Mawazobrand
Mawazobrand
  • Видео 20
  • Просмотров 496 929

Видео

shehe hafidh amuinua mku wa wilaya ya mjini Mh' Msaraka hii ni kali utapenda
Просмотров 3245 месяцев назад
shehe hafidh amuinua mku wa wilaya ya mjini Mh' Msaraka hii ni kali utapenda
Dhikri nzuri sana Ikiwasifia marais wetu
Просмотров 8545 месяцев назад
Dhikri nzuri sana Ikiwasifia marais wetu
Dhikiri nzuri
Просмотров 2,1 тыс.9 месяцев назад
Dhikiri nzuri
Eid Mubarak 2024
Просмотров 5649 месяцев назад
Eid Mubarak 2024
WATU WAKESHA KUMUOMBEA DUA MAREHEMU ALI HASSAN MWINYI ANGALIA WALIVO TOKWA NA MACHOZI
Просмотров 3,6 тыс.10 месяцев назад
WATU WAKESHA KUMUOMBEA DUA MAREHEMU ALI HASSAN MWINYI ANGALIA WALIVO TOKWA NA MACHOZI
DHIKRI PUMZIKA KWA AMANI RAIS MSTAAFU WA TANZANIA ALI HASSAN MWINYI
Просмотров 35 тыс.10 месяцев назад
INNALILAHI WAINNA ILAIHI RAJIUN KWA MOLA TUMETOKA NA KWAKE TUTAREJEA PUMZIKA KWA AMANI RAIS MSTAAFU WA TANZANIA ALI HASSAN MWINYI
Ona vifua vya watoto viki nguruma wakimsifia mtume
Просмотров 2,4 тыс.Год назад
Ona vifua vya watoto viki nguruma wakimsifia mtume
Hii ndio dhikri bora 2023
Просмотров 119 тыс.Год назад
Home qaswida
Hii ni dhikri ilio beba ujumbe mzto kwa wale wanao kataa maulid
Просмотров 13 тыс.Год назад
Hii ni dhikri ilio beba ujumbe mzto kwa wale wanao kataa maulid
DHIKRI ILIYO WATOA WATU MACHOZI 2023
Просмотров 37 тыс.Год назад
DHIKRI ILIYO WATOA WATU MACHOZI 2023
Dhikri ilio beba ujumbe wa kusikitisha katia ya Abajahali na mtume muhamad s.a.w
Просмотров 12 тыс.2 года назад
Dhikri ilio beba ujumbe wa kusikitisha katia ya Abajahali na mtume muhamad s.a.w
mzungu aolewa Aimbiwa qaswida nzur atokwa na machozi
Просмотров 9162 года назад
mzungu aolewa Aimbiwa qaswida nzur atokwa na machozi
hii ni dhikri maalum ilio andaliwa na masheikh kutoka turky
Просмотров 2,2 тыс.2 года назад
hii ni dhikri maalum ilio andaliwa na masheikh kutoka turky
wasoma dhikri nguli wakioneshana uwezo ndan ya kidoti angalia walivo inuwa watu
Просмотров 13 тыс.2 года назад
wasoma dhikri nguli wakioneshana uwezo ndan ya kidoti angalia walivo inuwa watu
Ustadh makame kombo Awatoa machozi Masheikh wakubwa kwa ladha nzuri ya Dhikri
Просмотров 184 тыс.2 года назад
Ustadh makame kombo Awatoa machozi Masheikh wakubwa kwa ladha nzuri ya Dhikri
Hii ni qaswida ilio beba ujumbe mzur ni hatar hii ya kufunga mwaka 2022
Просмотров 2 тыс.2 года назад
Hii ni qaswida ilio beba ujumbe mzur ni hatar hii ya kufunga mwaka 2022
Qaswida mpya kutoka kwa wana wa Aqaz ladies wakimsomea ndugu yao hii hapa bonge la shangwe
Просмотров 22 тыс.2 года назад
Qaswida mpya kutoka kwa wana wa Aqaz ladies wakimsomea ndugu yao hii hapa bonge la shangwe
ALMADRASATUL NURANIYYA WAKISHEREHEKEA KHARUSI YA KAKA BUHETY NA DADA KHAYRAT FULL SHANGWE
Просмотров 22 тыс.2 года назад
ALMADRASATUL NURANIYYA WAKISHEREHEKEA KHARUSI YA KAKA BUHETY NA DADA KHAYRAT FULL SHANGWE
Qaswida kuandama kwa mwezi
Просмотров 3162 года назад
Qaswida kuandama kwa mwezi

