Dr. Chris Mauki: Mambo 6 ya kuongeza ujanja wako kwenye mahusiano

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 299

  • @leylasaid3629
    @leylasaid3629 Год назад +8

    Jenga uaminifu
    Jiwekee mipaka
    Ongeza uwezo wako wa kuwasiliana
    Onyesha kiu ya kudumu
    Angalia uhitaji na uelewe uhitaji wa kihisia wa mwenzako
    Fahamu madhaifu yako

  • @bakarpandu1142
    @bakarpandu1142 3 года назад +5

    Asante doctor nashkuru kwa mchango wako kidogo nimefarajika lkn naomba no. yako nikueleze zaid nlonayo moyoni mwangu asante 🙏.

  • @neemamboya99
    @neemamboya99 Год назад +3

    Kaka Mungu akubariki sana kwa kuwa vipindi vyako ni halisi na kweli. Nmejifunza mengi mno kupitia vipindi vyako.wakat mwingine nikikwama huko huwa nakuja kutafuta huku nijue makosa yangu kisha narud kwenda kutengeneza nilipokosea🙏 Mungu akuweke zaidi na zaidi

  • @kastangonyani4068
    @kastangonyani4068 2 года назад +3

    Nafurahishwa sana na masomo Yako,endelea kutufundisha Ili tuweze kujenga mahusiano yetu na ndoa zetu zipate kudumu zaidi na Mungu akubariki

  • @AbeliMshani
    @AbeliMshani Год назад +1

    E bwana Dr Chris mauki uko vizuri nitakufuta siku Moja tuongee

  • @ElizabethKapinga-u6b
    @ElizabethKapinga-u6b 2 месяца назад +1

    Amina najifunza kitu huo ujanja unanigusa ktk uchumba wangu Asante mjori wa mungu

  • @fadhilanassor426
    @fadhilanassor426 2 года назад +9

    I appreciate your lessons Dr.chris long live Dr

  • @bertilalaurent
    @bertilalaurent Год назад

    Asante Sana kwa somo hili ni mara yangu kwanza kusikiliza hili somo nimesikiliza ujumbe kama tatu hiv nimejifunza kitu je kunauwezekano wa kuongea kupitia sm maana mengine ni Siri ya mtu kwa msaada zaidi mm niko mwanza niko kwenye ndoa Nina watoto asante kwa somo

  • @Mosesyona-t9j
    @Mosesyona-t9j Год назад

    Leo ni kwa Mara ya kwanza najuinga au kufuata video zako mwalimu lakini nabarikiwa na jengeka naimarika mana bado mimi ni single kwahiyo masomo haya yananiandaa na kuwa makini katika kuoa, mana wanasema unaweza kujenga nyumba vibaya ukaibomoa na ukajenga Tena lakini ukikosea kuoa au ukioa vibaya umeharibu kila kitu katiaka maisha yako ya baadae, kiukweli najiona niliyebahatika kuwa miongoni mwa wanafunzi wa masomo haya na mwalimu wetu Mungu aendelee kukutumia zaidi na akubariki sana sana Amen

  • @stupidgenius2864
    @stupidgenius2864 3 года назад +2

    Chris nime shukuru sana kwa hii mawaidha yako mimi niko na shida kuhusu mausiano na mume wangu tafadhali naomba namba yako tuonge niko Kenya

  • @miriumsirmwechengo
    @miriumsirmwechengo Год назад +3

    Mimi ni mwanandoa nampenda sana mume. Wangu sana na nipo huru kiasi flani kwake ila yeye hawezi kurudisha upendo namaanisha naweza mwandikia txt yenye hisia kuhusu penzi letu ila yeye akajibu kwa ufupi na maneno machache TU me nikiwa namhitaji Huwa namwambia lakini mara nyingi anadai amechoka inaniuma coz hatumii lugha rafiki sana kunifikishia ujumbe nakwazika kwenye hili haswa

    • @ChristineRobert-i6k
      @ChristineRobert-i6k 11 месяцев назад

      Niko Kwa kiatu kama hicho

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 4 месяца назад

      ​@@ChristineRobert-i6k😂😂😂😂😂 pole

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад +1

    Hapo kwenye miipaka nimepaelewa vzr,,,,,be blessed

  • @jamillajackson2165
    @jamillajackson2165 3 года назад +3

    Nipo kagera nimeipenda na nimejifunza Asante

  • @julia99francess13
    @julia99francess13 Год назад +2

    Kwakweli Asante maana kuna mabadiliko nime ona kupitiya video zako Asante sana ♥️

