I just love this man of God for speaking the truth this is the third time I'm listening to him my eyes have opened alot,I pray for him and his family for more grace
Amen nashukulu mchungaji,kuisaidia familia yang kututoa kwenye munyololo wa mizimu ya ukoo iliyotushikilia ,sasa imeshindwa kwa jina la Yesu ,sasa tunaamani familia yote ya wilson
Niliwai findisha kwamba Roho wa Mungu aiangushi bali inasimamisha,sasa watu wamrudie mwenyezi Mungu waache kukimbilia miujiza hii lugha eti ni ndimi sijewai Amini Mimi Asante Mungu kwa hekima
Barikiwa Mtumishi wa Mungu. Ila mafundisho haya kuna vipande vipande vinakatika katika inapungua mwendelezo wa message kamili. Alietengeneza hii vidéo aombe Mungu, shetani asiilie tukaja kukosa ujumbe mzuri.
Ridia samahani mpe Bwana Yesu hadhi yake kwa kutumia herufi kubwa.. Bwana Yesu. Kuhusu hawa manabii feki, Endelea kupokea Neno sahihi kwa Watumishi sahihi. Taka sana Uongozi wa Roho Mtakatifu. Jifunze sana kuhusu 1Wakorintho 12: 8-10.. Karama za Roho Mtakatifu.. zaidi zile 3 za Mafunuo ( Kupambanua roho, Neno la Maarifa na Neno la Hekima)....Kanisa la Kweli litake sana karama hizi ....ili tuwezeshwe kuzitambua hizo roho..1Yohana 4:1....Mathayo 24: 11, 24 nk... Barikiwa...
Mchungaji ana hubili ukweli kabisa watu tumekuwa wavivu wa kujiombea tume kuwa wavivu tunataka kuombewa tu imani hatuna kabisa Kwakweli umetufunguwa na kutegemea maombi kwa watu wengine MUNGU akubaliki sana mtumishi wa MUNGU BWANA YESU kritor aliye hai akubaliki sana
Hallelujah hallelujah hallelujah jina la BWANA lipewe sifa milele na milele AMINA KUBWA hakuna kama MUNGU wambinguni mubarikiwe zaidi nazaidi watumishi wa MUNGU
Umesema vizuri sana mtumishi.... Juu ya mwamba huu....sio petro bali ule ufunuo wa kujua kuwa "kristo ni Yesu mwana wa Mungu aliye hai" huo ufunuo ndio mwamba, Yesu ni mwamba hakuna mwingine petro ni mwanadamu ila aliye kufa na kufuka kwa nguvu zake mwenyewe wala hakuombewa yaani yesu ndio mwamba
😭😭😭 uwiii MUNGU wetu tuna kuomba utusaidie tusiikose mbingu sisi pamoja na familia zeetu MUNGU WETU TUSADIE wanao kuzimu nimbaya saana yani wewe mchungaji wewe kwenda kuzimu nimpango wa MUNGU ili akurudishe kwetu ili uje uuambie ulimwengu hali ilivyo kuzimu.
Hebu igiza kilicho sahihi ili tupambanue kunena kwa shetani na kwa Roho wa Mungu! Shetani hupenda kuiga ndivo ninavoelewa mimi so utajua kwa Neno la maarifa kuwa hii siyo!
Ukinenewa uliza kwa jina la yesu utajua kama ndie au sie the bble says kwa jina la yesu kila goti litapigwa mm nliwahi muona ndege kazin kwangu anantabasamia nkamwambia njoo kwangu kwa jina la yesu akakimbia mbio NA kutoka hapo
Unahubiri.vizuri ila jinsi no nilivo kusikiliza.na.kukufatilia sana naomba.kanisa walilompokea katekela wamuombe kwaza mungu awathibitishie. Kama mtumishi kweli kuna mambo nayaona.kwa katekela hayako sawa
Ww omba uje utidhibitishie dada mana una uwezo pia dont you see satan is talking inside of you sumaku ina attract sumaku ukiona kitu kibaya ndan ya mtu n ubaya wako ulio ndani ndio unaona. Jesus says pepo hawez kutoa pepo
Mchungaji tafadhali tafuta nafasi utuambie chanjo ya Corona ina nini na baada ya kuchanjwa madhara yake pliz but tunaamini Mungu atatuosha hizo dawa tulichanjwa kutoka kwa miili yetu ktk jina la Yesu Kristo.
