DALILI ZA KURUDI KWA YESU ( 02 ) Rabbi Abshalom Longan •RUNZEWE GEITA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 356

  • @lukapastory
    @lukapastory 3 месяца назад +107

    Ulimwengu mzima nawaombeni msikilize huyu Baba , Raby Abshalom Longan , ana vitu vya maana sana kuhusu YESU na siku za mwisho... Nmefunguka mno tangu nlianza kumfuatilia huyu mtumishi , YESU ANARUDI

    • @MaaDii-iz3ur
      @MaaDii-iz3ur 3 месяца назад +10

      Kweli kabisaa YESU anarudi na huyu mtumishi yuko sawa kabisa

    • @frolianhulubano6358
      @frolianhulubano6358 3 месяца назад +4

      Huu ujumbe ni vigumu kuupata mpaka aliyepewa neema,huyu jamaa Mungu anamtumia kiasi kikubwa mno

    • @frolianhulubano6358
      @frolianhulubano6358 3 месяца назад +2

      Ni wachache wenye neema hii...Mungu analo la kujivunia

    • @HabilyTech
      @HabilyTech 3 месяца назад +1

      KABISA UKO SAHIHI MTUMISHI

    • @yohanakombi1403
      @yohanakombi1403 3 месяца назад +4

      Hii Nchi Huku Magembe Moses huku Rabi aah mbona YESU anaonekana

  • @IsakaMgeje
    @IsakaMgeje 3 месяца назад +11

    Hii Injili ndio ninayoipenda na pia ipo kwa wakati Sahihi . Ubarikiwe sana

  • @fabricenindagiye1143
    @fabricenindagiye1143 2 месяца назад +10

    🇧🇮🇧🇮 kutoka Burundi tunafurahi sana. Amini Mungu ni Mungu hatafanya lolote pasipokutangazia wateule.

    • @IrakozeKagoma
      @IrakozeKagoma Месяц назад

      Mungu akubariki

    • @eliasselemani1963
      @eliasselemani1963 Месяц назад

      Mungu aturehemu na kutuokoa

    • @Jeremiahsululu
      @Jeremiahsululu 28 дней назад

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @YohanaPaul-b3v
    @YohanaPaul-b3v Месяц назад +2

    Sasa kuna watu hata wakisikia haya wanakaza fuvu na kusema hakuna kitu! Aisee tumuogope Mungu na tujivike ufahamu wa kimungu twende mbinguni pamoja. GOD BLESS YOU PASTOR ♥️♥️

  • @HamenyaEsrom
    @HamenyaEsrom 3 месяца назад +16

    Injili hii niya kumpeleka mtu mbinguni huyu ni mtu wa mungu

    • @NeemaHamissi
      @NeemaHamissi 2 месяца назад

      Kabisa kabisa kwa wanaoenda mbiguni tunaelewa

  • @JosephTherathini
    @JosephTherathini 2 месяца назад +3

    Rabbi tundishe nafurahi kukupata kwa mtandao.tangu nilipohuzuria mkutano wako geita maisha yangu yalibadilika na leo namtukia Mungu

  • @shaluamagandi2184
    @shaluamagandi2184 2 месяца назад +2

    Asante Mtumishi kwa neno zuri la MUNGU. Hakika YESU yu karibu kurudi . AMEN

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 месяца назад +7

    Ni mala ya kwanza kukutana na mtumishi wa MUNGU Kama huyu,endelea kutufungua Macho❤

    • @NeemaHamissi
      @NeemaHamissi 2 месяца назад +1

      Endelea kumfuatilia utajua na kujifunza mengi sana ana hazina kubwa kwa wateule

    • @AngelAfric
      @AngelAfric Месяц назад +1

      Kwakweli kwa nyakati za Sasa ni ngumu mno kupata watumishi wanaohubiri kweli kuu.

