Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi masheikh wetu katika kupigania dini ya Allah inshaallah na mtalipwa yaliyo mema Inshallah Mazinge nakupenda kwa ajili ya Allah
Masha Allah beautifull qiira'a allahu akbar MA shehe wetu may Allah bless you all of you. Ustad habib mazinge walahi i love you for the sake of Allah mungu akozidhisheye cumri na ciibada nzuri
unknown user pindi nilivyokuwa primary school huu msamiati UNKNOWN kaka yangu aliandika kwenye mkanda wake basi nilijaribu kumuambia ili anipe maana yake hakunipa nami kipindi hicho nilikuwa na shauku ya kujua hii lugha ya English japo nilikuwa primary school nilihuzunika sana , nimeliona hili jina nimekumbuka hiki kisa
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh .ninamuomba Allah akupe pepo yake (janatu filidaus)alafu nami pia tupakutanie tucangiye wote zaituni zahuko peponi, Allahum Amin ya Rabb
Allah wakibar...kabisa mazinge nimusaidizi wa yesu we wafunga makanisa yesu atarudi angushamisalaba watu wasali kiisilamukama gisi inatufundisha coroan wallahi siku ikiisha bila kumusikiya mazinge wala masheikh sipatagi raha kabisa njo kanipa Allah iyo Alhamdulillah
Sheikh mazinge baraka lwahu fii, allah akulipe kila lilo jema walahi, unaongea maneno mazito tena kwa hisia kubwa kama kuna binadamu mwenye akili zake timamu haelewi maneno haya kwa kweli ni mtihani mzito allah atuhifadhi waja wake, hakuna kwa kukumbilia zaidi ya kwake allah, yailahi nakuomba wahifadhi mashekhe wetu hawa zidi kuwajaalia afya ya mwili na akili, yaani mpaka naishiwa na maneno zaidi ya kuhisi simanzi na majonzi mwilini dunia si kitu jamani tutende mema tuondoke duniani salama tuendako ni kuzito sana ya ummat muhammad s.a.w
Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi masheikh wetu katika kupigania dini ya Allah inshaallah na mtalipwa yaliyo mema Inshallah Mazinge nakupenda kwa ajili ya Allah
Hio tukio lililokukuta ilikua mungu alitaka uweneze uislam jela na sio mateso.. allahu akbar pole sana
Jazakllah khayra sheikh mazinge,,,, Allah awe nasi mpaka siku ya mwisho na Allah Atujalie mwisho mwema
Nakupenda ostaz Mazinge kwa ajili ya Allah na mwenyez Mungu akupe nguvu na akujaze ujasiri uendee kutupa daawa.
alhabb a, alaykm namuomba allah akufanyie wepsi katka kaz ya kufanya daawa.
na ss allah atupe limi zenye kufahamika.
katka kaz ya kufanya daawa.
Masha Allah beautifull qiira'a allahu akbar MA shehe wetu may Allah bless you all of you. Ustad habib mazinge walahi i love you for the sake of Allah mungu akozidhisheye cumri na ciibada nzuri
Mazinge nampenda sanasasa Allah amrinde ampe shifa na ushindi
inshaallah allah atatujaalia kheir na atafanya wepesi katika kulingania dini na inshaallah tutapata manufaa hapa duniani na kesho yaumul kiama
Long life Ustadh Mazinge
nakupenda ustadh Mazinge kwa ajili.ya Allah...Allah awazidishie masheikh wetu na atuongoze sote ndugu katika imani...ameen
Amin
ummu abdillahi aaamin
unknown user pindi nilivyokuwa primary school huu msamiati UNKNOWN kaka yangu aliandika kwenye mkanda wake basi nilijaribu kumuambia ili anipe maana yake hakunipa nami kipindi hicho nilikuwa na shauku ya kujua hii lugha ya English japo nilikuwa primary school nilihuzunika sana , nimeliona hili jina nimekumbuka hiki kisa
Allah akulinde na Shari na mashekhe wwnzako..kazi ya daawa iko na mitihani.. lakini insha'Allah Allah atafanya wepesi Kwa wanaotoa daawa
mungu atujalie Sana tufe tukiwa waislam
MSTAFA HASSAN amin
MSTAFA HASSANI AMIIINI
Aaaaaa mazinge unanimaliza uko vizuri Allah akulipe kila la kheri
kazi ya daawa ni ngumu sana Allah akujaalie afya fildunia wal akhera na akujaalie mwisho mwema
Mwenyezi Mungu akupe Maisha marefu Inshaallah
Mazinge Allah subuana wA tahala akubaliki Sana huzidi kuwepo na kuwaongoa wanna wA adamu wamjue mungu wA kweli
mashaa ALLAH Mungu awajaze kheyr sheikh mazinge na ndugu akasha
Mungu we2 akufanyie wepesi katika kila Jambo la duniani na haera amiiiiiiiii
Pia ww
Mwenyezi mungu akusaidie Sana sheikh wangu
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh .ninamuomba Allah akupe pepo yake (janatu filidaus)alafu nami pia tupakutanie tucangiye wote zaituni zahuko peponi, Allahum Amin ya Rabb
Masha allah prof mazinge mungu ampelke Jana na wenzake mashake wengine
Mashallah sheikh Mazinge hiki ni kipaji chake Mungu amemjaalia hikma ya kuongea sana hasa na makafiri.
