MCHUNGAJI SASA AUMBUKA ABAINIKA KUSILIMU MARA 2 KENYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 53

  • @feizalmas
    @feizalmas День назад +2

    Mashaallah sheikh mwaipopo allah akulipe kila la kheri. Huyo timotheo anakimbia kimbia baada ya mada tar 18 inshaallah afuatwe kenya

    • @SamoraTabaga
      @SamoraTabaga День назад +1

      Waisilam jamni okokeni mmjue Yesu awaponye hayo majini.

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 День назад +1

      ​@@SamoraTabaga hahaha samora sawa tutaokoka basi tuambie yesu ni nani? Na anafungamana vp na Mungu

  • @NuhuM-s1x
    @NuhuM-s1x День назад +1

    Sheh mwaipopo yule xpasta Ibrahim yupo wapi unge mualika yupo vizur sana

  • @AhishakiyeSahnun-by2yi
    @AhishakiyeSahnun-by2yi День назад +1

    Quran hayitibu allah ndiye anayetibu kisoma quran ni sababu ya kupata radhi za allah

  • @RafaelKatenda
    @RafaelKatenda День назад

    Mdesi

  • @AzizaShaik-v8o
    @AzizaShaik-v8o День назад

    ❤❤❤

  • @feizalmas
    @feizalmas День назад +1

    Sheikh wangu umepiga kwenye mshono

    • @SamoraTabaga
      @SamoraTabaga День назад

      Kunamwisilam kweli anaeweza kushindana na MUNGU wa israel?

  • @kennah03m
    @kennah03m День назад

    Lazimaa aanze kuwapendeza waisilamu alafu apigie dawa debe😂😂

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 День назад

    Asalam alaikum sheikh mwaipopo achana na watu wasio jielewa wachezea dini

  • @abdillahiabdallah438
    @abdillahiabdallah438 День назад

    MWAIPOPO HAWAKUWEZI HATA WAKRISTO WA ULIMWENGU MZIMA WASHINDANE NA WEWE WEWE UWE PEKE YAKO WAALLAHI NAAPA UTAWASHINDA

  • @MwasabuniSuleiman
    @MwasabuniSuleiman День назад +4

    Shida ya wakristo wote ni waongo mfano bwana yesu kwenye mathayo anasema nendeni ulimwenguni mkaiubiri injili, alafu mbele ya andiko ili Kuna tokea injili ya Luka ambae si mwanafunzi wa yesu

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 День назад

      Surat Al-Baqarah Ngo'mbe wa manjano naye aliiandika Qur'an alikuwa swahaba wa Muhammad?😅😅😅

    • @mustafamsati9599
      @mustafamsati9599 День назад

      Dah hio si ndo shidayao yan hata paulo nae mamenoyake et ni injiri

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 День назад

      Surat baqara ni surah ya ng'ombe JE ng'ombe ndie alieandika iyo surah?

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 День назад

      ​@@mustafamsati9599kwani allah alieteremsha Quran hakukitimiliza MPAKA muandike kitabu Cha Hadith

    • @memorataedson7895
      @memorataedson7895 День назад

      ​@@mustafamsati9599hajaandika injili luka ndo aliandika injili zote kwa sbb alikuwa msomi

  • @RafaelKatenda
    @RafaelKatenda День назад

    Wewe toa ushaidi kelele povu vya nini

  • @gabrielmzomkunda4881
    @gabrielmzomkunda4881 День назад

    Shekh kapiga track ..hahaha

    • @feizalmas
      @feizalmas День назад +1

      Track sio HARAMU angevaa boxer hadharani ndio ungeuliza

  • @chazgunda5823
    @chazgunda5823 День назад +1

    SHIDA YA BERNARD MORRISON UNAKURUPUKA SANA

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p День назад

      😂😂😂😂😂 Kweli asee. B.M mwenyew kabsa huyu.

  • @GillyElias
    @GillyElias День назад +1

    Ndugu wewe unajaribu kupinga taratibu za wakristo na wew sio mkristo .kaa kwenye dini yako na huisemee iyo dini yako

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 День назад +1

    Waislamu wanaruhusiwa na Qur'an kuapa viapo vya kweli na vya UONGO wewe unaapa kiapo Cha UONGO huku ukijua Ukweli kuwa Ismael alikuwa imamu hilo unalijua ila unajibalaguza tu watu wakuone hujakubali

    • @jumanjenga7682
      @jumanjenga7682 17 часов назад

      Waislamu hawaruhusiwi kuapa viapo vya Uwongo.Hayo mengine ni yako

  • @NuhuM-s1x
    @NuhuM-s1x День назад

    Kuruani ni dawa nakama unaumwa chochote unapona tatizo anae soma ni mcha mungu afanyi maasi sio muongo sio mzinzi wacha mungu awajawai kutoa jini kwa mafuta akikusomea tu sura ndogo tu jini anatoka kichaa akisomewa ana pona hiyo zaituni imetajwa kwenye kuruani watin wa zaituni ndio maana hayo mafuta ukiyapata hayo ukayasomea vizur yanatibu kwele kuruani ni tiba

    • @SamoraTabaga
      @SamoraTabaga День назад +1

      Qrani kabisa itoe jini, jina la Yesu pekee ndio lenye mamraka yakukemea majini, kwani kunamwisilam mcha MUNGU duniani?