  • @NduwimanaJenifer
    @NduwimanaJenifer 2 месяца назад +3

    Asante sana mchungaji 🙌 MUNGU akubariki sana Na uzidi kutupa maneno ya uzima🙌🙏

  • @joycemangu3052
    @joycemangu3052 2 месяца назад +7

    Always Mungu hujibakizia watu wake, ee Mungu tusaidie.

    • @bettylweve4460
      @bettylweve4460 2 месяца назад

      Hakika hii ndio injili ya kweli ...
      Mungu mbariki mtumishi wako

  • @chrismmwendwa7858
    @chrismmwendwa7858 День назад

    Karibu kenya mtumishi wa Mungu.

  • @rosemarymwanitega7926
    @rosemarymwanitega7926 3 месяца назад +12

    Amen hakika ni Neema kusikiliza ujumbe huu kwa nyakati hizi za mwisho

  • @elisevikova-qo7mi
    @elisevikova-qo7mi 2 месяца назад +1

    Aksanti sana Dady. Niko miongoni mwa washuuda wa injili unayo tangaza; nimeanja toka kwenye kutokujua! Na nimeongezeka kiimani.
    Ombi langu nikwamba Roho wa Mungu atupe kuelewa yaliyomo.

  • @blondyd4256
    @blondyd4256 3 месяца назад +4

    Mungu aendelee kukulinda tuzidi kupokea maarifa na ufahamu, ninabarikiwa sana namafundisho yako.

  • @clestusalexander1541
    @clestusalexander1541 Месяц назад +1

    Nimejifunza mengi sana toka nianze kumfuatilia mtumishi huyu. Mungu akubaliki baba

  • @christinasillo792
    @christinasillo792 19 дней назад

    Fungua nafsi yangu Mungu wangu nifundishe yale magumu nisiyoyajua..Neno zuri stay blessed pastor.

  • @AkyekamaMwenebatu
    @AkyekamaMwenebatu 2 месяца назад +2

    Mungu akuzindishiye miaka yamahisha.uli sahulika Congo Sud Kivu mshimbakye

  • @TheresiaMwetitu
    @TheresiaMwetitu Месяц назад +1

    Ahsante sana mutumishi wa mungu mungu Akupatie maisha marefu uzidi kutuongoza kiroho dunia imeisha kwel

  • @norrahmetisho1471
    @norrahmetisho1471 2 месяца назад +2

    Mungu akubariki kwa mafundisho haya adimu sana sana ..... hakika tunatakiwa kusikia haya siku hadi siku na mafundisho "utakatifu"❤❤❤

  • @Emmanuel-b4g1n
    @Emmanuel-b4g1n Месяц назад +2

    Waaaaaaauuh, Bwana akuongoze neema Babaa❤

  • @GablielJoackim
    @GablielJoackim 2 месяца назад +5

    Yuko vizur kabsa afike mbali sana kwa kueneza habali njema.

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 3 месяца назад +3

    BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU MSIACHE KUTUWEKEA HAYA MAFUNDISHO YA SIKU ZA MWISHO NI MUHIMU MNOOO WATUMISHI WENGINE WALA HAWAONGELEI HIZI HABARI WAMEKAZANA KUTUTAMKIA BARAKA HAWATUAMBII UKWELI WA MAMBO. KANISA LIMELALA. YESU ANARUDI

  • @SospeterRevocatus
    @SospeterRevocatus 2 месяца назад +10

    MUNGU amekubariki mtumishi wa MUNGU! Unafundisha mambo ya msingi sana! Mimi yananipa kukazana kujiweka tayari! Hakika YESU yuko karibu kurudi!.

