Haya yamesemwa msikiti I Kama ninyi mnavyozungumza makanisani kuwa Yesu ni Mungu. Sasa itakuwa vyema Kama huko makanisani haya ya kuwa Yesu ni Mungu au mtoto wa Mungu pia yapigwe marufuku Kama ilivyo imani yetu kuwa Yesu si Mungu unataka yapigwe marufuku. Lakini hebu ninyi viumbe wa Mungu fungueni akili zenu kwa kujibu maswali haya. Kabla hajazaliwa huyu Yesu nani aluendesha huu ulimwengu. Je Kama you ni Mungu ss tunaa amini Mungu anakuwa ana nguvu zisizo na ukomo Sasa iweje hakuweza kujiokoa katika misalaba halafu akafa kwa ajili ya dhambi zenu,inakuwaje Mungu anakufa inakuwaje alidhalilika pale huku akiwa Hana nguo.sisi hatuwezi kuamni haya yote ambayo ninyi mnachokiamini kwani huyu ni miongoni mwa vipenzi vyake Allah hivyo hawezi kuning'inizwa bila ya nguo katika misalaba . Huyu ni kiumbe mtukufu mwenye daraja kubwa Sana Kama sheikh alivyo mueleza .
Kwani nyie mnaposema Yesu ni MUNGU Kwa Imani yenu makanisani Serikali inawazuia..?....Waislam wanasema Yesu ni mtume msikitini Kwa Imani yao ‘ kinachokukereketa kipi..? Nenda kanisani kasisitize Yesu ni MUNGU.’ Hiyo ni Imani yako’ Acha uchonganishi..!
Shukraan san shekh wetu Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu wenye kher na barka ndani yke ili uzidi utuelimishe na kutupa tusiyoyajua ktk dini yetu hii ya haqi ya kiislamu.pia namshukur Allah kwa kunijaalie kua miongoni mwa waja wke aliowatunukia hii neema ya kua muislamu naseme tuu kwa uchache"Alhamdulilah alaa negh-matul-islam
Kwenye Al kitab hakuna Issa Kuna Yesu waarabu wanamuita Yasu ( Muokozi) Issa ni nini? Halina maana ya ukombozi, ichunguzeni sana hiyo Qur'an, kwanini iwaletee Issa badala ya Yasu,. Kuweni makini sifa za kidunia hazina maana mbele ya Mwenyezi Mungu, ogopeni siku ya hukumu, nakumbukeni shetani anafanya kazi kubwa ya kuufanya ukweli uonekane ni uwongo, ogopeni kuwa mawakala wa mpinga Kristo, mafundisho ya Qur'an hayaendani kabisa na mafundisho ya Al kitabu, Yesu kaja Kwa kazi ya kumkomboa mwanadamu kutoka kwenye utumwa wa zambi na watu wanabadilika wanao mwamini na kumfuata. Huyo Issa Hana huo uwezo kufanya hivyo, shetani yupo kazini amkeni.
Nabii Issa siyo Mungu isipokuwa Yesu Kristo wa Nazareth yeye ni Mungu. Yeye ni Neno tena ni Nuru pasipo yeye hakuna kilichoumbwa yeye ndiye mwenye funguo za mauti na kuzimu na yeye ndiye atakayewahukumu wazima na wafu yeye ni mfalme wa wafalme yeye ni Bwana wa mabwana ndiye Mungu wa miungu yeye ni Niko ambaye Niko yeye ni Mkuu wa wafalme dunia ni mwaminifu na wa haki. Hafananishwi na yeyote, yeye ni Alfa na Omega. Yeye pekee ndiye anayesamehe dhambi za wanadamu wala hakuna wokovu kwa mwingine awaye yote isipokuwa Yesu. Jina lake lina mamlaka shetani na majini yote yanatii litajwapo jina lake. Anaponya anafufua na anaokoa . Kwa jina la Yesu kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri ya kuwa yeye ni Bwana kwa utukufu wa Mungu baba. Yeye ndiye atakakaye wahukumu wote wenye mwili siku ya mwisho. Ukimwamini na ukampokea moyoni mwako utakuwa na uzima wa milele
Leonce Uwandameno kwa hiyo alivyokuwa tumboni kwa mama yake nani alikuwa mungu wenu? Pumbavu kweli ndio mungu wenu alikuwa na govi wakosa akili akatahiriwa
Poleni nyinyi mnaokataa yesu kirahisi kwa hekima zenu ta shetani amewadanganya nyinyi watu hebu tafteni kujua ukweli kwa sababu muda umeisha yesu anarudi kuchukuwa watu wake wanaumwamini na Siku hiyo yeye ndo bwana na mfalme mkataeni tu Ila Sikh hiyo ndo mtajuwa kuwa ndiye na mtakuwa mmechelewa
Hivi ndivyo Waislamu wanavyodanganywa na mashehe wao kuhusu Yesu... Kama Yesu siyo Mungu basi mwulizeni pepo kwa nini hawawezi kutamka jina la Yesu Kristo (hakuna pepo anayeweza kutamka jina la Yesu) ila jina la Muhamad linatamka vizuri tu na mapepo... huo ndo ukweli.. narudia tena kusema .. hakuna pepo yoyote anayeweza kutamka jina na Yesu Kristo... na ndivyo ilivyo hata kwa Waislamu .. wanalizunguka zunguka tu hilo jina la Yesu .... eti Issa ibin Mariam .. Tamkeni Yesu wa Nazareth.. maana yake ni kwamba wapungia Kristo hawawezi kutamka waziwazi jina hilo Yesu. Kutamka Jina la Yesu ni kumkiri Mungu katika Utatu Mtakatifu.. kutamka Issa kama kurani inavyosema... ilivyoandikwa.. ni kumtamka mtu mwingine ambaye hana Uhusiano na Yesu .. japo habari zinazoongelewa zinaongelewa kuhusu Yesu.... Mashehe muwaelezeni waumini wenu vizuri kuwa Yesu ni Mungu kamili kabasa... acheni kupindisha ukweli ili kujifurahisha nafsi zenu!