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 День назад

      Quran ni tiba sio? Kule tabora kuna sheikh anaomba mumchangie PESA akafanyiwe diagnosis YAANI kusafishwa Figo na sheikh mwaipopo ameahamrisha KWENYE channel yake JE. Quran haioniikamponya?

  • @fredyunga2138
    @fredyunga2138 День назад

    Lete hizo kumbukumbu. Acha uongo. Fanya utafiti. Ndio maana😮 unachanganya mambo. Unamchanganya Ismail na msomaji wa ndacha. Alafu tena unadiriki kuongopa ili waislamu wakushangilie. Wewe unataka mwenzako aoneshe vyeti ila wewe unataka tukamuulize askofu. Mpuuzi mmoja

    • @samxx411
      @samxx411 День назад

      Kumbukumbu za nini mjinga wewe, sisi hazitusaidii kitu, nyie ndie wenye mambo ya kikafiri

    • @fredyunga2138
      @fredyunga2138 День назад

      @samxx411 mjinga ni wewe matako

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 День назад

      ​@@samxx411kama tunamambo ya kikafiri nyie inawahusu NINI?

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga День назад +1

    Hivi kweli waisilam mbona mmecharuka kushindana na MUNGU wambinguni, mtaweza kweli kuzima injili, walioshindana na MUNGU wa Israel walikufa kwakipindihicho wew unamjua mfalame ogu, hamuoni aibu mtu mwenyewe nihuyuhuyu muhamadi, akawadanganya eti niwamwisho uma bora, Yesu anasema mimi ndimi alfa na omega mwanzo na mwisho, huyu muhamadi alitokea wapi? Mbaya zaidi mlivo haribikiwa waisilam ninyi waisilam ndio humuombea huyo mtume wenu kwa allah, mwenye akili kweli haoni hapo, mwaipopo nakuambia ukweli huwezi mwacha Yesu kama umemjua majini yalikuingia yakakuingizia uganga nahuwezi tamka jina la yesu kama unamapepo,mwaipopo huhitaji ushahidi rudi kwa Yesu, kuliko kupambania dini na mwarabu badala ya uzima wamilele.

    • @zaburionlinetv6245
      @zaburionlinetv6245 День назад

      Kelele nyingi hoja hamna

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu День назад

      Injili mumejaribu kuizima makafiri mukaleta bibilia Mungu akairudisha kuoitia Quran vyenginevyo sote tungekuwa tunaozeahwa ndoa za jinsia moja kanisani

    • @mustafamsati9599
      @mustafamsati9599 День назад

      Ebu kasome aya mbili tu za biblia soma tito 2.13 alafu soma timoteo wakwanza 2.5 alafu ndo uwalaumu waislam kusema ukristo siodini

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 День назад

      ​@@SabihaibrahimRajabuinjili ilikua kiarabu? Ok nipe surah ya iyo injili ktk Quran

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 День назад

      ​@@mustafamsati9599ukristo sio dini ila Allah amrita ukristo na uyahudi dini JE wewe na Allah nani anaakili?

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m День назад +1

    Limewakaa imamu kawakimbia Kila siku mnamzungumzia kayakambia majini ya mtume wenu mpaka mgongo uwashuke hasa wewe muarabu mwaipopo

    • @RaziaYusuf-s9p
      @RaziaYusuf-s9p День назад +1

      Ww Fanya heshima na mtume Wacha kuropoka kama mlevi

    • @samxx411
      @samxx411 День назад +1

      Ikisha kama imamu itatusaidia nini sie, mbona Kuna masheikh wengi tu ktk uislam huyo timetheo hakuna muislam. muislam akionekana tu anakujikana

    • @SamoraTabaga
      @SamoraTabaga День назад

      Hili limwaipopo nikusifu warabu tu

    • @ShafyMtupil
      @ShafyMtupil День назад

      ​@@SamoraTabagawewe ni tahira tupu

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 День назад

      ​@@RaziaYusuf-s9pheshima KWA mtume Gani IKIWA mmnamtukana mtume PAULO KILA SIKU?

  • @emmanuelnganya9722
    @emmanuelnganya9722 День назад

    Mwaipopo jibu hoja ulizoulizwa acha kuhamisha mada.Onyesha vyeti na kuleta ushahidi wa kanisa ulilotoka tapeli wewe🇮🇱

    • @samxx411
      @samxx411 День назад

      Vyeti vya nini kwani mgonjwa yeye, sie hatuhitaji alikuwa nani Wala Haina faida yoyote

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 День назад

      ​@@samxx411unapoweka madai inatakiwa uthimbitisho SASA waislam wauko mumias wamekiri kua timotheo ALIKUA imamu vp kuhusu mwaipopo?