EX-IMAMU WA MCHONGO-ULICHOKITAKA UMEKIPATA SASA WADANGANYE WENGINE SI WAISILAMU-USTADH SHAFII SHOMAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 190

  • @AllyNassor-de6ck
    @AllyNassor-de6ck 17 дней назад +21

    Alhamdulillah shekhe Allah akuhifadh. Hawa jamaa wameishiwa na hoja halafu hawajui kusoma kitabu Chao wataweza kuisoma Quran. Allah akbar

  • @fatmasaleh2707
    @fatmasaleh2707 17 дней назад +29

    Allah akuhifadhi shekh shafii akulinde na kila shari

  • @AbduliAshiru
    @AbduliAshiru 17 дней назад +36

    Mi ndio maana nasemaga iki kichwa ni hatali sana Shekhe Shafi Allah akulipe khery sana Duniani na Akhera.❤❤❤

  • @ochuMay05
    @ochuMay05 16 дней назад +8

    Allahu akibar.. Sheikh Shafii Allah akuongezee ilmu na Afya ili uendelee kutufundisha na Kuipigania Dini yetu ya Kiislam..

  • @MasoudomariSeleman
    @MasoudomariSeleman 17 дней назад +21

    Alhamdulilah shekh Wang shafii mungu akulinde

  • @abdillahramadhani2983
    @abdillahramadhani2983 17 дней назад +13

    Shekhe Shafi mungu akujalie maisha mema na marefu sanaaaa

  • @NuhuM-s1x
    @NuhuM-s1x 17 дней назад +14

    Mashaalha sheh shafi alha akuzidishie ilimu Zaid

  • @RachidyHussein
    @RachidyHussein 16 дней назад +8

    Shafi mungu akupe mwisho mwema

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 16 дней назад +7

    Mwenyezi mungu akujaarie kila lenye kheri sheikh wetu

  • @mariamnakapala997
    @mariamnakapala997 17 дней назад +6

    Allah akuzidishie🤲🤲 shekhe wetu maana sio wao tu atasisi tusiopata baati ya kusoma sana basi nasi tunapata elimu🙏🙏

  • @AmuriYahaya
    @AmuriYahaya 9 дней назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉 manshaallah sheikh mwenyezi mungu akulipe mema sheikh wangu ❤❤❤❤❤

  • @ShafiiJumaa-h5s
    @ShafiiJumaa-h5s 17 дней назад +8

    Shafii mungu akubariki

  • @KhalidKhamis-b6t
    @KhalidKhamis-b6t 17 дней назад +5

    S .S.P maestro ww ni level nyengine kabisa Masha Allah tunakuelewa sn baba

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 17 дней назад +8

    Jazakrllah.khaillah shehe.Shafii

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 16 дней назад +5

    Masha Allah TabarakAllah JazakAllahu kheyran ustadh shafi ❤❤❤

  • @Abdallah-p6i
    @Abdallah-p6i 15 дней назад +2

    Shekhe Shafi ana elimu kubwa sana ni mzuri sana kwenye hoja ❤❤

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 17 дней назад +5

    Kuwa muislamu raha sannna Wallahi tumshukuru sanna Alla

  • @samxx411
    @samxx411 17 дней назад +7

    Shafi Allah akuzidishie elimu uutetee uislam kwa makafiri nae Allah akulinde na adhabu zake siku ya kiama

  • @IbrahJuma-r5s
    @IbrahJuma-r5s 16 дней назад +5

    Masha Allah best explanation

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 17 дней назад +18

    Watu wengi wanaichukia Quran kwa sababu inakataza mambo wanayoyapenda.

  • @Silimashayo
    @Silimashayo 16 дней назад +2

    Masha Allah 💯 Allah mpe umrimrefu sheikh shafi

  • @AyoubAbdi-t2p
    @AyoubAbdi-t2p 17 дней назад +8

    Sheikh nakufuatilia vizur.

