Ushuhuda wote(Part1-9)Apostle Zizi aliyekuwa ameolewa na jini mtu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Комментарии • 55

  • @RachelEmid-jq6eo
    @RachelEmid-jq6eo 3 месяца назад +3

    Ameeen ushuhuda huu unaend kubadirisha maisha yangu kwa jina la Yesu nasimama na Zaburi ya 50:15🙏🙏

  • @charlesochieng9935
    @charlesochieng9935 3 месяца назад +3

    Wow, this is a nice testimony, I have watched it all, GLORY BE TO JESUS CHRIST. GLORY BE TO JESUS CHRIST.

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 3 месяца назад +3

    Pole sana dadangu apostle Zizi kwa yote umeyapitia. It is more than a movie I am so sorry. Kuhusu kuwa founder of your ministry I don't know May God give you more revelation about that. Because women as apostles pastors may the good God give you wisdom and enough knowledge. May our Lord Jesus Christ protect you my sister. Thank you so much Promover TV for the testimony 🙏

  • @tysonlwizza5807
    @tysonlwizza5807 3 месяца назад +1

    Amina Mungu akubariki sana ushuhuda wako unamafunzo makubwa.

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 2 месяца назад +4

    Jamani watu. Mnajua kuhukumu kuliko MUNGU mwenyewe watu wanaokokaga kwanza MUNGU mwenyewe anawabadirisha taratibu acha MUNGU mwenyewe ahusike kama alivyomuokoa jamani acheni kuhukumu na kumnyooshea vidole

  • @WinfridajohnBiffa
    @WinfridajohnBiffa 3 месяца назад +2

    mungu anakupenda San fanya kaz ya mungu mpaka mwisho wa uhai wako

  • @matatizonkwera8607
    @matatizonkwera8607 Месяц назад

    Asante Sana mama ubarikiwe, ushuhuda wako hakika umenifungua mengi

  • @EstajanethmsafiriJaneth
    @EstajanethmsafiriJaneth Месяц назад +1

    Pole sana Mama Mungu akubariki sana Mtumishi Ktk maisha Yako,

  • @rabecamapunda6389
    @rabecamapunda6389 3 месяца назад +3

    Mungu anasema, Askofu ni mwanaume tu.
    Acha kabisa hiyo kazi ya Uaskofu, acha kabisa uchungani, Acha kuchukua sehemu ya wanaume, poa acha vipodozi

    • @d15355
      @d15355 3 месяца назад +1

      Una akili sana wewe,huyu hajijui yale majini bado anayo ingawa anajipa ma-hope kuwa ameyaondoa pili bado anacheza ngoma za shetani mungu hana kiongozi mwanamke tatu huyu bado ni kahaba halafu hatuna uhakika kama ukahaba ulimwacha salama kiafya

    • @JoanofficialMedia
      @JoanofficialMedia 2 месяца назад

      Kama yuko Mwanamke,na Mungu ameweka huduma ndani yake,na yeye anasema hizi ni nafasi za wanaume,Utakuja kudaiwa JIANDAE NA HILO.

  • @BertheYulila
    @BertheYulila 3 месяца назад

    Amen yesu ni bwana namwokozi wa maisha yangu ❤❤❤

  • @kennethogonda2947
    @kennethogonda2947 3 месяца назад +6

    Wewe mama acha siasa, acha ubishi. Kama kitu ni dhambi ni dhambi. Si dhambi kwa wengine tu. Achana na mapambo yatakupeleka jehanamu. Kuvaa kilemba ni wakati unaomba au unamsifu Mungu tu, si kila mara. Si lazima Mungu akuambue binafsi, mbona wewe unataka tuamini unayosema na Mungu hakutuambia?

    • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
      @MaryMichaelMaryMichael-i7o 3 месяца назад

      Injili cyo siasa dada kma we umetuletea ujumbe kutoka kwa MUNGU na atukuwa na wew na tumeamin..je??wew inakuwaje ukiambiwa kma kma itatokea mtu amepewa ujumbe juu yako kukukanya uachane na urembo ufunge kitambaa...unakuwa mbishi sasa huo unyenyekevu wako uko wapi???we lazma uambiwe na MUNGU mwnyew mama acha uishi umeamua kuwa mtumishi wa MUNGU fata njia zake zote

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 Месяц назад

      Wew utakuwa ni zao la kuzimu

    • @matatizonkwera8607
      @matatizonkwera8607 Месяц назад

      Hujitambui wewe

  • @japhetkigutu7407
    @japhetkigutu7407 2 месяца назад +1

    Pole sana mama....

  • @AbrahamLukena
    @AbrahamLukena 3 месяца назад

    Duniani kuna mengi kristu yupo naokowa roho za wengi Amen amen

  • @RoseMsami
    @RoseMsami 3 месяца назад

    Nimebarikiwa sana

  • @JaneKuyokwa-ng2qf
    @JaneKuyokwa-ng2qf 3 месяца назад +3

    Makofi kwa yesu akina mama

  • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
    @MaryMichaelMaryMichael-i7o 3 месяца назад

    Mtu nashangaaa anakubali kuokoka lakin kuacha ya dunia atakii😢😢😢oooh my GOD mpka MUNGU akwambia mwnyew akwambie..😢😢😢

  • @SahauMwazembe
    @SahauMwazembe 3 месяца назад +1

    Mungu uwe nasi

  • @ndavadumayai4250
    @ndavadumayai4250 2 месяца назад +1

    Tumepewa roho mtakatifu anatuongoza,na Amani ya ndani iamue,mtangazaji usimlazimishe aamini unachokiamini kuhusu kichwa

  • @JaneKuyokwa-ng2qf
    @JaneKuyokwa-ng2qf 3 месяца назад +1

    Mungu nimwema sikuzote

  • @d15355
    @d15355 3 месяца назад +1

    Mashetani ya kimizimu ndio yaliyokuokoa usife hakuna mungu hapo na machale ya kukwepa ajali ile ajali yote yalikuwa ni mizimu tu hakuwa mungu hata uliponusurika kuchukuliwa msukule ni mizimu tu mama usijidanganye eti alikuwa ni mungu wakati ulikuwa ni mshirikina na mchawi

  • @AffectionateBirdNest-du7oi
    @AffectionateBirdNest-du7oi 2 месяца назад

    aminaaa

  • @LeonardEdward-fb2bn
    @LeonardEdward-fb2bn 3 месяца назад +1

    Aiseee😰😰

  • @lubegajosia973
    @lubegajosia973 2 месяца назад

    Namba za simu naziomba

  • @JudithJoshua-t2d
    @JudithJoshua-t2d 2 месяца назад +1

    Mtumishi hapo unatuchanganya kuhusu mapambo umesema hujawai kusikia sauti kuhusu mapambo sio kila Kitu MUNGU akwambie wewe sikiliza maonyo kwa watumishi wengine na ufate, kumbuka wewe ulikuwa malkia wa kuzimu hivyo roho ya Ezebel ya urembo bado inakufatilia hivyo sio muhimu kwako kujiremba, na husisubiri BWANA ndio akwambie shuhuda za wengine zinatosha. Husije fanya utumishi halafu mwisho ukakosa mbingu sababu ya mapambo.
    Kumbuka bado ibilis anakuwinda kwa kuaribu kazi zao hacha michanganyo.

  • @d15355
    @d15355 3 месяца назад

    Je umeshaacha mpango wa kando hadi sasa?

