Allah akuhifadhi sheikh wg Mwaipopo Allah akulinde tuko pamoja na ww ndgu yetu InshaAllah aijalie hiyo siku natamani niwepo sheikh wg Mwaipopo Uislamu ndio Dini yetu Allahmdulillah ss ni Waislamu Allahmdulillah Allahmdulillah
kwa mwislam atakae danganywa na mkristo akaiacha dini yake mwenyewe atakuwa ametaka mwenyewe maana mkristo hana hoja ya kuku fanya uwe mkristo hivyo tuweni makini na maneno yao Pia nakupongeza sana Mwaipopo kwakuwa karibu yao hao wapotoshaji
Shekhe nikusaidie magaidi unaowaona wote ni mzungu tu hakuna kingine tatizo wakiristu wa natafuta pakutokea Ila hawapati vita zote Duniani ni mzungu sio mwarabu
wa chungaji ? mapadri ?? na yeyote ambao anajiunga n'a dini ya ukiristo mjue kua hakuna tena hakuna muisilamu yeyote ambae anajua dini yake kwa undani ambae ata acha dini yake yausilamu kuingia kwenye ukiristo ambao hâta kwenye biblia haipatikani ndani yake kua ukiristo ni dini hamna ndani ya biblia haipatikani
Wewe Tom Mwaipopo hukuwa Mchungaji Kila muumini ana askofu Kwa hiyo haimpi nafasi ya Mchungaji leo umeumbuka tuonyeshe na wewe jengo la kanisa na waumini uliowachunga wewe ni bonge la MWONGO
Kila siku anamtaja Askofu Dickson Kaganga, as if akimtaja ndo tutaamini alikua mchungaji pengine alikua mfanya usafi kanisani au chawa wa viongozi af anajiita eti mchungaji😂. Huyu jamaa bogus kweli.
UYU KILA SIKU NAMWAMBIA NI MUONGO KAZI KUJIFUNGIA NDANI NA KUWADANGANYA WATU AWEZI KUKUTANA NA AWAHADHILI WA KIISLAM ATASIKUMOJA HANA ELIMU KAZI KUDANGANYA WATU
Wakiristu hakuna kitu wa nahangaika tu yesu kaisha wa kataa kwanza kasema Kuna mungu na sio yeye halafu kaisha Sema wachungaji ni mbwa na kweli hajakosea ni mbwa kabisa
Kwa Nini sheikh wana ruhusu wa kristo kuingia misikitini wakati ambao niwachafu mwili ??? hawawogi janaba waisilamu hawana ruhusa kuingia msikitini na janaba bila kuoga ??? kina mama hawana ruhusa kuingia msikitini ikiwa ana Siku zake ??? aidha mashehi mnaruhusu Hao wachafu wangie msikitini na machafu yao ?????
Sisi waislam hatuna shida mwaipopo alikuwa nani, haitusaidii kitu wala hatuna mpango wa kujua ilimradi amesilimu ni kwa faida yake mwenyewe. Sie waislamu tunamkubali mwaipopo anaupeleka mbele uislamu...huyu timetheo ni mjinga tu hana uaminifu achana nae
Pole, mwaipopo sikila mkristo ni wa yesu, mimi ninacho amini mwaipopo hukua mchungaji mwenye wito wa MUNGU ulikua mchungaji wa tamaa tu, na domana mwaipopo wewe leo hii ni mshilikina mganga wakienyeji unagawa tu mahilizi , nakushauli umurudie yesu pekee mwaipopo acha kutangaza uarabu badala ya MUNGU wakweli.
Hakuwahi kuwa mchungaji. Huo uchungaji atoe wapi na uthibitisho hana? Hakuna chuo alichosoma na kila siku anaishia kumtaja Askofu Dickson Kaganga kama vile akimtaja ndo tutaamini. Sasa si pengine alikua hata mwana kwaya tu au hata mlinzi af anajiita mchungaji. Au ndo zile za kila anaefanya kazi hospitali ni daktari😂😂😂. Bogus huyu sio wa kumzingatia.
@@MuslimYouthman Bora amesilimu mkuu😂 Ukristo hautaki mtu mvivu wa kusoma. Hatuwezi kuwa na kiongozi yupo kwenye dini miaka 20+ af hajui maandiko. 😂😂😂 No! 🙌. Mwaipopo awe sheikh tu..akajikalie huko na miaka yake kibao bila hata kujua alif😂...