    • @SimonAkyoo
      @SimonAkyoo 2 месяца назад

      Kwakwel uyu mtumish anaongea mambo makubwa sana Mungu azidi kumpa neema zaid

  • @jeromendetaulwa3466
    @jeromendetaulwa3466 2 месяца назад +3

    Rabby abshalom Longan karibu tena mangola

  • @PastorJacoboBoyo
    @PastorJacoboBoyo 3 месяца назад +6

    Asante sana mtumishi. Wa mungu ubarikiwe

  • @elishamukambakishibisha7275
    @elishamukambakishibisha7275 Месяц назад +1

    Shukrani sana kwa fundisho hili, tafazali

  • @JosephTherathini
    @JosephTherathini Месяц назад +1

    Mtu wa Mungu. Naomba namba kuna haja ya wewe kufika kahama shinyanga. Kuleta habari njema za ufalme wa Mungu.

  • @ErnestMbise-m9p
    @ErnestMbise-m9p 2 месяца назад +1

    Nimejifunza sana mchungaji Mungu akulinde akubariki sana Baba

  • @MaryMunuhu
    @MaryMunuhu 2 месяца назад +2

    Mungu akubariki mtumishi wa mungu na mungu aendelee kukupa mafunuo zaid

  • @IbrahimPatrickmulenda
    @IbrahimPatrickmulenda 2 месяца назад +2

    sifa kwa mungu kabisa kwa mungu kukupa ujasiri kama naiyi mtumishi mungu akupe maisha marefu

  • @uwimanadady6563
    @uwimanadady6563 2 месяца назад +2

    Mungu tupe mwisho mema ❤❤❤

  • @johnnguttu9516
    @johnnguttu9516 3 месяца назад +8

    Mwalimu wangu wa Injili ya KRISTO YESU nyakati zote. Somo zuri na muhimu Kwa nyakati tunaoushi❤❤

  • @SabinaEzekiel-vb5nh
    @SabinaEzekiel-vb5nh 2 месяца назад +2

    Ubarikiwe mchungaji, injili hii niyakweli.

  • @TediSadoki
    @TediSadoki 2 дня назад

    Njili inachoma Mungu tusaidie

  • @SaraNdimbo
    @SaraNdimbo 2 месяца назад +1

    Ubarikiwe mch Kwa neno la siku za mwisho

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 3 месяца назад +3

    Ameeen mimi hapa sipingi kitu juu niukweli mtupu ewe Yesu nikumbuke na uzao wangu hata wenhine pia tuishi katika kweli yako ya Mungu barikiwa sana

  • @MariamJonasi-m2m
    @MariamJonasi-m2m 20 дней назад

    Baba mungu akubarkki sana endelea kusimama katika imani ya kweli

  • @NeemaDaniel-tw5xs
    @NeemaDaniel-tw5xs 2 месяца назад +6

    Jaman Ni Mara ya kwanza kunisikiliza huyu mchungaji , mungu akubariki sana

  • @MoosaMd-h6b
    @MoosaMd-h6b Месяц назад

    Mwenye masikio na asikie haya. Mie nikisoma ufunuo wa Yohana namuogopa Mungu.

  • @HappinessMwambapa
    @HappinessMwambapa 2 месяца назад +2

    MUNGU azidi kukutunza Sana Sana Mtumishi wa MUNGU Alie hai

  • @jacksonlucas2064
    @jacksonlucas2064 3 месяца назад +5

    Uishi milele my dear Rabbi
    Nakuelewa sana..

    • @ryobanchagwa2499
      @ryobanchagwa2499 2 месяца назад

      Tunaenda naye juu Mbinguni yaani tutaishi naye huko

  • @MaikoSigala
    @MaikoSigala 2 месяца назад +1

    Mtumishi ubarikiwe kwakwel unayo ya Mungu hataulipo kuja Makambako ulinifungua m engi

  • @ConsolataMedard
    @ConsolataMedard 2 месяца назад +1

    Injir safi kabsa hii Mungu akubarki Mtumishi

  • @AweMagdalena
    @AweMagdalena 2 месяца назад +1

    Baba nakupenda sana umeniponya leo ubarikiwe

  • @ManirakizaJosue-pk8mc
    @ManirakizaJosue-pk8mc 2 месяца назад +1

    Yesu kristo Tusaidiye,ututiye ngumvu

  • @zacharianyanda5424
    @zacharianyanda5424 19 дней назад

    Ninaomba Abshalom uniambie tofauti kati ya Anak na wanefili.