Ujinga utawaisha lini? Kwa hiyo unadhani jina lake ni Yesu sio? Unadhani alikuwa mzaramo kama wewe. Katafuta Yesu alikuwa na asili ya wapi na jina lake kwa mujibu wa asili ile ni lipi. Ni sawa na mtu aitwe Yohana halafu mwingine akisema John mtu ahamaki. Ni lugha tu. Issa ni kiarabu na Yesu ni kiswahili na Jesus ni kiingereza. Na kwa taarifa yako Yesu alikuwa anaongea ki armaic. Kuna pepo mpaka wanaosali makanisani. Endelea kuishi utajua mengi
Nakushauri ndugu yangu uisome hiyo biblia yote kuanzia mwanzo mpaka ufunuo hakuna andiko yesu aliingia kanisani pia yesu nikiswahili kwa kingereza anaitwa jesus kwa kifaransa anaitwa jezee sasa kusema yesu wala sio shida inatakiwa ufahamu yesu ninabii wa mungu nimtume sahihi wamungu kwa wana waisrael ndani yamataifa 12 ya Israel hiyo iko wazi mitume 25 walio tumwa na mungu wametajwa kwa mpangilio sasa biblia nimaneno yanani sababu hakuna sehem yesu kasema yeye nimungu kama unalo andiko nipatie
Yesu alikuja duniani miaka 600 kabla ya Muhammad. Ndiyo maana koran inasema wakristo ndiyo wanaijua njia ya kweli. Na njia hiyo ni Yesu kristo. Muhammad mateso anayoyapata huko kuzimu hayaelezeki majini yanamsulubu vilivyo na kila asiyemwamini Yesu kristo njia yao ni moja. Nampenda Yesu kwa kuniokoa . Neno la msalaba kwa waliopotea ni upumbavu lakini kwetu sisi tuliookolewa ni nguvu. Ooh Jesus I glorify your name
Ukiristo sio dini yamungu ndo maana neno biblia lipo kwanje tu ila ndani yamaandiko yote kutoka mwanzo mpaka ufunuo huwezi kupata neno biblia nani aliekuja nabiblia naomba unambie wapi yesu aliingia kanisani
Mbona bibilia ikawa mbele ya quran kisha quran ikawa na mambo mengi kutoka kwa bibilia. Ukitoa bibilia dunian quran inakufa kabisa maana itakosa ladha, hakuna cha kuhubiria watu ndani ya quran
Yesu ni.mungu ni.mwana wa.mungu. utabaki hivyo milele . Yesu.atahukumu ulimwengu wote haighalishi dini gani upo mbele yako Yuko yesu. YOHANA. 5 38;. 47. Waisram. Wote tafakarini Aya hiyo. Yesu ni mwisho wa.sheria. Manabii wote na mitume wa.kizazi.hiki wana.muhubiri.yesu wanaisoma.injili ya yesu hakuna jipya .niyesu atahubiliwa mpaka mwisho wa dunia
@@sumisumi8181 tokea yesu.adhihirishwe.ulimwenguni.unaona Nini ?miaka..alfu mbili.iliyopita.jina.la.yesu linatajwa.ulimwenguni.kote. . Mm yesu.kristo. ninafasi ya.mungu ...bb.. . Anayo. . Ya amli. Ya kuhukum na kusamehe ulimwenguni vituvyote. Viko chini. Yake ikosababu ya yeye kuitwa mungu naikosababu ya yeye kuitwa mwana. Tafutakujua sababu itakusaidia
YESU KRISTO NDIE MUNGU MKUU mpende msipende mpinge mwezavyo lkn kilagoti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa YESU KRISTO NDIE BWANA WA MABWANA na ndomuhukumu wa kila kiumbe kiishicho mbinguni duniani na kuzimu
Mtume wenu alizaliwa katika upagani sasa nipeni aya moja tuu lini alisilimu sababu muislamu wa kwanza ni mke wake,Endeleeni kubusu Jiwe mpaka mpate neema ya kumjua Yesu ambaye ndiye Kristo sio isa ibn mariam ambaye hata hajawahi tokea nadhani ndio huyo nabii wa uongo atakayekuja na mahdi(ant christ)
Ukiijua INJILI ya YESU na kuisoma ndio Utamjua YESU/ISSA Bin MARYAM. Lakini kwa INJILI ya YESU/ISSA bin MARYAM hujawahi kuiona wala kuisoma huwezi kumjua MWZ MUNGU wala huwezi kumjua ISSA bin MARYAM wala huwezi kumjua MTUME MUHAMADI. Biblia/Bible siyo KITABU cha ISSA bin MARYAM/YESU na kama YESU haijui Bible/Biblia ni Wazi hata anayetumia KITABU ambaye siyo Chake yaani INJILI ya YESU ujue fika hauko na YESU. Tafuta kwanza INJILI yake YESU ndio Useme Unamjua MUNGU na YESU.