  • @levinavenance1200
    @levinavenance1200 5 месяцев назад +1

    Mambo yakukufanya mjanja kwenye mahusiano
    1.jenga uaminifu
    2.jiwekee mipaka( kwenye maneno,mda wa kuwa nje ya nyumbani,mambo ya imani)
    3.ongeza uwezo wako wa kuwasiliana (sikiliza ili kuelewa c kujibu)
    4.onyesha kiu ya kudumu
    5.elewa uhitaji wa kihisia wa mwenzako
    6.fahamu madhaifu uliyonayo

  • @leinashabani1386
    @leinashabani1386 Год назад +1

    doct but iseeee umeniimarisha Sana now am happy because of you 🙏🙏🙏Mungu akuweke

  • @joshuaterstegen6296
    @joshuaterstegen6296 3 года назад

    Naitwa Joshua Joseph MANDEVU kutoka Zambia na nashukuru kwa somo lako limenigusa sana pia nahitaji kuonana na wewe siku nikirudi dar nikupatie hata kahawa. Asante

  • @dadaumulisa7088
    @dadaumulisa7088 Год назад

    Asante Sanaa ubarikiwe.Watching you from Australia

  • @rithamlacha5403
    @rithamlacha5403 Год назад

    Yaani leo nimetenga muda kwaajili ya kujifunza kiukweli Mungu akubariki daima.

  • @elizabethgodblessmalanga2726
    @elizabethgodblessmalanga2726 3 года назад +3

    Thanks so much dr. Chris nakufatiliya kutoka Kenya

  • @AmoncaMkobwe
    @AmoncaMkobwe 9 месяцев назад

    Mda ni mchache mambo ni mengi Asante Kwa somo zuri

  • @katorokatoro-r4p
    @katorokatoro-r4p Год назад

    Asantee kwa masomo nmejifunza vizur sana

  • @allexbeautysaloon2325
    @allexbeautysaloon2325 2 года назад +2

    Napenda sana masomo yako, natazama kutoka arusha

  • @paulinpendo7497
    @paulinpendo7497 Год назад

    Asante sana doctor nimejufunza kitu

  • @theresiamartin3008
    @theresiamartin3008 3 года назад +2

    Asante sana Dr yaani mume wangu ananifurahia umeyabadilisha maisha yangu ubarikiwe mnoo Mungu akuweke viwango vya juu

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад +2

      Nafurahi sana kuskia hilo. Endelea. Natumaini umesubscribe channel

    • @lulubandawe6284
      @lulubandawe6284 2 года назад

      Doctor dada angu n mnene na amepata mchumba mnene piah mwenye mapenzi ya dhat lkn dadangu anapata hofu kusemwa na familia na majamaa kwamba wamechaguana wanene mda mwengine anadirk hata kuvunja na kurejesha mahusiano yake.unamshaurije

    • @Sharifarajabudebe
      @Sharifarajabudebe Год назад

      @@lulubandawe6284 mahusiano ni yao sio ya familia ukiingz familia kweny mahusiano hufiki mbali wakat wanakubaliana wakijiona

  • @mwavitafuraha7244
    @mwavitafuraha7244 2 года назад +2

    Ubarikiwe sana kwaujumbe

  • @mussadismass9306
    @mussadismass9306 3 года назад +1

    Ubarkiwe Chris mauki mungu akuinue

  • @mbukeemanuel3331
    @mbukeemanuel3331 2 года назад

    Asante sana hakika najifunza vingi kupitia ww

  • @AnnoyedJumpRope-kw1cs
    @AnnoyedJumpRope-kw1cs 4 месяца назад

    Asant Dr kwa somo

  • @abongaebuka798
    @abongaebuka798 3 года назад +1

    Nakukubali mzee,Mungu akubariki. Uzidi kutuelimisha!!

  • @Kolomuani-my1mh
    @Kolomuani-my1mh Год назад

    Dr asant kwa kutupatia elimu nashkuru penzi langu limekuwa nilafuraha

  • @dinahkirigha2637
    @dinahkirigha2637 Год назад

    Asante sana kwa masomo yako yenye faida kubwa maishani.