  • @JohnNnko-h9o
    @JohnNnko-h9o Месяц назад +1

    Ndiyo Mtumishi waMUNGU unasema ni ya kweli tupu MUNGU MWEMA AKUBARIKI SANA

  • @ManisaboSifa
    @ManisaboSifa Месяц назад +2

    Mungu atusaidie

  • @RehemaElias-el3jg
    @RehemaElias-el3jg 2 месяца назад +9

    Mungu atupe,kuvuka,na. Mungu amtunze huyu mch

  • @duniaamuli
    @duniaamuli 2 месяца назад

    Asanti mtumishi Abrahim, Mungu akubari kwa injili njuri.

  • @wambimbwelo5141
    @wambimbwelo5141 Месяц назад

    Asante Yesu unatuletea watu kama hawa ili tufunguke kiroho na kutuosha matongotongo yote kwenye macho yetu

  • @doricemrema2177
    @doricemrema2177 15 дней назад

    Amen,,,lakini bado wengine watakataa na kuona ni story,,,huruma sana,,, YESU KRISTO atupe ufahamu wa kuelewa haya zaidi

  • @Dieu-DonneZakaria
    @Dieu-DonneZakaria 2 месяца назад +2

    Amina.
    Tuko pamoja

  • @AweMagdalena
    @AweMagdalena 2 месяца назад +2

    Asante mtumishi

  • @MarthaSteve-rp3tp
    @MarthaSteve-rp3tp 2 месяца назад

    Asante baba mungu akulinde daima kwani tuko kwenye dunia ngumu tunakuhitaji kwaneno lako

  • @CarolineOgero
    @CarolineOgero Месяц назад +1

    Be blessed am blessed too with the word of God

  • @ElinalaAmos
    @ElinalaAmos 3 месяца назад +1

    Ubarikewe kwa hutuelewesha maana ni ngumu sana kuelewa kuna mambo yanatokea tunajua ni kiwaida kumbe sio.

  • @PaulSibone-b7i
    @PaulSibone-b7i 2 месяца назад +1

    Nakubali ujumbe huu wa maonyo ni amina

  • @zamiamkwalakwala7429
    @zamiamkwalakwala7429 2 месяца назад

    Mungu aendelee kukupa kikubwa zaidi maana wengi hawahubiri kweli wanahubiri sadaka na miujiza Mungu tusaidie tusimame kwenye kweli yako Mungu

  • @SimeonRuwa
    @SimeonRuwa 2 месяца назад

    Mungu akuzidishie neema juu yaneema muchungaji karibu Kenya ulete mafundisho mazito kama haya❤❤❤🙏🙏🙏

  • @gadoshtv7266
    @gadoshtv7266 Месяц назад +3

    Mungu akubariki sana

  • @isackmichael-pd2is
    @isackmichael-pd2is 2 месяца назад +1

    Mungu tusaidiye amini

  • @MerryCharles-h6b
    @MerryCharles-h6b 2 месяца назад +1

    Amina mungu atusaidie jamani sisi na kizazi cheti

  • @AmissaAugustine
    @AmissaAugustine Месяц назад

    Amen sana mutumishi usichoke kuubiriya watu injili njema 🙏

  • @EliasMich-pg3xl
    @EliasMich-pg3xl Месяц назад

    Sijawahi kusikia injili nzuri kama hii,nimebarikiwa mnoo

    • @demetriangilwa2674
      @demetriangilwa2674 26 дней назад

      IPO sana hamtaki TU kusikia, tangu mwaka 1994 mie nilisikia Kwa Mtumishi wa Mungu Z. Kakobe