Www ni fala ujui kitu ww kwnz unaona wakat yes ajawh oa ww si fala ww ujui kuhus iss ww kam yesu wen katajw kweny kitab cha waislum aushtuki tuuuuh na kwann mtum atatajw kwenuu ....Som vizur ww ujue
@@allanothuman2941 Duu Matusi tena JAMANI I kwaajili ya kueleweshana. Nduguzangu hapa hakuna ugomvi YESU siyo wako bali ni wa MUNGU. YESU ni MTUME alitumwa kufikisha Ujumbe wa MUNGU wake ambaye ni MUNGU wetu, Baba yake ambaye ni Baba yetu. Sasa ukiona Unatukana Ujue fika wewe humjui YESU wala MUNGU. Anayemjua YESU na MUNGU wa YESU Hawezi kutukana. MUNGU AKUPE Baraka zake ili umjue YESU na MUNGU na INJILI ya YESU.
Kwanza nikusaidie huyo haitwi Mpinga Krito bali ni Mpinga MUNGU ili Awapotoshe Binaadamu. Na Mpinga MUNGU (Lusifa) Mwakati wake nado maana atakapokuja Dunia ndio Mwisho. Hivyo ni vema Umjue MUNGU mapema na Umjue YESU ni nani na INJILI yake ikoje, hapo ndipo Utapata maarifa mengine.
Assalam alaykum mimi ni muislamu lakini sielewi unapo sema mohamedi s.a.w ni mkubwa kwa isa japo isa ni roho na neno la Mwenyezi Mungu swali? Lipi linamufanya mohamedi s.a.w mkubwa kwa isa ????
Kama unaamini Torati kasome ukaone jinsi manabii Wa zamani walivyo tabiri juu ya Yesu kristo kuteswa kwake na mengine mingi kasome na Zaburi sura ya 1,2 Isaya 53:3-5 Acheni uongo. Siku yamwisho mtajuta kwanini hamkumwamini Yesu kristo na mtakuwa mmecjelewa japo ukweli mnaujua tuuu. Kwa ufupi Mimi ninawaombea kwa Mungu aliye hai awafungue macho muone kuwa bila Yesu kristo hakuna mwanadamu atamuona Mungu( atakaye ingia peponi)
Ushasema bila Yesu hakuna binaadam atakemuona MUNGU....Kwa hiyo kuna Yesu na kuna MUNGU’ Sasa waambie wakristo wenzio wanaosema Yesu ni MUNGU...! Waislam tunamuamini Yesu kama mtume wa MUNGU...Kwa hiyo suala la kusema hatumuamini hilo litoe mawazoni mwako’...ila tunawakumbusha tu kwamba Yesu Si MUNGU wala mtoto wa MUNGU..!...kwa sababu MUNGU hana shida na Ubinaadam wala kuwa na mtoto...!
Bado huja nielewa....nyie sinamunaamini INJILI? Soma Marko 1:1 Yohana 1:1-4 Isaya 9:6 Ndo utajua Yesu Kristo ni Mungu na ni mwana Wa Mungu. Haya mambo ni yanatambulikana kwa namna ya Roho Wa Mungu nasiyo kwa akili zetu au kubishana...Barikiwa na Bwana Yesu Injili ya Marko " Mwanzo Wa Injili ya Yesu Kristo mwana Wa Mungu" Injili ya Yohana " Hapo mwanzo kulikuwako na neno naye neno alikuwako kwa Mungu naye neno alikuwa Mungu" HAYA NIPE TAFSIRI HAPO
@@mohamedimohamedi8933 Isaya 9:6 " Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa; Tumepewa mtoto manaume, Na uweza Wa kifalme utakuwa begani mwake ataitwa mushauri Wa ajabu Mungu Mwenye nguvu , Mfalme Wa amani" Anaamanagani hapo Isaya
Hamjui chochote kuhusu YESU KRISTO wala mariam porojo tuu mnapoteza muda tuu ndomana mungu wenu na mtume wenu anawaambia 'mambo mengi hamjui waulizeni waliowatangulia ktk kitabu yaani wakristo na wayahudi 'ninyi mmetoa wapi hzo hadithi za uongo!!!??