  • @magrethsimtenda926
    @magrethsimtenda926 3 года назад

    Asante doct MUNGU akutunze Mtumishi tutayafanyiakazi

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @SharifaMakombola
    @SharifaMakombola 2 месяца назад

    Drnashukuru sana naona kama unanifungua ,nipia ile mada ya machungu,mume wangu ana dalili zote za kuwa na machungu,naomba ushauri,nifanyeje mimi naona mume wangu anakwenda kuniacha hali ya kuwa nampenda sana

  • @mariamuodila4132
    @mariamuodila4132 2 года назад

    Samahan Dr Chris Mimi nampenzi wang Ila ananizidi erimu Sasa naee anajua Mimi sna Kaz yamaana namimi kiukweri nampenda ktoka moyon ss inakuwaje apo japo tupo mbari mbari nisaidie tuchanti tunaelewana wakati mwingine simuelewi jaman 🙏

    • @princessdickson6900
      @princessdickson6900 Год назад

      Mwezangu na mimi jamn watu waliopo mbali na mwezie kuna mambo yanakera unakata tamaa

  • @ZawadiKilagalila-sd2tt
    @ZawadiKilagalila-sd2tt Год назад

    Asante,kweny communication ilikuwa n tatizo sana kwang

  • @NzeyimanaNadine-x5y
    @NzeyimanaNadine-x5y Год назад +1

    Ubalikiwe sana

  • @magrethnestory3562
    @magrethnestory3562 2 года назад +1

    Asante kwa ushauli kaka

  • @rehemamagege5843
    @rehemamagege5843 Год назад

    Asante kwa somo nzuri

  • @doramkolo1745
    @doramkolo1745 3 года назад +2

    Thank you Dr. Mauki nimejifunza kitu kikubwa sana

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад +2

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @musarichard2934
      @musarichard2934 3 года назад

      Hi Dora

    • @aishaabdala9591
      @aishaabdala9591 2 года назад

      @@musarichard2934 nimekuelewa

  • @mahambaflorence7671
    @mahambaflorence7671 2 года назад

    Ok merci papa Mungu akubarigi

  • @dinahkirigha2637
    @dinahkirigha2637 Год назад

    Nina swali, "Je, unasemaje kuhusu wapenzi wawili ambao miaka yao imetofautiana pakubwa? Yaani mwanamke ana miaka 16 zaidi ya mwanamme, na mwanamme huyu anampenda kwa dhati mwanamke wake and he's so proud of her...

  • @gloryjulius3409
    @gloryjulius3409 3 года назад +1

    Waooo! Nice nime kusoma xn

  • @catherinenasambu5366
    @catherinenasambu5366 2 года назад

    Thxz saxa kwa hii funzo boss

  • @pactricktimothnyangile8790
    @pactricktimothnyangile8790 3 года назад +1

    Asante sana nakupata vyema kutoka Tunduma Songwe

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @Berinder3155
    @Berinder3155 Год назад

    asantee mungu akubariki

  • @REHEMAPETER-p5w
    @REHEMAPETER-p5w 2 месяца назад

    Aise mtumishi mm Sina bahat na swala zima la wanaume

  • @jacklinejovitha346
    @jacklinejovitha346 3 года назад +1

    Thanks for ur lesson. Nimejifunza kitu for sure be blessed dr chris

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @evodiamathias2542
    @evodiamathias2542 2 года назад

    Naomba no yako dr mmekuelewa sana

  • @princessa3060
    @princessa3060 3 года назад +3

    Thxxx alot doc for the lessons ❗ it will make us grow as couples...

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад +1

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @swalhinajuma4149
    @swalhinajuma4149 2 года назад

    Yan kk chriss we acha tu mwenyewe unajua

  • @rozzylydmwongeli5078
    @rozzylydmwongeli5078 3 года назад +2

    Napenda Sana mafunzo yako,,Mungu akumbaliki sana

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @ismailzahor7436
      @ismailzahor7436 3 года назад +1

      Asantee Dr

  • @ezradavid7476
    @ezradavid7476 Год назад

    This a great lesson to me am blessed

  • @AndrewNgonyani
    @AndrewNgonyani 7 месяцев назад

    Asante nimefurah san

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er Год назад +1

    Asantee nakupenda buree🥰

  • @MerlinaKubadesha
    @MerlinaKubadesha 5 месяцев назад

    Sasamjomba hapo kwenye uaminifu ndo unajengaje🎉🎉

  • @AugustinoCosmas
    @AugustinoCosmas 10 месяцев назад

    Mungu akubariki

  • @julianapeter748
    @julianapeter748 2 года назад

    nimekuelewa vizur kaka nashukuru

  • @ShaimaaShaibu
    @ShaimaaShaibu Год назад

    Asante sana docta,mafunzo yako yamenisaidia sana nimejifunza mengi.

  • @happysirili3151
    @happysirili3151 3 года назад

    Asant xn doctor 🙏 nimejifunza somo zur ubarikiwe sna

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @LILIANNANYU
    @LILIANNANYU 9 месяцев назад

    Thanks awesome learning

  • @blessjalileni7480
    @blessjalileni7480 3 года назад

    Mungu akubariki napenda sana mafundisho yako

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @winfridamwigilwa2107
    @winfridamwigilwa2107 3 года назад +1

    Dr in ze air again. Aksante.