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 16 дней назад +2

    Mungu hajashusha kitabu bibliya na bibliya imekuja juzi tu kashisha vitabu 4 taurat zabur ingil quran

  • @RajabJuma-m2n
    @RajabJuma-m2n 16 дней назад +2

    Allah akuhifadhi tuzidi kufaidika 🤲🤲

  • @AmisseSalimoSalimo
    @AmisseSalimoSalimo 15 дней назад +1

    Allah akizidishiye kheri

  • @TimbuloSangoma
    @TimbuloSangoma 11 дней назад +1

    Amina.alaahl.akulinde.na.maadui

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 17 дней назад +13

    Huyo Ex- Imam hajui Kutunga/Kuuliza Swali la Msingi (hana Hoja zenye Mashiko) 🙌
    Angeuliza "Uislamu unaruhsu Kufanya Uchawi" ?
    Muislamu (awe Msomi/si Msomi) ni Mtu/BinAdam tofauti na Uislamu.
    Uislamu ni lmaan/Dini (Njia/Mwongozo);humpeleka/humwongoza Mtu ktk Haki/kheri.
    Uislamu si Dhaifu/hauna Mapumgufu.
    Mtu/BinAdam ni Kiumbe na anamadhaifu/Mapungufu yake.
    Muislamu (Mtu/BinAdam) anaweza Kuamuwa Kufanya Uchawi/Ushirikina kwa Utashi wake na kwa Madhaifu yake.
    Na ndomaana zipo Dhambi/Kharamu na Kheri/Halali na zipo Adhabu za MwenyeziMungu kwa Duniani na Akhera kwa Watendao Dhambi na yapo Malipo Mema kutoka kwa MwenyeziMungu kwa Duniani na Akhera.
    Afu huyo Ex-Imamu awache Hoja za Chuki na ajiite tu Jina/Cheo kinachoendana Ukristo (Ukafiri/Ushirikina)
    Uislamu unakataza/Unakemea Uchawi.. 🙌
    📌Laakin Ukristo Unahalalisha/umerihusu Uchawi ;
    👉 @ Ex Imam arejee Biblia;
    📌 Ezekiel 5 : 1-4
    📌Hesabu 5 : 11- 29
    📌Walawi 14: 1-8
    Huuo 👆si Uchawi?!
    Kama Shaiytwan wa Kijini anamfundisha/anamtaka Asilimu afu hhumfundisha Mtu huyo Kuranya Uganga (Ushirikina/Kufuru) hizo ni Miongoni mwa Mbinu Shaiytwan wa Kijini na ndomaana Allah ametunasihi Waislamu tumpige Vita/tumwepuke Shaiytwan sababu Shaiytwan ni Adui wetu aliy Dhahiri .
    Ex- Imam arejee Qur'an (Meongozo wetu Waislamu)
    👇
    Suraaht Ya-sin 36 : 60-62 na ,
    Siku ya Hukmu/Siku ya Kiyama Alla atawaingiza Motoni ktk Moto wa Jehanam wale Waislamu ambao Wanao Mtii/Walomtii Shaiytwan.
    In Shaa Allah endelea Kusoma Qura'an.
    📌 Surraht Ya-sin 36 : 63
    Sasa kama Mtu/Muislamu umeshaonywa afu unafanya Kibri kama Wachokonozi, uje Utuhumu/Ulaumu Uislamu?!
    Ndomaana Allah hutukumbusha Waislamu tutumie Akili na tudome.
    Muislamu Ukitumia Akili na Ukisoma/Ukizingatia Afundisho ya Uislamu huwezi Kumtii/Kumfuata Shaiytwan Wa Kijini/Wa KibinAdam 🙌
    📌Kama Uganga na Kusilimu iwe kwa Ushawishi na Khofu Allah na si kwa Ushawishi wa Kumkhofu na Kumrisha Shaiytwan wa Aina yeyote iwe wa Kijini/Wa KibinAdam haifai Kumfusta Shaiytwan sababu Shaiytwan ni Adui.🙌
    WaAllahu Aalamu

    • @makenaOG
      @makenaOG 17 дней назад +3

      Swadaqta ustadh

    • @SamoraTabaga
      @SamoraTabaga 17 дней назад

      Uisilam uisilam ohh huruma sana, nihewa

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 16 дней назад +1

      Hawezi kuuliza hivyo sababu jibu analielewa hapo lengo lake ni kuwafurahisha wakristo lakini wameelewa ndio Mana hamna michangio yao humu

