HAYA NDIYO MATOKEO YA ROHO MTAKATIFU MAISHANI (SEH A)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 35

  • @musungushivachi5044
    @musungushivachi5044 Год назад +3

    Mtumishi nimeguzwa sana barikiwa.

  • @ernestmhilya960
    @ernestmhilya960 Год назад

    Unafundisha kwa mfano Kama yesu❤

  • @lenahasantemchungajiauko8811
    @lenahasantemchungajiauko8811 5 лет назад +3

    Asante mchungaji kwa kutujali kwa kuyarusha haya mafundisho kwa RUclips.Mungu akuzidishie zaidi ya Elisha

  • @lucymwakisuma8658
    @lucymwakisuma8658 2 месяца назад

    Amina ,, barikiwa mtumishi hakika umenielimisha maana Kuna wakati huwa najikuta naimba,jina la Bwana litukuzwe

  • @omankadara6418
    @omankadara6418 Год назад

    Ameen ubarikiwe pasita kwa mafundisho manzur

  • @cutestpuppies6632
    @cutestpuppies6632 5 лет назад

    Nashukuru Mungu kwa hili fundisho, mimi huwa naimba hadi kwa barabara, nimejua ni chakula cha roho, pastor Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏🙏👏👏👏

  • @happymbilinyi7564
    @happymbilinyi7564 4 года назад +1

    Pastor Bwana Yesu apewe sifa mafundisho B ya matokeo ya roho mtakakatifu siyaoni au bado hayajarushwa

  • @rehemanashon3739
    @rehemanashon3739 Год назад

    Barikiwa sana Pastor 🙏♥️

  • @kusakabuga282
    @kusakabuga282 4 года назад

    Amina nimebarikiwa sana na MUNGU MUUMBAJI WANGU

  • @marycheupe8613
    @marycheupe8613 5 лет назад +1

    Barikiwa mtumishi wa mungu

  • @shijaamos4872
    @shijaamos4872 2 года назад

    Mungu akubaki

  • @damchone9478
    @damchone9478 5 лет назад +1

    Ubarikiwe kwa mafundisho

  • @hassanmathias3117
    @hassanmathias3117 5 лет назад +1

    Ameen

  • @claudinebatamuriza7804
    @claudinebatamuriza7804 5 лет назад +1

    Mungu atusamehe 🙏🙏🙏

  • @jamesmedard5538
    @jamesmedard5538 5 лет назад +1

    Barikiwa sana Paster Mbaga.

  • @emmanuelmataba5997
    @emmanuelmataba5997 4 года назад

    Be blessed pastor.

  • @rhodakemunto210
    @rhodakemunto210 5 лет назад

    Barikiwa Sana kwa mafundisho

  • @johntz8881
    @johntz8881 5 лет назад

    Mungu akubariki sana

  • @georgekariuki8564
    @georgekariuki8564 3 года назад

    Kitambu cha wale mitume wa yesu ambacho ulisimama utadika kuhusu mitume badu hakijakamilika umbalikiwe sana muchugaji na huku kwetu 🇰🇪 nahitaji kubatizwa

  • @mn9484
    @mn9484 5 лет назад +1

    Nimependa sana mafundisho. Nikiyarudia napata fundisho mpya. Ilinibidi ni google nafsi kwa Kimombo ili nielewe vizuri. Mungu atubariki wote . Sabato Njema.

  • @mackynicky8278
    @mackynicky8278 5 лет назад +1

    Kweli tumekombolewa kwa nee ma, tumetolewa kwenye maisha ya utumwa

  • @maureenjovial6083
    @maureenjovial6083 4 года назад

    Amen

  • @marycheupe8613
    @marycheupe8613 5 лет назад +1

    Hallelujah

    • @mariamissamariam2634
      @mariamissamariam2634 5 лет назад

      Amina mchungaji Mungu aendelee kukutumia kwa kazi ya Baba wa Mbinguni na kutuaaidia kupitia kwako

    • @marycheupe8613
      @marycheupe8613 5 лет назад

      @@mariamissamariam2634 Ameen

    • @scolasticadamasi2343
      @scolasticadamasi2343 5 лет назад

      Baba mchungaji maombi yako baba maana mama angu na baba angu wanasumbuliwa na maroho machafu mtumishi wa Mungu tuombee 🙏🙏

  • @ellykibale190
    @ellykibale190 5 лет назад

    Nimebarikiwa na mafundisho, nasubiri sehemu B.

  • @zabronzabron679
    @zabronzabron679 5 лет назад

    Ameeen

  • @janetameenembabazi5095
    @janetameenembabazi5095 5 лет назад

    Ameneee

  • @jordanmashaka50
    @jordanmashaka50 5 лет назад +1

    Pastor hapo uliposema kuwa tuna Mungu mmoja ambapo katika uweza wake huyu Mungu ni Baba, ni Mwana na ni Roho Mtakatifu...ulimaanisha nini?
    Unaposema tuna Mungu ni mmoja tu...unamaanisha idadi? Yaani God is one entity... Au ushirikiano wa nafsi huru 3, yaani Baba, Mwana, Roho?

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  5 лет назад +2

      SIKIZA,EE ISRAELI;BWANA,MUNGU WETU,BWANA NDIYE MMOJA TORATI 6:4.
      HAKUNA MIUNGU WATATU,HUYO MUNGU MMOJA AMEKUWA AKIJIFUNUA HATUA KWA HATUA KWA VIUMBE WAKE,NDIO MAANA KATIKA MWANZO 1:26 ANAPOJITAJA ANAJITAJA KWA UWINGI,ANASEMA "NATUFANYE MTU" HAPO ANAONGEA NA YEYE MWENYEWE,ILA KWA VILE YEYE AMEJIFUNUA KWETU KWA NAFSI TATU YAANI BABA,MWANA NA ROHO MTAKATIFU,SIO WAUNGU WATATU,ILA NI MUNGU MMOJA MWENYE NAFSI TATU. INAKUWAJE HII? NI NGUMU KWA MWANADAM MWENYE NAFSI MOJA KUMUELEWA MUNGU MWENYE NAFSI TATU. NDIO SABABU KATIKA UKRISTO NA DINI NYINGINE,KUMEKUWA NA MJADALA MZITO SANA KUHUSU HILI. UKWELI NI KWAMBA AKIL ZETU HAZIWEZI KUELEWA VIZURI MAANA YEYE NI MKUU NA JUU KULIKO SISI. SOMA MAFUNGU KAMA YOHANA 1:1-2, YOHANA 10:30-33. HATA WAYAHUDI WALISHINDWA KUELEWA HILO. KWA KIFUPI,TUNA MUNGU MMOJA MWENYE NAFSI TATU.

    • @jordanmashaka50
      @jordanmashaka50 5 лет назад +1

      Hilo fungu ktk Deut 6:4 anaposema Mungu ni mmoja...tafsiri yake hasa ni nini? Wewe unaposema kuwa tunaye Mungu mmoja maana yake ni nini?
      Hizo nafsi 3 alizojifunua Mungu kwetu ni nafsi independent and distinct? Au una maana ya kuwa huyo huyo Baba ndiye Mwana na ndiye Roho? Yaani among the three persons...kila mmoja anaweza kuwa mwenzake, maana they are one in number, they have one personality?
      Je Mwana ni tofauti na Baba na Roho? Je Roho ni tofauti na Baba na Mwana? Je Baba ni tofauti na Mwana na Roho?

  • @jennysabina8696
    @jennysabina8696 Год назад

    Amen