  • @d15355
    @d15355 3 месяца назад +1

    Bimkubwa ingawaje utanipuuza lakini huu ninaokuambia ni ukweli kuwa wewe hadi sasa ivi yale majini ya kimizimu na ya baharini bado unayo na yule jini joka yule bado unae na hawatoki kirahisi kama unavyodhani wewe,na kama unabisha fanya uchunguzi ila usiende kufanya uchunguzi huo kwa waganga

  • @d15355
    @d15355 3 месяца назад +1

    Bimkubwa umri umeshaenda sasa jua limeshazama, achana na hayo mavazi ya vijana hilo jaketi la hiphop la nini tena vaa mavazi ya stara na hiyo kofia kama mc lyte achana nayo vaa vilemba sasa kama itabidi uoneshe mfano kwa vijana

  • @d15355
    @d15355 3 месяца назад

    Ulikuwa unakataa wanaume wewe sababu ulikuwa na majini mahaba ndio yaliyokuvunjia ndoa yako ya kwanza na ndio yaliyokuwa yanakataa wanaume sababu wewe mbaka sasa hivi bado ni mke wao

  • @d15355
    @d15355 3 месяца назад

    Uache kutaja majina ya watu ya enzi za ushetani wako kahaba wewe ,unajuaje kuwa nao wamelishamrudia mungu sasa unawaabisha kiroboto wewe mchafu wa mwisho

  • @d15355
    @d15355 3 месяца назад

    Hujajibu swali umeulizwa mungu katoa amri 10 anataka zifuatwe lkn kuna watu wanazivunja kwani mungu alikuwa hawezi kuwafanya watu wazifuate amri zake hizo? Wewe ni shetani bado unayo mama ruka kulia kushoto hayajaondoka na lengo lako ni kupitosha watu

    • @linvi_chemutai
      @linvi_chemutai 17 дней назад

      Ata yesu hawezi taka uongeleshe mtu yeyote hivo. Tubu kabisa na usiwe mwepesi wa kuhukumu. Kumbuka, wewe ni mwenye dhambi ata kama sio dhambi kama yake. Sote twamhitaji Bwana Yesu.

    • @d15355
      @d15355 17 дней назад

      @linvi_chemutai mi simwitaji yesu Bali namwitaji mungu ambae ni mwema kwangu na mwema na Bora kushindwa vyote kwani hata yesu alisema yeye sio mwema Wala asiitwe mwema kwani mwema ni mungu peke yake nishatubu na nitatubu kwake tu sio kwa yesu.

    • @linvi_chemutai
      @linvi_chemutai 17 дней назад

      @@d15355 Jesus loves you

  • @d15355
    @d15355 3 месяца назад

    Wacha ujinga wewe hapo chooni uliokolewa na mashetani yako ya asli hakuna mungu hapo wacha kumsingizia mungu nyinui wakristo mnashida gani

  • @d15355
    @d15355 3 месяца назад

    Kahaba aliyekubuhu

    • @linvi_chemutai
      @linvi_chemutai 17 дней назад

      Jesus loves you

    • @d15355
      @d15355 17 дней назад

      @linvi_chemutai siitaji kupendwa na yesu kwani upendo wa mungu unanitosha,ni yeye peke yake ambae ukikosa upendo wake utaangamia sio yesu

    • @linvi_chemutai
      @linvi_chemutai 17 дней назад

      @@d15355 Anakupenda bado

  • @VeronicaEdesiusBernard
    @VeronicaEdesiusBernard 3 месяца назад +1

    Uache vipodozi sasa

    • @Frosita
      @Frosita 3 месяца назад

      Jaman

    • @d15355
      @d15355 3 месяца назад

      Umenifurahisha saana dada umemgundua askofu ambae bado anajichubua hii maanake bado ushetani anao sababu vipodozi vinatoka kuzimu

  • @lilianmajana5032
    @lilianmajana5032 3 месяца назад +4

    Please 🙏 number za sister zizi please 🙏

  • @RoseMsami
    @RoseMsami 3 месяца назад

    Nimebarikiwa sana

  • @RoseMsami
    @RoseMsami 3 месяца назад +1

    Nimebarikiwa sana