  • @alanikalaba895
    @alanikalaba895 6 дней назад

    Shekhe shafi upo vizury umetisha shekhe ,umemjibu vizury Sana huyu mpuuzi

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn 16 дней назад +2

    Allah akuhifadhi

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 17 дней назад +8

    Mm nimeskiza tu akiongea huyo ex imamu ambaye hata kusoma kiarabu hajui nkasema swali lakitoto na hata haitaji andiko

  • @ShaibuMtalagulia
    @ShaibuMtalagulia 16 дней назад +1

    Shafi unatisha sana mana ambae hawezi kukuerewa basi sitimamu

  • @simonnyemazi5286
    @simonnyemazi5286 12 дней назад +1

    Nyiye mnao soma bibilia msome nakumalizia mstari MATENDO 8:9

  • @OmarKhamis-c4x
    @OmarKhamis-c4x 17 дней назад +9

    Wewe unastahili pole saana unatumia mda kwa khasara, waislamu hawategemei vitabu vya mashekhe kama ulivyo kuwa Wewe, bali waislamu woote wanategemea Quran na Sunna.

    • @FathiyaAnwar
      @FathiyaAnwar 11 дней назад

      Ww una tegemea kitabu kipi hata uweze kuelewa ukweli?

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 17 дней назад +11

    Wameishiwa na hoja,mbona tupo uku bara Ya Kenya,kuna kabila wansifiwa kwa uchawi na large percent ni Christians.Mbona hatusemi wakristo wachawi?

    • @hamisikeneth2332
      @hamisikeneth2332 16 дней назад

      Mungu anampima mwanadamu kwa uchawi au kwa matendi yako ?

    • @shabaniramadhan6751
      @shabaniramadhan6751 10 дней назад

      Kwani uko tunasikiaga kabila linasifiwa kwa uchawi Tanzania hadi kwenye media 'na movies, jee hilo kabila ao mjii huo niwa waisilamu?
      Jamaa anauliza maswali wakati anamajibu humo humo kwenye swali zake!

    • @shabamuhidin634
      @shabamuhidin634 8 дней назад

      @@hamisikeneth2332 kwani uchawi sio kitendo? Kwenda tu kwenye uchawi tayari icho pia ni kitendo,Yani Mtanzania akijifanya hajui kiswahili hua nashangaa sana.

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 17 дней назад +7

    Chuki inawamaliza ila wanakaribia msichoke wanaelekea kukubali

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 17 дней назад +2

    mashallah ure ex imamu nimujinga sana yende kunisani kudanganya bipofu vyenzake

  • @KhamisMdzomba-w6h
    @KhamisMdzomba-w6h 16 дней назад +1

    Jazakallah kheir

  • @hajisalimmhina3983
    @hajisalimmhina3983 8 дней назад

    Uchawi ulioteremshwa na malaika wawili aluta na maaluta hawakufundisha watu bila kuwambia kwanza hakika sisi ni mtihani wa kuzama kutii kwenu ( pointi hapa. Iko hapa) sheikh mwenyezi mungu akujalie

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 17 дней назад +1

    ALHAJ SH KISHKI KKJANA WAKO HUYU SHAFI MWITE UKAE NAE CHINI UMSAIDIE TUNAPATA ELIMU KUBWA KWAKE NA MUANGALIENI KI MSAADA WA ASBABU YA RIZKK YAKE ILI AWE NA MDA MWINGI LIVE TUSOME NA ALLAH ATAKULIPA KHERI KISHKI

  • @IsmailKhamis-c3t
    @IsmailKhamis-c3t 17 дней назад +2

    Shekhe shaf ni mwalimu wa wakiristo wote tanzania

    • @davidbarnabas-e8f
      @davidbarnabas-e8f 17 дней назад

      😂😂😂

    • @muliamadi859
      @muliamadi859 16 дней назад +2

      Sio tanzania tu,mwalimu wa wachristo hote ulimwenguni .Sheikh shafi kichwa kweli kweli Masha'Allah tabarack allah.

