MCHUNGAJI AKIRI YESU SIO MUNGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 24

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 3 года назад +2

    Mungu wetu aloumba mbingu na arzi na viumbe vyote hazai wala hazaliwi wala hakuna alie fanana nae na haonekani na yoyote

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 года назад +3

    Yesusio mungu kamwe haiwezekani haitawezekana kabisaaa

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 года назад

    Allah awaweke Mashekhe wetu.

  • @irakozeabubakar3223
    @irakozeabubakar3223 3 года назад

    Allah awape nguvu masheh

  • @msafiriibrahim5104
    @msafiriibrahim5104 2 года назад

    Yaani wahubiri wakikristo wanaongopea peupee bila kumuogopa MUNGU. Hio Matayo 22:32 Yesu anamnukuu Mungu alivyosema MIMI NI MUNGU WA YAKOBO NA ISAKA........ebu isomwe kuanzia aya ya 30

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 3 года назад

    MashaAllah Alhmndulilai

  • @nduwimanamoses363
    @nduwimanamoses363 3 года назад

    Waislam Acheni. ubishi YESU ni Mungu

    • @sosdododo5653
      @sosdododo5653 3 года назад

      Wewe yani unajua zaidi kuliko yesu mwenyewe,msikie yesu mwenyewe anasema nini wakujue wewe mungu moja tena wakweli na yesu na yesu na yesu uliyemtuma huyo yesu mwenyewe anasema yeye ametumwa tu hana chochote ametumwa na mwenye ezi mungu pinga hio

    • @estarjuma7983
      @estarjuma7983 3 года назад

      😳😳

    • @jei_Ibrahim
      @jei_Ibrahim 3 года назад

      Moses bhana sazingine mbona munalazimisha msibaaa yesu alienda choo sasa ww unaabudu mungu anaye kwenda choo sasa nani anabisha ww ama sisi yaani ww "mnataka kuniua mm mtu" maneno ya yesu hayo hahahah yesu ana kunya wachaaa utoto na haya kwa kufuru zako sema mungu na kunya nakutafuta mwenyewe nikutie bakora hutaamini

    • @alsamali6964
      @alsamali6964 3 года назад

      Uungu wa yesu ni upi ?

    • @ikabako2454
      @ikabako2454 3 года назад

      Acha kuwa mjinga. Yesu hana uungu wowote wala hawezi kuwa nao.

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 года назад

    Mashallah Allah

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 3 года назад +2

    Mungu azaliwe kwenye njia ya mwanamke Mungu ananyonya Mungu anakunya Mungu analala Mungu anaveshwa pampass Mungu anakula hee ndo mungu wenu huyo dah maskin kabla hajazaliwa mungu alikuwa nani na maryam mungu anamwita nani na mungu atahiriwe hebu acheni ujinga

    • @mimahmimah1595
      @mimahmimah1595 3 года назад

      Wallahy wakristo wana kufuru kubwa mno

  • @lileoh3893
    @lileoh3893 3 года назад +1

    Kiukwer mtu anaesema yesu mungu huyo ni mvivu wa kusoma bibilia

  • @adinanihashim7
    @adinanihashim7 3 года назад

    Mashaallah

  • @katerelomkuyati6764
    @katerelomkuyati6764 3 года назад +1

    Yaani kama ndiyo hiyo
    Basi hata musa nae ni mungu,
    Maana musa alikuwa ni MUNGU NA MTUME WAKE NI HARUNI
    BIBLIA YAKE MWENYEWE INAMBANA

  • @lileoh3893
    @lileoh3893 3 года назад +1

    Paulo wazungu wanakuswageni kuapelekeni motoni

  • @pamoles1303
    @pamoles1303 3 года назад

    Ibrahim bakonzi hao wapige konzi

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 3 года назад

    Kwaiyo wewe Mwaipopo hukuwa hukuwa muislamu ? Mbona unawakataa waislamu walio batizwa kurudi kwenye ukiristo??