00165 Maulid in Tumbatu Island, Zanzibar, Tanzania

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 55

  • @AbcAbc-ql6ye
    @AbcAbc-ql6ye 5 лет назад +2

    ماشاء الله تبارك الرحمن حفظكم الله ورعاكم وصلي اللهم وبارك على نبينا وشفيعنا محمد وعلى أله وصحبه وسلم

  • @alexandreinacio8075
    @alexandreinacio8075 2 года назад

    Mash allah

  • @samarabboudi9175
    @samarabboudi9175 7 лет назад +2

    Nimekumiss sana kwetu wallah. Love. tou Tumbatuh

  • @יוסףעיסא-ב9ז
    @יוסףעיסא-ב9ז 5 лет назад +1

    ما شاء الله هاذ ذكر ممتاز بوركتم اسيادي

  • @bahariyatibanaduaaduaniiba6120
    @bahariyatibanaduaaduaniiba6120 4 года назад

    Mashallah

  • @dahirsayed2087
    @dahirsayed2087 4 года назад

    Usihukumu kabla hujahukumiwa mungu pekee ndiye mwenye Kujuwa ukweli

  • @yanikdabo2137
    @yanikdabo2137 5 лет назад

    Swallallahu alayhi wasallam allahu atuhifafadhi inshallahu

  • @amourmakame3338
    @amourmakame3338 5 лет назад

    Masha Allah

  • @omertrkysmnl8019
    @omertrkysmnl8019 4 года назад

    Maşallah

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 4 года назад

    Wazee hongereni

  • @dkmasengamrisho912
    @dkmasengamrisho912 6 лет назад +2

    Hapo sasa wamechizi kwa mahabat ya mola wao tuchizi pamojanao haya jalajalu jalalu jalajalu

  • @othmanhaji1832
    @othmanhaji1832 4 года назад

    Safi sana

  • @Kalaharidesertstorm
    @Kalaharidesertstorm 5 лет назад +2

    Hii chakacha noma mtumeee mtume twendeee

  • @ruusal4777
    @ruusal4777 5 лет назад

    Goma linamzuka kifua kinarindima apa nacheza uku nimekaa

  • @dkmasengamrisho912
    @dkmasengamrisho912 6 лет назад +6

    Wamekuwa wenda wazm kwa ajiri ya mahaba ya mtume twende pamoja nao mtumeewe mtme mtumewe mtumee

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 года назад

    Bidaaa hizo

  • @sabringwal3079
    @sabringwal3079 4 года назад

    Soma kwz halafu ndoule hoja yko iyo

  • @saidchinunga6801
    @saidchinunga6801 7 лет назад +1

    Dr sulani

  • @destiny4life439
    @destiny4life439 6 лет назад +1

    tuuuuucheze kama ngamia wa mtumeeeeee

  • @chamog5619
    @chamog5619 3 года назад

    Lala tu wewe

  • @destiny4life439
    @destiny4life439 6 лет назад +1

    kama huna kifua ondoka usichezeee

  • @Kalaharidesertstorm
    @Kalaharidesertstorm 5 лет назад

    Jallajalalu jalla kkkkk

  • @mustayoo
    @mustayoo 6 лет назад +2

    dini gani hawa mbona sielewi.sababu hata mtume muhammad akiwaona atawashangaa sababu hajaleta mafundisho haya

    • @hamudmuhammed536
      @hamudmuhammed536 5 лет назад

      we chizi mtume atakushangaa ww usotaka kujua umuhimu wahiki kitu kasome ww mpumbavu twarika ni dini tena yahaki kabbisa soma kwanza usilete hoja na maulamaa utapotea ww

    • @jumaakhalfan485
      @jumaakhalfan485 5 лет назад

      Huyo jamaaa Yenu Mohmmad Abdul wahab amewachafua mpk mnanuka

    • @jumaakhalfan485
      @jumaakhalfan485 5 лет назад

      @Amiri Khatibu Wahabi ni wapumbav

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 3 года назад

      @@jumaakhalfan485 Muislam kumtukana Muislam Mwenzie Haifai kwa Wote Mnataka Laailaha ILLALLAH . Kufurahi Hakujakatazwa cha Muhimu Hawatukani na hiyo Siyo IBADA bali ni Furaha kwanza Wanafanya Mazoezi, pili UMMATI MUHAMADI Wamekutana Kwa Wema Wakifurahi Wala Siyo IBADA ya SWALA. ( MTUME MUHAMADI SAW Hakutumia Gari wala Choo cha ndani wala tairizi wala brabara za lami) Siyo kila jambo MTUME MUHAMADI SAW alilileta bali Ni Kujichunga na Mabaya. Haya tuambie Kipi Kibaya kimefanywa?! Wametukana Mtu? Hawaswali? Wamemsifu Shetani?. Waacheni Watu Wafurahi Cha Muhimu Hawajamkufuru MOLA Wao.

    • @froma3732
      @froma3732 2 года назад

      Kwa taarifa waulize walimu wenu wamesomeshwa na nani ni hao uneuliza dini gani ndio walowatowa kwenye giza

  • @albassamjjamali9205
    @albassamjjamali9205 6 лет назад +1

    Whoohuuuuuu mtume ewe mtume hahahah watu kwa bidah maana ata uyoo mtume gana wanomfata

    • @msallamahmed8064
      @msallamahmed8064 5 лет назад

      Watumbatu wanashangilia k’itumbatu

    • @jumaakhalfan485
      @jumaakhalfan485 5 лет назад

      ww unachembe chembe za uwahabi

    • @jumaakhalfan485
      @jumaakhalfan485 5 лет назад

      unatak afuatwe baba ako

    • @abubakarzamir6276
      @abubakarzamir6276 4 года назад

      Yani watu wasaiv elimu zetu mtihani mtu atakwambia hii bidaaa ila nyumban kwake kuna bonge la tv anaangalia katuni na kaswida za miziki

    • @suleimansaidsalim6455
      @suleimansaidsalim6455 3 года назад

      Wewe abubakari zubeir unajuwa maana ya bidaaaa wewe.

  • @wolfhunter9410
    @wolfhunter9410 4 года назад

    hakuna ibada ya kukohoa

  • @suleimansaidsalim6455
    @suleimansaidsalim6455 3 года назад

    Huu si uchizi

  • @hajikali9122
    @hajikali9122 5 лет назад

    Soma kwanza co utoe hukmu ya bidaa au laa wakati kutia udhu wk pia shida

  • @zahorrashid5459
    @zahorrashid5459 4 года назад

    Hahahaha sjajua km hii IMO ktk diniyetu au ni bidaa tu

    • @hamidrashid819
      @hamidrashid819 3 года назад

      Acha kuhoji vitu visokua na msingi kwani kila kitu lazim kitajwe ndani ya dini wee vip bas uspande usafir ata wa gar man haijtajwa .

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 3 года назад

      @@hamidrashid819 bidaa hizi nawe

    • @hamidrashid819
      @hamidrashid819 3 года назад

      Si kila kitu kama kitajwe kwenye dini moja kwa moja wee angalia athari yake iko wapi na je kinaathir ktk din ndo uhoji mamb mngin so kupigshan kelel wee

  • @salummwalim4618
    @salummwalim4618 4 года назад

    Huu wote Ni uzushi hakuna ibada kama hii ktk dini ya uislam ما أحدث في أمرنا هذا ما ليس منه فهو رد