Комментарии

  • @ramadhanshekaoneka7003
    @ramadhanshekaoneka7003 2 дня назад

    Mashallah

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 9 дней назад

    Baba wa Yussra Kumbe karisi

  • @LeylahRashid-m8c
    @LeylahRashid-m8c 18 дней назад

    Yalla tujalie mwisho mwemaaaa Amin

  • @ZeinaSelf
    @ZeinaSelf 24 дня назад

    6:39

  • @ZeinaSelf
    @ZeinaSelf 24 дня назад

    mashanlla mung nijarie mume mwenye kujuwa din yetu ❤❤❤

  • @JumaMadai-e1d
    @JumaMadai-e1d 29 дней назад

    mashallah

  • @3siblingsvlogz
    @3siblingsvlogz Месяц назад

    MashaAllah MashaAllah

  • @BashiruMussa-p2l
    @BashiruMussa-p2l Месяц назад

    Mashaallah ❤❤❤❤

  • @JumaJarabi
    @JumaJarabi Месяц назад

    Nyie wote mmnaesema zikri niupuuzi hanna slim nanyie ndio wapuuzi tena niwajinga wakubwa

  • @JumamussaJuma-q6i
    @JumamussaJuma-q6i Месяц назад

    Hm

  • @SwalehehamisshassaniSwaleheham
    @SwalehehamisshassaniSwaleheham Месяц назад

    Dini haiendi kwa mawzo ya kuropoka waachen watu na ibada walizozirithhio sio kukohoa

  • @abunufilaabunufila2152
    @abunufilaabunufila2152 Месяц назад

    Makubwa mh🍺🥂👙

  • @MakameHaji-yo2pz
    @MakameHaji-yo2pz Месяц назад

    tusamehe mola

  • @muhammadyusuph-i8e
    @muhammadyusuph-i8e Месяц назад

    Nakubali saana wanaqadriya kila mmoja awe namsimamo wake sema wapo good sema nawao wanazamaga kwenye shirki saana ila wallah niwatu wazuri saana nawakubaali allah awalipe

  • @nassormaalim1341
    @nassormaalim1341 Месяц назад

    Faida za dhikri hii kwanz ni ibada ya dua pili ni mazoezi unaona wazee wanatoa jasho bovu na kuondoa mawazo mabovu

  • @hajihamadi3525
    @hajihamadi3525 2 месяца назад

    Amiin 🤲 yarabb

  • @IDRISAKHAMZA
    @IDRISAKHAMZA 2 месяца назад

    0:17

  • @abeidabdullah6048
    @abeidabdullah6048 2 месяца назад

    MahaaAllah

  • @HumudNassor-pg6lq
    @HumudNassor-pg6lq 3 месяца назад

    Siku moja nilijichanganya kwenye dhikri mpaka asubuhi nilikaukwa na kifua sio powa kila ikikaribia alfajiri kitu ndiy kinanoga

  • @NuruSalehe-d3b
    @NuruSalehe-d3b 3 месяца назад

    Amina

  • @EstherAnderson-ko3ug
    @EstherAnderson-ko3ug 3 месяца назад

    Mbona kanisani wanaimba kwaya sasa hapo ubaya uko wapi kila watu wanautaratibu wa ibada zao

    • @YussufOthman-wj3lu
      @YussufOthman-wj3lu Месяц назад

      Umeenda mbali baba kuifananiza haqqi na baatwili kwa hiyo kinachofanyika kanisani nacho tukifanye msikitini

  • @JonhZungu-x6u
    @JonhZungu-x6u 3 месяца назад

    Safi sana tumswalie tume

  • @AhmedSongoro
    @AhmedSongoro 3 месяца назад

    Waislam tupendane

  • @tifashadrack7135
    @tifashadrack7135 3 месяца назад

    Allhamd llillaah

  • @KhalifaOmari-g2p
    @KhalifaOmari-g2p 3 месяца назад

    Jambo ambalo hulijui jifunze ili ujue kama hujui kitu nyamaza

  • @zakariasuleiman4113
    @zakariasuleiman4113 3 месяца назад

    Raha jamani tu mashallahu

  • @azizamwambashi3988
    @azizamwambashi3988 3 месяца назад

    Mashaalh

  • @min-y8
    @min-y8 3 месяца назад

  • @matikhatib6188
    @matikhatib6188 3 месяца назад

    Mashallah shekhe makame mbalungulini

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 месяца назад

    Mambo mazito haya si mchezo, Karb Mgeni

  • @MohamedMgwami-nw6bl
    @MohamedMgwami-nw6bl 3 месяца назад

    Janeth wewe ndio utaonekana sio mbele ya macho ya wasiokuwa waislamu,twariqa ipo miaka na miaka tofauti na wewe unavyofikili,dhikri hii haiitwi kukohoa,hii ni dhikritul saadiya inaushahidi wa kutosha tena kutokea kwa mtume mwenyewe,hadi hapa wewe ndio unatatizo kupinga jambo lisilokuwa na shaka bali una unalolijua ktk mambo ya dini

