Masha Allah Rabby wahifadhi mashekh wetu wasife mapema haliyakuwa wasiokujuwa hawajakujuwa ya Allha tupe mwisho mwema waislam wote duniani wanaokuamini amiin 🤲🏾🤲🏾🤲🏾
@@shafiishomari2328 Maalim Shafii Kama ikiwezekana unaweza kunpatia na namba yako hasa unayotumia WhatsApp nimefurah sana mlipoirudsha hii kazi ya mihadhara
Hawa ndiyo mashekh ambao huwa nawasilikiliza very bright,lakn haya mafilauni yanayofuga majini kichwan ukimtAja YeSu tu yanavimba yanakuita kafir 😁😁😁elimu n muhimu sana
Shekh shafii unatisha,, Walimu wamekutanguliza, wakiwa wanajua kuwa unaweza kufafanua vizuri sana kwa ufasaha kabisa. ALLAH AKUHIFADHINI MASHEKHE KWA KAZI NGUMU MNAYOIFANYA.
Kwan jaman dunia hii ninan asiejua kwamba nabii issa in mtume wa mwenyez mungu na pia twatambua kwamba taurat na zaburi na injiri na kur aan in vitabu yva mwenyez mungu sasa shekhe shafi juu ya hilo waislam hawana shaka nalo ispokua hawa wakristo ndo hawaikubali kur aan na pia hawampendi mtume Muhammad sasa hebu waambien kwanza kwamba huyu mtume Muhammad ndo kiongoz cha mitume wote ili waache chuki na waislam
@@pilimsame4697 WAISLAMU WAPO WENGI SANA AMBAO HAWAJUI KUWA YESU NDIYE NABII ISSA (AS)!!, PIA WENGI KATIKA WAISLAMU 👉(MAJAHIL) WANAITAKIDI KUWA INJILI NI KITABU CHA WAKRISTO !! 😨
Wakristo nawaomba wafatilie maandiko watajua kweli sisi waislamu tunamuamini yesu kama mtume wamungu kwa mujibu wamaandiko natuko pamoja nae kwa kitabu alicho pewa cha injili nahii nikwamujibu wa Quran
@@muhamedkhalid6391 ndio ucristo sio dini dini nimoja tu uislam vp mtu atamuabudu yesu kua mungu uliona wapi mungu anakufa sasa hapo wajue ucristo sio dini ya kweli wanajitoa ufahamu tu
Naam uku kwetu burundi unapo wambia mimi niko pamoja na yesu na Muhammad wanakushanga ila unapo waelewesha unamkubali yesu kama mtume na nabii Muhammad ni nabii awataka ata kusikia ilo jina la Muhammad sijuwi tuwaeleweshe vp awa watu yani nivicwa nguvu wahali ya juu
uislam umeanza kuhubiri amani tangu enzi za adam....wewe ndo utakuwa uislam umeanza kuujua LEO....waulize wakubwa walokutangulia ambao walikuwa wanafatilia uislam
Nam maanayake kama mtu akikuita jina lako kwamfano nakuita juma wewe utaitika vipi utaita eeee au utaita naam hiyo ndiomaana ya naam ukiitwa ukiwa muislam utaitika naam
Kabla yakuja Mungu Yessu alikuepo Mungu gani ? Jee Mungu ana mama ? Hivi Mama yake Yessu akimuamrisha Kitu huyo Mungu Yessu atakataa? Tunatakiwa tujifunze na tuweze kutafakari zaidi
@@Yu-jr9uf yesu katika roho hajazaliwa na mariamu amezaliwa na mungu katika mwili ndio mariamu kamzaa yesu kwahiyo yesu alikuwepo hata kabla ya mariamu kuwepo maana yesu ni neno litokalo kwa mungu ndio likafanyika mwili kwa njia ya kupitia Mariam.
Acha unafiki na chuki zisizo za msingi hivi we nani unaechimbuachimbua madhaifu ya wengine hivi wewe hakuna mahala unakosea? hakuna mkamilifu mkamilifu ni Allah.