Hahaha’ kipindi Cha Yesu ukristo haukuwepo’ mpk anaondoka haukuwepo’ ukristo umeletwa na Paulo’ mtaalam wa kutengeneza mahema ‘ mwana philosophy aliewaharibu akili...! Tunauliza viitabu vilivyopita kabla ni ZABURI ya DAUD ......TORATI ya MUSA na INJILI ya ISSA....hatuulizi ukristo maana haukuwepo wala hawana kitabu’ ...!....ukristo si dini...!...funua kitabu unachoamini tafuta andiko ukristo ni dini...!....hulipati kwenye vitabu vilivyotangulia wala hicho kitabu unachokifuata...! Ukitaka kujua jambo soma ‘ acha ushabiki..!..UTAPOTEA
Acha kashfa wewe mtu, YESU ni mwana wa MUNGU na ndio maana hata pepo wabaya wanatii unapoliitia jina lake. Hakuna JINA kingine tulilopewa wanadamu chini ya jua ambalo twaweza kuokolewa kwalo. Bado mnamuombea rehema mtume, lakini sisi hatuombi rehema kwa ajili ya YESU. Hubirini Dini yenu nyie.
MA SHA ALLAH
MA SHA ALLAH
MA SHA ALLAH
SHEIKH UTHMAN KHAMIS
MAY ALLAH GUIDE AND PROTECT YOU FROM AN EVIL EYE ALLAHUMMA AMEEN JAZAKA ALLAH KHAIR.
Mashaallaah shekh othman khamis allaah aendelee kukulinda naaendelee kukupa upeo zaidi ya hapo ulipo Aameen
Maashallah yaa sheikh
Maneno adhwim allah atujaalie miongon mwa waja wenye kuaychukua maneno haya nakuyafanyia kaz
SHUKRAN OSTADH MUNGU AKUPE HEYRI
@@issandola3156 jamiia kk
Mashaallah ukiendelea na ubishi wako juu ya maneno haya makweli baki na ubishi wako lakini jua ya kwamba ukweli ndio huo "
Masha Allah , Allah akujaalie maisha mema na mazur
Allah akupe afya njema umuri mwenye kheri na Baraka tuzidi kufaidika nawe
Alishindwa kumpa afya muhammad kipenzi chake akamuacha sumu imuue atawezaje kuupa umma huu uliopotea?
ALLAH akuweke sheikh Wang...unatujenga imani na waislam kujiamin
Allah ... fanya uchunguzi vizuri!
Mashaallah shekhe hothmani napenda hotba zako
Mashaaa allah Allah akulipe Kila lakheri
Allah akulipe kwa darasa zuri
Mashaallah Allah akulipe kher shukuran
ما شاءالله جزاك الله خيرا اللهم يحففظك
Ni vizuri Serikali izuie UZUSHI ,kama huu mapema kabla ya malumbano ya namna hii katika nchi yetu.
Kabisa...ila tusiwachukie tuwaombee ili Mungu awape macho na wamkimbilie huyu Yesu
Brother haki haki ukweli umekufikia ni juu yako kukubaliy au kukataa
Haya yamesemwa msikiti I Kama ninyi mnavyozungumza makanisani kuwa Yesu ni Mungu.
Sasa itakuwa vyema Kama huko makanisani haya ya kuwa Yesu ni Mungu au mtoto wa Mungu pia yapigwe marufuku
Kama ilivyo imani yetu kuwa Yesu si Mungu unataka yapigwe marufuku.
Lakini hebu ninyi viumbe wa Mungu fungueni akili zenu kwa kujibu maswali haya.
Kabla hajazaliwa huyu Yesu nani aluendesha huu ulimwengu.
Je Kama you ni Mungu ss tunaa amini Mungu anakuwa ana nguvu zisizo na ukomo Sasa iweje hakuweza kujiokoa katika misalaba halafu akafa kwa ajili ya dhambi zenu,inakuwaje Mungu anakufa inakuwaje alidhalilika pale huku akiwa Hana nguo.sisi hatuwezi kuamni haya yote ambayo ninyi mnachokiamini kwani huyu ni miongoni mwa vipenzi vyake Allah hivyo hawezi kuning'inizwa bila ya nguo katika misalaba .
Huyu ni kiumbe mtukufu mwenye daraja kubwa Sana Kama sheikh alivyo mueleza .
@@mch.deosinkala3120 umekula khasara hapa dunian mpak mbinguni
Kwani nyie mnaposema Yesu ni MUNGU Kwa Imani yenu makanisani Serikali inawazuia..?....Waislam wanasema Yesu ni mtume msikitini Kwa Imani yao ‘ kinachokukereketa kipi..?
Nenda kanisani kasisitize Yesu ni MUNGU.’ Hiyo ni Imani yako’ Acha uchonganishi..!
