Yesu alisema sikutumwa bali kwa kondoo waliopotea wanyumba ya Israel je wewe nimuisrael??? Au haya maneno aliyo sema yesu niuongo ?? Alidanganya kwamba yeye hakutumwa Bali kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israel???
@@zaidiissa3714 WE NAE TUPISHE SIE, KWANI HUO UISLAM WA BABAKO HUKO MAGWEPANDE? SI LIMUNGU LA KIARABU...NENO LINASEMA WAGALATIA 3:13-14 "Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kuchukua laana hiyo kwa ajili yetu, kwa maana imeandikwa, “Mtu anayetundikwa msalabani amelaaniwa.” 14 Lakini alitukomboa ili baraka aliyo pewa Abrahamu iwafikie na watu wa mataifa mengine kwa njia ya Yesu Kristo. Na kwa kutegemea imani, sisi tupate kupokea Roho Kwa njia ya aman"....... SISI TUPO BUSY TUNASKILIZA NENO WE UNACHOWAZA UFALA WAKO KUTAKA KUBISHANA, ILI MRADI TU KUTUVURUGA USHINDWE KWA JINA LA YESU...KACHEZE UNAKO CHEZAGA
Namshukuru mungu wa mbinguni kukuokoa kutoka kuzimu shuhuda zako zinafungua upeo kupitia mahubiri Yako mama mwenye nyumba kafoka sana mungu amsamehe maana nguvu za Giza zinamwandama
Huyu ndo katekela tunayemjua sisi sasa,Wuuuuuh Hatari sana.. piga baba MUNGU yuko pamoja na wewe, na sisi tunakuombea.. maana hapa katikati ulianza kuwa na hekima flani unapozesha maneno, ila hii ndiyo dawa yenyewe imeingia...🙌🙌🙌🙌
Mch,Katekela mimi nakupata sana nikiwa Burundi,MUNGU akutumie zaidi hakika ww ninabiii wanyati zamwisho,Ee Tanzania mumebarikiw kuwapata watumishi kama katekela,karibu kwetu Burundi kabisa,Tanzania mumepata neema kuwapata watumishi wazuri kama hao na msipo pokea hiyo neema mtakuw mumelogwa sisi huku burundi tutaipokea tu!Katekelaaaaa YESU KRISTO abarikiw ndani yako,na penda hiyo mtu mzima hatishiwi nyauuu
Najaribu kushare huu ujumbe kwa mamangu ila aelewi amefungwa na awa manabii adi kuomba siku izi anaomba hivi Mungu wa nabii 😢yani jina la Yesu limetoeka kinywani mwake kabisa, sijui ni lini neema ya Mwenyezi Mungu litaokoa mamangu
Ukishasikia Mkristo anaongelea Madhabahu za manabii anajiungamanisha ujue basi ni Msukule,Mitume na manabii wote waongo sababu Nabii hajawahi Kuongoza Kanisa,Neno la Mungu linayoaha kuponya hauhitaji Mafuta wala maji wewe uendelee kumuombea tu ipo siku atakombolewa!
@@annkim2690 ata uwa na share ili azikilize mwenyewe ila unajua awa manabii sijui wakona na kifumba macho asikii kweli atakubali leo kesho unasikia ameenda uko 😭neema ya Yesu imkumbuke tu
Kwakweli ulikuja kutuokiloa wengi ...mimi nimewahi kunywa mafuta ya upako ya nabii mmoja mpaka tulikua tunamwekea kaka etu kwa chakula ili kiu ya pombe na sigara ikate lakini haikukata....lakini namshukuru Mungu sana baada ya kukufahamu mch katekela alinifanya niokoke baada ya kusikia shuhuda zake kwa muda mrefu na alipokua matemela songea niliona analia na kusema mnakataa kuokoka ninyi aaah nililia na nikaokoka japo ilikua ngumu sana ...mpaka leo nimeokoka na namuona Mungu kwa viwango vya juu sana......Nasema mch katelela Mungu amekutuma kwaajiri yetu.....Naubarikiwe na Bwana kwa huduma
Mafundisho hayo ya mchungaji Katekela ni ya uongo kwa sababu watumishi hao wanakuambia uchukue maji yako ya nyumbani kwako unaomba nao na matokeo yanaonekana. Halafu toa mfano wako wewe wala sio watu waliokufa. Tunataka na wewe ufanye miujiza. Mbona unarukaruka tu?. Umesema miujiza ya Mungu haina formula, mbona unataka wote wafuate akina Moses kulola walivyokuwa wanafanya? Hata mkipiga MANENO hamuwezi. Mbona wagonjwa wenu wanakwenda kuponea kwao? Kinachofanya watu waende kwao ni kwa sababu ninyi hamna upako. Watu wanakaa kwenu na mizigo kama utasa hawapati matokeo. Rudini kwa Mungu Ili awape UPAKO. KULIKO kushambulia. Baada ya Kuwa mmekosa upako, Mungu amegeukia upande wao.