I just love this man of God for speaking the truth this is the third time I'm listening to him my eyes have opened alot,I pray for him and his family for more grace
May God bless you for me
@@liliannyangweso8033😢😢😢😢😢😢😊😢😊😢
Ameen mtumish ubarikiwe na bwana
Mungu azidi kukutumia Mch.Amiel Katekela katika kazi yake. Nimebarikiwa sana na mafundisho yako. Ni Mungu tu AMINA. UBARIKIWE SANA.
Mungu akulinde kwakazi unayo fanya kwaajili ya kuponye mioyo ya watu. Mungu akupe maisha marefu uzindi kuponye watu wa Mungu kwakusundi lake.
Amen Amen Asante Muchungaji kwa mafundisho mazuri barikiwa sana pamoja nawe Promover TV.
Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa " kwanzia Leo , nimepata maarifa , man of MIGHT GOD be blessed alot , preach always like never before
MUNGU akubariki sana Mtumishi wa MUNGU alie hai. Unatufunulia yaliyofichika sirini. Uzid kulindwa kwa DAMU ya YESU KRISTO.
Tumehudumiwa na Roho Mtakatifu
Akitukumbusha zaidi ya zaidi 🙏
Asante Mungu wetu kwakuokowa mtumishi wako, pia na sisi utusaindie kelikeli🙏🙏
Amen nashukulu mchungaji,kuisaidia familia yang kututoa kwenye munyololo wa mizimu ya ukoo iliyotushikilia ,sasa imeshindwa kwa jina la Yesu ,sasa tunaamani familia yote ya wilson
Mungu akubarik saana na kukulinda mch Amiel kwa mafundisho mazur
Oooh nimebalikiwa Duniani na mbinguni ahsante MWENYEZI MUNGU kwa hii Neema 🙏🙏
chukua vyote niachie Yesu💯
Somo zuri sana mtumishi wa MUNGU. Nabarikiwa sana kwa jina la YESU
Asante Yesu Mungu awabariki wote mliousika kuiandaa semina hii katoka Jina la Yesu Kristo alie hai .Amina.
From Kenya Bungoma we are blessed. God bless you servant of God
karibu sana kenya mafundisho kama hayo nimuimu sana kwa makanisa yakenya nimembarikiwa sana naumefungua macho yangu asante sana
Kwa jina la Yesu Kristo Amen Amen 🙏🙏🙏
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu aliye juu ninayaelewa sana mafundisho yako
Bwana Yesu asifiwe wapendwa Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu endelea kutuambia ukweli tuendelee kujuwa ukweli
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU. From Mozambique 🇲🇿
Hello
MUNGU hakubariki mtumishi wa MUNGU kwa mafundisho Niko Kenya trainsmara
mungu akubariki mchungaji maubiri yako yanibariki sana mungu akupe nguvu yakutangaza injili
Amen hv umeshamkutanisha na Askofu Gwajima nataman Sana hiyo siku
Hata mimi niliwahi kulifikiria hilo
Amen Amen Mafundisho Yako inanibariki sana God bless you.
Ubarikiwe mchungaji wangu
Nimepokea mtumishi Mungu akubariki kwa ushuhuda wako
Asant sana Mchungaji Mungu akutunze
Nakukubali sana mtumishi
Hii ni kwel kweli tunaihitaji ufunuo nakuelewa kuwa Yesu Kristo ndio mwana wa Mungu
Mungu akubaliki sana mtu wa Mungu huo ndio ukweli nabalikiwa sana ukweli usemwe tu kuliko kuwa sikiliza matapeli wa injili
Asante mtumishi kwa kunifungua mm nilikua mtumiaji mzuri wa hayo mafuta Asante Yesu kwa kuniokoa🙏🏾
ubalikiwe.mtumishi.endelea.kufunguawatu
Ubarikiwe Sana mtumishi was Mungu
barikiwa sana mtumishi Yesu akutunze
Niliwai findisha kwamba Roho wa Mungu aiangushi bali inasimamisha,sasa watu wamrudie mwenyezi Mungu waache kukimbilia miujiza hii lugha eti ni ndimi sijewai Amini Mimi Asante Mungu kwa hekima
Mungu Jehovah ANISAIDIE nikauone Ufalme wake
Amen mtumishi nmebarikiwa Kwa mafundisho haya🙏🙏🙏
Mtumishi MUNGU hakubariki kwa mafundisho
Ubarikiwe mnoo,DAMU ya YESU ikufunike.
