Nakubali saana wanaqadriya kila mmoja awe namsimamo wake sema wapo good sema nawao wanazamaga kwenye shirki saana ila wallah niwatu wazuri saana nawakubaali allah awalipe
Kigoma cha mdomo na mikono hicho Ukipiga tathmini kwa hao mashekhe Kucheza hapo Juzuu 5 za Qurani hazipo wengi wao tusameheane tu lakin Ukweli usemwe kua tumeiwacha dini starehe ndio tumezipapia na kufuata matamanio ya nafsi zetu kitu kipendacho😢😢😢😢
Janeth zinga wewe elimu ya jambo hili Huna wewe ndio unayepata dhambi kwa kusema uongo,kabla ya kuhukumu waulize wenyewe wakupe ushahidi usiwe na tabia za kiwahabi kupinga bila yakuwa na ufahamu wa jambo husika,
Janeth wewe ndio utaonekana sio mbele ya macho ya wasiokuwa waislamu,twariqa ipo miaka na miaka tofauti na wewe unavyofikili,dhikri hii haiitwi kukohoa,hii ni dhikritul saadiya inaushahidi wa kutosha tena kutokea kwa mtume mwenyewe,hadi hapa wewe ndio unatatizo kupinga jambo lisilokuwa na shaka bali una unalolijua ktk mambo ya dini
I didn't know that someone is counted to sinning by say "Ooh Allah protect us,our parents,our children and other Muslims" let's think before we say anything in our religion
Hv mtume alipanda gari mbona husemi bidaaa ukapanda farasi na ngamia hakukua na vyoooo kama hivi vyakukaaa ila Leo macho wewe muone panapobidi fata pale unapoona sahihi ila Wacha tupende kungurumisha vifua
Haya mambo yalikuwepo kabla babu yako hajazaliwa wacha wewe na wazazi wako, hawa ni wazee wa mridu, tumeyaona toka zama na hatujasikia wakisemwa na mashekh wakubwa hapa Tanzania, acha mdomo
@@samorajama8833 hata ukipewa huwezi kuelewa wee Fanya ambayo unaona yanakufaa wewe.hayo waachie wenyewe..mwenye malipo ni Allah..hangaika na nafsi yako
Yalla tujalie mwisho mwemaaaa Amin
Mashaallah ❤❤❤❤
mashallah
Nakubali saana wanaqadriya kila mmoja awe namsimamo wake sema wapo good sema nawao wanazamaga kwenye shirki saana ila wallah niwatu wazuri saana nawakubaali allah awalipe
Napenda sana dhikri hii Iko siku mutaniona huko
Yaaallah kukinge na Kila Shari na uwahifazi wazazi wetu walio tangulia mbele ya haki
Napenda sana dhkr I'm mwana muridhu
Hii ni zaidi, safi sana
Wapi hii na ratiba zake zipoje... Msineemeke pekeyenu
Safi sana tumswalie tume
mashanlla mung nijarie mume mwenye kujuwa din yetu ❤❤❤
Mashaalla subuhanallah alhamlilhirabir alamn ❤
Amann Allah adhiidishe hery
Mashaalh
Napenda sana dhikrii hii
❤❤❤❤❤ 👍👍👍👍
Tumuombe,Sanamola
Kigoma cha mdomo na mikono hicho Ukipiga tathmini kwa hao mashekhe Kucheza hapo Juzuu 5 za Qurani hazipo wengi wao tusameheane tu lakin Ukweli usemwe kua tumeiwacha dini starehe ndio tumezipapia na kufuata matamanio ya nafsi zetu kitu kipendacho😢😢😢😢
Naipenda. Sana. Dhikiri. Hiyo. Machozi. Yanatoka. Nawaza. Mbali. Sana
Jambo ambalo hulijui jifunze ili ujue kama hujui kitu nyamaza
Yarrab utinde na mambo mabaya ya usku Allah humma Aminn Yarrabi
Yanayokuja usiku utilinde Mola, nimependa sana hio maombi.