Mashallah mungu awabaliki san kwa ku2pa mawaidha ya Allah subuana wA tahala
sheikh mazinge Mungu akupe uzima n afya njema n akupe muongozo mwema inshallah
IshaAllah Allah Yuko na wewe Shekh Mazinge...
Nakukubali sana Habibu mazinge MWENYEZI MUNGU AKUPE maisha marefu
Jazakallahu kher shekhe Othman Mazinge, Allah akulipe Jannah inshallah 🙏
Asante kazi long life sheikh love u big
Mazinge ww kiboko 👍
Mashaalah msomaji qur-an yaani mpk machozi yananitoka
Mashallah mashallah mungu akulinde daima uishi miakaa mingi yenye fulaha maisha mwako
Mash Allah Allah akujali afya sheikh
Ishaallah mwenyenzi mungu atakuzidishia kila la kheli amin
khadija kibwana amin
@@omarhakizimanakishikbongo2186 kxkxkckcmvmcmzllllqppppppkvmvkkkk
Llsvkrlgvkkkpwrimskw
A
Fkjfjkfsjhkgkf😮😈😐😈(/)/=/$/&(
Allah akulipe mazinge na wenzako kwa kuipigania dini ya Allah
Allah Akupe nguvu
Inshallah Allah atujalie waislamu duniani
Allah atufishe tukiwa waislamu insha allah
Sheh mazinge Allah mwenyewe najua garama ya malipoyako peponi🤲🤲🤲
Allah wakibar...kabisa mazinge nimusaidizi wa yesu we wafunga makanisa yesu atarudi angushamisalaba watu wasali kiisilamukama gisi inatufundisha coroan wallahi siku ikiisha bila kumusikiya mazinge wala masheikh sipatagi raha kabisa njo kanipa Allah iyo Alhamdulillah
Mashallah
MUNGU AKUPE MWISHO MWEMA USTADH MAZINGE AKUZIDISHIE IMANI NA AFYA NJEMA UZIDI KUPIGANIA NIDI
Wangapi wanaangalia hii mpaka leo mawaidha
Mimi nipo hapa
Mpaka mwisho tutabaki kiangalia inshallah!!
Mashallah kila la kher shekhe mazinge
mazinge mimi mkrsto ila nakupenda sana napenda mafundish yako sana sanaaa
Glory David "bila shaka wakati ujao utakuwa bora kwako kuliko wakati uliotangulia" Allah ukujaliee
Alla akuongoze inshaalah uujue ukweli
Pia mimi ni mkristo lkni na mpenda mazinge sanaaaa
Mazingeeee,MUNGU na akuongeze ufahamu
Karibu kwenye uislam hata usisite wala kua Na shaka
mashallah Allah awalipe
Laana ya Allah iwe juu yake mobutu
duuh naikumbuka hiyo tulipigwa mabom ya machozi balaa taqbiriiiii
Allah Akbar
Inshaallah Waislamu tuisome sana dini yetu tupate kuilewa na kumuabudu Allah kwa usahihi.
Mashaallah Allah Akuzindishie mri Ameen
Mashallah mungu akuzidishie in shaalla
mi namuomba allah usife kabla ajanleta kama wewe inshallah..from mozambique nakupenda bule kw a ajili ya allah
Hatar sana shekhe wangu kazi nzur
subhanallah !!! if u keep Allah first, u will always rise higher. may Allah protect u my beloved sheikh.