Amri kumi za Musa ziliwahusu umati wake kwa sababu kitabu kilichokuwa kinatumika ni torati. Yesu akapewa injili na Mohammed akapewa quran na ndio latest.
Bunda Telcom hakuna kitabu katika biblia kinachotuhusu. Kinachotuhusu ni kitabu cha quran tu maana ndio kitabu kisicho na mashaka. Biblia imejitahidi kukusanya torati, zaburi na injili lakini imekwama na imekuwa na makosa mengi. Ndio maana ina mpaka maneno ya shetani.
@@bundatelcom2734 unajua biblia wameichezea sana wamebadili mambo mengi wameitafsiri wanavyotaka kitabu cha kweli kilichokua hakina makosa wala kubadilishwa hata neno 1 ni Quran tu vingine feki tumeelewana mpz
Sio kweli ni nyietu ndugu zetu ndio msio uelewa uislam ni nn..mnatawaliwa chuki na Iman mlizo jengewa na viongozi wenu ikiwa hata maandiko mnayo tamba nayo hamfanyi kama yalivo andikwa badala yake ni waislam ndio wanayo yafata...ujue kua uislam unavitambua vitabu vyote vya mungu...ila hiyo bablia mnayo tumia wala sio kitabu Cha mwenyezi MUNGU...na ndio maana vikitajwa vitabu vya MUNGU hutosikia biblia ikitajwa cjui mlikipata nyie
@@muhalakibwana4026 sikiliza ww ndio unamatatizo ya akili nani asie mjua yesu nathani wewe ndomboloo unayo cheza imekudatisha fyuzi zako nakuona umoumo tu pole sana wahi milembe usichelewe kitanda
Wewe shekhe shaffi uko hafidhi wanguvu kwa kukariri kitabu cha Allah Allah akuifadhi shekhe wetu Allahumma Amiiin
Mina mushukuru mwenyeze Mungu subhana watala kwa kunipe masheikh inshaallah
SHAFII Uko Vizuri Sana Wallah. Nakupenda KWA Ajili Ya ALLAH.
Ahsant
Asanteni ma sheikh kwa ujumbe tunajifunza Allah atawalipa pepo insha'Allah
Shukriya mungu awalinde mashekh wetu na muzidi kutupa elimu hii ya akher.
Masha Allah Rabby wahifadhi mashekh wetu wasife mapema haliyakuwa wasiokujuwa hawajakujuwa ya Allha tupe mwisho mwema waislam wote duniani wanaokuamini amiin 🤲🏾🤲🏾🤲🏾
Amina rabbilalamin
Amiin Allah Humma Amiin
Masheikh watu twawapenda sana mungu awazidishie umri muzidi kutuelimisha na awafanyie wepesi kwakila jambo Inshaallah
Allahumma amiiin Yarabb
Allah awahifadhi na awape umri mrefu na awajaalie afya njema amiiin
HUYU SHEIKH SHAFII SHOMARI NAMKUBALI SANA KWAKWELI
Ahsante
@@shafiishomari2328
Maalim Shafii Kama ikiwezekana unaweza kunpatia na namba yako hasa unayotumia WhatsApp nimefurah sana mlipoirudsha hii kazi ya mihadhara
@@zaburionlinetv6245 0716 747459
@@shafiishomari2328 shukran
Mashaallah alhamdulillah sheikh wetu Allah awalinde
Masha Allah ustadh shafii Allah akupe umri ,afya na iman zaid uendelee kuwanyoosha makafir.
Amina
Masha Allah.
Alah ampe afiya jema huyu sheikh
Masha Allah khr, Allah akufnyie sbra insha Allah kwa kutoa elimu kwetu, mashekhe wetu walio ekaa ndani muwaanglie watokee
Masha Allah khr, Allah akufnyie sbra insha Allah kwa kutoa elimu kwetu.
Nasikia raha aa Ya Allah. Mashallah
Do you Muslim?
@@nyatya199 why?