Huyu hakuwai kuwa mchungaji hata kidogo,kulingana na maelezo yake ,mwaipopo taratibu za ibada za kanisa la free pentecost haziko vile,ati alikuwa anasamehe waumini dhambi.hizo ni taratibu za ibada za kanisa la Romani Catholic
Ismael au Ishmaelau Ismail sio jina la kiarabu na Ibrahim hakuwa Mwarabu. Acha kudanganya watu maana hata hujui kuwa Ibrahimu aliyekuwa 'Abram' alikuwa na watoto wengine 5 (mama yao akiitwa Ketura) jumla 7 na sio Ismael na Isaka tuu. Ismael ni mjukuu wa Pharao wa Misri mnayemwita Firauni Kiarabu, na hawakua waislamu na hata mamake Ismael alikuwa mweusi wa Misri/Egypty na hakuwa Mwarabu, hivyo jina ismael siyo jina la Kiislamu wala la Kiarabu. Hata babu yangu alitwa Ismael na hakuwa Mwislamu wala Mwarabu.
@@khatibal-zinjibari6956yes inawezekanaa ikawa hivo. Turudi kwenye mada hii sasa, unaweza kuamini waislam wanaweza kuwaingiza wakristo msikitini wakadanganye ili wampe sifa mtu ambaye ameacha uislam?
Kila siku huwa nasema huyu ni kilaza. Bora umeliona hilo mkuu. Kwanza ukifikiria tu mtu anakaaje kwenye uislam miaka 20+ hajui hata alif😂...hapo tu unagundua mwamba ana ubongo wa mende. Alivo mjinga ipo siku atamuona mufti anajihusisha na viongozi wa dini ya kikristo atamkataa...atasema mufti sio muislamu😂.
@@khatibal-zinjibari6956 kwahio mkuu unataka kusema hata huyo mhadhiri hapo Sheikh Juma (kama sikosei) nae ni mkristo?😂 Duh! Kudadeki Taqqiyya shkamoo🙌😂😂😂
Hili jamaa jinga sana 😂😂 yani kqenye ile clip yupo mpaka Abass ambaye ni mkenya anayetangaza uislamu sana huko kwao a hili jamaa linasema wamepangwa😂😂 kwa hiyo mpaka Abass kapangwa dah 😂😂 hili jamaa nimeamini punguani sana halafu kuna watu wapo serious wanalisikiliza wakati linadanganya live, 😂😂kweli kuna watu vipofu dah😂 Jamaa linabatiza waislam wote na kusema ni wakristo
😂😂😂😂...famasiala nn! Ukiskia bogus ndo huyu. Huyu mwaipopo kama upo makini ukimsikiliza tu anavoongea unagundua ni kilaza. Sasa mtu kasilimu miaka 20+ imepita mpaka leo hajui hata alif ...unahisi ni mzima huyo?. Ana ubongo wa mende.
@Anonymous-w9v-i1p yani wanaomsifia sijui huwa wanawaza nini, kama mwaipopo ndie mwalimu wa waislam basi wamepigwa 😀 yani anaongeaga pumba huyu jamaa halafu anajiona anaongea point hatari 😀
Mwaipopo unakanyagwa *hivi tueleze kwa Nini kwenye uislam unaluhusiwa kuingia tu lakini ukitaka kutoka kwenda dini nyingine adhabu yake inatakiwa kuuliwa je hiyo dini au genge la ugaidi?
Vitu vingine mwaipopo uwe unakaa kimya sio kila kitu unasema ni uongo, Kwa hiyo Ismail aliukodisha msikiti mzima mpaka waumini? Acha Ukafiri wako mwaipopo umezidi kuropoka.
Allah akuhifadhi sheikh wg Mwaipopo Allah akulinde tuko pamoja na ww ndgu yetu InshaAllah aijalie hiyo siku natamani niwepo sheikh wg Mwaipopo Uislamu ndio Dini yetu Allahmdulillah ss ni Waislamu Allahmdulillah Allahmdulillah
Mashaallah mungu akulipe Kila la kheri sheikh mwaipopo
Amlipe kwa lipi hapo?😂
kwa mwislam atakae danganywa na mkristo akaiacha dini yake mwenyewe atakuwa ametaka mwenyewe maana mkristo hana hoja ya kuku fanya uwe mkristo hivyo tuweni makini na maneno yao Pia nakupongeza sana Mwaipopo kwakuwa karibu yao hao wapotoshaji
Wewe sauti mbaya tatizo utaki ukweri umeshaamua kukaa kukaa katika uongo sasa acha wivu na kulalama wayu wanasema ukweri
Humpendi mzungu lakini vitu vyake unatumia hiyo simu na kamera na nguo na dawa zako zote zinatoka kwa mzungu unavipenda😅
Kwani lazima aje jamani? Si fanyeni mtandaoni jamani.