Yesu alisema Mimi yesu skutumwa bali wa kondoo waliopotea wanyumba ya Israel jee haya maneno ya yesu kusema Mimi sikutumwa ila kwakondoo waliopotea wa nyumba ya Israel niyauongo???
Ilikuwa mwezi wa11 nikiwa nimejifungua kwa opp na mwanagu nikampoteza yule nabii alinambia mpaka mwezi wa1 utakuwa umebeba mimba nayo itakuua sasa tuma sadaka nikukomboe walah alivonambia vile nikakata sim sikumtafuta tena ila mpaka sasa nipo na mimba haijawahi ingia namtukuza Mwenyezi Mungu tangu siku hiyo niliacha kusikiliza hawa wanajiita manabii
Ukisikia tu neno tuma pesa nikuombee basiiiii kimbiaaaaa maombi hayauzwi. Sadaka ni hiari ya moyo. Kama ni Roho Mtakatifu anamuongoza mtumishi kusema utoe Huwa haiwi kama lazima. Manabii wa kweli wapo ila wachache sio kwamba hawapo. Lakin kuwajua LAZIMA uwe na Roho Mtakatifu ndani yako . Bila hivyo hutatofautisha. Ubarikiwe ulikata simu kabisa ndugu v
Unafikiri kwa nn manabii watu wanawapenda ni ule upako wa uponyjaji kufufua misekure na unajua hatima sasa uwezi sikia nabii ana mzungumza vibaya mchungaji
Nishaa shirikishwa kuweka chumvi majini niganyake ndani miguu mara saba mtoto wangu akasmbiwa na mwingine akiwa na mimba ya wasiwasi akaambiwa aoge maji ya chumvi na awake penye barabara zinakutanika
Waaambie ukweli bro waache kutapeliwa unakuta mama yuko tayari watoto walale njaa na kuwateza watoto ili tu apate pesa ya kuwapelekea hao matapeli wasio muogopa mungu wajinga wao
Miujiza yote inayofanyika sasa ni nguvu ya upotovu, hakuna kanisa Sasa, kanisa halisi linajengwa na, Mjumbe wa agano pekee, wengine wote ni waongo na watendakazi wa shetani.
wananchi na WA Tanzania wenzangu ngoje nikwambie kitu hebu tufuatilie vzr injili ya kristo. injili ya kristo ilitembea na nguvu na miujiza Sasa hebu katikela watu wengi wanahitaji misaada ya mwili mpe mtu miujiza ya kweli na watu watakifuata wenyewe watanzania wanahitaji msaada
Sichokagi kumskiliza huyu mchungaji jmn hakika ww umetumwa na Mungu uokoe kondoo waliopotea Mungu akubarik sana🙏🙏
Yesu alisema sikutumwa bali kwa kondoo waliopotea wanyumba ya Israel je wewe nimuisrael??? Au haya maneno aliyo sema yesu niuongo ?? Alidanganya kwamba yeye hakutumwa Bali kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israel???