  • @MICHAELLEONTH
    @MICHAELLEONTH Месяц назад

    Mmh Asnte Mch.Fakumha kwa kutushirikisha maneno mazur kwa kututafutia mtumishi mzur

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 3 месяца назад +4

    Yesu Kristo utukuzwe àmina
    Mtumishi ubarikiwe pamoja na wale wanao hubiri injili halisi

  • @mukanyrigiraprovidance-yn8cy
    @mukanyrigiraprovidance-yn8cy 3 месяца назад +2

    Ubarikiwe mutumishi

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 3 месяца назад +3

    Mungu atusaidie tupate ushindi atuongesee Imani y

  • @godfreylickson
    @godfreylickson 3 месяца назад +2

    Amina wenye injiri Kama hii Ni Adim Sana ,..tumebakiwa na wakna pokea pokea miujiza hao ndo wengi saana..barikiwa Sana .

  • @NikolausIsdori
    @NikolausIsdori Месяц назад +1

    Ameen mtumishi❤❤

  • @RoseMayige-gn9qb
    @RoseMayige-gn9qb 3 месяца назад

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu kwa kutufungua fahamu zetu!

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 месяца назад

    Mungu amenikutanisha na mtu sahihi,Asante Sana,

  • @NesiasJastin
    @NesiasJastin 2 месяца назад +1

    Mungu akujalie maisha malefu

  • @DianaMmbugu
    @DianaMmbugu Месяц назад +1

    Asante kwa kutukumbusha.

  • @RuthUlomi-u5v
    @RuthUlomi-u5v 2 месяца назад

    Barikiwa mtumishi wa Yesu endelea kunsikilza Mungu.

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 месяца назад

    Aminaaaaa aminaaaaa napokea mafundisho mazuri ya nguvu za Mungu hakika huu ni wakati WA mwinzo

  • @ServiteurEnock
    @ServiteurEnock 2 месяца назад +1

    Ubarikiwe sana kwamafundisho ndugu abshalom

  • @EvelinWilson-zx6uq
    @EvelinWilson-zx6uq 3 месяца назад

    Amen.namshukuru mungu kunipa Neema yakusikiliza ujumbe huu Baba mungu akubariki sana.

  • @AweMagdalena
    @AweMagdalena 2 месяца назад +1

    Ee Mungu nisaidie

  • @davidmbago3883
    @davidmbago3883 2 месяца назад +5

    Wana c4i Tanzania huyo mzee ni mwisrael kwelikweli tusiache kumwombea siku zote tunahitaji kumtembekea Arusha. Anayo maneno ya unabii sana.

  • @ProphetIsayakihingi
    @ProphetIsayakihingi 2 месяца назад +2

    Power full blesing Baba Ahsante

  • @GastoMwalyaje
    @GastoMwalyaje 2 месяца назад +1

    Amina ubarikiwe mtumishi wa MUNGU

  • @pascalselemani8132
    @pascalselemani8132 3 месяца назад +2

    Amen amen mtumishi wa MUNGU

  • @evancykashaga6576
    @evancykashaga6576 2 месяца назад

    Amen najifunza mengi sana sana Ubarikiwe sana sana

  • @AdelaMkani
    @AdelaMkani 2 месяца назад

    Nimebarikiwa sana na injili hizi Mungu atusaidie sana!!

