Dr. Chris Mauki: Tabia 5 za mpenzi mwenye akili ya mahaba

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 102

  • @lilianmagoti6719
    @lilianmagoti6719 3 года назад +5

    Asanteee kwa Mambo mengi na mazuri unayotuelimsha Kaka Chris ,,, Mungu akitunze

  • @leahjohnsimba4088
    @leahjohnsimba4088 3 года назад +5

    Nimekoma ,ninaacha yapo niliyokuwa nayo naacha. Asante Mauki

  • @samiaruhwanya1737
    @samiaruhwanya1737 23 дня назад

    Yani Mungu akubariki sana nimejielewa uko vizuri ninetokea kukuamini sana

  • @julianajacksoni4275
    @julianajacksoni4275 3 года назад +4

    Uelewa na uaminifu aisee nilikuaga navyo ila kuna binadamu ata umpende vp atakudanganya tu..Tunafarijika Sana na ww Dr.. Mungu aendelee kukutunza

  • @rebeccandemera2567
    @rebeccandemera2567 2 года назад +1

    Asante kwa mafundisho mazuri yanayo Jenga mungu akubariki nafatilia Sana.

  • @Mosesyona-t9j
    @Mosesyona-t9j Год назад

    Nimekuelewa sana mwalimu Chris Mungu asikipungukie mana unatuelimisha mambo muhim na kwa wakat maalum

  • @EsterChristian-m5c
    @EsterChristian-m5c Год назад

    Baba uko vizuri mungu akusimamie uendelee kutuelimisha, kwakweli ndoa ina mambo mengi ndio maana tunapata cheti kabla ya mtihani

  • @ahmednuru1299
    @ahmednuru1299 2 года назад +2

    Dr ,mungu akulinde akujaalie umri mrefu

  • @veronicdamremad7826
    @veronicdamremad7826 2 года назад +1

    Yaan. Mungu akupe maisha marefu ila nachangamoto ya familia cjui nikupigie saa ngap unakuws umetulia

  • @successconcious703
    @successconcious703 3 года назад +15

    My mentor leo umenigusa sana, 2 years ago nilijichanganya kudate na mwanamke mrembo sana lkn hizo tabia hakuwa nazo hata 1 my friend nilijuta na hayo mahusiano. Thank God nina ufahamu mzuri kuhusu mahusiano na nilijitahidi mno kuhold on lkn nikashindwa coz it was a chaos and one sided. Better nilkua sijaingia kwenye ndoa ningeshakufa kwa zile presha. !!

  • @glorymushi498
    @glorymushi498 3 месяца назад

    Asante sana Kwa kutufunza

  • @UpendoHussein
    @UpendoHussein Год назад

    Mbona kama nimimi kabisa asante mungu kwakunipa ufahamu huuu

  • @amanithomas5069
    @amanithomas5069 3 года назад +1

    Mch. Nakubali sana mafunzo yako ubarikiwe

  • @kabulajohn582
    @kabulajohn582 3 года назад +1

    Asante Dr kwa haya,,, yaan mungu akutunze

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 3 года назад +7

    Waooo 👏👏👏👏kumbe niko high levo ya mahaba 😁😁👏👏👏sifa zote zanguu mweee.
    Nafikiriaga labda ni ujeuri au kiburi changu, kumbe niko sahihi bhanaa Oyooooo 👏👏👏ndo maana nikimchana huwa hanikasirikii 😁😁😁😁

  • @amankinyamagoha2861
    @amankinyamagoha2861 3 года назад +4

    Nashukuru san mwalimu,, nilikuw mchanga sana kujua maana ya mapenz lkn toka nianze kufuatilia hii channel imenijenga sana ubarikiwe zaid na zaid

    • @rehemajohn1958
      @rehemajohn1958 2 года назад

      Me naomba unisaidie kafiwa kaniambia nmuache ayuko sawa hatanitafuta mwenywe hapo ni sawa au napoteza mda

  • @shamimusalim8719
    @shamimusalim8719 2 года назад +2

    Umenifungua kitu aisee asnte mauki

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 3 года назад +1

    Dr Chris Mimi kunakijana tunafahamiana nae nanilikuona Tu Kama ni rafiki japo hatukuwa tunazungumza ikitokea nnimeenda kwao Kama nimeagizwa bas ananisindikiza hatuongei chochote kile almost 2years nimemjua na hii mama yake mlez ni rafiki wa mama yangu mdgo marafiki wa muda marefu Sana ni family friend Kwa sasa nipo kazin huwez Amin alitafuta mazungumzo yakawaida imechukua miez kadhaaa akaniambia ukwel mm NAKUPENDA nahitaji kuwa mtu WA kalibu Sana na ww Mambo mengi kikubwa nipo tayal kuwa mke wake ndo swali lake mpaka sasa miaka 4 bado sijampa jibu Zaid humwambia nipe muda nifikilie SWALI JE NAWEZAJE KUJUA KUWA HUYU NINSASA MANAKE TUNAWASILIANA TU KWA SIM

  • @salomemasue5506
    @salomemasue5506 Год назад

    Endelea kutufundisha Mtumish wa Mungu!!!