Assalamualaikum shekh kama yeye amekataa shekhe Mwaipopo pangeni mdahalo na yeye uende kenya nakuomba
Kuna warabu wengi sana hawajui kusoma kiarabu lakini wana zungumza lugha ya kiarabu
Kiukweli mwaipopo nikama debe tupu litoapo sauti hiyo sauti Haina maana yoote ile😂😂😂
Shekhe nikusaidie magaidi unaowaona wote ni mzungu tu hakuna kingine tatizo wakiristu wa natafuta pakutokea Ila hawapati vita zote Duniani ni mzungu sio mwarabu
We muongo sana umeulizwa swali mwaipopo jibu swali acha porojo
Hili kopo tupu kabisa 😂😂
Mwakimu ume sema kweli . Mzungu , haswa wa demokrati wana leta mauaji afrika . Wana tuchonganisha kupitia vibaraka vyao . Dini kwao kama kidicho tu
Wazungu mpaka sasa wanachukua mali za waafrika, ndio sababu west Afrika wanawafukuza wazungu, maana wamechoka kuibiwa rasamali zao
Hio ndo tatizo kwa watu wengi kua hawatafautishi lugha ya kiarabu na kitabu cha kuruani na kiarabu chenewe ndani ya kuruani
wa chungaji ? mapadri ?? na yeyote ambao anajiunga n'a dini ya ukiristo mjue kua hakuna tena hakuna muisilamu yeyote ambae anajua dini yake kwa undani ambae ata acha dini yake yausilamu kuingia kwenye ukiristo ambao hâta kwenye biblia haipatikani ndani yake kua ukiristo ni dini hamna ndani ya biblia haipatikani
Channel ya mwaipopo nayo ni tukufu, waislam ni watukufu, quran ni tukufu😂😂😂😂😂
Wewe Tom Mwaipopo hukuwa Mchungaji Kila muumini ana askofu Kwa hiyo haimpi nafasi ya Mchungaji leo umeumbuka tuonyeshe na wewe jengo la kanisa na waumini uliowachunga wewe ni bonge la MWONGO
Kila siku anamtaja Askofu Dickson Kaganga, as if akimtaja ndo tutaamini alikua mchungaji pengine alikua mfanya usafi kanisani au chawa wa viongozi af anajiita eti mchungaji😂. Huyu jamaa bogus kweli.
Kuwa mchungaji ao kutokuwa mchungaji ki kubwa bora alitoka kwenye ukafiri akaingiya kwenye uislaam na mlio baki huko karibuni bado muda upo
Sisi tunashukuru mwaipopo kutusaidia kutangaza injili
@@Anonymous-w9v-i1p
Toa number yake
Sasa wewe Ili iweje, unafikiri sie waislam tunataka awe mchungaji au nani, acha ungese huo
Morison unazingua Bora ukaekimya TU...
UYU KILA SIKU NAMWAMBIA NI MUONGO KAZI KUJIFUNGIA NDANI NA KUWADANGANYA WATU AWEZI KUKUTANA NA AWAHADHILI WA KIISLAM ATASIKUMOJA HANA ELIMU KAZI KUDANGANYA WATU
Nafikiri imam ismailia aachane na hizi cheap argument akosentrate na kutufundisha madhaifu ya quran,
Wakiristu hakuna kitu wa nahangaika tu yesu kaisha wa kataa kwanza kasema Kuna mungu na sio yeye halafu kaisha Sema wachungaji ni mbwa na kweli hajakosea ni mbwa kabisa
Kwa Nini sheikh wana ruhusu wa kristo kuingia misikitini wakati ambao niwachafu mwili ??? hawawogi janaba waisilamu hawana ruhusa kuingia msikitini na janaba bila kuoga ??? kina mama hawana ruhusa kuingia msikitini ikiwa ana Siku zake ??? aidha mashehi mnaruhusu Hao wachafu wangie msikitini na machafu yao ?????
