Yesu nimekusudia kuwa mwenye kuishi kwa Imani, uvumilivu na maombi. Nimekusudia kukuamini wewe tu nyakati zote. Familia yangu yote na kaka yangu Wa kwanza hataenda motoni atakurudia wewe na kuacha kila ubaya wake kabla mwaka huu kuisha.
Ubarikiw sana mutumishi wa bwana yesu christo kwa mafundisho yako lakini mimi ninaswali ningeomba nijibiwe kutokana na huyu mtumishi alie anzisha kanisa baadae akafika kwa mganga swali langu ni hili kwanini nilahisi kutoka mikononi mwa MUNGU kwenda kwashetani na ni vigum kutoka kwashetani kwenda kwa MUNGU?
Ni vema kumwambia mtoto wa MUNGU kuwa bila ROHO MTAKATIFU NI ngumu sn kuishinda dhambi.lkn tukisema kuwa bila ROHO MTAKATIFU mtu haendi mbinguni hiyo inaleta maan nyingine kabisa na wala si dhambi mtu asipojazwa ROHO,ila ni vyema sn mtoto wa MUNGU bila ROHO MTAKATIFU NI ngumu sn kuushinda wokovu maan yy ndie anaetuwezesha kuushinda ubaya
Mtu aliekoka asipojazwa ROHO MTAKATIFU si kwamba mtu hyo haendi mbinguni ila ni vizur sana tena san ukapambana kupata ROHO MTAKATIFU maan yy ndie anatuwezesha kushinda ubaya
Hizo hela ulichukua siyo za halali .Mungu mwenye rehema tuu ,hili linakungajea mbele ya hukumu usipo tubu .Hata chakula iliyo tolewa kwa mizimu tusile.

Unijaze kabisa roho mtakatifu❤❤❤
Mungu naomba unijaze roho mtakatifu
Yesu ni mwema kweli,kule amenitoa nitasema siku moja
Nakufuatilia nikiwa Cape Town South Africa ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu,,,,,,🙏🙏
From kigoma PASTER nakuelewa sana ulliwahi kuja kutoa huduma kwa KANISA letu kwa mch Raymond Kasomoka.
Mungu ni baba siku zote nakupenda Mtumishi Katekela umenisaidia kujua mambo ya Roho Mtakatifu
Nabarikiwa nikiwa Kenya
Asante baba nilikuwa natafuta namupata je roho mtakatifu lakn umenifungua mungu akubarik na akuongoze kwenye utumishi wako
Asante kwa somo jili. Roho Mtakatifu usinipite kuwa pamoja nami siku zote za maisha yangu.
Mtumishi MUNGU AKUBARIKI SAANA ILA TUOMBEANE NAMI NINENE LUGHA YA KIMBINGU
Amina mtumishi wa mungu ubarikiwe sana na mungu azidi kukutia nguvu nimebarikiwa sana naomba roho mtakatifu afurike ndani yangu
Nabarikiwa nikiwa Mozambique
Yesu Kristo asifiwe,
Mungu nakuombea ninene lugha ya mbinguni
Following from NAKONDE(Border of tanzania na Zambia)
Barikiwa sana amiel.shauku yangu kubwa ni kujua roho mtakatifu
Promover mungu awainue viwango vya juu sana kwa kaz ya mungu munayo fanya
Amen be blessed mtumishi wa Mungu 🙏
Amen ubarikiwe san mtumishi kwa mafundisho mungu anazidi kunifunulia mengi
Hongera saana kaka nakuerewa
Nabarikiwa Kenya 🇰🇪 kakamega 🙏🙏
Nakusikiliza nikiwa kenya mtumishi wa mungu nabarikiwa sana niobee sana niweze kuoba kwa uyo roho mtakatifu
Roho Mtakatifu nijalie nguvu niweze kukujua zaidi Ubarikiwe Sana mtumish Bwana
Waongea kweli, mwenye maskio askie ambayo roho aambia makanisa
Naelewa amen mtumishi nipo tz kagera karagwe
Hongera kwa ushindi
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu kwa neno la matumaini
From Mwanza come to Kigoma. Uchawii umetutesa brother watu wanaangamia ndugu njoo Kidahwee
Kidahwe mbona tunasikia kamchape wapo hawajapungua tu,
@@bonifasiemanueli21 wale ni wachawi wenzio shetanii hawezi kumtoa shetani tunahitaji elimu ya kumjua Mungu ndio tunaweza kujikinga nao!!