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er Год назад

    Nimekuelewa saana

  • @MinahWaziri
    @MinahWaziri Год назад

    Ubarikiwe sana

  • @veronicalyimo2084
    @veronicalyimo2084 Месяц назад

    Thank you

  • @happinesslumambo9831
    @happinesslumambo9831 2 года назад +2

    Nice lesson Dr I appreciate

  • @lilianwilliam2838
    @lilianwilliam2838 Год назад

    Asante kwa Magu fish o mazuri

  • @bettyobedy8938
    @bettyobedy8938 3 года назад

    From Tunduma thankx Dr. Nmejufunza kitu kikubwa xana

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @fikikenya1401
    @fikikenya1401 Год назад

    ❤❤❤❤❤❤❤hapa umenifundisha jambo

  • @rehemachristopher5180
    @rehemachristopher5180 2 года назад +1

    Thnk you for dah good lesson Dr

  • @sadahamisi3901
    @sadahamisi3901 3 года назад

    Asante mauki nimejifunza

  • @queenmakere2849
    @queenmakere2849 3 года назад +2

    Asanteee sana Dr kwa somo zurii

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад +2

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @alfonsimarkous5266
      @alfonsimarkous5266 3 года назад

      Thanks Dr

  • @christinachrispine2976
    @christinachrispine2976 2 года назад +1

    Thank you so much Dad.

  • @ummuhoneyabdulaziz3840
    @ummuhoneyabdulaziz3840 3 года назад

    Mungu akubariki dr unanifungua mengi sana

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @yohanamapunda2654
    @yohanamapunda2654 3 года назад +6

    Napenda nikutane na wewe face to face Dr

  • @annetcliford8801
    @annetcliford8801 3 года назад

    Asante sna umenijenga kitu leo umenifanya kuwa mpya

  • @IreneMichael-se3jx
    @IreneMichael-se3jx Год назад

    Big up Dr .Chris ur helping us alot

  • @ibahatimoses6431
    @ibahatimoses6431 3 года назад

    Tnx Dr mauki nimejifunza sanaa

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @zoyafarooq9564
    @zoyafarooq9564 2 года назад +2

    Nice lesson

  • @williamcornell3218
    @williamcornell3218 3 года назад

    Dr nimekuelewa sana na kuna mambo mengi kwangu hayapo sawa dr

  • @beera.g5302
    @beera.g5302 3 года назад

    Nimejifunzaa kiasii Mungu akubarkiii doctor 🙏🙏🏾🙏🏻🙏🏿

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @aishanchinice8097
      @aishanchinice8097 Год назад

      ​@@ChrisMauki1 mm nahitaji msaada mshauri

  • @amanithomas5069
    @amanithomas5069 3 года назад +1

    Asant mm nakuelewa sana

  • @magrethsamwel9580
    @magrethsamwel9580 3 года назад

    Asante dr. Mungu akubariki.

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @hadasuleimanhaji7823
    @hadasuleimanhaji7823 Год назад

    Hongera kaka

  • @ZawadiKilagalila-sd2tt
    @ZawadiKilagalila-sd2tt Год назад

    Naomba nione video zako dr

  • @shanianuru7479
    @shanianuru7479 2 года назад

    Asante bro

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 3 года назад

    Shukran Dr mngu akubariki

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @violethroth9076
    @violethroth9076 Год назад

    Your my modal thanks bro

  • @aishatwahiru897
    @aishatwahiru897 3 года назад

    Allah akubaliik saaan najifunzaa mengii juu yako

  • @violethndowo824
    @violethndowo824 3 года назад

    Upo vzur kakaang

  • @josphinekathina7874
    @josphinekathina7874 2 года назад +3

    Thank you for the lesson

  • @jumakitwazi6252
    @jumakitwazi6252 Год назад

    Asante dkt

  • @stellama3752
    @stellama3752 3 года назад

    Nimekuelewa Dr

  • @gladysmkamburi5001
    @gladysmkamburi5001 3 года назад

    Asante sana kwa mafunzo yako ya muhimu sana

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @joshuajackson8436
    @joshuajackson8436 3 года назад

    Nimekuelewa sana

  • @nuruali8421
    @nuruali8421 3 года назад +1

    Asnte som zur

  • @oliverstanley6941
    @oliverstanley6941 Год назад

    Kipitia wewe naelemika sana ubarkiwe

  • @alfonsimarkous5266
    @alfonsimarkous5266 3 года назад

    Asant Sana Dr

  • @rosaliambula40
    @rosaliambula40 Год назад

    Thanks for your lessons