Hiii dhikri aswaa tamu bwana weee wasoipenda wachee hawajuw utamu aoo wee km wanasem bidaa heee watajuwa sij ya kufa tuwache tumsif mtume saw km hatujamsif ss wakamsif nani nd muombez wt yani rahaaa natamn nend
Tadhar au mashallah nawapnd
Na wazee wetu Mola na watt wafurahike amin amin amin
❤Safi sana mashaa alll
Waislam tupendane
Yaa rabbi utulinde
Hii dhikiri safi sana sana
Mashallaaah
Faida za dhikri hii kwanz ni ibada ya dua pili ni mazoezi unaona wazee wanatoa jasho bovu na kuondoa mawazo mabovu
Kila ibada ina asili hii asili yake wapi
Masha Allah
Amina
YARRB TULINDE NA UTUHUFADH NA MABAYA AMIN 😢
Masha'allah mungu atukuzie dini yahaki
Wewe kama kucheza huwezi usi wakele wenzako fanya Kwa kiasi
Sawa karibu sana
Ww ndio akili huna kilicheza kigogo mbele ya mtume unashangaa sis kucheza
Kigogo kipi hichi kilicheza
Hapn kucheza apoo wanamtaj mungu wee mshambaa
Mungu hatajwi hivi baba
Mashallah
Aaallah Allah ...❤
Dini haiendi kwa mawzo ya kuropoka waachen watu na ibada walizozirithhio sio kukohoa
Maa Shaa Allah, Aamiin
MashaAllah❤
Janeth zinga wewe elimu ya jambo hili Huna wewe ndio unayepata dhambi kwa kusema uongo,kabla ya kuhukumu waulize wenyewe wakupe ushahidi usiwe na tabia za kiwahabi kupinga bila yakuwa na ufahamu wa jambo husika,
Mashaallah
6:39
mashaalla
Hyo mwenye kazu ya bluu isiwezekane akawa mkirsto anavyoluka
Mbona kanisani wanaimba kwaya sasa hapo ubaya uko wapi kila watu wanautaratibu wa ibada zao
Umeenda mbali baba kuifananiza haqqi na baatwili kwa hiyo kinachofanyika kanisani nacho tukifanye msikitini
❤
KWA SABABU YA KUDHARAU HAYO LEO Wmepatikana waimbaji..
Amiin
😂😂😂😂 subhanallah 🤣
Huu ugomv wa qadiriya na wasokuwa qadiriya hauishi huu kama palesyina na isreal.huwaambii kitu watu wa abdulqdir jailan..
Janeth wewe ndio utaonekana sio mbele ya macho ya wasiokuwa waislamu,twariqa ipo miaka na miaka tofauti na wewe unavyofikili,dhikri hii haiitwi kukohoa,hii ni dhikritul saadiya inaushahidi wa kutosha tena kutokea kwa mtume mwenyewe,hadi hapa wewe ndio unatatizo kupinga jambo lisilokuwa na shaka bali una unalolijua ktk mambo ya dini
YARRABI TWAKUOMBA MOLA MIJI YETU IHFADHIKE NA WAISLAM WANEEMEKE
Bw Mtume alikutana na maswahaba wake kwenye daira wakidhikiri. Akwawauliza.........
Mu
Waone walimu wawaambie hao walikuwa wanafanya nn?
Lakini si dhikiri hii karudi tena uliposoma au uliza
Acha ujinga
This is not in religion of prophet muhammad peace upon him 😢May Allah guide you to the right path😢
Ameen to all inshallah
Aamiin
اليوم أكمالتم لكم دن ..
I didn't know that someone is counted to sinning by say "Ooh Allah protect us,our parents,our children and other Muslims" let's think before we say anything in our religion
Dhikri ya namna hii SIJUWI IMETOLEWA KATIKA KITABU GANI ,,,,MUNGU TUSAMEHE KATIKA UZUSHI WA NAMNA HII ,,HII KWELI NI IBADA ?ASTAGHAFIRU LLAHI
Watu wanafurahia kwasababu wanacheza hakuna ibada ya kucheza
Usilolijua kaa kimya sio lazima useme kitu, hizo ni zipo toka enzi na hazijawahi kosolewa
Ulijuaje
We nguruwe kaa mbali hujui radha yke
Eti mm ni nguruwe.ukifa ndiyo utajua
Hili jambo bwana mtume hakufundisha,halafu mnatuaibisha mnafanya makafiri watuone wote hatuna akili kwa huu uovu wenu wa kukoroma.
ww bona unafiki mwingi hivi😊
Hv mtume alipanda gari mbona husemi bidaaa ukapanda farasi na ngamia hakukua na vyoooo kama hivi vyakukaaa ila Leo macho wewe muone panapobidi fata pale unapoona sahihi ila Wacha tupende kungurumisha vifua
Haya mambo yalikuwepo kabla babu yako hajazaliwa wacha wewe na wazazi wako, hawa ni wazee wa mridu, tumeyaona toka zama na hatujasikia wakisemwa na mashekh wakubwa hapa Tanzania, acha mdomo
@@hamadihaji4007mpe uyoo
Kama jambo hulitaki ww bx kama kimya nyinyi mpaka dhikri baada ya swala mnakimbia
KILLA IBAADA INA ASILI KUTOKA KWA
RASUUL SWALLA LLAAHU ALAYHI WA SALLAM
HEBU TUPENI UONGOFU WAKE
@@samorajama8833 hata ukipewa huwezi kuelewa wee Fanya ambayo unaona yanakufaa wewe.hayo waachie wenyewe..mwenye malipo ni Allah..hangaika na nafsi yako
❤
Mashallah
Mashallah