Nabariwa sana nikiwa Mombasa kenya
Eee Mungu nijaze roho Mutakatifu
Tunashukuru kwa mahubiri ubarikiwe muchungadji
Mungu akubariki mtumishi
Be blessed man of God
I receive I receive I receive I receive
Asante sana kwa mafundisho mema
Kabisa
Kunaukweli kwenye maneno yako kwanini watu wengi wanasali ila yale yaliyo ahidiwa na Mungu ndani ya maaandiko hayapo kwa watu hayaonekani kwaooo
Natamani na mimi nijazwe Roho Mtakatifu
Pastor kupiatia ujumbe wako nimeokoka napenda sana tuonane uso kwa uso
Asante sana kwa mafundisho
Amen Amen
Amina
Amen 🎉🎉🎉
Amen
Mtumishi ubarikiwe Ila ninaushauri kwako Kama vile umenyoa denge. Au nimacho yangu sikuhukumu Ila biblia imekataz
fatilia shuhuda zake utaelewa kwa nn ananyoa hivyo
Ubarikiw sana mutumishi wa bwana yesu christo kwa mafundisho yako lakini mimi ninaswali ningeomba nijibiwe kutokana na huyu mtumishi alie anzisha kanisa baadae akafika kwa mganga swali langu ni hili kwanini nilahisi kutoka mikononi mwa MUNGU kwenda kwashetani na ni vigum kutoka kwashetani kwenda kwa MUNGU?
Barikiweni sana promover na mchungaji pia
Amee usipokuwa na roho mtakatifu huwezi kujizuia
Ameen
Sema mtumishi wamungu watu wengi wamepoteya nakahaa malawi
Ameeee
Aminà sana a mtumishi wa Mungu.yeremia3:33
Amina sana
Ni vema kumwambia mtoto wa MUNGU kuwa bila ROHO MTAKATIFU NI ngumu sn kuishinda dhambi.lkn tukisema kuwa bila ROHO MTAKATIFU mtu haendi mbinguni hiyo inaleta maan nyingine kabisa na wala si dhambi mtu asipojazwa ROHO,ila ni vyema sn mtoto wa MUNGU bila ROHO MTAKATIFU NI ngumu sn kuushinda wokovu maan yy ndie anaetuwezesha kuushinda ubaya
Paster naomba uniombee na mm nijazwe Roho mtakatifu
Waebrania 10.38-39
Zaburi 105- 4 -5
Ee mngu naomba unijaze roho mtakatafu napenda sana niyajue maandiko matakatifu ila nashindwa sijajua kuna shida gani
Taka sana,utafanikiwa
Sew rii
Wengi tupo hapa ,mungu na atusaidie
Mtu aliekoka asipojazwa ROHO MTAKATIFU si kwamba mtu hyo haendi mbinguni ila ni vizur sana tena san ukapambana kupata ROHO MTAKATIFU maan yy ndie anatuwezesha kushinda ubaya
Wambie
Mambo ya nyakati 2 ,7-14
🇧🇮 ❤
Hizo hela ulichukua siyo za halali .Mungu mwenye rehema tuu ,hili linakungajea mbele ya hukumu usipo tubu .Hata chakula iliyo tolewa kwa mizimu tusile.
na ww hujielewi yy ndie alieipa mizimu? wala hana hatia juu ya ilo na ndio maana ypo mpk leo
HICHO NDO ULICHOSHIKA KUTOKA KWENY VIDEO YA DAKIKA 50:29? BWEGE KWELI WEW
Tunashukuru kwa mahubiri ubarikiwe muchungadji
Amen amen
Amen
Mtumishi ubarikiwe Ila ninaushauri kwako Kama vile umenyoa denge. Au nimacho yangu sikuhukumu Ila biblia imekataz
We acha bas
Tunashukuru kwa mahubiri ubarikiwe muchungadji
Amen
Amen