sasa hujiulizi unaweza ukabeba mashudu au makapi kwenye gunia limejaa na hayo mashudu ukauza elfu 10 gunia, na huyo aliehufadhi dhahabu kwenye kiboksi hio dhahabu ikauzwa mabilion😅😅.. mfano huu ni kwamba unaweza ukatuma mabomu mia 3 ambayo hayana lolote yakadunguliwa na yeye alituma Matatu yaliharibu na yaliiingia kwa kuzima setlite zote 😅 bila wao kujua.. Israel hainaga mbwembwe kama Waarabu bwakifanya shughuli Yao Huwa ni kimyakimya kisha hawaongei ni vitendo tu.. wew niambie lini muisrael alishafanya kitu kwa kufanya maandamano au kutangaza.. kingine walipopiga ubalozi wa Iran pale Syria hawakusema lolote, walipoulizwa hawakujibu ndio Wala hapa😅 lakini upande wa pili mwarabu akifanyaga kitu mmh hizo mbwembwe Sasa mara mavuvuzela , mara maandamano, alafu kivitenda maskini hawana lolote daaaah hii ni huzuni upande mwingine

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 месяцев назад

      Sio Moja ni 3.. Sasa hujiulizi unaweza ukabeba mashudu au makapi kwenye gunia limejaa na hayo mashudu ukauza elfu 10 gunia, na huyo aliehufadhi dhahabu kwenye kiboksi hio dhahabu ikauzwa mabilion😅😅.. mfano huu ni kwamba unaweza ukatuma mabomu mia 3 ambayo hayana lolote yakadunguliwa na yeye alituma Matatu yaliharibu na yaliiingia kwa kuzima setlite zote 😅 bila wao kujua.. Israel hainaga mbwembwe kama Waarabu bwakifanya shughuli Yao Huwa ni kimyakimya kisha hawaongei ni vitendo tu.. wew niambie lini muisrael alishafanya kitu kwa kufanya maandamano au kutangaza.. kingine walipopiga ubalozi wa Iran pale Syria hawakusema lolote, walipoulizwa hawakujibu ndio Wala hapa😅 lakini upande wa pili mwarabu akifanyaga kitu mmh hizo mbwembwe Sasa mara mavuvuzela , mara maandamano, alafu kivitenda maskini hawana lolote daaaah hii ni huzuni upande mwingine

  • @musasaguti4760
    @musasaguti4760 9 месяцев назад +2

    Hili la kujiuzulu kiongozi huyo mbali na kusema ni uzembe uliotokana na kushindwa kufahamu uvamizi wa hamasi lkn pia nadhani linatokana na shambulizi la Irani

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 9 месяцев назад

    Mwandishi uko vizuri maana unaongea ukweli

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 9 месяцев назад +7

    Hawamuwezi irani mbwaa haw

    • @DottoKagoro
      @DottoKagoro 9 месяцев назад +1

      Mbona umekasirika kaka

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 месяцев назад +1

      Mbona panic na bado 😅😅😅

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 9 месяцев назад

      Kwan palestina ilikuwa ndog

    • @Joycenangonga
      @Joycenangonga 9 месяцев назад

      Mpeni maneno yake huyo aelewe israel ni nani hapa duniani

    • @paulvimbamvula9508
      @paulvimbamvula9508 9 месяцев назад

      Israel million 7.....Iran million 88.....Israel small but mighty....

  • @JamalAmr-nn9pm
    @JamalAmr-nn9pm 9 месяцев назад +1

    Mm naona wachambuzi wetu pia hawana uakika wachokisema sababu wengi wanasubiri habari kutoka magharibi wakiongopa wao wanfuata ivyo ivyo wakisifia wao wapo ivyo kwaiyo tuwe na wachambuzi wenye mpango wa kuwa vyombo ambavyo aiegemei magharibi Wala masharik

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 9 месяцев назад

    Mungu wangu

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 9 месяцев назад +4

    Hakuna lolote lililotokea IRAN iko salama kabisaaa Magharibi si tunawajua?😂😂😂

    • @africanQueeny-u7o
      @africanQueeny-u7o 9 месяцев назад

      Ww una ushaudi gan akuna madhala yoyot???😅😅😅

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 9 месяцев назад +1

      @@africanQueeny-u7o wew una ushahidi gani kwamba kuna madhala yoyote Iran?😂😂😂

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 9 месяцев назад

      @@africanQueeny-u7o ndugu hizo ni propaganda za magaribi baada ya Irani kusema wamedunguwa ndege zilizokuwa zinaelekea kushambulia kwa iyo is rail wameona aibu kuzuiliwa shambulio lao