I'm proud to be a Muslim
Coroline karibu sana 😊😊
She is a muslim😘
Asalam aleykoum warahmatulillah wabarahkatuh Allah awalide ma sheikh
Naomba namba yako Dad tuasiliane
Mashallah suzane😊😊
WSALAAM warahmatullah taala wabarakaatuh
Aliesikia "VITU VYA SAIDO" like
Watu wamaana sana ma sheikh zetu Allah awalipevduniani na akheira
Allah awalipe kheri Mashekhe hawa
Allah atupe Janna firdaus pamoja naashehe wetu na kijana wangu Juma waziri waislamu tupendane kwa ajili ya allah
Maa mashekhe Allah awape afya na awalinde na kila shari.
Masha Allah
Hawa ndiyo mashekh ambao huwa nawasilikiliza very bright,lakn haya mafilauni yanayofuga majini kichwan ukimtAja YeSu tu yanavimba yanakuita kafir 😁😁😁elimu n muhimu sana
Maashaallah jazaka Allahu kher
Mashaallah mashaallah
I really like this
Maa shaa Allaah Tabaraka Rahman
Mashaallah
Mashallah
Allah awalinde muendelee kuwaingiza watu ktk nuur watoke huko walikopotezwa
inshallah mung awabarik
Shekh shafii unatisha,, Walimu wamekutanguliza, wakiwa wanajua kuwa unaweza kufafanua vizuri sana kwa ufasaha kabisa.
ALLAH AKUHIFADHINI MASHEKHE KWA KAZI NGUMU MNAYOIFANYA.
Kwan jaman dunia hii ninan asiejua kwamba nabii issa in mtume wa mwenyez mungu na pia twatambua kwamba taurat na zaburi na injiri na kur aan in vitabu yva mwenyez mungu sasa shekhe shafi juu ya hilo waislam hawana shaka nalo ispokua hawa wakristo ndo hawaikubali kur aan na pia hawampendi mtume Muhammad sasa hebu waambien kwanza kwamba huyu mtume Muhammad ndo kiongoz cha mitume wote ili waache chuki na waislam
@@pilimsame4697 WAISLAMU WAPO WENGI SANA AMBAO HAWAJUI KUWA YESU NDIYE NABII ISSA (AS)!!, PIA WENGI KATIKA WAISLAMU 👉(MAJAHIL) WANAITAKIDI KUWA INJILI NI KITABU CHA WAKRISTO !! 😨
Amina
shukran shegh
Kama umesikia shk shafii vzr si umeona vitu vya saidoo
Mashaallah tabarak arrahmaan
Mashallwaah tabarak arrahmaan
Lailahailallah
Muhamad rasullullah
Mhh kheri inshaallah
Wakristo nawaomba wafatilie maandiko watajua kweli sisi waislamu tunamuamini yesu kama mtume wamungu kwa mujibu wamaandiko natuko pamoja nae kwa kitabu alicho pewa cha injili nahii nikwamujibu wa Quran
Wanajua ety kma ukristo cyo dini wala hawana hoja yyte
@@muhamedkhalid6391 ndio ucristo sio dini dini nimoja tu uislam vp mtu atamuabudu yesu kua mungu uliona wapi mungu anakufa sasa hapo wajue ucristo sio dini ya kweli wanajitoa ufahamu tu
jazakalh.
Hakika Uslamu ni Uongoz tosha ktk Dunia hii tulio nayo!!
Naam uku kwetu burundi unapo wambia mimi niko pamoja na yesu na Muhammad wanakushanga ila unapo waelewesha unamkubali yesu kama mtume na nabii Muhammad ni nabii awataka ata kusikia ilo jina la Muhammad sijuwi tuwaeleweshe vp awa watu yani nivicwa nguvu wahali ya juu
Mbona hizo mada za amani zimeanza leo, kwa jk, mkapa mbona hazikuwepo?
uislam umeanza kuhubiri amani tangu enzi za adam....wewe ndo utakuwa uislam umeanza kuujua LEO....waulize wakubwa walokutangulia ambao walikuwa wanafatilia uislam
Ituhumu memory yako! Uislaamu woooote tangu zama hizo ni amani tupu.