Shukraan san shekh wetu Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu wenye kher na barka ndani yke ili uzidi utuelimishe na kutupa tusiyoyajua ktk dini yetu hii ya haqi ya kiislamu.pia namshukur Allah kwa kunijaalie kua miongoni mwa waja wke aliowatunukia hii neema ya kua muislamu naseme tuu kwa uchache"Alhamdulilah alaa negh-matul-islam
Alhamdulillah koona niko mwislam
Jazaaka llahu khaira yaasheikh muadham
JAZAQALLAHU KHAIR
shukran sana sheikh othmani darsa zuri sana
Mashaallah
Alhamdolillah Alhamdolillah Alhamdolillah Alhamdolillah
ماشاء الله
Uko vizuri
Kabisa hatuna wasiwasi kashatwambiya kiumbe aliyotukuka mbele ya molz wa viumbe vyote nabi umii asadiku al amiin Allahuma amiin
Msilinganishe Yesu na Issa, Issa ni kupotoshana
Kwenye Al kitab hakuna Issa Kuna Yesu waarabu wanamuita Yasu ( Muokozi) Issa ni nini? Halina maana ya ukombozi, ichunguzeni sana hiyo Qur'an, kwanini iwaletee Issa badala ya Yasu,. Kuweni makini sifa za kidunia hazina maana mbele ya Mwenyezi Mungu, ogopeni siku ya hukumu, nakumbukeni shetani anafanya kazi kubwa ya kuufanya ukweli uonekane ni uwongo, ogopeni kuwa mawakala wa mpinga Kristo, mafundisho ya Qur'an hayaendani kabisa na mafundisho ya Al kitabu, Yesu kaja Kwa kazi ya kumkomboa mwanadamu kutoka kwenye utumwa wa zambi na watu wanabadilika wanao mwamini na kumfuata. Huyo Issa Hana huo uwezo kufanya hivyo, shetani yupo kazini amkeni.
Mashaallh
Maashallah
Maaashaaallah shekh jazakallah
Shekhe ujumbe umefika huo..wala usipate tabu shekhe wangu...
Mashallah
Nabii Issa siyo Mungu isipokuwa Yesu Kristo wa Nazareth yeye ni Mungu. Yeye ni Neno tena ni Nuru pasipo yeye hakuna kilichoumbwa yeye ndiye mwenye funguo za mauti na kuzimu na yeye ndiye atakayewahukumu wazima na wafu yeye ni mfalme wa wafalme yeye ni Bwana wa mabwana ndiye Mungu wa miungu yeye ni Niko ambaye Niko yeye ni Mkuu wa wafalme dunia ni mwaminifu na wa haki. Hafananishwi na yeyote, yeye ni Alfa na Omega. Yeye pekee ndiye anayesamehe dhambi za wanadamu wala hakuna wokovu kwa mwingine awaye yote isipokuwa Yesu. Jina lake lina mamlaka shetani na majini yote yanatii litajwapo jina lake. Anaponya anafufua na anaokoa . Kwa jina la Yesu kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri ya kuwa yeye ni Bwana kwa utukufu wa Mungu baba. Yeye ndiye atakakaye wahukumu wote wenye mwili siku ya mwisho. Ukimwamini na ukampokea moyoni mwako utakuwa na uzima wa milele
8:40Yohana usiongee tu hawezi kua Mungu na haitokea kua Mungu
Akili huna ww
@@mwanaishamlima2047 ... siamini kama una akili ya kuelewa mambo... Yesu ni Mungu.. wa kweli kabisa
Leonce Uwandameno kwa hiyo alivyokuwa tumboni kwa mama yake nani alikuwa mungu wenu? Pumbavu kweli ndio mungu wenu alikuwa na govi wakosa akili akatahiriwa
Yohana 20:17 yesu siyo Mungu, hacheni kupotosha
Poleni nyinyi mnaokataa yesu kirahisi kwa hekima zenu ta shetani amewadanganya nyinyi watu hebu tafteni kujua ukweli kwa sababu muda umeisha yesu anarudi kuchukuwa watu wake wanaumwamini na Siku hiyo yeye ndo bwana na mfalme mkataeni tu Ila Sikh hiyo ndo mtajuwa kuwa ndiye na mtakuwa mmechelewa
Pole yako watu wake ni wapi kama si wana wa israel we muizrail au mluga luga acha hizo utatoswa unafatilia shuhuli si yako
Marshallah
Hivi ndivyo Waislamu wanavyodanganywa na mashehe wao kuhusu Yesu... Kama Yesu siyo Mungu basi mwulizeni pepo kwa nini hawawezi kutamka jina la Yesu Kristo (hakuna pepo anayeweza kutamka jina la Yesu) ila jina la Muhamad linatamka vizuri tu na mapepo... huo ndo ukweli.. narudia tena kusema .. hakuna pepo yoyote anayeweza kutamka jina na Yesu Kristo... na ndivyo ilivyo hata kwa Waislamu .. wanalizunguka zunguka tu hilo jina la Yesu .... eti Issa ibin Mariam .. Tamkeni Yesu wa Nazareth.. maana yake ni kwamba wapungia Kristo hawawezi kutamka waziwazi jina hilo Yesu. Kutamka Jina la Yesu ni kumkiri Mungu katika Utatu Mtakatifu.. kutamka Issa kama kurani inavyosema... ilivyoandikwa.. ni kumtamka mtu mwingine ambaye hana Uhusiano na Yesu .. japo habari zinazoongelewa zinaongelewa kuhusu Yesu.... Mashehe muwaelezeni waumini wenu vizuri kuwa Yesu ni Mungu kamili kabasa... acheni kupindisha ukweli ili kujifurahisha nafsi zenu!