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 месяцев назад

      ​@@MrTop-wj7noCNN usibishane nayo ni chombo kikubwa na kinaona Hadi sisimizi , we mchimba chumvi umekazania et uwongo, Israel hairudigi nyuma Wala ikisema inalipa Huwa ni vitendo , halafu kumbuka nchi zingine Huwa zikifanya jambo mbwembwe nyingi mara maandamano , mara kelele kibao 😅😅 mara mabomu mia 3 😅😅 lakini yeye anakutumia hata 3_4 tu lakini madhara yake 😅 umeona Waarabu walivotulia ! Mbomu enyewe unaambiwa yaliingia na kuzima setlite zote walizotegesha 😅😅 .. wao walifikir watapewa taarifa kupitia setelite matokea yake sio.. hawanaga mbwembwe ni vitenda Tena vyenye adabu 😅

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 9 месяцев назад

      ​@@africanQueeny-u7okwani hao Wana ushahid Gani

  • @BarakaAkech-r9q
    @BarakaAkech-r9q 9 месяцев назад +3

    Iran ilipigua vizuri dana na iliumia sana

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata 2 месяца назад

    Japo tutambue kuwa hii vita ili pangwa na kila siku wanakufwa wayu huko gaza mara watu sitini mara30 kilasiku hadi sasa ni watu wengibwame kufa na bado watakufwa zaidi ukitizama pia lebanoni hadi sasa wana karibia watu elfu4 na vita ndiyo mbichi kabisaaaa mtoa roho🇮🇱 ana Fanya kaxi yake vizuri

  • @Eng2460
    @Eng2460 9 месяцев назад +1

    hivi kwann rais wa israel haonekan sana

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 9 месяцев назад +1

      Israel hainaga Rais ina waziri mkuu tu Netanyahu

    • @Eng2460
      @Eng2460 9 месяцев назад +1

      @@sama-_8368 yupo anaitwa isaac herzog nadhan atakua ni ceremonial leader tu kama mfalme pale uingereza

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 9 месяцев назад

    Apo saw

  • @Mubarak_1000
    @Mubarak_1000 9 месяцев назад +1

    Huwa tunapenda channel yenu kwa sbb ya habari zenu za kweli, hii taarifa ni wongo haina ukweli wowote, tuna watu mpaka Isfahan hakuna shambulio lolote limefanyika

  • @Kagineemmanuel
    @Kagineemmanuel 9 месяцев назад

    🇮🇱 Israel wako vizuli sana na inavo one kana Iran wana ogopa mbona wanaficha mazara ya kipigo

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 месяцев назад

      Saaaana tu Tena Israel Haina hata mbwembwe za maandamano kama wao na hawakutuma mabomu mia 3 kidogo tu muharo 😅😅😅 na wamenyamaza 😅😅😅

  • @SigifridAloyce
    @SigifridAloyce 9 месяцев назад

    Hatare

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 3 месяца назад

    La marekani israel hana uwezo ashalegezwa kwa ushoga

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 5 месяцев назад

    Mashoga watapigwa mpk waishe😂
    Naona waunga ushoga wanaomba Mungu abariki taifa la mashoga.....hapo hawatatulia mpk waachie ardhi ya wapalestina

  • @Hakunamatata_shop
    @Hakunamatata_shop 9 месяцев назад

    mualike @suleiman chanzi broo
    hutojuta uchambuzi wake

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 9 месяцев назад

    Iran ni taifa lenye nguvu kati ya mataifa ya kiarabu yanayoizunguka izunguka Israel. Na ndiyo inafadhiri vikundi vya wanamgambo kwenye nchi nyingine za kiarabu. Ina uwezo mzuri wa kiuchumi unaotokana na visima vya mafuta. Israel ikitaka kufanikiwa, ipige visima vyote vya mafuta, Iran itanyonsha mikono na vikundi inavyovifadhiri vitakosa nguvu kwasababu Iran itashindwa kuvilipa mishahara.

  • @TheBossOdhis
    @TheBossOdhis 9 месяцев назад

    Yes chapa hao kabisa

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 9 месяцев назад

    Yaan wanatengeza mavitu mahali pa kutumia hkn ndo shida inaanzia apo😢😢

  • @FeruziIsa-nc5vo
    @FeruziIsa-nc5vo 9 месяцев назад

    UONGO HUO IZRAEL KAPIGWA. USIDANGA NYIKE NA WATU WA MAGHARIBI.

