Mtumishi ubarikiwe kwa kusoma neno la Mungu na kulielewa vema na kufundisha wengine Mungu akutunze na Roho mtakatifu akuongoze zaidi na akutunze uweponi mwake amina mana tumeagizwa kuombeana
Mtumishi wa Mungu hapo kwenye kusamehe ndo sipaelewag OK mtu amenitendea ubaya nikamjua nae kajua nimemjua bt namtazama tu je hapa ntahesabiwa nimesamehe ama mpaka nirudishe mahusiano nae kama zamani?2 kwenye kutubu dhambi nitubuje nilitenda kosa nimeliacha nimeahidi kutotenda tena je hapa nitakuwa nimetubu?
Ila kinachotokea kwa maisha ya wengi ni wanajua kuomba wakiwa na shida au watendewe jambo na wengi wanaacha kuomba wakijibiwa matakwa yao si vizuri kabisa tumuogope Mungu na tumjue ili tupate mema hata kama ktk njia kuna magumu kiasi gani tujifunze kwa ayubu
Yes Baba yes.....oooh mm hayo yote Simo kabisa mm ndio wananiumisa lakini mm nawasamehe hata wakija kuniomba chochote nitawapea Sina chuki nao lakini mbona pastor aliniblock?? Na mm nilikua namfanyia mema??? Nilimcharibu kumnyima kumsaidia JESUS aliniblock mbona dunia ya Leo????? Mm sitaki kubeba mtu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Amina
Amen
Mungu naomba unipe roho ya kusamee Baba
Amina mungu akubariki sana
Mungu naomba Anipe rohoo yakusamee
Asante mungu Akubariki kwamafundicho
Amen umenena vyema mtumishi.
Mtumishi mimi umeniguza sana na haya mahuburi barikiwa sana mtumi
Mungu akubariki Sana kwa Somo hili
Amen 🙏
Deepdown nimechoka ila aya maneno yamenipa faraja ubarikiwe❤
Kweli kabisa mtumishi, mwenyezi Mungu aniepushe azidi kunijalia niishi katika njia impendezayo Mungu AMEEN
Amen 🙏🙏🙏
Amen and amen..
Ahsante nimejifunza jambo
🙏🙏🙏🙏🙏 Amen Pastor
AMEN,Nimejifunza sana, barikiwa Mtumishi wa Mungu
Ameen🙏🙏🙏
Oh God 🙏 please guide me
Amen mtumishi
Namshukuru Mungu kwa somo hili
Ameeeeen
Amen nimekuelew m2mish wa mung mung akubarik sana
Amen 🙏🙏🙏
Ahsante
Amen.nimepata kitu.be blessed
Ameen mtumishi wa MUNGU
Amen be blessed pastor
Amen barikiwa sana
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU kwa jina la YESU AMEN AND AMEN
Amen ninabarikiwa sana na mafundisho mungu akubariki saana
Asante mtumishi, kwakutufundisha, vizuri sana, binafsi nabarikiwa sana
Ameen
Apostle ubarikiwe sanaa mahana ayoo mafundisho imenisaidia sana
Amen 🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏
Mtumishi ubarikiwe kwa kusoma neno la Mungu na kulielewa vema na kufundisha wengine Mungu akutunze na Roho mtakatifu akuongoze zaidi na akutunze uweponi mwake amina mana tumeagizwa kuombeana
@@ChristinaMbeveta-qk8ji Mungu akubariki SANA Amen 🙏🙏🙏
God bless you
Amen nijifunza kweli mm nko ndani ya kubeba watu
Watoe hao watu Ili baraka za Mungu upate kufanikiwa
Ubariwe mtumishi
Amen 🙌🙏
Amen Amen and Amen 🙏 🙏🙏
Amen 🙏❤
Ameen🙏🙏🙏🙏
Amen 11:00
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
Amina🙏🙏
Ameen❤🙏
Mtumishi wa Mungu hapo kwenye kusamehe ndo sipaelewag OK mtu amenitendea ubaya nikamjua nae kajua nimemjua bt namtazama tu je hapa ntahesabiwa nimesamehe ama mpaka nirudishe mahusiano nae kama zamani?2 kwenye kutubu dhambi nitubuje nilitenda kosa nimeliacha nimeahidi kutotenda tena je hapa nitakuwa nimetubu?
Amee sana
Nimebalikiwa sana
Apos bwana yesu Asifiwe Mimi naitwa TOFILA KAVISHE Niko mombasa Huwa naota napewa pesa lakini sifikii kwanini?
Msamaha kwetu sie ni ngumu utasema nimesameh lkn sitasahau,
Kaka mungu akusimamie uzidi kutukumbusha yaliyo mema
Amen 🙏🙏🙏
Kwakweli Mungu atupe shauku ya kumjua sana tumuelewe wapendwa aliposema ombeni bila kukoma alimanisha siku zote za maisha ya mwamini
Ila kinachotokea kwa maisha ya wengi ni wanajua kuomba wakiwa na shida au watendewe jambo na wengi wanaacha kuomba wakijibiwa matakwa yao si vizuri kabisa tumuogope Mungu na tumjue ili tupate mema hata kama ktk njia kuna magumu kiasi gani tujifunze kwa ayubu
Yes Baba yes.....oooh mm hayo yote Simo kabisa mm ndio wananiumisa lakini mm nawasamehe hata wakija kuniomba chochote nitawapea Sina chuki nao lakini mbona pastor aliniblock?? Na mm nilikua namfanyia mema??? Nilimcharibu kumnyima kumsaidia JESUS aliniblock mbona dunia ya Leo????? Mm sitaki kubeba mtu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Pole sana mtumishi
Hata mimi mapastor wamenikataa walionilea kiroho
Kama hufanyi haya matano,kujibiwa maombi sahau!
1.Kutosamehe
2.Kutoamini
3.Nia Mbaya
4.Dhambi isiyoungamwa (bila kujitakaza/kujiosha kwa damu)
5.Kumdhulumu mwenzi-wako (mkeo,mumeo)
Mbarikiwe 🙏🙏🙏
Barikiwa
😍😍😍🥰🥰🥰🙏🙏😍😘😘
Amen
Amen and Amen 🙏
Ameni mtumishi
Amen
Amen
Amen
Amina...
Amen
Amen
Amen
Amina 🙏🙏🙏
amen
Amen
Amen
Barikuwa Sana mtumishi wa mungu
Amen
Barikiwa sana mtumishi mwenyez Mungu aendelee kukuinua na kukupandisha viwango vya juu... kwaajil ya sisi kukuwa kiroho Amen.