Asante Yesu kwakuifahamu promover na mtumishi Katekela mafundisho yake yamenisaidia nimeachana na madhabahu za maji na mafuta ya upako Sasa hv naweza kuomba Mungu mwenyewe,ubarikiwe baba Yesu akutunze.
Asante mchungaji kwa mafudisho yako yaliyo na nguvu kuu ya Mungu .Sijawahi funzwa mafunzo ya kuzimu na majini hata kanisani ninakoshiriki.Barikiwa Sana na injili ya Yesu mweana wa Mungu iendelee.
Atukuzwee mungu anaye tuwazia mema na kutufanya kuwa mboni ya jicho lake na ukweli kabisa wanawake wanakiwa niwakaidi usipo mpa pesa yakusuka anaona humpend hilinalo mchungaji linakuwa nitatizo hadi kwawake zawachungaji mungu akubaliki
Huyu jamaa ukimsikiza utajua kuna muda stor zake aziunganiki, yaan rasta imetengenezwa na katan af unasema inatoka kuzimu😂, smartphone, computer. Magar, nguo ko navyo ni freemason sio
2WAKORINTHO 6:16 16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. SASA, WAELEWAJE HAPO?. UNAELEWA SANAMU ZINAZO ONGELEWA HAPO? LABDA UJUE KWANZA, MAANA YA SANAMU NI KAZI YA MIKONO YA MWANADAMU, ILIYOFANYWA KWA MFANO WA UUMBAJI WA MUNGU. SANAMU YA NYWELE, YA KUCHA, LIPS N.K NA HEKALU LA MUNGU NI MWILI WAKO. WARUMI 8:13 13 kwa maana kama tukiishi kwa kufuata mambo ya mwili, mwataka kufa; bali kama mkiyafisha matendo ya mwili kwa Roho, mtaishi. OKOA NAFSI YAKO NA MATESO YA MILELE.
Nyakati za mwisho watu watapenda kusikiliza mafundisho yasiyo faa na story za uongo. , sasa kama ulikua freemason sisi inatusaidia nini ? Sisi tunataka utuhubirie habari ya uzima sio story za maisha yako ya giza
@@alanmwijarubi ni kweli kabisa yatupasa kusikia hayo lkn ukifuatilia kwa makini jamaa kila mahubir yake ni hayo hayo tu. Asipo hubiri ivyo anaona kama hajaubiri
Mtumish alitoka huko kwa neema ya mungu to kwa hiyo wewe amini usiamini hiyo ni juu yako na kumbuku tuko nyakati mbaya sana yesu you're kariba kuja so chunga sana hayo maneno halafu singing nikukumbushe mtafute mungu kwa roho yako yote achana nadunia utapotea
Asante Yesu kwakuifahamu promover na mtumishi Katekela mafundisho yake yamenisaidia nimeachana na madhabahu za maji na mafuta ya upako Sasa hv naweza kuomba Mungu mwenyewe,ubarikiwe baba Yesu akutunze.
Afadhali hongera sana
Amen
Hongera Sana sote tunaendelea kujengeka
Ila kweli kama mtu amewahi kuingia rohoni atashuhudia jinsi jina la yesu lina nguvu yani ukilitaja majini yanapisha njia yenyeweeeeee
Safi sana umechagua njia sahihi.
Asante mchungaji kwa mafudisho yako yaliyo na nguvu kuu ya Mungu .Sijawahi funzwa mafunzo ya kuzimu na majini hata kanisani ninakoshiriki.Barikiwa Sana na injili ya Yesu mweana wa Mungu iendelee.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu wasioamini achana nao huo ndo ukweli na hiyo ndiyo injili maan tuko nyakati za mwisho.ubarikiwe sana
Asante mchungaji,Kwa mafunzo na kujikaza kweli
Asante YESU KRISTO Kwa wokovu wako
Barikiwa sana mtumishi WA Mungu Katekela kwa kuhubiri iliyokweli mwenye masikio na asikie
Mungu akuinue mtumishi mafundisho yananibariki mnoo
Mungu awabariki sana pastor katekela na promover tv kazi nzuli mnayo fanya
Amina kwa kweli nikisikiriza mahubiri yako.huwa natiwa nguvu ya kusonga mbele....ubarikiwe
Mungu asanteeeee yesu kwa wokovu wa thamani yako kwangu
Pokeeni love❤ from Kenya 🇰🇪
🎉
Mtumishi Mungu akubariki sana,na akutie nguvu kulihubiri ijili,much love from Kenya
Amen, BWANA akubariki na akutie nguvu.