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 9 месяцев назад

    Icho kinyimbo cha sns ni kikali sana napenda kujua ni nan alikiimba

  • @ammielnzala344
    @ammielnzala344 9 месяцев назад

    Hakuna taifa la kuipiga Israel kwasababu ni taifa teule la Mungu na neno la Mungu linasema Israel wataokoka tena na watamjua masihi wao waliyemkataa, sasa neno la Mungu halishindwi, na kwenye kitabu cha ufunuo pia yohana aliona manabii wawili katika Israel ilikuwa ni baada ya kipindi cha mataifa kuisha, na kama kawaida injili itarudi kwa wayahudi tena, pia hakuna vita kubwa mpaka Mungu atakapoondoa wateule wake, baada ya hapo ndio kutakuwa na dhiki kuu , rudini kwenye Neno la Mungu tupo mwisho wa mambo yote ndio huu.

    • @mohamedmanga8391
      @mohamedmanga8391 9 месяцев назад

      Ndugu yangu pole kasome vizuri kitabu, hili taifa kweli liliteulwa, baada ya kujikita kwenye madhambi likalaaniwa baada ya kufika Canani, liliangamia kabisa, na wala hili taifa la leo halitokani na yakobo, hawa wamejawa na watu wenye tabia ziliangamiza Sodom, walitengezewa makao mwaka wa 1948 na walanisi wenzao, wanatenda dhambi nyingi tena sio wakiristo na wanamtukana yesu wakati ulimwengu wote unamtambua, wamebomoa makanisa na kuwauwa wakiristo huko gaza na wanawatemea mate huko Jerusalem, acha kucheza na Jina la mungu.

    • @mohamedmanga8391
      @mohamedmanga8391 9 месяцев назад

      Tena ukumbuke ni marekani wanapigana na kuwatengezea silaha kama huna habari jua leo kwamba 1948 marekani na mataifa ya magharibi, walitengeneza hili taifa ili waweze kudhibiti mataifa ya kiarabu kwa urahisi baada ya kugundua nguvu zao za mafuta, sasa kwa nini mungu awaache wateswe ulaya karne zote mpaka wazungu wawatumie kudhibiti waarabu.

  • @w4058
    @w4058 9 месяцев назад +10

    Kama kawaida yao hao nyoka wa kimagharibi waongo wakubwa hao Wazayuni

    • @f.a6043
      @f.a6043 9 месяцев назад

      Kama wao ni nyoka na ww utakua ni 👹👈🏽🤣 na kama wao ni wazayuni ww utakua kafiri🤣🤣👉🏽🐸🐸

  • @BarakaAkech-r9q
    @BarakaAkech-r9q 2 месяца назад

    Wewe unajua Iran iliumia kupigua na israeli

  • @davidnyamo6110
    @davidnyamo6110 3 месяца назад

    Ibrahim Rahisi alifariki kwa ajali ya ndege?

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 9 месяцев назад

    ACHENI PROPAGANDA HIZO. ISRAELI HAKUMPIGA IRAN NA KAMA ATAPIGA ATAJUTA....
    HIZO TAARIFA NI PROPAGANDA ZA ISRAELI.

    • @KassimSalumu-fk6yk
      @KassimSalumu-fk6yk 9 месяцев назад

      Israel inataka kusema waongo, marekani na uingereza je

  • @PamelaGodfrey-q9b
    @PamelaGodfrey-q9b 8 месяцев назад

    Vita HAITAISHA HIYO MPAKA MUNGU MWEYEWE NDO ATAISIMAMISHA

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 8 месяцев назад

    Kwanini Iran analeta utani na maisha ya watu yy mda huu anasapot Hamas ambayo ni waarifu

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 9 месяцев назад

    Hawa wamagharibi tunawajua sana wao wanataka kutupangia sisi nin tusikie watawadanganya hao wasio jitambua lakin sie tuanojitambua hatuwez kuviamini vyombo vya habar vya magharibi maana ni waongo wakubwa sana

  • @Ernestlaiza
    @Ernestlaiza 9 месяцев назад

    One love ❤ israel

  • @drackmc_tz1
    @drackmc_tz1 9 месяцев назад

    🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 5 месяцев назад

    Mashoga wenyewe ni waongo sana ,kuna kipindi walituambia wameokoa mateka wote kumbe la.
    Sasa mpk leo km ni wajanja walishindwaje kuwaokoa mashoga wenzao?
    Mateka hao wa mashoga watauwawa tu

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 9 месяцев назад +2

    One love Israel... 🇮🇱🇮🇱♥️♥️

  • @ishakishak8740
    @ishakishak8740 9 месяцев назад +2

    Huyo mchambuzi Ally hakuna kitu hapo

    • @stephenrwaich1078
      @stephenrwaich1078 9 месяцев назад +3

      Sasa kama Hana kitu si uende ukachambue wewe?daah wabongo bana!!