Mwaipopo mambo mengine kaa kimya unajiaibisha na kujidhalilisha. huwezi huna hoja kabisa unaandika vichwa vya habari unaandika ujinga na utoto
Unakwepa swali 😂😂
Sisi waislam hatuna shida mwaipopo alikuwa nani, haitusaidii kitu wala hatuna mpango wa kujua ilimradi amesilimu ni kwa faida yake mwenyewe. Sie waislamu tunamkubali mwaipopo anaupeleka mbele uislamu...huyu timetheo ni mjinga tu hana uaminifu achana nae
Ulikua unaabudu wapi ,unaongoza wapi kweli wewe mdesi
Kwa hiyo huyo askofu huwezi kumpanga? We nawe ni kichwa box.
Pole, mwaipopo sikila mkristo ni wa yesu, mimi ninacho amini mwaipopo hukua mchungaji mwenye wito wa MUNGU ulikua mchungaji wa tamaa tu, na domana mwaipopo wewe leo hii ni mshilikina mganga wakienyeji unagawa tu mahilizi , nakushauli umurudie yesu pekee mwaipopo acha kutangaza uarabu badala ya MUNGU wakweli.
Hahahahaaa mwenzako amesilimu unatakaje PELEKA upuuzi huko
Hakuwahi kuwa mchungaji. Huo uchungaji atoe wapi na uthibitisho hana? Hakuna chuo alichosoma na kila siku anaishia kumtaja Askofu Dickson Kaganga kama vile akimtaja ndo tutaamini. Sasa si pengine alikua hata mwana kwaya tu au hata mlinzi af anajiita mchungaji. Au ndo zile za kila anaefanya kazi hospitali ni daktari😂😂😂. Bogus huyu sio wa kumzingatia.
@@MuslimYouthman Bora amesilimu mkuu😂 Ukristo hautaki mtu mvivu wa kusoma. Hatuwezi kuwa na kiongozi yupo kwenye dini miaka 20+ af hajui maandiko. 😂😂😂 No! 🙌. Mwaipopo awe sheikh tu..akajikalie huko na miaka yake kibao bila hata kujua alif😂...
Kuwa na adabu una ushahidi gani,ulikwenda ukapewa hirizi au propaganda zenu,subirini ghadhabu ya Mungu kwa akili zenu zimefungwa
Huyu hakuwai kuwa mchungaji hata kidogo,kulingana na maelezo yake ,mwaipopo taratibu za ibada za kanisa la free pentecost haziko vile,ati alikuwa anasamehe waumini dhambi.hizo ni taratibu za ibada za kanisa la Romani Catholic
Jamaa ni muongo ile mbaya ukijumlisha sasa na ujinga wake wa kukosa elimu zote..,ya dunia na ya dini ndo anazidi kuwa kituko😂.
Kwa hiyo huyo askofu huwezi kumpanga? We nawe ni kichwa box. Mwenzio aweze kuwapanga watu wengi wewe ushindwe kumpanga mmoja? Acha ujinga mwaipopo.
inge kua uongo wange tangaza muhadhara hapo mumiasi? Si muende mka shuhudie kama ni uongo
Ismael au Ishmaelau Ismail sio jina la kiarabu na Ibrahim hakuwa Mwarabu. Acha kudanganya watu maana hata hujui kuwa Ibrahimu aliyekuwa 'Abram' alikuwa na watoto wengine 5 (mama yao akiitwa Ketura) jumla 7 na sio Ismael na Isaka tuu. Ismael ni mjukuu wa Pharao wa Misri mnayemwita Firauni Kiarabu, na hawakua waislamu na hata mamake Ismael alikuwa mweusi wa Misri/Egypty na hakuwa Mwarabu, hivyo jina ismael siyo jina la Kiislamu wala la Kiarabu. Hata babu yangu alitwa Ismael na hakuwa Mwislamu wala Mwarabu.
Mwaipopo sijui nikashekhe gani haka, kana pendawarabu kuliko MUNGU.
Acha ujinga mwaipopo yesu alikua mwarabu au mzungu? Leo ndio nimejua hakuna kitu
Huna Mahali pakujifichaa
We mwehu kweli wewe,,nenda wewe kama ni uongo,,mwaipopo una aibisha dini Yako,
Kanisa lako ni lipi polojo si ushaidi
Mchumia tumbo
ndugu nawewe taja kanisa sio kupotosha mada
Kashataja zanzibar nenda
We jamaa sometimes uwe unakubali ukweli......ni nani ataruhusu wakristo waingie msikitini wakadanganye. Sasa nakubali kwamba we ni kilaza.