Pole sana mungu akuongoze
Ujinga utawaisha lini? Kwa hiyo unadhani jina lake ni Yesu sio? Unadhani alikuwa mzaramo kama wewe. Katafuta Yesu alikuwa na asili ya wapi na jina lake kwa mujibu wa asili ile ni lipi. Ni sawa na mtu aitwe Yohana halafu mwingine akisema John mtu ahamaki. Ni lugha tu. Issa ni kiarabu na Yesu ni kiswahili na Jesus ni kiingereza. Na kwa taarifa yako Yesu alikuwa anaongea ki armaic. Kuna pepo mpaka wanaosali makanisani. Endelea kuishi utajua mengi
Nakushauri ndugu yangu uisome hiyo biblia yote kuanzia mwanzo mpaka ufunuo hakuna andiko yesu aliingia kanisani pia yesu nikiswahili kwa kingereza anaitwa jesus kwa kifaransa anaitwa jezee sasa kusema yesu wala sio shida inatakiwa ufahamu yesu ninabii wa mungu nimtume sahihi wamungu kwa wana waisrael ndani yamataifa 12 ya Israel hiyo iko wazi mitume 25 walio tumwa na mungu wametajwa kwa mpangilio sasa biblia nimaneno yanani sababu hakuna sehem yesu kasema yeye nimungu kama unalo andiko nipatie
Mungu kasulubiwa nyie kasomeni tena
Tatizo biblia yenyew hawaisomi mpaka wakahubiriwe makanisani
Waislam mnateseka duh....
Kuna waliyotia pamba madikioni na akili zao zimeshikiliwa na WENGINE lakini tujitahidi kuwaombea Allah awazindue na akili zao washike wenyewe 🤲
Mashaallah
Yesu alikuja duniani miaka 600 kabla ya Muhammad. Ndiyo maana koran inasema wakristo ndiyo wanaijua njia ya kweli. Na njia hiyo ni Yesu kristo. Muhammad mateso anayoyapata huko kuzimu hayaelezeki majini yanamsulubu vilivyo na kila asiyemwamini Yesu kristo njia yao ni moja. Nampenda Yesu kwa kuniokoa . Neno la msalaba kwa waliopotea ni upumbavu lakini kwetu sisi tuliookolewa ni nguvu. Ooh Jesus I glorify your name
Aya gani inasema hivyo wewe kilaza? Hujui unachokiongea wewe unaandika tu hushirikishi udongo
Unaongea vitu gani mbona haweleweki leta ushahidi wa maneno yako
Sio hivyo kura I inasema wakiijua kweli wanabadilika na kufuata, sio wanaijua bali wakiijua
Umeelewa.
Si mtoto Wala mungu kwa Imani ya kiislam lakini kwa Imani ya kikristu ni mungu na mwana.
Sawa’ mbona imeeleweka..!
Ukiristo sio dini yamungu ndo maana neno biblia lipo kwanje tu ila ndani yamaandiko yote kutoka mwanzo mpaka ufunuo huwezi kupata neno biblia nani aliekuja nabiblia naomba unambie wapi yesu aliingia kanisani
Mbona bibilia ikawa mbele ya quran kisha quran ikawa na mambo mengi kutoka kwa bibilia. Ukitoa bibilia dunian quran inakufa kabisa maana itakosa ladha, hakuna cha kuhubiria watu ndani ya quran
ISA MASIAH NDIYE NJIA KWERI NA UZIMA WA MILELE AMINA
Hatujakataa lkn kwa wana wa israel
Amejitahidi sana kuelezea ila amechemka hapa alipoelezea Historia ya Anglikana, Uluteri na Uroma. Hapa amechemka kabisa hahahahahhahahah
❤
Sheikh kafafanua kwa uwazi kabisa. Si somo kwetu waislam bali hata kwa wakiristo wanaotaka kujua ukwelk juu ya Nabii Issa ama Yesu
Yesu ni.mungu ni.mwana wa.mungu. utabaki hivyo milele . Yesu.atahukumu ulimwengu wote haighalishi dini gani upo mbele yako Yuko yesu. YOHANA. 5 38;. 47. Waisram. Wote tafakarini Aya hiyo. Yesu ni mwisho wa.sheria. Manabii wote na mitume wa.kizazi.hiki wana.muhubiri.yesu wanaisoma.injili ya yesu hakuna jipya .niyesu atahubiliwa mpaka mwisho wa dunia
Kama yusu mungu baba wa mama yake yesu mwamwitaje nyinyi ? wala mama wa Mariamu mwamwitaje?