    • @papsmicrocreditcompanylimi1443
      @papsmicrocreditcompanylimi1443 9 месяцев назад +1

      Uyu mchanbuzi ajaegemea sehemu yeyote. Tofauti na Dj sma uwa anaegemea upande wa warabu. Pia lazima mtambue kuwa Israel na mashia wa Irani ni ndugu wote Makafiri wanatishiana lakini hawatopigana

    • @valeriusfelix7379
      @valeriusfelix7379 9 месяцев назад

      Hacha Ujinga, wewe unajua nn?@ ishakishak8740

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 9 месяцев назад

      Shida humu.Wengi ni mashabiki na shabiki kazi yake nikukataa ukweli.Sasa wewe unategemea upewe habari harafu unawasema wanaokupa habari kuwa ni waongo.Ebu tuambie wewe uliyekuwepo kwenye eneo la tukio tueleze nini kilitokea na kombora gani Israeli alilitumia.

  • @AsheriChonya
    @AsheriChonya 4 месяца назад +1

    Dunia inamuhitaji Trump,,amani irejee ht km ni kwa uchache,,Hawa democratic Hawa ni wanadamu kwa muonekano TU,,nafsini ni masatanic legendary

  • @jumannejuma7432
    @jumannejuma7432 9 месяцев назад +1

    siokweli mnafata vyombo vya magharibi

  • @هلالحمدالندابي
    @هلالحمدالندابي 2 месяца назад

    Sasa izrail inaomba Iran asipige mbona habari hozo hamtupi

  • @salimamani6672
    @salimamani6672 9 месяцев назад

    Wapumbabu sana acheni uongo wapumbavu kabsa

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 месяцев назад +1

      Sisi tunaangalia majina tu ya wali wanaokanusha hizi taarifa, utakuta anaitwa Mohamed, salimu, Alli.. so ukiona hivo utakuwa umekata jibu kamili😅😅😅 .. kichapo Irani kimetembea lakini kuitetea kwa kuwa.....😅

    • @salimamani6672
      @salimamani6672 9 месяцев назад

      @@annasolomon9855 Sasa wewe kwa akili yako Israel inaweza wapi pigana na mihiaran unaijua au unaisikia

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 месяцев назад +1

      @@salimamani6672 ni walewale tunawaelewa, 🤣🤣🤣

  • @omarymwaluko9765
    @omarymwaluko9765 9 месяцев назад

    Sijawahi kuamini vyombo vya habari za mashoga na simtokaa niziamin yani niamini watu waki za mashoga haita tokea abadan

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 9 месяцев назад

    IRAN HAWEZI VITA ATA MTUME MUHAMMAD AFUFUKE AJIUNGE NAO, ATAPIGWA NA YEYE.

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 9 месяцев назад

      Sasa hapo kati ya irani na Israeli nani kapigwa ? we limeingia kombora Moja israeli yaliingia makombora 7 hao mashoga wako waishukulu marekani

    • @johannesssamsonambogo4125
      @johannesssamsonambogo4125 9 месяцев назад

      @@Hussein-gx4qu Iran hawezi kaka

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 9 месяцев назад

    Leo ndio umeongea maana siku zote nakuona kama unasimama upande mmoja wa irani il leo nimekuona kama husimami upande mmoja

  • @muhitira
    @muhitira 9 месяцев назад

    Je uzembe wa Israel kwani wanauona leo hhhhh niwazembe tangu zama izoooo

  • @CelestinByamungu-m4b
    @CelestinByamungu-m4b 9 месяцев назад

    Kiukweli izotrifa nizauongo kabida

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 9 месяцев назад

    Wanaona haya kwamba wao walishambuliwa sana na iran lakin wao wakajibu kama wao walivyo mashoga maana shoga hana nguvu ya kupambana na mwanaume rijali