  • @MuhinaSemhando-x3j
    @MuhinaSemhando-x3j 12 дней назад

    Mungu hana Dini wala shiha wala anglikana wala suni wala wa khamadia wala Agricana Yeye ni mwnzo na Mwixo Alfgha na Umega

  • @IsmailKhamis-c3t
    @IsmailKhamis-c3t 17 дней назад

    Sheikh umejibu vzr sana tena kwa hekma na maarifa mazuri somo zuri umewapa wakiristo.inabidi wakitafakari kitabuchao kwanza coz bibilia yao imewaumbua

  • @Princearriz258
    @Princearriz258 16 дней назад +1

    Ukiwa mchawi duniani tutakutambua kama mwisilamu , ila kwa Mungu utatambulika kama kafiri

  • @OmaryShafii-n9b
    @OmaryShafii-n9b 17 дней назад +1

    Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa, ndio hao Sasa hawajui kama hawajui

  • @simonnyemazi5286
    @simonnyemazi5286 12 дней назад +1

    Ila na wewe utabadilika ipod siku utanyanyuka kwenye kiti cha uwislam .. utakuwa muhubili mwema

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 17 дней назад +3

    Swali lake huyo sijui Ex imamu swali lake haliitaji andiko kma vile ust shafii anavyosema

  • @MwasabuniSuleiman
    @MwasabuniSuleiman 17 дней назад +5

    Unyenyekevu wenu ni huo wa kuwafungisha ndoa mashoga makanisani

  • @jumamitamba6029
    @jumamitamba6029 15 дней назад

    Shekhee shaff allah akulipee kwelii ww nimwalim kwetuu kwanii una fafanuaa pakaa mtuu anaa elewaa kabsaa huendaa apngii tuuu yy ilaa ukweliii unajuuwaa saanaa shekhee

  • @ATHMANABDALLAH-r2x
    @ATHMANABDALLAH-r2x 14 дней назад

    SHEKHE SHAFI UNAFANYA KAZI NZURI SAAANA KABISA

  • @nassoroyahaya821
    @nassoroyahaya821 17 дней назад

    Shekh Shaffi Allah akujalie,ombi kwako naomba wale mashekh wanaofanya uganga na kujitangaza kwenye mabango wakiwa wamevaa kanzu na vibaragashia wakitangaza mambo ya kinyume na uislamu basi mamlaka hususan shekh mkuu Bakwata aweke angalizo ili wapigwe marufuku watu hao wasitumie macazi hayo na Quran kitabu ili kutowachanganya watu ya kuwa ndio UISLAM sambaba na hilo watu wapiga ramli,vitu kama kuamini Pete,madini nk

  • @alanikalaba895
    @alanikalaba895 6 дней назад

    NARUDIA TENA ,MKRISTO HAWEZI AKATOA HOJA ,KISHA MUISILAMU AKASHINDWA KUJIBU ,HAITOKEI NAHAITATOKEA MPAKA DUNIA INAKWISHA .

  • @nabiljumbe
    @nabiljumbe 14 дней назад

    Mashaallah

  • @Ismailmolle
    @Ismailmolle 14 дней назад

    Maashaallah: jamani mi ningewaomba hao wachungaji waingie darasani wasome mbona fursa ipo?qur ani haitafsiriwi kienyeji

  • @ProchesErnest
    @ProchesErnest 14 дней назад

    Uchawi unatetewa kazi mnayo waislamu

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 17 дней назад

    Nikweli kabisa shekh haswaa

  • @ATHMANABDALLAH-r2x
    @ATHMANABDALLAH-r2x 14 дней назад

    TAFADHALI USIWAPE WATU KAMA HAO FURSA YA KUKUTOA NJE NA KUPOTEZA MUDA WAKO MWINGI KATIKA MAMBO YA KIJINGA KIJINGA

  • @alawi6796
    @alawi6796 16 дней назад

    Kama hato kuelewa bas hafai kuwa kiongoz kbsa😊

  • @Sprianaluwayo
    @Sprianaluwayo 17 дней назад

    Sema tote yaliyo fichika mtumshi wa mungu

  • @kombojuma7835
    @kombojuma7835 17 дней назад +1

    A'salaam alaykum...
    Hata Bustani yenyewe ilikuwa na mema na mabaya😅

  • @allialbusaid
    @allialbusaid 17 дней назад

    Alie uliza hua hajui au anajua ila suala lake hua ni darasa kwa wasiojua musiwalaumu sana kwani mafunzo hua hayaishi ( asante sana sheh

