SHEKH WALID AP0KELWA KWA DHIKRI NZITO NA MASHEH KUTOKA ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 145

  • @saidothman2521
    @saidothman2521 4 месяца назад +1

    Mashaalla Mashaalla wallah Sheikh walid Allah akupe qauli thabit wewe ni mtu wa Mungu sikutegemea kama ile tunzo nawe ungeweza kutunza hili ni funzo kubwa nimepata katika maisha yangu Alhamdulilah Allah akujaze kheri pamoja na sisi waislaamu wote kwa ujumla Amin

  • @taimurali3718
    @taimurali3718 4 месяца назад +2

    MashaAllah Allah amjalie ustadh wetu umri twaweeel

  • @3siblingsvlogz
    @3siblingsvlogz Месяц назад

    MashaAllah MashaAllah

  • @abeidabdullah6048
    @abeidabdullah6048 2 месяца назад

    MahaaAllah

  • @FatemaA-ov5ue
    @FatemaA-ov5ue 4 месяца назад +1

    Mashaallah mashaallah

  • @khamissaid5525
    @khamissaid5525 4 месяца назад +3

    Mashallahhh hawawametulia kwenye dhikriii kwakweli

  • @nassirhamad9407
    @nassirhamad9407 4 месяца назад +3

    Allah atuongoze na awaongoze na wao

  • @HhRt-m5z
    @HhRt-m5z 4 месяца назад +1

    Mashallah Allah awahifhi viongozi wetu kwaujumla

  • @IssaMangala-j5e
    @IssaMangala-j5e 4 месяца назад +9

    Wana twariqa hawa hufanya vitu kwa elimu masha Allah Tabaaraka

    • @z34-kp9qq
      @z34-kp9qq 4 месяца назад

      Nini maana ya twariqa

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 4 месяца назад

      Elimu ipi?

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 4 месяца назад +1

      Huo ni ujinga na upumbavu na wala si elimu.
      Waliokuwa na elimu masahaba waongofu na wema waliotangulia hawakufanya hivyo abadan

    • @IssaMangala-j5e
      @IssaMangala-j5e 4 месяца назад

      Tatizo lenu nyinyi hamuulizake mambo ambao hamjui na hali yakua ni makosa kupinga vitu ambavyo huna elimu navyo
      Na kwa taarifa zako elewa dalili inatolewa kwa njia kumi na moja (11)
      Unauliza maana ya twariqa
      Wewe hufaamu ya kwamba twariqa maanayake ni njia?

    • @MohammedBakari-pn9yg
      @MohammedBakari-pn9yg 4 месяца назад

      Huo ni ujinga mtume hakufundisha kabisa hayo mambo ...badiliken acheni kuingiza vitu ambavyo havijathiti ktk dini​@@IssaMangala-j5e

  • @DullahOmary-j3v
    @DullahOmary-j3v 4 месяца назад +1

    Huyo ndio shekh wa mkoa wetu allah atuwekee

  • @AdmiringManatee-wo2cf
    @AdmiringManatee-wo2cf 4 месяца назад +2

    Mashallha 🎉❤

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 4 месяца назад +3

    Mashaallah ilikuwa kaswaida yangu mmenikumbusha mbali

  • @steppingstone4ss469
    @steppingstone4ss469 4 месяца назад +2

    Takbeer

  • @ashrafkhamis1051
    @ashrafkhamis1051 4 месяца назад

    MashaAllah

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908 4 месяца назад +1

    Mashallah

  • @chnkaikui4280
    @chnkaikui4280 4 месяца назад +1

    haya majmb huwezi kuyaelewa mpk uwe mwana twariqa tu ndo utajua lkn km we hujakaa na mawalii wa allah vitu km hv utaona ajabu ukitaka kuyajua kawasome mawalii wa mungu utayajua haya

  • @fatmamansour2764
    @fatmamansour2764 4 месяца назад +1

    Mashaallah

  • @RazakiMaulidi
    @RazakiMaulidi 4 месяца назад +1

    Mashallah Raha sana

  • @zakariasuleiman4113
    @zakariasuleiman4113 3 месяца назад

    Raha jamani tu mashallahu

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 4 месяца назад +1

    eti masha Allah!!eti masheikh!!watu wamevaa vi tisheti vya kuchezea gofu!!wanacheza kama wapo harusini!!?hawajitambui,halafu mwawasifu eti masheikh!!!???