MashaAllah.. Shkh nakupenda kwa ajili ya Allah.. Allah akupe ilmu zaidi na umri uzidi kuwazindua wasomjua Allah..
Inshaala
Twakuombea. Kila Kheeri. Na. Akupe. Afya. Njema. Na. Akulinde. Na. Kila. La. Shari. Ww. Na. Ndugu. Zetu. Wanao Kwenda. Kusema. Neno. La. ALLAH. AMIN
ثم امين
Swalala nabii
Mungu akupe umri kakagu mazige
Mugu akupe afia akupe phepu maisha Niah mungu atupe mwichomwema tu
Allah atupe mwisho mwema
Happy Arooun amina baba
Jamani nitawezaje kuisaidia daawa na kiongea na ustadh mazinge
Abdi Mohamed mashallah
I. Mohamed Ali mungu akuongezee
Subuana Allah
Daaa mungu yupo na waislamu wote
Allah wakbar
Mashaaalaaah
Sheikh mazinge baraka lwahu fii, allah akulipe kila lilo jema walahi, unaongea maneno mazito tena kwa hisia kubwa kama kuna binadamu mwenye akili zake timamu haelewi maneno haya kwa kweli ni mtihani mzito allah atuhifadhi waja wake, hakuna kwa kukumbilia zaidi ya kwake allah, yailahi nakuomba wahifadhi mashekhe wetu hawa zidi kuwajaalia afya ya mwili na akili, yaani mpaka naishiwa na maneno zaidi ya kuhisi simanzi na majonzi mwilini dunia si kitu jamani tutende mema tuondoke duniani salama tuendako ni kuzito sana ya ummat muhammad s.a.w
Allah Akulind Ulip Nakupend Kwaajil Ya Allah
Takibiiiiiiiiiiiii
subuhanna Allah uko bandundu ni hatar Allah wanusuru waijuwe haki
Safi sana
Mungu atakulipa
MASHA'ALLAH
mashallah mola awazidishie
nimekuelewa mazinge
Mazinge Kila Siku Namsikiliza Kupata Maneno Ya Kujidai Na Uislamu Wangu dhidi ya maqafili
Mashallah
Maanshaallah
Allah akupe umri mrefu
Mnafanya kazi nzito kabisa malipo nikwa Allah inshaallah
Shukrani
amiin
Allah huakbar.
nakupenda sana
Long life sheik
Amani iwe kwetu, prof Mazinge,, mbona sielewi unavoweka vidole vyako?? .Allah akujalie kheri wewe na waislaam waumin.Aaamiin
Maisha marefu sheikh
Asante kwa shekhe
athumani hussein
Dawa safi kwanini huwezi kudowload
Hosseni Muhidini
Hosseni M. Athumani tumia tubemate
U can download using mp 3 juice
Asalaama alikum w w! Chekh Mazinge naomba number yako plz!
+255 689 570278
+255 713 279980
+255 767 279980
Hizo numbers nimezitowa kunanako RUclips.
Shekhe mazinge hupenda sauti yake
God sana
Alhamndulillah, jamani naomba mwenye namba ya huyu Shekhe wetu kipenzi anisaidie
+255 689 570278
+255 713 279980
+255 767 279980
Hizo numbers nimezitowa kunanako RUclips.
mashaAllah
MashaAllah jadha ka Allah kheir shuq-ran
Mbona mkifa mwazikwa hampai mbinguni...😁🥵🥵yesu alipaa..kazi mnayo😳🤐
Asalam alaykum ndug yang mwislam
Waalaikum ssalam warahmattullah wabarakatuh 🙏
Mashaallah
Ma sha Allah
Allahu akbar
mabela oyeeeeh ningejua kweli
Haya wakristo swali hhilo mbona mwaowa na yesu hakuowa???🤨🤔
Natami usimalizi mawaiza
MWANZA NA SUMBAWANGA NA WARABU KAMA MCHANGA
26
Shekh iyooo bayat ( nimekubali) nirushie nyingne kama unazote mwalimu wasap+905445405920
Kapita njia ya mustafa Ismail na Ahmad mustafa kamil
FFU FANYA FUJO UONE
Sikupendi mazinge kwa ajili ya kuwapotosha watu ukwel wewe unaujia ila kiburi tu chakutaka kuangamiza roho za watu
Wewe usompenda mazinge huna akili
😥😥😥😥
Umerogwa ww