Barikiwa Mtumishi wa Mungu. Ila mafundisho haya kuna vipande vipande vinakatika katika inapungua mwendelezo wa message kamili. Alietengeneza hii vidéo aombe Mungu, shetani asiilie tukaja kukosa ujumbe mzuri.
Mtumishi wa MUNGU barikiwa sana mimi nimebarikiwa sana nikiwa nakuru kenya na naomba MUNGU sana anifungulie jia ya kukupata i have more to you
@@winfredmueni3281 come on ubarikiwe sana
Barikiwa mtumishi KATEKELA. Umenifumbua Sana katika shuhuda zako
Amen mchungaji ubarikiwe sana
Amen namuelewaga sana huyu mtumishi
Asante kwa neno limenifungua mungu nisamehe na unirehem bwana yesu jaman Kama kwa manabii naenda sana
Ridia samahani mpe Bwana Yesu hadhi yake kwa kutumia herufi kubwa.. Bwana Yesu. Kuhusu hawa manabii feki, Endelea kupokea Neno sahihi kwa Watumishi sahihi. Taka sana Uongozi wa Roho Mtakatifu. Jifunze sana kuhusu 1Wakorintho 12: 8-10.. Karama za Roho Mtakatifu.. zaidi zile 3 za Mafunuo ( Kupambanua roho, Neno la Maarifa na Neno la Hekima)....Kanisa la Kweli litake sana karama hizi ....ili tuwezeshwe kuzitambua hizo roho..1Yohana 4:1....Mathayo 24: 11, 24 nk... Barikiwa...
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri ya Mungu tunawapata vema kabisa
Asante sana mtumish wa mungu amiel hakika mungu akulinde sana sana
Mchungaji ana hubili ukweli kabisa watu tumekuwa wavivu wa kujiombea tume kuwa wavivu tunataka kuombewa tu imani hatuna kabisa Kwakweli umetufunguwa na kutegemea maombi kwa watu wengine MUNGU akubaliki sana mtumishi wa MUNGU BWANA YESU kritor aliye hai akubaliki sana
Mbarikiwa sana na yesu sana
Hallelujah hallelujah hallelujah jina la BWANA lipewe sifa milele na milele AMINA KUBWA hakuna kama MUNGU wambinguni mubarikiwe zaidi nazaidi watumishi wa MUNGU
Umesema vizuri sana mtumishi.... Juu ya mwamba huu....sio petro bali ule ufunuo wa kujua kuwa "kristo ni Yesu mwana wa Mungu aliye hai" huo ufunuo ndio mwamba, Yesu ni mwamba hakuna mwingine petro ni mwanadamu ila aliye kufa na kufuka kwa nguvu zake mwenyewe wala hakuombewa yaani yesu ndio mwamba
Yesu akuinue zaidi mch
More grace and Protection of God man of God.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏❤
Mungu akutie nguvu zaidi
Asnte mtumishi wa mungu nimejifunza mengi mnooo barikiwa sanaaa
MUNGU akubariki sana mtumishi nimekuelewa
Amen nimebarikiwa sna
Amen mtumishi WA Mungu
Ubarikiwe sana mutumishi wa mungu
MUNGU awabariki watumishi wa BWANA na ashukuliwe kwa kuwatoa kuzim
Barikiwa sana mtumishi mungu azidi kukutunza .Nimebarikiwa sana natamani masomo yako yote nizidi kukua kiimani
Amina mtumishi wa mungu
Mungu akubariki na kukutia nguvu🙏
😭😭😭 uwiii MUNGU wetu tuna kuomba utusaidie tusiikose mbingu sisi pamoja na familia zeetu MUNGU WETU TUSADIE wanao kuzimu nimbaya saana yani wewe mchungaji wewe kwenda kuzimu nimpango wa MUNGU ili akurudishe kwetu ili uje uuambie ulimwengu hali ilivyo kuzimu.