    • @RajabAdam-p4s
      @RajabAdam-p4s 4 месяца назад

      Ebu ww huvaaj tukuite shkh hayo n mavaz wamctr mwili ww hata kuctr mdomo wako umshndwa

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 4 месяца назад

      Ukitukana unapata faida gani

  • @abbasabubaker5152
    @abbasabubaker5152 4 месяца назад +1

    Bidaa nzur hiiii,,, neno la sayydna omar bn khatwab

  • @fahadsaid3939
    @fahadsaid3939 4 месяца назад

    Mashaallah

  • @shaibchat8054
    @shaibchat8054 4 месяца назад

    Nawapenda sanaaa wallah

  • @user-qe7yk2xr8y
    @user-qe7yk2xr8y 4 месяца назад

    S. A. W

  • @CROSYJWENTY
    @CROSYJWENTY 4 месяца назад

    Liilah tqbr

  • @abdillahirj8237
    @abdillahirj8237 4 месяца назад

    mashallahu

  • @neroproonline3765
    @neroproonline3765 4 месяца назад

    Nice

  • @Faizasaid-on9re
    @Faizasaid-on9re 4 месяца назад +1

    Hyo nimaneno mazur ni dhikr tu kutajwa Allah namtume wke nahuyo aliekaribishwa nishehe wamkoa wa daaa yupo vizur huyo kwaelimu Allah atuongowe na sisi

  • @turkkz9472
    @turkkz9472 4 месяца назад +3

    Hakuna dini ya kuimba imba

    • @makamekhalfan5968
      @makamekhalfan5968 3 месяца назад

      dini ya kutumia smart

    • @zakariasuleiman4113
      @zakariasuleiman4113 3 месяца назад

      Unamaanisha dini hii yakiislam ama Ile nyengine ya kiwahabi

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 Месяц назад

      ​@@zakariasuleiman4113 hakuna nyimbo kwa dini ya kiislamu, hiyo bid'a

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 месяца назад

    Mambo mazito haya si mchezo, Karb Mgeni

  • @BakaryOmally
    @BakaryOmally 4 месяца назад +1

    Mmenikumbusha vitu vitamu naitwa iddi salmin wa ukongoroni nikiwa msata pwani kwa sasa nawapata

  • @BakarAliy
    @BakarAliy 4 месяца назад +5

    Jamani anapotajwa mungu tuheshimuni anapotwajwa daimondi mbona mnasifu

    • @Mufti-g3x
      @Mufti-g3x 4 месяца назад

      Na hawajawahi ki comment chochote asante kwa kuwaamsha wasiojijua

    • @HusnaSalum-p1q
      @HusnaSalum-p1q 4 месяца назад

      Hajitambui ila siku ya kiyama watamlilia mtume wetu sijui kilichowapotosha mpaka kumchukia kipenzi mahamad pole yao

    • @rajabumsuya-hg8jd
      @rajabumsuya-hg8jd 4 месяца назад +1

      Mungu anatajwa hivyo? Mtu anaemsifu diamond ipo siku ataacha kwasababu atajua kua mziki ni dhambi, ila hawa hawatoacha uzushi huu kwasababu wanajua ni dini na wanajua hapo wanapata thawabu ndio ubaya wa bidaa wallah swahaba wangekua hivi sisi dini isingetufikia..Yan kukohoa na kunguruma ndio katajwa Allah hapo? Eeee muogopeni Allah jamaa

    • @Mufti-g3x
      @Mufti-g3x 4 месяца назад +1

      @@rajabumsuya-hg8jd hivi wewe Allah kakupa kibali chakubainisha naani mkosefu na Nani muongofu ? Mbona mnachukua mamlaka ya Allah hivi wewe unaijua hatma yako na hatma ya wengine? Allah anasema Inna llaha yahfiru dhuba jamiaa vipi unapingamizi ya hili? Sasa mbona unahukumu watu au ndio nyinyi halif taarifu "pinga ili upate umaarufu"

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 4 месяца назад

      ​@@rajabumsuya-hg8jdwacha kutetea ujinga wewe

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 4 месяца назад

    ,,,,,na kutoa sauti mfano wa Kikorombwe!!!