  • @FathiyaAnwar
    @FathiyaAnwar 12 дней назад

    Una hakika wa kristo ni wa nyenyekevu ama wa sema tu

  • @PendoKalama-rn8pf
    @PendoKalama-rn8pf 16 дней назад

    Kazi ya shetani nikumjaribu imani na kama imani ikiwa ndogo anakufanya kuwa wake ndo huko kuslimu sasa,ila ukishinda jaribu hilo bas unaokoka mtego huwo na kufata njia ya kweli yesu christo

    • @nduwimanaamidou4009
      @nduwimanaamidou4009 16 дней назад +1

      Yani wale ma askofu wanakubali jinsia moja nao ni waislam ?

    • @JamilaJumanne-u7q
      @JamilaJumanne-u7q 13 дней назад

      @@nduwimanaamidou4009apo chacha 😂😂😂

  • @Khalidmghosi
    @Khalidmghosi 16 дней назад

    Shafii naomba ueafundishe hawa makristo wa uongo kuhuusu vitabu vilivo tangulia ni za waislam ama ni za wakristo wepi

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 16 дней назад

    Asome aya vizur kuhusu nabi Sleman usimtie kwenye ushirikina yeye hakua mshirikina

  • @justinhabonimana3890
    @justinhabonimana3890 16 дней назад

    jibuni swali acheni kukwepa jameni

  • @mojakatundu
    @mojakatundu 14 дней назад

    Shekh katika mji wa baabel, na sio katika mji wa haaruta na maaaruta

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 16 дней назад

    Uisilam nimefikia kuuchukia, kwa sababu hiyo, unajiamini kusema kitu ambacho huwezi kuwaelezea watu, kwa tofasli ya shafii kufanya dhambi nisawa kwakua MUNGUameumba, yesu ndio kilakitu.

    • @kassimothman666
      @kassimothman666 16 дней назад

      Kuuchukia uislam NI ww mwenyewe sio kwa SBB ya maneno ya mtu

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 16 дней назад

      Ndio tunasema wakristo hata ufahamu baadhi yenu ni mdogo wewe na huyo mchungaji wako sawasawa anauliza maswali yaliyojijibu.

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 16 дней назад

      Shafii Hajasema Ni Sawa ila Dhambi ipo ndio Maana Kuna Mazuri na Mabaya, ili Mwanadamu ajue Kuacha Dhambi na kufanya Mema, 2 Mkristo Hawezi kuukashifu UISLAMU Bila Kusoma Vitabu vya Wanadamu , Mwongozo wa UISLAMU ni QURANI Kama Vile UKRISTO Ndio Mwongozo wa UKRISTO , hivi Ukifanya Mjadala na MKRISTO Ukitumia kitabu Cha PASTA Mkorofi Atakubali ?😂😂😂

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 17 дней назад +1

    Wanyekevu ni wapi waswaliyo kwa nyimbo na dansingi nakuiumiza ardhi kwakuruka na kelele kanisani?
    Ama ni waisilamu wenyenyekevu husiki kelele wala miziki misikitini na kuwafanya watu uchawi ati vipofu ufu nguwa macho ninani wenye hayo nini kupitiya hayo siuchawi huwo ninibasi

  • @ATHMANABDALLAH-r2x
    @ATHMANABDALLAH-r2x 14 дней назад

    NATUMAI UMENIELEWA

  • @hamisdodi-cu7bu
    @hamisdodi-cu7bu 17 дней назад +2

    Makafili.motoni

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 17 дней назад +1

    Tatazo makafiri hawakielewi kitabu chao wanataka kusoma kurani shida tupu

  • @huriyaomar3313
    @huriyaomar3313 13 дней назад

    SIKU ZOTE SHANGWE NA KELELE IKO KWENYE UPANDE UNAOSHINDA NA UPOLE UNYENYEKEVU WENU NI DALILI YA UWOGA NA AIBU KWA HIYO KAMA WADAI KUWA NYINYI NI WANYENYEKEVU MMEISHIWA NA WAISLAMU WANA SABABU ZOTE ZA KUJIMANUA KUJISHANGILIA KWA UKWELI ALIOWATEREMSHIA MOLA WAO ALLAH!!