@@zaidiissa3714 WE NAE TUPISHE SIE, KWANI HUO UISLAM WA BABAKO HUKO MAGWEPANDE? SI LIMUNGU LA KIARABU...NENO LINASEMA WAGALATIA 3:13-14 "Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kuchukua laana hiyo kwa ajili yetu, kwa maana imeandikwa, “Mtu anayetundikwa msalabani amelaaniwa.” 14 Lakini alitukomboa ili baraka aliyo pewa Abrahamu iwafikie na watu wa mataifa mengine kwa njia ya Yesu Kristo. Na kwa kutegemea imani, sisi tupate kupokea Roho Kwa njia ya aman".......
SISI TUPO BUSY TUNASKILIZA NENO WE UNACHOWAZA UFALA WAKO KUTAKA KUBISHANA, ILI MRADI TU KUTUVURUGA USHINDWE KWA JINA LA YESU...KACHEZE UNAKO CHEZAGA
@@zaidiissa3714uislamu na ukristo wapi na wapi?kasubiri kuzimu wanawake wenye matako makubwa na macho kama kikombe 😅😅😅😅😅😅
Mtumishi Mungu akubariki sana, tuambie ukweli ili tupone, kwa kweli Bwana Yesu atuokoe,
Namshukuru mungu wa mbinguni kukuokoa kutoka kuzimu shuhuda zako zinafungua upeo kupitia mahubiri Yako mama mwenye nyumba kafoka sana mungu amsamehe maana nguvu za Giza zinamwandama
Ubarikiwe mtumishi katekela, watu wamevutwa na upako wa
Shetani.
Ameen mchungaji katekela na Mungu azidi kukuwezesha kufumbua huu ukweli kwa ulimwengu wote
Mnaompinga amieli kaeni kimya na BWANA wetu YESU kiristo wa nazaleti awakemee.
Asante sana mtumishi,unayoyasema ni kweli,lakini watu wamefungwa macho,hatuna marifa😢
Bendera chuma mlingoti chuma. Nimependa hiyo,❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu ndo katekela tunayemjua sisi sasa,Wuuuuuh Hatari sana.. piga baba MUNGU yuko pamoja na wewe, na sisi tunakuombea.. maana hapa katikati ulianza kuwa na hekima flani unapozesha maneno, ila hii ndiyo dawa yenyewe imeingia...🙌🙌🙌🙌
Mch,Katekela mimi nakupata sana nikiwa Burundi,MUNGU akutumie zaidi hakika ww ninabiii wanyati zamwisho,Ee Tanzania mumebarikiw kuwapata watumishi kama katekela,karibu kwetu Burundi kabisa,Tanzania mumepata neema kuwapata watumishi wazuri kama hao na msipo pokea hiyo neema mtakuw mumelogwa sisi huku burundi tutaipokea tu!Katekelaaaaa YESU KRISTO abarikiw ndani yako,na penda hiyo mtu mzima hatishiwi nyauuu
Ubarikiwe san,mtumishi wa Mungu,yaan nimechok kbs mungu atusaidie na Hawa manabii wadunia hii.
Najaribu kushare huu ujumbe kwa mamangu ila aelewi amefungwa na awa manabii adi kuomba siku izi anaomba hivi Mungu wa nabii 😢yani jina la Yesu limetoeka kinywani mwake kabisa, sijui ni lini neema ya Mwenyezi Mungu litaokoa mamangu
Mungu amsaidie mjulishe kuhusu hii channel ya promoverTV
Amini kua wewe ni daraja lake kumwamini Mungu aliye hai kama mama yangu pia alivyoanza kubadilika.. Mungu amsaidie Amina
Ukishasikia Mkristo anaongelea Madhabahu za manabii anajiungamanisha ujue basi ni Msukule,Mitume na manabii wote waongo sababu Nabii hajawahi Kuongoza Kanisa,Neno la Mungu linayoaha kuponya hauhitaji Mafuta wala maji wewe uendelee kumuombea tu ipo siku atakombolewa!