  • @MohamedMgwami-nw6bl
    @MohamedMgwami-nw6bl 3 месяца назад

    Janeth zinga wewe elimu ya jambo hili Huna wewe ndio unayepata dhambi kwa kusema uongo,kabla ya kuhukumu waulize wenyewe wakupe ushahidi usiwe na tabia za kiwahabi kupinga bila yakuwa na ufahamu wa jambo husika,

  • @AaaaSsss-n7b
    @AaaaSsss-n7b 4 месяца назад

    Mashallah ❤

  • @MahidAli-jm6ey
    @MahidAli-jm6ey 4 месяца назад

    Mashaallah

  • @saidothman2521
    @saidothman2521 4 месяца назад

    Mashaalla Mashaalla wallah Sheikh walid Allah akupe qauli thabit wewe ni mtu wa Mungu sikutegemea kama ile tunzo nawe ungeweza kutunza hili ni funzo kubwa nimepata katika maisha yangu Alhamdulilah Allah akujaze kheri pamoja na sisi waislaamu wote kwa ujumla Amin

  • @haidarngoyogo-wi8wu
    @haidarngoyogo-wi8wu 4 месяца назад

    Mkamilifu ni allah tuuu wewe unayejiona upo sahihi basi endelea na itikadi yako msibezane

  • @chnkaikui4280
    @chnkaikui4280 4 месяца назад

    haya majmb huwezi kuyaelewa mpk uwe mwana twariqa tu ndo utajua lkn km we hujakaa na mawalii wa allah vitu km hv utaona ajabu ukitaka kuyajua kawasome mawalii wa mungu utayajua haya

  • @DullahOmary-j3v
    @DullahOmary-j3v 4 месяца назад

    Huyo ndio shekh wa mkoa wetu allah atuwekee

  • @abuusaalimalmasasiyyu9421
    @abuusaalimalmasasiyyu9421 4 месяца назад

    Allahu almustaan kumbe mambo haya yapo tu kweny huu ulimweng wa mwangaz wa sunna 😂😂 huruma kweel majitu yanazeekea kweny uzushi na twaiqa zisizokua na mafundisho sahih

  • @FatemaA-ov5ue
    @FatemaA-ov5ue 4 месяца назад

    Mashaallah mashaallah

  • @turkkz9472
    @turkkz9472 4 месяца назад

    Hakuna mtume aliimba someni

  • @turkkz9472
    @turkkz9472 4 месяца назад

    Hakuna dini ya kuimba imba

    • @makamekhalfan5968
      @makamekhalfan5968 3 месяца назад

      dini ya kutumia smart

    • @zakariasuleiman4113
      @zakariasuleiman4113 3 месяца назад

      Unamaanisha dini hii yakiislam ama Ile nyengine ya kiwahabi

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 Месяц назад

      ​@@zakariasuleiman4113 hakuna nyimbo kwa dini ya kiislamu, hiyo bid'a

  • @turkkz9472
    @turkkz9472 4 месяца назад

    Hakuna dini ya namna hiii somenii jamani

  • @abbasabubaker5152
    @abbasabubaker5152 4 месяца назад

    Bidaa nzur hiiii,,, neno la sayydna omar bn khatwab

  • @nassirhamad9407
    @nassirhamad9407 4 месяца назад

    Allah atuongoze na awaongoze na wao

  • @Mesaidi
    @Mesaidi 4 месяца назад

    Napenda sana dhkr I'm mwana muridhu

  • @HhRt-m5z
    @HhRt-m5z 4 месяца назад

    Mashallah Allah awahifhi viongozi wetu kwaujumla

  • @RashidMussa-i1y
    @RashidMussa-i1y 4 месяца назад

    Mashaalla subuhanallah alhamlilhirabir alamn ❤ Amann Allah adhiidishe hery

  • @MuhammedMamboleo
    @MuhammedMamboleo 4 месяца назад

    Mashallah

  • @alisharif570
    @alisharif570 4 месяца назад

    Sio Kila kitu upewe hadithi na dalili