Sawa Mtumishi wa MUNGU Ubarikiwe Sana
Asante kwa Bwana wetu Yesu kristo
Hebu igiza kilicho sahihi ili tupambanue kunena kwa shetani na kwa Roho wa Mungu! Shetani hupenda kuiga ndivo ninavoelewa mimi so utajua kwa Neno la maarifa kuwa hii siyo!
Ukinenewa uliza kwa jina la yesu utajua kama ndie au sie the bble says kwa jina la yesu kila goti litapigwa mm nliwahi muona ndege kazin kwangu anantabasamia nkamwambia njoo kwangu kwa jina la yesu akakimbia mbio NA kutoka hapo
Deus a abençoe o pastor Katekela
Amen amen mungu akulinde na famille yako azidi kukupanguvu .
Amen!! Ni kweli wanaondolewa utayari wa kumtafuta Mungu wa kweli
MUNGU akubariki
Nashukuru mwenyezi Mungu Kwa mtumishi wake ,nimepata ufunuo na kubarikiwa.Sifa na utukufu simurudie yesu
YESU Akuinue Mtumishi wa MUNGU
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu from Riyadh Saudia
Tuko wengi
Shetani hufikiri anawachukua wafuasi wake na kuwaonyesha fahari zote pasipokujua kuwa Mungu alimuumba mtu kwa sura na mfano wake.
Mtumishi wa mungu ningependa utembee àta pande cha meru ubiri neno la mungu uko ukomboe mwoyo ya watu uko plz
Meru ipi ya Tanzania au Kenya?/
@@UsafiMichael-mc8ktkenya
Munguu wafungue masikio ya rohoni roho ya kawaida itoke kwa jina la yesu atupe moyo ulio pondeka
God is pless you my paster
Ubarikiwe. Mtumishi. Wa .mung .unaye. Tupa ufunuo
Amen sana ninaamin nimefuta kilakitu
Amen amen nimembarikiwa Sana naioneno la yesu
Barikiwa sana
Mtumishi upo vizuri
Napenda nipate namba ya mtumishi katekela,naomba Promover Tv
Mungu awabariki
Mafundisho mazuri sana huwa na faidika sana
Natamani ungepiga zaidi injili na kufundisha watu zaidi kuongozwa na Roho Mtakatifu na Roho ya kupambanua.
Roho yy ndio anakufunulia yesu hufunzwi jesus says huyo roho msaidiz wangu atawafunulieni mm ndani yenu
Amen amen 🙏🙏🙏
Be blessed
Na.takasana barikiwa
Mungu wambinguni atusahidiye ili tuiyone mbigu atuepushe na majaribu
Keep the fire burning.. God is good. Stay blessed always in the name of Jesus Christ of Nazareth... Amen Amen Amen Amen
Aksante kwa kutufungua ufahamu pia
Mungu nipe macho ya rohoni
Unahubiri.vizuri ila jinsi no nilivo kusikiliza.na.kukufatilia sana naomba.kanisa walilompokea katekela wamuombe kwaza mungu awathibitishie. Kama mtumishi kweli kuna mambo nayaona.kwa katekela hayako sawa
Ww omba uje utidhibitishie dada mana una uwezo pia dont you see satan is talking inside of you sumaku ina attract sumaku ukiona kitu kibaya ndan ya mtu n ubaya wako ulio ndani ndio unaona. Jesus says pepo hawez kutoa pepo
Unaona nini? Wewe umeokoka au ni mlokole au wewe ni nani?
Amen 🙏🙏🙏
Mchungaji tafadhali tafuta nafasi utuambie chanjo ya Corona ina nini na baada ya kuchanjwa madhara yake pliz but tunaamini Mungu atatuosha hizo dawa tulichanjwa kutoka kwa miili yetu ktk jina la Yesu Kristo.
Alishasema hyo sio chanjo ila Ni alama wanayokuwekea iwe rahsi wao kukupata mda wowote wanapokuhitaji
Iyo nikwali mungu hakubariki
THANKS
Nimejifunza mengi
Uwe juu
Amina baba
Nasikiliza Leo 3.3.2023 nikiwa mkoa wa pwani wilaya ya kibaha kata ya kongowe mtaa wa bamba.Mungu wa miungu nisaidie nimalize mwendo salama