TAZAMA WATU WA TUMBATU WAKIMPOKEA SHEIKH WALID KWA DHIKRI YAO YA KITUMBATU ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • April 28,2023 ni Ziara ya Dhikri pamoja na Maulidi itakayofanyika Shangani Mkokotoni Kaskazini Unguja katika Kijiji cha Shangani Mkokotini.
    Ziara hii ina zaidi ya Miaka 50 ambayo imeasisiwa na Marhum Sheikh Hajji Bin Muhammad Bin Jumaa
    Sheikh Hajji Bin Muhammad Bin Jumaa ni mwana Twariqatul Qaadiriyya, amesoma kwa Wanawazuoni wakubwa mbalimbai Unguja akiwemo mmoja wapo ni Sheikh Suleiman Muhammad Bin Alawiy, na amezaliwa 1888 na amefariki 1997 Unguja Shangani.
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com...
    RUclips: / @babdeomiladu
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 66