Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Je suis de la RDC vraiment bravo l'artiste Awilo pour ta musique ... le folklore tanzanien c'est la même folklore que les notre .... félicitation c'est l'Afrique qui gagne
Wamwinuka...... Salute kwenyu,
Vijana. Mpo vizuri kwa sababu. Mnayapiga maisha yeti yakila siku
That’s dope song I love the sound of Africa
Hadi machozi yananitok mungu awape maisha matefu
Hongereni. Wasafwa. Wetu
Nawapenda Hawa Mimi nipo nnje ya tz lakin sio msafwa ila nikiambiwa weka nyimbo za afrika naweka huu haki love you guys
Sema hizi ngoma za zaman ni mzuri sana
sio zamani zipo Saiz
Nakubali kazi powa sana
Hawa jamaa ni machine za kazi sana Wana vipaji vikibwa
Hongereni sana wamwiduka
Hawana mpinzan hawaaa❤❤
Wasafwa from Mbeya nomaaa
Wasafwaaaaaaaaa hoyeeeeeeeeerrrrr
Wakali sana big up
Wamwiduka nakukubali sana dogo uko vizul mungu akutangulie kwenye mafanikio yako
Following from Kenya you guys you are mwaaaaaauuuuu.....what a talent!!!
Wale wasingeli wajifunze kitu kwa hawa watu ili waache kuimba matusi kazi nzuri
Mpo vizuri sana
Hawa jamaa wanajuwa sana wapewe 🎉🎉🎊👏✊
Mmetisha sana
Salamu ya kisafwa " MWAGONA unajibu MWAGONA
Hao makamanda nimewakubali sana
Love from Rwanda !🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Thanks for watching
Safi sana dogo mko vizuri sana
Nomaa
Nawakubari sana wasafwa wenzangu big up sanaaa
Jamaa wako juu sana
Nawakubali sana kakazang
Wakali sana
Hongera kazi inajieleza
DadA mtangazaj uko vzr sana
Ngoma tamu sana nakubali❤❤
Aisee miamba inawakilisha vyema sana. Mbeya hoyeee!
Nazikubali sana hizi ngoma za wasafwa
Uwiiiiiiiiiiiiiii pambeye
Awesome ❤❤❤❤
Nipo USA sasa ndo ninawapa vizuri ma brother wangu hao nawapenda mno
Nazikubali sana nyimbo za asili jmn daaah
Rhythm imezidi speed hivyo kuharibu.
Kazi safiiii❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤nakubalai +254
Jana sio powaaa
Vijana wapo vizur
Mnaweza sana mnanikanga
Jamaa zangu mpo juu hamuongopi hii ni asili
Jamn kaka wa mwiduka umeoa
Hatari nawapenda sana❤
Fanyeni collaboration na rayvanny
Nc"
Naomba namba zenu
Yaasili ni thahabu kubwa😂 3:19
Nice song
Ahsante kwa kuitazama
Asili ni tamu jamani daaaa
Kwanin hakuna comment nyingi ???
dogo wa vibuyu yuko wapi jamani
Tunawapataje ktk shughuri zetu za sherehe
Hv Ngoma ya awilo au ya awa
🙏🙏🙏
Yani Mimi nikizikuta nyimbo hizi naweza nikakesha naailisha safali
😊
Shinzaa
Hawa walimtuoa yule kijana kwa tamaa za moyo
Mshinza wanawetu wa khaya
Vijana was elf atuchezi mbali
Wasafwa hoye
Nawaelewa Sana nyie jamaaa
Asante ila zile cherewa zipo wapi?
Hao jamaa nawakubari kinyama
Wamwiduka moto wa kuotea mbali Hawa vijana wa kisafwa
jamaa wanajua sana, tunatakiwa kufanya nn hili tusupport hiki wanachofanya?
Wanapatikana kirahisi tu Jana walikuwa mjini Dodoma
Hawa ndugu zangu nawapendaga mno
Alooo
Msiwe mnamuacha dogo wa tunguli mmeanza kutukera sasa huyo dogo anajua na tena
Hawa jamaa nomasana