Amen mungu akubariki mchungaji na atusahidiye nasisi pia kaka mahisha yetu
Barikiwa sana mtumishi unatufungua sana kiroho
AMEEN AMEEN ubarikiwe sana mtumish katekela nakuamini sana shujaa wa mungu tenda kazi shetan ateteleke
Mungu akubaliki pia akupe maisha malefu
Asante yesu sina mpango na utajili wa haraka, barikiwa mtumishi
Ameni Asante mchungaji nipokea maombiyako mungu akubaliki
Ubarikiwe mchungaji umenisadia sana kwa mafundisho
Blessd kaka jacktan na Audax na promover tv n pastor Amiel
YESU MI NAKUPENDA SANA
Asante yesu umetenda kupitia mtumishi wako
Ni kweli kabisa ndugu mchungaji.
Mungu akulinde katekela uendelee kuwavuta wengi Kwa Yesu.
Mimi kwaYesu Kristo simbanduki nafurahiya Wokovu Yesu Kristo alionipa kwabire
Amina...Ubarikiwe ✝️♥️
Mtumishi wa MUNGU ✝️♥️
Hapa Lubumbashi watoto wanapenda sana pombe tena sana
AMEEN AMEEN i❤ welcome Kenya 🇰🇪 🙏
To Christ Jesus be the Glory.Mungu akuinue mchungaji Katekela.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Asante baba umeshaniokoa upand wanyelw hap
Ubarikiwe sana sana Mtumishi wa Mungu wa mbinguni
Mafundisho Yako yamenibadilisha sana
Huyu jamaa namuelewa sana kazi njema mchungaji piga kazi tunabarikiwa sana! Sasa huyu japo c nabii angeaminika
Kalibu njobe mchungaji ketekela
Amen ubarikiwe sana kaka
Amen mtumishi
Mungu akubariki mtumishi
Asante mtumishi kwa mafundisho yako barikiwa 🌹🌹🌹
Ameni ubarikiwe mtumishi.
True gospel
Ubalikiwe sana
Amen 🙏🙏🙏 pastor 😊
Mungu nisaidie🙏
Amen mtumishi wa Mungu
Utukufu kwa Mungu
Barikiwa mchungaji
Amina.
Kama katoka hafi mana akisimama na Mungu hafi
Oo mambo yote Kwa Yesu vingine vyote ni Ubatili
AMENI SANAA
Amen
Yesu ni wengi lakini Yesu christo ni mmoja
May God bless you
Halleluja, Ameeen.
Blessd
Ubarikiwe mchungqaji
Balikiwa sana mtumishi wamu gu
Bwana yesu asifiwe promover tv n Eric angana kutoka kenya
Amen
Atukuzwee mungu anaye tuwazia mema na kutufanya kuwa mboni ya jicho lake na ukweli kabisa wanawake wanakiwa niwakaidi usipo mpa pesa yakusuka anaona humpend hilinalo mchungaji linakuwa nitatizo hadi kwawake zawachungaji mungu akubaliki
Karibu
❤🎉🎉 Ameeeni
Ameen ameen🎉
ubarikiwe baba
Nashangaa wanaompinga Yesu
AMEN
Mimi wa kwanza leo
Barikiwa Baba yangu
Kutoka Kenya Akika niushuhuda waukweli unayo sema bilayesu kukuonekea auwezi mungu apewe sifa😊
Kuna ushuhuda nangojea sana ya msichana aliyekua mchawi watumishi walitoa ushuhuda wao bado msijana sasa
Naupataje jamn
Yeye mboni kajiunga na katoka .
Ubarikiwe
Amen,🤲
Waambie ukweli maana wakuokoa ni yesu ndiwa kutoka kenya
Groly to god
Amen Amen Amen
sana baba
Sasa cjui huo utajiri una faida gani?wanakula mauchafu tu 😏
Takataka nyangarakata😢😢
@@anthonymaina7100 🤣🤣🤣
Kwakwel mm na Yesu kristo tu
😭😭
KILA ULIMI UTAKULI , YESU NI KINGII.