  • @hameedm8361
    @hameedm8361 9 месяцев назад +1

    Kwa taarifa iran jeshi lake ni no.15 dunian isreal 17

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 9 месяцев назад

      Haijalishi muisrael haji peke yake NATO iko nyuma yake Iran yuko mwenyewe kama atasaidiwa itakuwa underground. Waarabu hawapendani kumuka Sadamu Hosen

    • @hameedm8361
      @hameedm8361 9 месяцев назад

      @@MsAggie5 wewe ni mshamba tu huna ujuawalo...washirika wa wa iran ni Russia,china na north korea, pili iran sio waarabu ni persians lugha yao ni Farsi kwa hio ww hujui chochote kinacho endelea duniani baki na bongo yako huko

  • @zebedemirambi3067
    @zebedemirambi3067 9 месяцев назад

    UKIHITAJI KUPIGANA NA TAIFA LA MUNGU ISRAEL🇮🇱 UJUWE UNAPIGANA NA MUNGU PEKEYAKE! IRAN UTASHINDWA TU UTAKE WALA USITAKE! KIVIPI UNAJIITA UNAULINZI WAHATARI NA BOMB ZINAKUFIKIA🤣 IKIWA UNANGUVU WE IRAN UNGESHIMAMISHA HIZO BOMB ZISIFIKE ENEO LAKO😂

  • @husseinkahanju2506
    @husseinkahanju2506 9 месяцев назад +1

    Mbona hizo video hazionyeshi sky hebu post hizo video za mashambulizi ya Israel kwa iran.Iran walipost makombora yao yakienda israel.mbona Israel hawaonyeshi

  • @lucksonsikaona505
    @lucksonsikaona505 9 месяцев назад +1

    Na nyie watanzania niwajinga kabisa ilani ilipigwa vibaya sana

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 9 месяцев назад +1

    Droin tatu kwa droin Mia tatu na, aisee hii ni janja ya nyetanyau ili kurefusha sana migogoro ili asubirie uchaguzi wa marekani, poneo la nyetanyau ni uchaguzi wa marekani pindi trumple akipata urais nyetanyau anaweza kusalimika

  • @hasheemkaz2732
    @hasheemkaz2732 9 месяцев назад

    cnn, new york times, ni vyombo vya kimagharibi obvious wataripot negative impacts towards their counter parts

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 9 месяцев назад

    Htr wa tatu Leo like zng

  • @abubakarishariff8489
    @abubakarishariff8489 9 месяцев назад

    Uwongooo we mkristo tunajuwa 😂😂😂

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 месяцев назад

      CNN sio wakristo ni china , china Haina ukristo 😅😅😅😅 pole 😅😅

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 9 месяцев назад

    Israel alijaribu mifumo ya ulinz ya lkn alivyoona mifumo ni migumu hakurudia Tena na pia iran anatumia mifumo yake ya ulinz nà sio ya urusi

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 9 месяцев назад

    NDIMANA BENJAMIN ATAKI MAONGEZI MEZANI KUWACHANA NA VITA VIKIHISHA NA NYATANYAU KAISHA MADALAKANI😂😂😂

  • @maldiniinvescoltd701
    @maldiniinvescoltd701 9 месяцев назад

    Nyetenyahu ni kama hitler wKati ule aliwatuma jeshi lake kwenda huko chezvirovakia baada yule pandikizi wake leinhard hydrich aliuwawa. Kisasi kwa kila kila mtu mdogo kwa mkubwa ,mama watoto ,majeno zote walke tekezwa na hitler.huko lidice town

  • @Mtangawaziriwatakoya
    @Mtangawaziriwatakoya 9 месяцев назад

    Mindomana huyu jamaa sifatilii taarifa zake anaonekana km nitimu upinde

  • @abelamos-sk1tc
    @abelamos-sk1tc 8 месяцев назад

    HILO ndilo lenyewe wakomeshwe hao

  • @CelestinByamungu-m4b
    @CelestinByamungu-m4b 9 месяцев назад

    Mukitakata kujuwa kama niuongo karibu maratena

  • @BakariNasoro-s6b
    @BakariNasoro-s6b 9 месяцев назад +1

    Huyu ndo mchambuz mzur yuko kati sio yule sma wa upade mmoja

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 9 месяцев назад

      Huyo anaaminishwa na vyombo vya wamagharibi
      Dj smaa yuko vizuri zaidi

  • @EmmyRowland-ir5gh
    @EmmyRowland-ir5gh 9 месяцев назад

    Israel Alitumiwa bomu dogo tu ka testing compared to Iran's more than 300 ballistic missiles 99% failed 🤣

  • @GoodluckMichael-f2p
    @GoodluckMichael-f2p 9 месяцев назад +1

    Mimi nasoma teharani wafrica mnadanganywa sanaa

    • @DeogratiusBanzi
      @DeogratiusBanzi 9 месяцев назад

      Mimi nipo bongo ila najua kuwa israel ajashambulia ila amefanya kama movie ili aonekane yupo imara kivita.