  • @haidarngoyogo-wi8wu
    @haidarngoyogo-wi8wu 4 месяца назад +1

    Mkamilifu ni allah tuuu wewe unayejiona upo sahihi basi endelea na itikadi yako msibezane

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 4 месяца назад

    Wallah hiii ibada hii naitiliya shaka tena ninamashaka makubwa na ibada ya namnahii mwenyew kujuwa kujuzu kwake ibadahii aje atuelimishe halafu niulize kwani hawa ndiyo masufi ama??

    • @Mubarak-e6p
      @Mubarak-e6p 4 месяца назад

      Nam ukisikia Masufi wapuuzi ndio hao Akhiy upuzi wao ndo huo na mwengine.

    • @a.katunzi5815
      @a.katunzi5815 4 месяца назад

      Masufi ni nani?

    • @amanisaidi9348
      @amanisaidi9348 4 месяца назад

      Upuzi wao ni upi kwn anatajwa nani hapo

    • @amanisaidi9348
      @amanisaidi9348 4 месяца назад

      Some kwnz kabla y kuchukua kitu

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 4 месяца назад

      @@amanisaidi9348 nisome nini hapo nisome kukata viuno

  • @jamuhurialiwazir4685
    @jamuhurialiwazir4685 4 месяца назад

    Mapenzi makumbua saana
    IshaAlha

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 4 месяца назад

    Ni ujinga na upumbavu, hapo kuna mijitu hata kusali hawasali ila kufanya uzushi huo ndo wanajihesabu wanafanya ibada kubwa kuliko sala yenyewe.

  • @abuusaalimalmasasiyyu9421
    @abuusaalimalmasasiyyu9421 4 месяца назад

    Allahu almustaan kumbe mambo haya yapo tu kweny huu ulimweng wa mwangaz wa sunna 😂😂 huruma kweel majitu yanazeekea kweny uzushi na twaiqa zisizokua na mafundisho sahih

  • @AllyHozza
    @AllyHozza 4 месяца назад

    hakuna ibada yoyote apo ibada Gani Haina mtume wake

  • @JumaHashim727
    @JumaHashim727 4 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Twahamwela-ch5lz
    @Twahamwela-ch5lz 4 месяца назад

    Eheeeeeeeeeeee!!!!!!! Doh mambo matamu mashaallah

  • @turkkz9472
    @turkkz9472 4 месяца назад

    Hakuna dini ya namna hiii somenii jamani

  • @alisharif570
    @alisharif570 4 месяца назад

    Sio Kila kitu upewe hadithi na dalili

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 4 месяца назад

    Hakuna ibada ya kukohowa

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 4 месяца назад

    Hawa wote wanaocheza hawafai kua mashahidi .wanaume wanacheza kama wana wake utadhani wasenge

    • @a.katunzi5815
      @a.katunzi5815 4 месяца назад

      Adabu. Sitaha. Tafuta mwalimu.

    • @thamratysuleiman3053
      @thamratysuleiman3053 4 месяца назад

      ​@@a.katunzi5815.mtume saw hakufanya dhikri kama hii ya kukohowa na kucheza,hhhh.upuuzi huo

    • @dullnach2310
      @dullnach2310 4 месяца назад

      Kama hawa wasenge basi Allah ashushe laana kwa mkono wako uloandika na inshalwah mana mmezidu​@@a.katunzi5815

  • @turkkz9472
    @turkkz9472 4 месяца назад

    Hakuna mtume aliimba someni

  • @Samsumah
    @Samsumah 4 месяца назад

    Tuache utani ndugu zangu dhikir ni nini? Dhikir ni ukumbusho, ukumbusho wa kumtaja Allah lazima kuwe na athari ya dhikir unayo ifanya mtume wetu ( 3alyhi swalaat wa ssalaam) katuambia iwapo kuna kundi la watu wanamtaja Allah malaika wanawazunguka na utulivu unawatawala kupiga mfano mtu anaefanya dhikir ya kumtaja Allah, na kusema ya talif, ya latif , ya latif ndio hili ni jina zuri kati ya majina ya Allah ila kumuita tu Allah ya latif, ya latifu haingii akilini , mfano unaita ya latif , Allah anaitika naa3m ya abdi wew umekazana tu ya latifu badala umuambie unachotaka akupe umekazana tu ya latifu, hii ni mfano unamuita mtu kwa jina lake salma anakuitikia naam wew umekazana tu salma, salma, huyu mtu atakereka tu je Allah unahisi hatokereka? Amekufundisha kufanya dhikir vingine wew unafanya vile utakavo Allah atuongoze