Muda mbaya huu
Mch. ,
Hakuna hat mmoja anaetumia maji ya upako na mafuta aliye Mtumishi wa Mungu?
Niambie kama yupo hata mmoja Mtumishi.?
Nisaidie PROMOVER TV
Kuhusu wa Mama kusukwa nywele bandia afadhali wafe sikiolakufa
IPM akimsikiliza huyu atamuelewa kweli? Na je atamuamini?
Tue pastor songa. Mbele mpaka wachawi watumbuke
MUNGU akutunze uwatoe watu mbali waliko
Bwana na nahakuneemeshe saidi
Huyu jamaa ukimsikiza utajua kuna muda stor zake aziunganiki, yaan rasta imetengenezwa na katan af unasema inatoka kuzimu😂, smartphone, computer. Magar, nguo ko navyo ni freemason sio
Hizi shuhuda kwakwel zinatia mashaka sana sababu nashangaa naona watoa shuhuda wengi sana wanasema walikuwa na kanumba
Jifunze kusoma alama na nyakat tulizo nazo tupu dakika za nyongeza yesu kalib analudi tengeneza maisha yako
2WAKORINTHO 6:16
16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
SASA,
WAELEWAJE HAPO?. UNAELEWA SANAMU ZINAZO ONGELEWA HAPO?
LABDA UJUE KWANZA, MAANA YA SANAMU NI KAZI YA MIKONO YA MWANADAMU, ILIYOFANYWA KWA MFANO WA UUMBAJI WA MUNGU.
SANAMU YA NYWELE, YA KUCHA, LIPS N.K
NA HEKALU LA MUNGU NI MWILI WAKO.
WARUMI 8:13
13 kwa maana kama tukiishi kwa kufuata mambo ya mwili, mwataka kufa; bali kama mkiyafisha matendo ya mwili kwa Roho, mtaishi.
OKOA NAFSI YAKO NA MATESO YA MILELE.
Kuna SHETANI ANAYEHUSIKA NA HAYO YOTE...❤
Mengine kama uongo vile au nikubali tu shingo upande
Stori za alinacha
Wewe si walewale
Mambo ya kusadikika 😅 kila mtu na stor zake Mara hv Mara vile
Vpi hujatueleza kuhusu qoroani
Huyu katekela Mimi simuamini hata tone kwasababu ya hairstyle yake
Hairstyle yake inashida gan ww sikiliza injili okoka kupitia anachosema pambana ibada Mungu wako akuonekanie
Nyakati za mwisho watu watapenda kusikiliza mafundisho yasiyo faa na story za uongo. , sasa kama ulikua freemason sisi inatusaidia nini ? Sisi tunataka utuhubirie habari ya uzima sio story za maisha yako ya giza
Sijui sana... Lakini kama anachosema ni kweli ni msaada pia kwa wanaosikiliza wasije wakaingia shimoni
wewe kama humuelewi zima data sisi tuendelee kusikia
@@alanmwijarubi ni kweli kabisa yatupasa kusikia hayo lkn ukifuatilia kwa makini jamaa kila mahubir yake ni hayo hayo tu. Asipo hubiri ivyo anaona kama hajaubiri
@@lydiakivuyo-b3l na utasikia hayo yasiyo faa
Ameni @@lydiakivuyo-b3l
Weeeeh nikweli
Kwa msingi huo wa welcome but not return hata wewe hujatoka huko. Kwanini wengine wote washindwe ila wewe tu ndio uweze kutoka.
Mtumish alitoka huko kwa neema ya mungu to kwa hiyo wewe amini usiamini hiyo ni juu yako na kumbuku tuko nyakati mbaya sana yesu you're kariba kuja so chunga sana hayo maneno halafu singing nikukumbushe mtafute mungu kwa roho yako yote achana nadunia utapotea
Acha uongo.wewe hujawahi kujiunga freemason.bari unahubiri kwa kutamka kupola sadaka za hao waumini.
WEWE NI PEPO MKUBWA
Hivi wewe nikuulize umeokoka ama bado maana mane no unayoyaongea ni ajabu
Amen
Amen
Amen