Au wewe umezaliliwa mwaka gani umekwenda chuoni kamahujaenda chuoni nenda bado hujachelewa utasomeshwa yote sawa kpz
SHEIKH SHAFII SASA HIYO NAM NAM NINI ???????
Nam maanayake kama mtu akikuita jina lako kwamfano nakuita juma wewe utaitika vipi utaita eeee au utaita naam hiyo ndiomaana ya naam ukiitwa ukiwa muislam utaitika naam
Hii vidio jmn nitaipataje??
Unaweza kuipakua
@@kutailadifi2854
Kivipi bro tufahamishe tuipakue
Mashallah Alla akulien.
Kabla yakuja Mungu Yessu alikuepo Mungu gani ? Jee Mungu ana mama ? Hivi Mama yake Yessu akimuamrisha Kitu huyo Mungu Yessu atakataa? Tunatakiwa tujifunze na tuweze kutafakari zaidi
Yesu hajazaliwa na mariamu na kama unabisha toa aya.
@@bidafumbuka855 kazaliwa na nani??
@@Yu-jr9uf sasa cjajua unataka tumjadili yesu kabla ya kufanyika mwili au baada yakufanyika mwili.
@@bidafumbuka855 umesema hajazaliwa na mariam, mi nakuuliza unijibu swali, kazaliwa na naniii???
@@Yu-jr9uf yesu katika roho hajazaliwa na mariamu amezaliwa na mungu katika mwili ndio mariamu kamzaa yesu kwahiyo yesu alikuwepo hata kabla ya mariamu kuwepo maana yesu ni neno litokalo kwa mungu ndio likafanyika mwili kwa njia ya kupitia Mariam.
sana mpe huyo, yahaya yuko wapi mbona mmemtenga sana
Acha unafiki na chuki zisizo za msingi hivi we nani unaechimbuachimbua madhaifu ya wengine hivi wewe hakuna mahala unakosea? hakuna mkamilifu mkamilifu ni Allah.
Vossos videos tem tido muita interferencia de gente que passa atras do palestante
Wasalam haleekm. Ustadh shafii, kwan mtume au nabii wapili kabla ya adamu ni nani? Na munazitambuaje zile amri kumi za musa😂😂😂
Amri kumi za Musa ziliwahusu umati wake kwa sababu kitabu kilichokuwa kinatumika ni torati. Yesu akapewa injili na Mohammed akapewa quran na ndio latest.
@@ikabako2454 kwahyo waislaam wanazifata' maana kuna vitabu ndani yabiblia vinawausu; ?.
Bunda Telcom hakuna kitabu katika biblia kinachotuhusu. Kinachotuhusu ni kitabu cha quran tu maana ndio kitabu kisicho na mashaka. Biblia imejitahidi kukusanya torati, zaburi na injili lakini imekwama na imekuwa na makosa mengi. Ndio maana ina mpaka maneno ya shetani.
@@bundatelcom2734 unajua biblia wameichezea sana wamebadili mambo mengi wameitafsiri wanavyotaka kitabu cha kweli kilichokua hakina makosa wala kubadilishwa hata neno 1 ni Quran tu vingine feki tumeelewana mpz
Hakuna hata muislam mmoja duniani kote anaye mtambua Bwana Yesu
Wewe hufahamau?
Tunamtambua sana na sio yeye tu tunawatambua mitume yote iliyopita sio yesu pekeyake
Sio kweli ni nyietu ndugu zetu ndio msio uelewa uislam ni nn..mnatawaliwa chuki na Iman mlizo jengewa na viongozi wenu ikiwa hata maandiko mnayo tamba nayo hamfanyi kama yalivo andikwa badala yake ni waislam ndio wanayo yafata...ujue kua uislam unavitambua vitabu vyote vya mungu...ila hiyo bablia mnayo tumia wala sio kitabu Cha mwenyezi MUNGU...na ndio maana vikitajwa vitabu vya MUNGU hutosikia biblia ikitajwa cjui mlikipata nyie
Tunamtambua yesu lakini kiislam ni issa ibn mariyam nyinyi mnamwita yesu
Ina maana haya yanayoelezwa huelewi,bila shaka una matatizo ya akili