@sospetermatonya5133.
Allah alipoteremsha Surah Tauheed (Surah al-Ikhlas), Makafiri walikaribishwa na Mtume Muhammad (pbuh) Msikitini kusoma.
@@khatibal-zinjibari6956yes inawezekanaa ikawa hivo.
Turudi kwenye mada hii sasa, unaweza kuamini waislam wanaweza kuwaingiza wakristo msikitini wakadanganye ili wampe sifa mtu ambaye ameacha uislam?
Kila siku huwa nasema huyu ni kilaza. Bora umeliona hilo mkuu. Kwanza ukifikiria tu mtu anakaaje kwenye uislam miaka 20+ hajui hata alif😂...hapo tu unagundua mwamba ana ubongo wa mende. Alivo mjinga ipo siku atamuona mufti anajihusisha na viongozi wa dini ya kikristo atamkataa...atasema mufti sio muislamu😂.
@@khatibal-zinjibari6956 kwahio mkuu unataka kusema hata huyo mhadhiri hapo Sheikh Juma (kama sikosei) nae ni mkristo?😂 Duh! Kudadeki Taqqiyya shkamoo🙌😂😂😂
Mzungu kaketa ukrito afrika kwa makengo si kwa ajili ya dini . Utumwa na madini (vitu vya thamani ) na uchonganishi i wa nakabila
Hili jamaa jinga sana 😂😂 yani kqenye ile clip yupo mpaka Abass ambaye ni mkenya anayetangaza uislamu sana huko kwao a hili jamaa linasema wamepangwa😂😂 kwa hiyo mpaka Abass kapangwa dah 😂😂 hili jamaa nimeamini punguani sana halafu kuna watu wapo serious wanalisikiliza wakati linadanganya live, 😂😂kweli kuna watu vipofu dah😂
Jamaa linabatiza waislam wote na kusema ni wakristo
😂😂😂😂...famasiala nn! Ukiskia bogus ndo huyu. Huyu mwaipopo kama upo makini ukimsikiliza tu anavoongea unagundua ni kilaza. Sasa mtu kasilimu miaka 20+ imepita mpaka leo hajui hata alif ...unahisi ni mzima huyo?. Ana ubongo wa mende.
@Anonymous-w9v-i1p yani wanaomsifia sijui huwa wanawaza nini, kama mwaipopo ndie mwalimu wa waislam basi wamepigwa 😀 yani anaongeaga pumba huyu jamaa halafu anajiona anaongea point hatari 😀
Mwaipopo anaye kulipia kufurishi anaingia hasara vitisho tu huna lolote,dinì ya uislamu uongo,mohammad mtume wa uongo,mungu wenu kafiri haswa😂😂😂 acha mbwembwe kafiri wewe nisije nikasahau.
Mwaipopo unakanyagwa *hivi tueleze kwa Nini kwenye uislam unaluhusiwa kuingia tu lakini ukitaka kutoka kwenda dini nyingine adhabu yake inatakiwa kuuliwa je hiyo dini au genge la ugaidi?
Kwani msaliti ukumu yake nn?
😅😅😅😅
Na wewe unachuki na wazungu tu
Mwaipopo waumbue makafiri wanahaha kama kuku
Mwaipopo NDIO kaumbuka,,HAO waislam wamekiri kua ni kweli Timothy ALIKUA imamu SASA mwaipopo atuambie ALIKUA mchungaji WA kanisa Gani?
Vitu vingine mwaipopo uwe unakaa kimya sio kila kitu unasema ni uongo, Kwa hiyo Ismail aliukodisha msikiti mzima mpaka waumini? Acha Ukafiri wako mwaipopo umezidi kuropoka.
Ukafiri ni kumshirikisha M Mungu na viumbe waloumbwa na Mungu.Huo ndio ukafiri.
@jumanjenga7682 Kafiri ni mpingaji au kupinga hayo yako umetoa wapi? Hilo ni neno Kafiri ni la kiarabu
Kwa akili yako hao Waislamu ni Wakristo?
Alivo mjinga huyu ipo siku atamuita mpaka mufti mkristo😂😂😂