  • @RajabAdam-p4s
    @RajabAdam-p4s 4 месяца назад

    Mnaumia na watu kumpokea kpenzi chao mtume alpokelewa na twala al badru na dufu ndan hawa wamchagua dhkri we una chukia

  • @abuubakarmohd7532
    @abuubakarmohd7532 4 месяца назад

    Hawa wagonjwa au

  • @FahdIbnyussuf
    @FahdIbnyussuf 4 месяца назад +1

    Upotevu mkubwa masufi biddaaa ndo jambo lenu

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 4 месяца назад

      Wewe una bidaa kama zote umezikumbatia tatizo hujijui tu kiburi tu hasad ndo kinawasumbua masalafi

    • @FahdIbnyussuf
      @FahdIbnyussuf 4 месяца назад

      @@alhimnamussasaid3619 UJEURI WANAO WATU WA BIDAAA SIO MASALAF NA UKIWA UNATAKA UNADAI UNAMPENDA MTUME BASI KAA NYUMA YAKE UMFATE USIMTANGULIE MKAENGEZA MAMBO KATIKA UISLAMU YALIOKUA HAYAJAFUNDISHWA WEWE UNACHOTAKIWA USIWAFUATE AOO MAKHABITHI MASUFI UTAPOTEA NJIA AKHYY ZINDDUKA.

  • @AliAchimoAchimoAlifa
    @AliAchimoAchimoAlifa 4 месяца назад

    Masheikh WA dufu 2 maulid

    • @abubakarmustwafa-lg8fe
      @abubakarmustwafa-lg8fe 4 месяца назад

      Wewe Wala usihangaishwe na ya wengine,fanya lililo Sahihi kwako,kwa unavyoona na kwa jinsi ulivyosomeshwa....Ikiwa wawaona wao ni makafiri,basi PEPO na MOTO si kazi yako kuvigawa

  • @aswabikimaro3033
    @aswabikimaro3033 4 месяца назад +1

    Kumbe huu wimbo ni dhikiri nilikuwa sijuii...afu imefundishwa wp hii dhikir wakt wa kumpokea kiongozi...anaejua anipe hadithi au dalili

  • @SabrinaYasin-q6q
    @SabrinaYasin-q6q 4 месяца назад +1

    Tumia hekma ktk kueleweshana

    • @nassirhamad9407
      @nassirhamad9407 4 месяца назад

      Hekima ni ipi sasa hapo katika Upuuuzi huooo

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 4 месяца назад

    Huoni rahaaaaaaa!

  • @ilhamhaji8650
    @ilhamhaji8650 4 месяца назад

    Allah atuongoze na awaongoze katika HAQ
    Maana huku kujichoocha ni mtihani sana hadi huruma mtu akitoka Koo lamuuma . Je hii ni dini yakuchoshana? Allahu mustaana

  • @jynajyna5835
    @jynajyna5835 4 месяца назад

    Hivi kuna swahaba yeyote alicheza hivi mbele ya Mtume sallallahu alayhi wasallam

    • @z34-kp9qq
      @z34-kp9qq 4 месяца назад

      Mtihan ndugu yangu!!

    • @jakuabdull34
      @jakuabdull34 4 месяца назад

      Ukiona haifai Acha fantastic inayokufaa ndugu yangu hata ukiona watu wanakesha wanafanya ibada wao washajiridhisha tena usiwe sehemu ya kuwarejesha nyuma na izo hoja zenu zishakuwa za kawaida

    • @MAPETEE
      @MAPETEE 4 месяца назад

      Jee izo nguo unazo vaa ww kuna swahaba kavaa

    • @feisalboy6702
      @feisalboy6702 4 месяца назад

      Kwn kuna Sheria ilokuja kukataza kuvaa nguo km c isbaal lkn hii Ibada hii hakuna dalili yyt ilokuja kuruhusu Ibada ya kukohoa

    • @abunajreenELSESANY
      @abunajreenELSESANY 4 месяца назад

      Walicheza, tena saana

  • @JumaCheupe
    @JumaCheupe 4 месяца назад

    Jahili ni ww uciyejijuwa mkoma ww tokahapa kazikulara ramadhanimchana n

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 4 месяца назад

    Wana kwaya wa ki-twarika. Disaster lol.