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 3 месяца назад

    Tumeona vifataki tu vimedunguliwa vyote hakuna lolote

  • @Abdulkarimidrissa
    @Abdulkarimidrissa 9 месяцев назад

    Huyu mchambuzi hana chukuwa habari kwa watu walio chini wamangaribi, ndo shida

  • @HassanNtakirutimana-tv
    @HassanNtakirutimana-tv 9 месяцев назад

    Sasa isreal ilitowa wapi satellite ya Iran mbona Iran inasatelite yayo yenyew

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 9 месяцев назад

    Wapumbavu hao wamagharibi hakuna madhala yoyote waongo wametunga hizo picha za mchongo

  • @kakahafaha6148
    @kakahafaha6148 9 месяцев назад

    Kitu cha kujiuliza " Kwanini siku zote taarifa ambazo ni NEGATIVE huwa zinatoka kwenye vyombo vya habari vya magharibi?
    Pia kwanini taifa lolote ambalo linafungamana na magharibi hata lishambuliwe vipi vyombo vya habari vya magharibi hutangaza hakuna madhara?
    Hapa pia kuna changamoto ya vyombo kama hivi ambavyo tunavisikiliza ambavyo pia kazi yake ni kunukuu tu kutoka kwa vyombo vyengine bila ya kuwa na vyanzo vyao kutoka sehemu husika maana kama magharibi inatoa propaganda na wanaonukuu watatoa propaganda pia. Nahisi ingependeza zaidi kama na vyombo vyetu hivi vingalikuwa na wawakilishi baadhi ya sehemu za matukio ili kutuarifu vitu ambavyo vina uhakika.

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 9 месяцев назад

    Kilichopo hapo ni ushwawishi wa magaribi ili Irani akasirike amshambulie kwa sababu ijulikane Irani anaogopa. Hii ni Taarifa za uongo kwa nin pale alipopiga siku ile ile hakutoa taarifa akanyamaza kimya? Sio kweli taarifa hiyo

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 9 месяцев назад +5

    Wewe ni muongo mchambuz wachongo

    • @husseinc
      @husseinc 9 месяцев назад +1

      hakuna mchambuzi hapo anaokotaokota propaganda za west. hakuna kombora lililopiga iran

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 9 месяцев назад

    Kuhusu Israel ni uongo na mkiendelea hivi watu watawazarau

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 месяцев назад +1

      😅😅😅😅 unachotaka ni Irani iweke mbele tu Kila wakati 😅😅 chizi wew kwa hio watu wastangaze kilichotokea mmh mna mambo ya ajabu 😅😅

    • @khalifasaidi7001
      @khalifasaidi7001 9 месяцев назад

      @@annasolomon9855 chizi wewe usiyejijuwa

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 9 месяцев назад

    Manghalib na israel wote ni waongo

  • @sekrommbaga6234
    @sekrommbaga6234 9 месяцев назад

    hakuna wanamgambo iraki wanaopinga serekali huo ni uongo

  • @juliannjunwa7857
    @juliannjunwa7857 9 месяцев назад

    Iran angalia, hurumia watu wako.usichezee watu hawa.

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 9 месяцев назад

    Madhara yap mbona hamsemi

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 9 месяцев назад

    Km amerusha kombora c apelekewe kombora mnasubiri nn ss

  • @ahmednuhu2386
    @ahmednuhu2386 9 месяцев назад

    sasa kama ndege iliyo beba bomu inakadiriwa kuwa umbali wa 200km na iran wanatumia bavar 373 yenye uwezo wa kudetect flying oject umbali wa 400km imekuaje hiyo ndege haijawa detected? ni S300 bado range ya bomu kurushwa ingekua detected vizuri sasa inaonekana kuna mmoja anaficha ukweli yawezekana israel alishambulia akadunguliwa au hakushambulia kaspread propaganda au iran kashambuliwa anaficha madhara ila kwa kauchunguzi kadogo naona israel kuna ukweli anauficha nasio kawaida yake

  • @CelestinByamungu-m4b
    @CelestinByamungu-m4b 9 месяцев назад

    Iyoniuongo