@@sumisumi8181 tokea yesu.adhihirishwe.ulimwenguni.unaona Nini ?miaka..alfu mbili.iliyopita.jina.la.yesu linatajwa.ulimwenguni.kote. . Mm yesu.kristo. ninafasi ya.mungu ...bb.. . Anayo. . Ya amli. Ya kuhukum na kusamehe ulimwenguni vituvyote. Viko chini. Yake ikosababu ya yeye kuitwa mungu naikosababu ya yeye kuitwa mwana. Tafutakujua sababu itakusaidia
@@macrinajoseph1422 jibu swali kwanza umetowa maelezo ya sio kidhi swali .. jibu swali Bro
YESU KRISTO NDIE MUNGU MKUU mpende msipende mpinge mwezavyo lkn kilagoti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa YESU KRISTO NDIE BWANA WA MABWANA na ndomuhukumu wa kila kiumbe kiishicho mbinguni duniani na kuzimu
Ok toa ufafanuzi yohana 20:17,Luka 18:18 Yohana 17:3
Swadakta
Uyu sheikh anamawaidha mazuri saana lakn shida hataji vitabu anasema tu mtume kasema.. angesema na kitabu gani nasi tukahakikishe
Ww kaa Kwanza usome utavijua hivyo vitabu
Ukimsikiliza huyo sheikh huitaji akutajie kitabu unathamani tu ukasome kwake huyo ni mwanawazuoni
Mtume wenu alizaliwa katika upagani sasa nipeni aya moja tuu lini alisilimu sababu muislamu wa kwanza ni mke wake,Endeleeni kubusu Jiwe mpaka mpate neema ya kumjua Yesu ambaye ndiye Kristo sio isa ibn mariam ambaye hata hajawahi tokea nadhani ndio huyo nabii wa uongo atakayekuja na mahdi(ant christ)
Ukiijua INJILI ya YESU na kuisoma ndio Utamjua YESU/ISSA Bin MARYAM. Lakini kwa INJILI ya YESU/ISSA bin MARYAM hujawahi kuiona wala kuisoma huwezi kumjua MWZ MUNGU wala huwezi kumjua ISSA bin MARYAM wala huwezi kumjua MTUME MUHAMADI. Biblia/Bible siyo KITABU cha ISSA bin MARYAM/YESU na kama YESU haijui Bible/Biblia ni Wazi hata anayetumia KITABU ambaye siyo Chake yaani INJILI ya YESU ujue fika hauko na YESU. Tafuta kwanza INJILI yake YESU ndio Useme Unamjua MUNGU na YESU.
Www ni fala ujui kitu ww kwnz unaona wakat yes ajawh oa ww si fala ww ujui kuhus iss ww kam yesu wen katajw kweny kitab cha waislum aushtuki tuuuuh na kwann mtum atatajw kwenuu ....Som vizur ww ujue
@@allanothuman2941 Duu Matusi tena JAMANI I kwaajili ya kueleweshana. Nduguzangu hapa hakuna ugomvi YESU siyo wako bali ni wa MUNGU. YESU ni MTUME alitumwa kufikisha Ujumbe wa MUNGU wake ambaye ni MUNGU wetu, Baba yake ambaye ni Baba yetu. Sasa ukiona Unatukana Ujue fika wewe humjui YESU wala MUNGU. Anayemjua YESU na MUNGU wa YESU Hawezi kutukana. MUNGU AKUPE Baraka zake ili umjue YESU na MUNGU na INJILI ya YESU.
Kwanza nikusaidie huyo haitwi Mpinga Krito bali ni Mpinga MUNGU ili Awapotoshe Binaadamu. Na Mpinga MUNGU (Lusifa) Mwakati wake nado maana atakapokuja Dunia ndio Mwisho. Hivyo ni vema Umjue MUNGU mapema na Umjue YESU ni nani na INJILI yake ikoje, hapo ndipo Utapata maarifa mengine.
Shida sio kubusu jiwe shida ni kula mkate unaotengenezwa na kinyesi(mashonde) mpaka atakaporudi.
Assalam alaykum mimi ni muislamu lakini sielewi unapo sema mohamedi s.a.w ni mkubwa kwa isa japo isa ni roho na neno la Mwenyezi Mungu swali? Lipi linamufanya mohamedi s.a.w mkubwa kwa isa ????
Muhammad ni mkubwa kicheo, issa ni kwa wana israel tu muhammad kwa watu wote
@@samxx411 nani amesema hivyo? Aya itasaidia zaidi.
Wewe n I muislam kweli?