@@myself4128 yeah sitakata tamaa nitaomba ata kufunga Mam wangu ndio alinifanya nimjue Yesu kwa hiyo sipendi apoteswe na awa waongo
@@annkim2690 ata uwa na share ili azikilize mwenyewe ila unajua awa manabii sijui wakona na kifumba macho asikii kweli atakubali leo kesho unasikia ameenda uko 😭neema ya Yesu imkumbuke tu
Mungu azidi kukupigania kamanda wa yesu piga injili ya yesu katekela
Nabarikiwa Babaa,maelfu ya watu wanaenda kuzimu kwa sababu ya kukosa mafundisho sahihi.
Asante kwa kumfafanua kristo..utukufu umrudie yesu wa nazareti.Amina
Asante mungu wangu kunifunuwa macho nkkaona nuru
Kwa kweli mimi naomba mungu anisamehe sana nilikunywa maji na mafuta ya mtumishi mmoja huku morogoro
Amina, mchungaji Amiel, Mungu amekupa Neema kuu.
Kweli mtumi mungu akupe maisha malefu tuzid kujifunz mengi
mtumishi wa Bwana yesu asifiwe sana umeubiri vizuri sana kazamwendo baba
❤nataman kutumika kama wewe baba nahitaji nitimize ndoto zangu niombee sana
Ubarikiwe mno baba Mchungaji, nabarikiwa na mahubiri yako .Nakufuatilia kutoka Uholanzi.
Mungu wa isaka na yakobo akuinue sema sana mara sabin
Amina Amina Mtumish injili isonge mbele kwa jina la YESU
Sema kweli mchungaji wenye masikio wasikie . Wenye macho waone wenye akili watatambua. Wabishi wataangamizwa tumepewa kuchagua uzima na mauti
Mungu akubariki sana pastor katekela wewe ni mtumishi wa kweli na Mungu amekutuma ili utufungue kwenye uteka wa kuzimu
Nakubariana ne waw 100% from Kenya 🇰🇪🇰🇪
mlete Mungu wa kweli mi naona kama haumleti Mungu wa kweli na kuonysha kwa watu m naona unawapromote
Kwakweli ulikuja kutuokiloa wengi ...mimi nimewahi kunywa mafuta ya upako ya nabii mmoja mpaka tulikua tunamwekea kaka etu kwa chakula ili kiu ya pombe na sigara ikate lakini haikukata....lakini namshukuru Mungu sana baada ya kukufahamu mch katekela alinifanya niokoke baada ya kusikia shuhuda zake kwa muda mrefu na alipokua matemela songea niliona analia na kusema mnakataa kuokoka ninyi aaah nililia na nikaokoka japo ilikua ngumu sana ...mpaka leo nimeokoka na namuona Mungu kwa viwango vya juu sana......Nasema mch katelela Mungu amekutuma kwaajiri yetu.....Naubarikiwe na Bwana kwa huduma
Mungu akutunze
Mafundisho hayo ya mchungaji Katekela ni ya uongo kwa sababu watumishi hao wanakuambia uchukue maji yako ya nyumbani kwako unaomba nao na matokeo yanaonekana. Halafu toa mfano wako wewe wala sio watu waliokufa. Tunataka na wewe ufanye miujiza. Mbona unarukaruka tu?. Umesema miujiza ya Mungu haina formula, mbona unataka wote wafuate akina Moses kulola walivyokuwa wanafanya? Hata mkipiga MANENO hamuwezi. Mbona wagonjwa wenu wanakwenda kuponea kwao? Kinachofanya watu waende kwao ni kwa sababu ninyi hamna upako. Watu wanakaa kwenu na mizigo kama utasa hawapati matokeo. Rudini kwa Mungu Ili awape UPAKO. KULIKO kushambulia. Baada ya Kuwa mmekosa upako, Mungu amegeukia upande wao.
Mungu akutunze sana. Ushuhuda wako umenigusa....sana
..Yesu akukuze katika wokovu...
Wote MATAPELI
MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU
Kweli kabisaa MUNGU akubariki 🙏🙏🙏🙏
Balikiwa sana kwa mafundisho yako ❤❤❤❤❤❤❤
Asante kwa kutufungua fahamu
Ameen chuma Cha YESU kristo
Mungu atusaidie sana. Mungu akubariki sana.mtumishi wa Mungu.