  • @leahmedard1849
    @leahmedard1849 Месяц назад +2

    Mzee Kulola aliyahubiri sana haya na sasa tunaona wazi wazi jinsi MPINGA KRISTO anavyoanza kufanya kazi, dalili nyingi tunaziona kwakweli

  • @GeoffreyKerongo
    @GeoffreyKerongo Месяц назад +1

    Pastor ubarikiwe sana mwenye ako na masikio amesikia

  • @jrmtv1452
    @jrmtv1452 2 месяца назад

    Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU karibu sana ushirombo ulete mkutano

  • @stanslausherment4618
    @stanslausherment4618 2 месяца назад

    Ni kweli mtumishi wa Mungu sku za mwisho sko karbu sana. Mafndisho mazuri sana

  • @MaryLyimo-y9z
    @MaryLyimo-y9z Месяц назад

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mumgu

  • @TinaDuwe-p4z
    @TinaDuwe-p4z 2 месяца назад +2

    Baba natamani uje huku kwetu karatu arusha ungetusaidie sana

  • @KuhaniMwakalambo
    @KuhaniMwakalambo 3 месяца назад +1

    Injili ya moto hii Rabi🔥🔥🔥

  • @nicolasnzema08
    @nicolasnzema08 Месяц назад +2

    Kwanza nashangaa kuona watu wanasema muhubiri anahubir INJILI
    DALILI ZA KURUDI KWA YESU au kuja kwake Bwana au kuja kwa Bwana sio neno geni katika maandiko ya Musa,Zaburi na manabii ni neno la zamani tangu kuwekwa kwa misingi ya ulimwengu !
    Dalili za kurudi kwak Yesu HUHUBIRIWA pamoja na sentesi TANGU KUWEKWA KWA MISINGI YA ULIMWENGU#

    • @leahmedard1849
      @leahmedard1849 Месяц назад +1

      Mbona kama unapata shida hapa?
      Injili ni lazima ihubiriwe ili kuwaponya watu na moto wa Jehanum
      Sikiliza vizuri jinsi dunia inavyokwenda kasi kisayansi, hujaelewa?
      Usiogope kuyasikiliza mafundisho ya Mungu, ni kwa faida yako, BARIKIWA!!

    • @mkdg.4skolo891
      @mkdg.4skolo891 19 дней назад

      Leah umeongea la msingi sana miongoni mwa nliokuwa nashangaa kumwona mtu haelewi hta injili ilyowazi kiasi hiki ni mm kumshangaa huyo mtu anayesema habari hizi zilishahubiriwa za kurudi kwa Yesu tangu zamani.
      Nikafikiri alipoacha mstari kama mm namna hii ndo angefafanua alimaanisha nini labda sis ndo hatujamwelewa kumbe anakazia ule uelewa wake hapo juu kuhusu injili ya kurudi kwa Yesu kwake ni km imeshakuwa ya kawaida saaana hadi kafunga uelewa wake na alama #
      Kweli tunapaswa kuomba sisi wenyewe kuombea vizzazi vyetu maanayake watoto wetu na kuwaombea hawa wasioelewa Wafunguliwe waone tuko nyakati gani sashvi katka ulimwengu huu.

  • @ImaniramadhaniSemboga
    @ImaniramadhaniSemboga Месяц назад +1

    Mwenye masikio na asikie

  • @MUHINDOKIHESISAMUEL
    @MUHINDOKIHESISAMUEL 3 месяца назад +2

    Aksante sana kwa hii kazi tena.

  • @GiftMakundi
    @GiftMakundi 2 месяца назад

    Kwel kabisa hii ndiyo injili ya Kwel sas...skuiz injili watu wanayopenda ni kusikia pokea mafanikio...watu hawamtak YESU...tutafute sana kujua habar za ufalme wa MUNGU

  • @OSCARMWAIBAMBE
    @OSCARMWAIBAMBE 2 месяца назад +1

    Ni Somo linaakisi muda tulionayo kwakweli, ubarikiwe!

  • @EmmyKiwango
    @EmmyKiwango 2 месяца назад

    Amina Baba mungu akuongezee we mungu tusaidie tuwezeshe kushinda hao viumbe

    • @EmmyKiwango
      @EmmyKiwango 2 месяца назад +1

      Samahan naomba kujua huo mkate usiotiwa chachu unakuaje

  • @rogathekimaro7002
    @rogathekimaro7002 2 месяца назад +2

    Huyu baba anasema kweli