Wee cana ndomana mnaambiwa msome dini, hii yote kutokusoma dini ni Uislam jina tu wa kuzaliwa
Ni wapi na wapi yesu akawa issah, hawa ni watu wawili tofauti. Issah sio Yesu.
Tulimtia nguvu Isa nani.alisema wawili watatu?
Yaliyoandikwa kwenye biblia ndiyo yaliyosahihi
Mungu kafa?
Nyinyi mashehe mnadanganya sana waislam mnapoteza watu jamani kwanini mnamsaidia shetani Luanda kundi kubwa LA kwenda motoni
Ww fala ww ujui kitu
Kama hujui kitu uliza ueleweshwe
Harmonez
Wasalam haleekm shekh. Mimi ndo naanza kujifunza uislam niuelewe. Naomba u nicheki, +96872136624. iyo namba yako sijaielewa; nicheki tadhadhali. Kuna jambo nikuulize
niambie
@@bakariomary8728 chukuanamba
Kama unaamini Torati kasome ukaone jinsi manabii Wa zamani walivyo tabiri juu ya Yesu kristo kuteswa kwake na mengine mingi kasome na Zaburi sura ya 1,2
Isaya 53:3-5
Acheni uongo. Siku yamwisho mtajuta kwanini hamkumwamini Yesu kristo na mtakuwa mmecjelewa japo ukweli mnaujua tuuu. Kwa ufupi Mimi ninawaombea kwa Mungu aliye hai awafungue macho muone kuwa bila Yesu kristo hakuna mwanadamu atamuona Mungu( atakaye ingia peponi)
Ushasema bila Yesu hakuna binaadam atakemuona MUNGU....Kwa hiyo kuna Yesu na kuna MUNGU’ Sasa waambie wakristo wenzio wanaosema Yesu ni MUNGU...!
Waislam tunamuamini Yesu kama mtume wa MUNGU...Kwa hiyo suala la kusema hatumuamini hilo litoe mawazoni mwako’...ila tunawakumbusha tu kwamba Yesu Si MUNGU wala mtoto wa MUNGU..!...kwa sababu MUNGU hana shida na Ubinaadam wala kuwa na mtoto...!
Bado huja nielewa....nyie sinamunaamini INJILI? Soma Marko 1:1
Yohana 1:1-4
Isaya 9:6
Ndo utajua Yesu Kristo ni Mungu na ni mwana Wa Mungu. Haya mambo ni yanatambulikana kwa namna ya Roho Wa Mungu nasiyo kwa akili zetu au kubishana...Barikiwa na Bwana Yesu
Injili ya Marko
" Mwanzo Wa Injili ya Yesu Kristo mwana Wa Mungu"
Injili ya Yohana
" Hapo mwanzo kulikuwako na neno naye neno alikuwako kwa Mungu naye neno alikuwa Mungu"
HAYA NIPE TAFSIRI HAPO
@@mch.deosinkala3120 haujui bible wewe
@@mohamedimohamedi8933 nasema nipe tafsiri kwani nasema tubishane ndugu yangu
@@mohamedimohamedi8933 Isaya 9:6
" Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa; Tumepewa mtoto manaume, Na uweza Wa kifalme utakuwa begani mwake ataitwa mushauri Wa ajabu Mungu Mwenye nguvu , Mfalme Wa amani"
Anaamanagani hapo Isaya
Hamjui chochote kuhusu YESU KRISTO wala mariam porojo tuu mnapoteza muda tuu ndomana mungu wenu na mtume wenu anawaambia 'mambo mengi hamjui waulizeni waliowatangulia ktk kitabu yaani wakristo na wayahudi 'ninyi mmetoa wapi hzo hadithi za uongo!!!??
Hahaha’ kipindi Cha Yesu ukristo haukuwepo’ mpk anaondoka haukuwepo’ ukristo umeletwa na Paulo’ mtaalam wa kutengeneza mahema ‘ mwana philosophy aliewaharibu akili...!
Tunauliza viitabu vilivyopita kabla ni ZABURI ya DAUD ......TORATI ya MUSA na INJILI ya ISSA....hatuulizi ukristo maana haukuwepo wala hawana kitabu’ ...!....ukristo si dini...!...funua kitabu unachoamini tafuta andiko ukristo ni dini...!....hulipati kwenye vitabu vilivyotangulia wala hicho kitabu unachokifuata...!
Ukitaka kujua jambo soma ‘ acha ushabiki..!..UTAPOTEA
Wewe unajua, baba ake si Yussuf ikisha
Kwaiyo uongo wa Paulo ndo wa ukweli..!?
Acha kashfa wewe mtu,
YESU ni mwana wa MUNGU na ndio maana hata pepo wabaya wanatii unapoliitia jina lake.
Hakuna JINA kingine tulilopewa wanadamu chini ya jua ambalo twaweza kuokolewa kwalo.
Bado mnamuombea rehema mtume, lakini sisi hatuombi rehema kwa ajili ya YESU.
Hubirini Dini yenu nyie.
Huna akili
Z
Mashaallah
maashaallah
Mashaallah