  • @jumamitamba6029
    @jumamitamba6029 15 дней назад

    🤲

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 17 дней назад +1

    Sisinasi tukiamua tulete vitabu vingine tafauti na Bibilia mutakimbia.jenga hoja kutumia vitabu vinavokubalika na Dini mbili Qur'an na Bibilia kwanini utafute vitabu vingine na Qur'an iko.

  • @kassimothman666
    @kassimothman666 16 дней назад

    Wakristo wanaongoza kwa mapepo ndio maana kwenye nyumba zao za ibada wanatoa watu mapepo
    Haijawahi kutokea popote dunia muislam ametolewa pepo msikitini

  • @janerouhassanjanerou7933
    @janerouhassanjanerou7933 17 дней назад +1

    Uyu pua kama ngurue pori alikusudia ku watukana waislam kireja reja mpaka aseme wakristo msijibu kwani ili suali si ameliuliza si ili waislam wamjibu

  • @MuhinaSemhando-x3j
    @MuhinaSemhando-x3j 12 дней назад

    Agano halifutiki ruka zunguka cheza Agano ni kitabu cha Mwanzo

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 17 дней назад +3

    Mtu hata hajui kusoma kiarabu eti imamu vichekesho hivyo

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 17 дней назад

      Yaani na sawa na Mtu Kukataa Asili ya Kwao Kuchukuwa/Kun'gang'ania Asili ya Wengine (Majina, Vyeo nk).
      Itoshe tu Kujiita Mchungaji, Padre, Askofu nk ya Ktk Ukristo na si Kujipenndekeza kt Uislamu 🙌

  • @AMINGULAMRASUL
    @AMINGULAMRASUL 16 дней назад

    UYO MCHUGAJI MWENYEWE MCHAWI MTIZAME SURA YAKE INATOSHA NDIO MAAMA KASHUPALIA UCHAWI NA ASILI YA MCHAWI NI SHETANI NDIO UYO MCHUGAJI SHAFI UYO ATAKUDUMBUA BURE KILA KITU ANAKIJUA DINI YA HAKI NI UWISLAM

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 17 дней назад

    Mwandish jitahid kufupisha mambo swal lako na maelezo yamekuw mengiii

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 16 дней назад

    Kila siku nawaambia hawa watu wa roho mtakatifu ni vipofu na viziwi hawasikii😂😂😂

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 3 дня назад

    Hata humu mitaani tu wapo mafitina wanakufitinishaaa mpaka wakishakugombanisha wanaondoka wanakuruka

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 17 дней назад

    Una baya shekhe Shafi, Mchungaji wa mchongo elim yake ndogo

  • @hamoudayoub2049
    @hamoudayoub2049 17 дней назад

    Huyu ndo shafii ninaemjua Mimi kiboko ya wagalatia

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 17 дней назад +1

    Qurani ni kinga ya ulimwengu waote nawewe wuliza kuhusu uchawi na ni mazoweya yauchawi yanakufanya kuuliza swali hilo kwasababu mumezoweya kudhuru si kudhuriwa mdena akitendewa huwona kaonewa nini kimekupakuuliza hivyo namngu ndiye kaumba yakujisaidiya kupitiya qurani

  • @MuhinaSemhando-x3j
    @MuhinaSemhando-x3j 12 дней назад

    Arafu ukibixana na Agano utatapatapa sana uislam ni Muhamad wakati Agano ni Mwanzo na Mwisho

  • @Kalunirashidi
    @Kalunirashidi 17 дней назад

    iyo kichwa nisema kibaya sana

  • @favoritebrayo
    @favoritebrayo 11 дней назад

    Uislam ni uchawi ata mkikataaaaaaaaaaaa

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 17 дней назад

    Kaka usilam nikitu tofauti sana na MUNGU, kitu kimekopi kwa ukristo hafu unakifananisha na og bibilia.

