Dr. Chris Mauki - Fanya mambo haya matatu ukitaka mumeo aache ubahili

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 42

  • @fawziyahassan5714
    @fawziyahassan5714 10 месяцев назад +4

    Naomba Utufundishe mbinu za kulinda mapenz ya wanandoa wanapokua mbali mbali
    Nipo nje ya nchi na Mume wangu yupo Tanzania kila siku ni kumuaza yeye tu kama hanisaliti yaani😔.
    Nimemuamini kwa asilimia zote ila hii roho ya kusalitiwa haichagui mwaminifu au kiruka njia.

  • @JeniferMoses-sy5vr
    @JeniferMoses-sy5vr Год назад +1

    Asante sana mwanangu kwa somo zuri la leo hata mimi mama yako nitajitaidi kumpa mapenzi yote baba yako❤❤❤❤

  • @AshaSuleiman-p5z
    @AshaSuleiman-p5z 2 месяца назад

    Big up kaka❤❤❤❤❤❤❤❤kazi njema

  • @TheobaldKalinga
    @TheobaldKalinga Месяц назад

    ❤ ahsantee sana dr

  • @TundaEmanuel-ns8kj
    @TundaEmanuel-ns8kj 6 месяцев назад +2

    😂😂😂Nimekaa paleeeeee

  • @fawziyahassan5714
    @fawziyahassan5714 10 месяцев назад

    Asante sana Kaka Chris.
    Mungu akibariki .

  • @mpelwamanyama3972
    @mpelwamanyama3972 10 месяцев назад +1

    Kwa upande wangu yupo mbali natamani anihudumie zaidi nisaidie ujuzi plz....

  • @AgnessNgira
    @AgnessNgira 10 месяцев назад

    Barikiwaaa

  • @arafakatanga6502
    @arafakatanga6502 Год назад

    Ubarikiwe sana brother Chris Mauki

  • @GloryNjau-tt6we
    @GloryNjau-tt6we 5 дней назад

    😅😅😅😅😅dah leo.umenifrahisha san

  • @ayoubmohamed5348
    @ayoubmohamed5348 9 месяцев назад

    Mungu akuweke sana bro

  • @MagrethSilyvesta
    @MagrethSilyvesta 5 месяцев назад

    Unafafanua vzr sana kaka

  • @vivianchawe7561
    @vivianchawe7561 Год назад

    Nimekuelewa sana🎉

  • @EdithaBura
    @EdithaBura Год назад

    Exactly 💯... Thanks papaa

  • @ElizabethAmos-c5q
    @ElizabethAmos-c5q Год назад

    That’s true💯. Thanks doctor

  • @adrostamathias6831
    @adrostamathias6831 10 месяцев назад

    Mmm ❤❤❤😂😂😂 uko sawa

  • @ChacMuton
    @ChacMuton 24 дня назад

    Mbona mi nacukia nikiombwa hhh kumbe kuna wanaye imwa jaman

  • @sagboison6297
    @sagboison6297 11 месяцев назад +12

    Kiukaeli hili lakwangu lipo busy na kazi eti nimeshachoka mnalaa hata mwezi mzima bila sex aisee😢wanawake tunapitia some time unatamani uchukue reaction muda mwingi chuoni mpaka jumapili alishaaasi kusali niombeeni wanawake wenzangu😢najiuliza sana ukikuta mtu anachepuka tusimuite malaya pengine huwa kuna shida pahali

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 Год назад +2

    Hapo kwenye mapenzi wange jua, wambie na kiwango kabisa angalau Mala 3 kwa siku ukishindwa Sana 😂😂😂😂

  • @PauloMatone
    @PauloMatone 9 месяцев назад

    Upumbav mtupu❤

  • @KahambasDaughterTherock
    @KahambasDaughterTherock 2 месяца назад

    😂😂😂😂😂❤❤

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 Год назад +1

    Leo umesema ukweli mana yake huwa muna wambia kuwa wawo tu ndiyo wanasitahili

  • @AminaAmina-s5g
    @AminaAmina-s5g 10 месяцев назад

    😂😂😂kabisa

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 Год назад +3

    😂😂😂x mtambuka,x maji kwenye rejeta, x mkopo wa vigezo vigumu baki,x kausha dam, x ya mawindo😂😂😂

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 11 месяцев назад

    Yani mmewangu aseme kingine maana kwa sex tuu ahaaaaaa. Ashindwe yeye

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn Год назад +1

    😂😂😂

  • @AshanaomyMwakimwagile
    @AshanaomyMwakimwagile 8 месяцев назад

    😂😂😂😂