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 4 месяца назад

    Imaan Shaafii Rahimahullahu hakukosea kusema waweza kuingia kwenye usufi mwanzoni mwa mchana na kabla ya adhuhur ukawa mpumbvu.

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 4 месяца назад

      Hakika, na hao ni wapumbavu tena wengi wao hawasali

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 4 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂 wallah tena hii wenyewe wanaiyona niibada kuliko hata kutowa swadaka

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 4 месяца назад

      @@mohdkhatib223 Nduguyangu huu nimsiba wallah

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 4 месяца назад

      @@mohdkhatib223 hapo ukiwaambia atatokea Mtume wanaweza kugalagala kabisa! Hahahaha

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 4 месяца назад

      @@mfalmenajjash2128 hahahha! Usufi mtihani sana

  • @jynajyna5835
    @jynajyna5835 4 месяца назад

    Hao ndio MASHEIKH wa Zanzibar?
    Wanasomesha msikiti gani ?
    Wana vitabu gani vya dini walivyoandika ?

    • @z34-kp9qq
      @z34-kp9qq 4 месяца назад

      Kwa upande wa masufi ndio mashekhe hao!!!!
      Mtihan sana.
      Ibada ya kukohoa wameitolea wapi !!

    • @bilalkhamis_
      @bilalkhamis_ 4 месяца назад

      ​@@z34-kp9qq Kwani nani aliyesema hiyo ibada ety

    • @bilalkhamis_
      @bilalkhamis_ 4 месяца назад

      ​@@z34-kp9qqNa kwa kipi apo kinachowasababisha waandikiwe dhambi ee

    • @FahdIbnyussuf
      @FahdIbnyussuf 4 месяца назад

      Masufi zanzibar ,tanga ,kenya ,dare salm balaa hii ipo

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 4 месяца назад +1

    Majahili wakubwa nyie wazushi wakubwa nyie

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 4 месяца назад

      MASALAFI WOTE NI MAKAFIRI WASIOJIJUA

    • @HamadaZubeirTahir
      @HamadaZubeirTahir 4 месяца назад

      Hupaswi kusema hivo kwa Waislamu wenzako

    • @Mubarak-e6p
      @Mubarak-e6p 4 месяца назад

      Wallahi kumbe Hawa Masufi niwajinga hawana elimu nahata akili hawatumiii

    • @HUSENSHARIF-in3nd
      @HUSENSHARIF-in3nd 4 месяца назад

      Masufi ndio wenye Akili kama hujui kasome kwanza utabaini usikubali kuburuzwa 2

    • @kivatirokitojo657
      @kivatirokitojo657 4 месяца назад

      Maashallah dhikir ndio chakula Cha nyoyo zetu Sisi, kila mtu ale chakula chake.

  • @ibrahimKhalfan-u3k
    @ibrahimKhalfan-u3k 4 месяца назад

    Mzushi babaaako namamaaaaako mkoama ww

    • @Mubarak-e6p
      @Mubarak-e6p 4 месяца назад

      Hata ukichukia lakini huo niujinga wahali yajuu mwishowe mutaamwaabudu huyo khurafi wenu. Hamna akili

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 4 месяца назад

      ​@@Mubarak-e6pacha kiburi na hasad we bwege

  • @AbdulAbeidjumanneJumanne
    @AbdulAbeidjumanneJumanne 4 месяца назад

    Tatizo Hawa wana fundishwa na bachu kuhuc kibri

  • @OmanMuscat-d5g
    @OmanMuscat-d5g 4 месяца назад

    Usihuku kituambacho hunaelimunachohii siosawa unapomuambia mtukua nijaahili jeeunao ushadi kuamtu akifanyahivi nijaahili? Kamahuna BAASI jaahili niwewe

  • @MahidAli-jm6ey
    @MahidAli-jm6ey 4 месяца назад +1

    Mashaallah

  • @MuhammedMamboleo
    @MuhammedMamboleo 4 месяца назад

    Mashallah

  • @aswabikimaro3033
    @aswabikimaro3033 4 месяца назад +1

    Kumbe huu wimbo ni dhikiri nilikuwa sijuii...afu imefundishwa wp hii dhikir wakt wa kumpokea kiongozi...anaejua anipe hadithi au dalili