    • @abeidsamsung
      @abeidsamsung 17 дней назад +1

      Ngoja ufe kaka utajua unachokisema

    • @SamoraTabaga
      @SamoraTabaga 16 дней назад

      Nife, Sikiliza hakuna kitu uisilam ukupeleke mbinguni​@@abeidsamsung

  • @ATHMANABDALLAH-r2x
    @ATHMANABDALLAH-r2x 14 дней назад

    HAWA WATU WANAKUPOTEZEA MUDA WAKO MZURI WA KUTUFAFANULIA MAMBO YA BIBILIA WANAKUINGIZA KWENYE MASWALA YA KIJINGA NA KITOTO

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 16 дней назад

    Hivi Mimi namshangaa mtu anaejiita msomi ameshindwa kuelewa maidhui na malengo ya hao wasomi mbona kila kitu Kiko wazi hakuna fumbo

  • @VincentPancras
    @VincentPancras 17 дней назад

    Mi nafurahi kwamba mambo mengi ya quran yanatafutiwa ushahidi na uhakika kwenye Biblia! Haleluya ameni!

    • @salimbahatisha3003
      @salimbahatisha3003 17 дней назад +3

      Tunawapigia uko uko kwenye biblia ili muelewe zaidi..angalau umeelewa kilichokusudiwa

    • @thekingdragon8358
      @thekingdragon8358 17 дней назад +1

      BORA UJUMBE UMEKUFKIA

    • @Smart_jarm
      @Smart_jarm 17 дней назад +1

      Umemezeshwa dawa upone unafiki

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 17 дней назад +1

    Ukiona muislam ana ritadi hua amechoka kutawadha kilasiku , kuenda na maji choo , kuamaka alfajiri kutawadha kusali , kusali sala tano , na sala za sunah hivi vyote ndivyo vinavyo wafanya waritadi wasali kwa mara moja kwa wiki na kuenda chooni na makaratasi kuɓaki na mavi na kuanza kukosea Quran ili waonekane wao niwakweli

    • @SamoraTabaga
      @SamoraTabaga 17 дней назад

      Sasa mavi siyako tumboni kwako mbona hunywi foma ndugu yangu, tafuteni ufalme kwanza wa MUNGU mengine mtazidishiwa, mwisilam anajuhudi kubwa lakini si kwa Kristo.

  • @basilejuma
    @basilejuma 16 дней назад

    Hujui lolote, ata hakuna mdahalo umewahi shinda, twakujua

  • @MuhinaSemhando-x3j
    @MuhinaSemhando-x3j 12 дней назад

    Vitabu gani mnasoma

  • @paulnyakxx
    @paulnyakxx 13 дней назад

    Mukhtasari.
    Swali: Je, kuna wachawi wa Kiislamu?
    Jibu: blah... blah.. blab... ...Naam. wapo wachawi wakiislamu. Shekhe hajakosea.
    Baas. Ni hayo tu. Hayo makelele mengi hayana maana.

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 12 дней назад

    Suali hakuna wakristo wachawi ,mapastor mashoga na Papa anaehalalisha ushoga? kwa kipimo hicho hicho sasa tuseme ukristo ni dini ya ? "jaza jawabu yako"

  • @mkilwaabdul9230
    @mkilwaabdul9230 17 дней назад

    sheikh shafi unapotoa majibu nimependa kicheko chako kwa maana unacheka kwa kuwadhalau kwamba hawajui lolote😂😂😂😂

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 17 дней назад

    Sasa wale wanaoanguka kila siku huko bongo wote ni waislamu au chuki tuu uchawi unatumika makanisani ili mujaze watu mupate sadaka nyingi kutwaaa kwa wachawi kuchukuwa uchawi na makafara

  • @abdulghafur8612
    @abdulghafur8612 17 дней назад

    Ustadh Shafi, huyo mwanafunzi wako anaeitwa Saidi ni finyu sana. Bibia haikushushwa na yeyote.