Ukweli Kuhusu Siku Kuu Ya Christmas Day / Nabii Issa Hajazaliwa Siu Hii Jamani / Dr.Sule
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Ukweli Kuhusu Siku Kuu Ya Christmas Day / Nabii Issa Hajazaliwa Siu Hii Jamani / Dr.Sule
Mashaa AllahDr.Sule akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Ukweli Kuhusu Siku Kuu Ya Christmas Day / Nabii Issa Hajazaliwa Siu Hii Jamani / Dr.Sule
tizama mpaka mwisho usisahau kushare
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Baraza La Waislam U.S.A
Instagram @Baraza La Waislam U.S.A
RUclips @Baraza La Waislam U.S.A
TikTok Baraza La Waislam U.S.A
❤❤❤Best good with 5 star like it from Tanzania
Mashaall
Mashaallh Mashaallh Doctors sulemani
Ipo vizuri shekheee nimeerewa
Imeereweka shekhe vizuri sana
Leo ndio nimejua waislamu ni waongo hasa Dr sule
Mungu akulipe kilakherr
MashaAllah
YESU amezaliwa
Pole sana
Huyu ndo alifanya nisilimu kabsa 🙌🙌🙌
Mshenzi tu ww na mbumbu sababu umeshindwa kuielewa Biblia. Huyu Muhammad wenyewe atahukumiwa na Yesu
Amina Amina Amina
Inteligente
Mungu akulipe
Nakumbuk mbali sana nakuskilza hii dawaaaa
Joice Wacha Ubishi Dini Ya Haki Mbele Ya Mwenyeez Mungu Ni Islaam Nass Waja Wt Sk Ya Qiyama Peponi Wataingia Waislaam Tu
Angalie msije mkaazibiwa na mungu nyie wakristo
Yesu amezaliwa tarehe 25 /12 krismas / bwana yesu asifiwe Dunia yote / wakristo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kasome kwanza
@@sleyumngoloakafanye nn😂😂😂😂
Tatizo wakristo hampendi kusoma bali mnapenda kusomewa na kuaminishwa vitu visivyokuwepo na mnabaki kusema aminaaa ,haleluya ,shame on you.
Wewe ndugu yangu Joyce unaalikili wewe mbona yeye yesu mwenyewe ajataja kwamba yeye amezaliwa tarehe hizo ajazitaja wenyewe kuwenu mnaakili zaidi Na akwaimani yenu potevu munamwita Ni mungu mungu gani anaye zaliwa hakili Hamna kabisa madebe tupu
@RastaSuma Biblia ipo kwa kila lugha halafu unasema tunasomewa. Sema nyie ndo mnasomewa sababu lugha ya Kiarabu kwanza hamuijui. Mathayo 2:11 Yesu alipozaliwa alipewa dhahabu, manemane na uvumba na walisherehekea. Ww unataka kusherehekea lini. 1 Wakorintho 10:31 tumeagizwa kufanya kila kitu kwa utukufu wa Mungu
Mimi ni mkristo ila kusherehekea krismas sio sahihi kabisa huu ni uongo ambao watoto wanafundishwa kila siku kwamba Yesu alizaliwa tarehe 25 December wakati biblia haijaandika hiyo tarehe 25 ilikuwa ni sherehe ya kipagani na viongozi ambao wanafundisha waumini kusherehekea hiyo siku kuu wanajua historian yake maana kama Mungu angetaka tuisherehekee angeagiza Yesu hakuwahi kusema wala kuisherehekea iweje sisi Mungu atusaidie tusiupuuzie ukweli kwa makusudi
Yesu alipozaliwa alipewa zawadi ya manemane na uvumba Mathayo 2:11 na pia walisherehekea kwa kuzaliwa kwake. Sasa ww unaepinga kusherehekea Christmas huwa unasherehekea lini? Pia Biblia imetuagiza tufanye mambo kwa utukufu wa jina lake. Christmas tunasherehekea kwa ajili ya utukufu 1 Wakorintho 10:31
@GraceKamala-dm2bf mnasherehekea krismas kwa utukufu wa jina la Yesu huku mkijua kabisa kwamba hii sherehe ni ya kipagani iliyoingizwa kwenye ukristo baada ya Konstantine kuongoka na kuwa mkristo ila wakaamua baadhi ya sherehe za kipagani ziingizwe kwenye ukristo ili waendelee kusherehekea sherehe zao.kumbuka hapa suala la msingi ni uongo ambao vizazi na vizazi vinaendelea kufundishwa kwa sababu suala ni kwamba Yesu hakutazali wa mwezi 12 wala biblia haikuwahi kutufunulia hili wala haikuagiza kusherehekea hilo kumbukumbu la torati 29:29. hayo yote ni matokeo ya uasi ulioingia ndani ya kanisa la kikristo nakushauri kama unadhani niuongo kasome historiaya krismas na pia kama bado huamini muombe Mungu kwa dhati kabisa atakufunulia maana yeye ni mwaminifu anayetafuta kuujua ukweli atamjulisha .Matayo 7:8 Barikiwa sana mpendwa
❤
Au alizaliwa njiti
Mtoto anazaliwa namiyezi 9
Ww soma Quraan achana na Biblia. Dini yenu inashindwa kuwapa raha
Ipo vizuri shekheee nimeerewa