Mungu akubariki,injili kama hii kwa nyakati zetu inahitajika ili kurudisha waliopote,,
Ameen,Mtumishi,ni kweli tupu tunayaona
Nabii, Bw Yesu asifiwe. Nimependa kipindi chako. Naomba msaada wako kwa familia yangu Baba
Yesu alisema Mimi yesu skutumwa bali wa kondoo waliopotea wanyumba ya Israel jee haya maneno ya yesu kusema Mimi sikutumwa ila kwakondoo waliopotea wa nyumba ya Israel niyauongo???
@@zaidiissa3714 umejipu vyema
Asante, sema tupone
MTUMISHI UBARIKIWE SANA KWAKUFANYA LISAJI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NA KUWAUMBUA WATOTO WA SHETANI
Ilikuwa mwezi wa11 nikiwa nimejifungua kwa opp na mwanagu nikampoteza yule nabii alinambia mpaka mwezi wa1 utakuwa umebeba mimba nayo itakuua sasa tuma sadaka nikukomboe walah alivonambia vile nikakata sim sikumtafuta tena ila mpaka sasa nipo na mimba haijawahi ingia namtukuza Mwenyezi Mungu tangu siku hiyo niliacha kusikiliza hawa wanajiita manabii
Ukisikia tu neno tuma pesa nikuombee basiiiii kimbiaaaaa maombi hayauzwi. Sadaka ni hiari ya moyo. Kama ni Roho Mtakatifu anamuongoza mtumishi kusema utoe Huwa haiwi kama lazima. Manabii wa kweli wapo ila wachache sio kwamba hawapo. Lakin kuwajua LAZIMA uwe na Roho Mtakatifu ndani yako . Bila hivyo hutatofautisha. Ubarikiwe ulikata simu kabisa ndugu v
Ubarikiwe, YESU akutunze na Huyo mtoto aje awe mtumishi wa MUNGU.
Nafuu ulisanuka mapema maana alikuwa anataka kukufanya wewe kitega uchumi
Unafikiri kwa nn manabii watu wanawapenda ni ule upako wa uponyjaji kufufua misekure na unajua hatima sasa uwezi sikia nabii ana mzungumza vibaya mchungaji
Mungu akulinde sana
MUNGU akulinde mtumishi uzidi kutuelewesha maana watu wengi wanapotea kws manabii wa uongo
Namufatilia sana sana ,ulinivusha mahali,.promover Yesu akutunze na timu nzima,
Huwa nabarikiwa Sana kukusikiza kaka God bless you
Swali langu ni... Mungu aliye wa kweli huwa anafanya ninii kwa sababu karibu kila kitu chanzo chake ni shetani😢😢😢
Barikiwa Mtumishi, Roho Mtakatifu Asichezewe nimependa sanaaaaaaaa❤
Amen mtumshi wa Mungu,,
Ezekiel 13:1 ( tusome tuelewe) mchungaji katekela ubarikiwe sana pamoja na promover Tv
Rahel
God bless you pastor 🙏.
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Mtumishi Njoo huku kwetu Kilimanjaro Same MAKANYA calvary tupone
Ubarikiwe mchungaji karibu kwetu burundi ❤
Nishaa shirikishwa kuweka chumvi majini niganyake ndani miguu mara saba mtoto wangu akasmbiwa na mwingine akiwa na mimba ya wasiwasi akaambiwa aoge maji ya chumvi na awake penye barabara zinakutanika
Barikiwa pastor watu wamefungwa watu wa Mungu wa kweli hawawataki ,hakuna mafanikio bila bidii (prophet Kenny mbeya
Bwana Yesu akitie nguvu
Mungu atusaidie
Hongela mtumishi bendera chuma mulingoti chuma
Ongea baba hamna kuogopa ukwel ndio huo MUNGU anakusud na watoto wake ndo maana wew ujafa kule kuzimu ili uje utuponye na kutookoa.
