Ni mambo ya utamaduni huwezi kukataa na tuheshim mawazo yao muhim ni kua wanayo dalili kua kuna amri imekuja kuwafundisha hili na hivi ndio imetakiwa,kama hapana basi tuombeane kheri ili Allah atuweke ktk njia sahihi
Waislamu tunapenda kupingana kuliko kua kitu kimoja na ndio Mana tunatawaliwa na mataifa ya magharibi, hebu natukae pamoja ili tuambizane lipi sahihi na kila mwenye Hadith na aya atoe .maana watu wa maulidi na dhikir wanasema wako sahihi Sasa wakati apo Kuna watu wanapinga. Je sisi tunaofatia nyuma tuwasikilize Nani?
Kioo chetu ni mtume (s.a.w) alilo lifanya tulifanye asilo lifanya tusilifanye , UISLAMU NI RAHISI ILA UGUMU TUNAUTAFUTA, sasa km hayo wayafanyayo hayamo ktk Uislamu.
Wallahy mtihani mkubwa. Sisi warithi mtume wapi alifanya mtume ama maswahaba zake. Tutakwenda kuulizwa jamaa . Subhanallah. Dhikri nikumtaja Allah Kwa majina ya 99
@@أبوفيصل-د3ش nikwamba mtajeni mola wenu hali yakuwa mmekaa au mmesimama, kimyakimya au kwa sauti . Pia kumsifu mtume ni ibada kubwa sana kwan allah mwenyewe amemsifu sana katika surat alkalam sasa naomba uniambie ubaya au upotovu ni upi apo
@@abubakarzamir6276 Hizo sio hoja hizo ni shubuha,Mim sisemi juu ya kumtaja Allah(Dhikri) Wala kumsifu mtume?Nazungumzia huo mkusanyiko wenu hapo Na hiyo kayfiyyah yenu hiyo Mmeotowa wapi?Dhikri ni Ibada na inafanywa kwa kimfuata Mtume namna alivyofanya haifai kujitungia.Si kukusanyika huko kwenu ni upotevu waz kabisaa na hayo myafanyayo hayakuthibit hata moja na maneno yenu ya urongo mtupu Na sie waislam twajua Kuwa uongo ni ktk Madhambi makubwa.Lete hojja au athari ya Maswahaba wap walikusanyik Wakaanza Kuimba imba na kukohoa kama wanyama Kama nyinyi Masufi Ambao ni Kama Mbwa anavyobweka ??Allah awaongoze ktk haqq

Tumbatu home duuuuh vitu vya nyumbani. Mfunguo sita marahii Inshaalla natinga
Maxoweya yamewafikisha hapo mtihani wako nyuma sana bado
Nimewapenda wazee
Nzur sana huwa nakosheka sn
Hii ni ibada ama sherehe??
Twende weeeee
Wanga wamo humo humo😅
Dunia sasa imekuwa mtihani kila kitu bidaa
Sio ujinga sinatajwa aya za allah
Unachanganya aya za Allah (s.w.) michezo isio ktk dini?
yaa shekhe Abdullah qadril
Allah Barik
Ni mambo ya utamaduni huwezi kukataa na tuheshim mawazo yao muhim ni kua wanayo dalili kua kuna amri imekuja kuwafundisha hili na hivi ndio imetakiwa,kama hapana basi tuombeane kheri ili Allah atuweke ktk njia sahihi
Kiufupi tusihukumiane duniani tusubrie iyoo sikuku ifike
Manshallah
Hawa ni wamasai ama ni dini gani hii??
Mashallah
Mashaallah
Mashallah,
MashaAllah
Masha Allah
Duuu
Uislam huu ulikuwa enzi za ujahilia mambo haya hakuna kwenye uislam ni upungufu wa elimu ni finyu hawana elimu
Kweli kabisa
😂😂Kwahiyo unamaanisha elimu ya sasa ni kubwa kuliko ya waliotutangulia..?? Dah mawahabi mtapasuka kwa chuki.. Acha sie tuendelee kujichotea mibaraka
Dinii ndio ile ile ila nafsii zetu ndio tofauti tu uharam bidaa ndio zilozotawala kifuani mwetu!!!
Waislamu tunapenda kupingana kuliko kua kitu kimoja na ndio Mana tunatawaliwa na mataifa ya magharibi, hebu natukae pamoja ili tuambizane lipi sahihi na kila mwenye Hadith na aya atoe .maana watu wa maulidi na dhikir wanasema wako sahihi Sasa wakati apo Kuna watu wanapinga. Je sisi tunaofatia nyuma tuwasikilize Nani?
Kioo chetu ni mtume (s.a.w) alilo lifanya tulifanye asilo lifanya tusilifanye , UISLAMU NI RAHISI ILA UGUMU TUNAUTAFUTA, sasa km hayo wayafanyayo hayamo ktk Uislamu.
Atr
Nyy fanyeni uzushi tu ktk dini.Allah yupo.
Mtihani kwa kweli
Mtihan gani
Wallahy mtihani mkubwa. Sisi warithi mtume wapi alifanya mtume ama maswahaba zake. Tutakwenda kuulizwa jamaa . Subhanallah. Dhikri nikumtaja Allah Kwa majina ya 99
Somu watu wasome dini hii ni ujahil
ruclips.net/video/0TtuuMjFvNo/видео.html
Da
Wapo ktk upotevu wao.
Wapo katika haki
@@abubakarzamir6276 leta dalili.Kama hayo pia yamethibit au ni ktk Dini?
@@أبوفيصل-د3ش nikwamba mtajeni mola wenu hali yakuwa mmekaa au mmesimama, kimyakimya au kwa sauti . Pia kumsifu mtume ni ibada kubwa sana kwan allah mwenyewe amemsifu sana katika surat alkalam sasa naomba uniambie ubaya au upotovu ni upi apo
@@abubakarzamir6276 Hizo sio hoja hizo ni shubuha,Mim sisemi juu ya kumtaja Allah(Dhikri) Wala kumsifu mtume?Nazungumzia huo mkusanyiko wenu hapo Na hiyo kayfiyyah yenu hiyo Mmeotowa wapi?Dhikri ni Ibada na inafanywa kwa kimfuata Mtume namna alivyofanya haifai kujitungia.Si kukusanyika huko kwenu ni upotevu waz kabisaa na hayo myafanyayo hayakuthibit hata moja na maneno yenu ya urongo mtupu Na sie waislam twajua Kuwa uongo ni ktk Madhambi makubwa.Lete hojja au athari ya Maswahaba wap walikusanyik Wakaanza Kuimba imba na kukohoa kama wanyama Kama nyinyi Masufi Ambao ni Kama Mbwa anavyobweka ??Allah awaongoze ktk haqq
Upotevu upi
Upumbavu huu utaachwa lini Tanzania?
Daimond na kiba sio wapumbavu
Upumbavu huu utaachika pindipo ww mwerevu utauondosha
Huu upumbavu utakwisha in sha Allah, sijui wameitoa wapi?
Huu upumbavu utakwisha in sha Allah, sijui wameutoa wapi?
Hawa hawanakhabari na swala na hio kurukaruka ndio ibadakubwa kwao
ruclips.net/video/0TtuuMjFvNo/видео.html
Lakini wajuwe tu kuwa kurukaruka sidawa ya ulimbo.
Hawasali au
Kwa fikra zako mbovu
أهل الطرق خانوا أولاد المسلمين