Mungu wa mbiguni akuzidishe Sana yaani. Hii ya wa totowachanga niliijua siku nyingi Sana huku Chuga
Waaambie ukweli bro waache kutapeliwa unakuta mama yuko tayari watoto walale njaa na kuwateza watoto ili tu apate pesa ya kuwapelekea hao matapeli wasio muogopa mungu wajinga wao
Miujiza tangu zamani ilikuwapo. Wakati wa Musa miujiza ya mungu na miujiza ya shetani ilfanyika
Amen.
Mm ni mhasi lkn kwa mahubiri yako,mungu azidi kukupa nguvu ya kuhubiri.
Mtumishi me nifanyeje,nimetumia sana Mafuta ya Mwamposa,kukanyaga,kunywa na kujipaka,mpaka saivi nina miaka 2,situmii lakini maisha yangu ni shida2
Ubarikiwe. Mtumishi. Kunifu gua. Mana,
Ubarikiwe xana mchungaji katekela
Asante sana Mchunqaji
Asante sana Mch Katekella nabarikiwa sana
Miujiza yote inayofanyika sasa ni nguvu ya upotovu, hakuna kanisa Sasa, kanisa halisi linajengwa na, Mjumbe wa agano pekee, wengine wote ni waongo na watendakazi wa shetani.
Ubarikiwe Sana mtumishi
Hakika w nimutume niwchache wanasimamiya ukweri kama huo pasta m nimekupenda sana keufichuwa siri kaa hizo nataman kuwa karibu
awe
Ubalikiwe sana simamia kweli
Yes upako mwingine ni wa kubuy lkn mungu dio kila kitu
Be blessed pastor amiel katekela am blessed more
Amen, Mungu turehemu
Mungu akubariki mtumish
Mungu akulinde sana mtumishi
Ukweli kabisa ❤
Amina mtumishi
Majini kila mahali, hatuko salamaa,
wananchi na WA Tanzania wenzangu ngoje nikwambie kitu hebu tufuatilie vzr injili ya kristo. injili ya kristo ilitembea na nguvu na miujiza Sasa hebu katikela watu wengi wanahitaji misaada ya mwili mpe mtu miujiza ya kweli na watu watakifuata wenyewe watanzania wanahitaji msaada
Bendera chuma mlingoti chuma napenda sana hiyo ward Yako Huwa maumbiri Yako yanitia nguvu sana
Ubarikiwe sana sijui uko wapi?
❤mch🙏
Bwana YESU ATUSAIDIE TUU ni ukweli wanatoa watu sacrifice sana sana
Nimepona Baba🙏
Unanibariki sana Katekela, karibu Tabora
Mungu atuhurumie sana 😔
Amen tusaidie tupone
Amina , Damu ya Yesu ikufiche .
Napenda mafundisho yake.
Anapatikana wapi
Anapatikana Geita Tanzania
Mungu amekuokowa.
kiukweri mchungaji sema Irish tupate kumbandirika
Jamani naomba ufike mikoa mingi hasa kigoma sumbawanga Tanga
Miujiza ni ya MUNGU, hiyo ambayo si ya MUNGU inaitwa MAZINGAOMBWE.
Makanisa ya jumapili mungu wao tumbo mungu wao pesa
Amen
Wa kwanza ni kiboko ya wachawi..tapeli mtupu amna kitu mle..Ualikiwe Mchungaji
MUNGU akubariki sana mtumishii mie ukwel unazidi kunifunguaa
Ndugu hubiri injili iletayp toba iletayo ondoleo la dhambi.
Hizo habari za kuzimu siyo lengo la Kristo
Acha aseme ukwel
Hata mseme hawezi kunyamaza, Dhambi zenyewe anazisababisha huyo anayeishi kuzim acha atwambie tujue, bahati nzr nimeshajua shetani hawezi kunidanganya tena ng'o
Yeye katumwa Kwa Hilo wewe fundisha hiyo Toba unayoijua wewe,Roho Ni Yule Yule humpa kila mtu kadri apendavyo
Jmn watusis mhhh tunajua kukosoa kwel Kwan hahubr hyo injil ya Toba mbna anafanyahvo heee au nawewe ndo waleee wamafutaaaa acha kumvunjoyobsnaaa
Nakukubali sana mungu akubaliki sana, 12:44