  • @edwinipaschal-oq9cj
    @edwinipaschal-oq9cj Год назад

    Wewe ni noma Sana nakukubali

  • @ilagillan
    @ilagillan 3 года назад +3

    Nimecheka kwa sauti eti anaogopa kuachwa jmn.
    I miss you Chris, msalimie sana Miriam

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 3 года назад +1

    Shukran sana

  • @andrew0502
    @andrew0502 Год назад

    Hujawahi kukosea bro, you are a great help about love relationship!

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 3 года назад +2

    Somo zuri sanaa

  • @lilianlazaro4189
    @lilianlazaro4189 3 года назад +2

    Thanks God am look like, what you explain Dr. Thanks a lot bro🙏

  • @mosesshilla3606
    @mosesshilla3606 3 года назад +6

    But sometimes akili ya mahusiano hushuka kwa wastan kulingana na mahusiano unayokuwa nayo au uliyokuwa nayo.

  • @angelicamomoya7682
    @angelicamomoya7682 3 года назад +3

    Good advice🙏❤️

  • @dosianasimon312
    @dosianasimon312 3 года назад +2

    Da hayo nimepitia jamani kitu kidogo tuachane lilikuwa linaniuma sana huku tunawatoto jamani yalikuwa yananiumq hatimie tuliachana

  • @rhodanathan4895
    @rhodanathan4895 3 года назад +1

    Interested going

  • @fatumaselemani4319
    @fatumaselemani4319 3 года назад +1

    Mashallah

  • @feliciamalangalila3834
    @feliciamalangalila3834 3 года назад +2

    Kuna wakati ni ngumu sana kumuelewa mtu. Kuna kupishana mkiweka vitu mezani, haongei ni kimya na mwisho wake anapotezea tu....

  • @wafelawafela6672
    @wafelawafela6672 3 года назад +1

    Asande sana nakubata nkiwa tubai 🙏

  • @puritymuoka6730
    @puritymuoka6730 3 года назад +1

    Good advice be blessed.

  • @alisburundi9657
    @alisburundi9657 3 года назад +1

    Asante

  • @marymjengi7722
    @marymjengi7722 2 года назад +1

    Yaaan ni mim huyo 🤣🤣 🙏 umenifumbua macho dr

  • @petrosoyo6831
    @petrosoyo6831 2 года назад +1

    Nakushukulu kwa mafundisho.yako yote ,yamenisaidia Sana tens sana

  • @josephinekahangwa2992
    @josephinekahangwa2992 3 года назад +1

    🤣🤣🤣 Mwanajeshi analinda Mpaka🙌

  • @sophiamwanga4410
    @sophiamwanga4410 2 года назад +1

    Nice

  • @erneosingogo5432
    @erneosingogo5432 2 года назад +1

    Dr mauki naombaushauri wa ndoa na mahusiano kipengele cha uchumi

  • @UpendoHussein
    @UpendoHussein Год назад

    Aisee nimekubali nimimi kabisaa

  • @karimabdoul7619
    @karimabdoul7619 3 года назад +1

    Mwalimu mzuri

  • @hasiashimba274
    @hasiashimba274 3 года назад +2

    Yani We kaka nakukubali Sana, yani unaongea vitu vyaukweli kabisaaa, yani haya ulioongea NI mimi kabisa yani mpaka huwa najiuliza Mbona watu nilionao karibu hawapo kama mimi

    • @yusufubunu
      @yusufubunu Год назад

      Shukran nyingi kwa madini mema unayotushushia Dr.Cris
      Mungu akuzidishie ufahamu na umri mrefu kisima chako kizidi kustawi
      Ninafarijika Sana na mafunzo yako Kaka

  • @queenbundala6188
    @queenbundala6188 3 года назад +1

    Daaa mpenzi wangu tabia zote ulizotaja apo anazo leo nimeamini ananipenda

  • @OmanOman-ik9sp
    @OmanOman-ik9sp 3 года назад +1

    Dah no2 na no5 zangu hizo

  • @isayakayuni3487
    @isayakayuni3487 3 года назад +1

    wa kwanza leo

  • @shupatz2992
    @shupatz2992 3 года назад +2

    Dr criss naomba ushaur naitwa (A) nik na mwanamke na nishamtolea had barua kwa lengo la kumuoa ila nimekuja kugundua kuwa huyu lengo lake kuu ni kuolewa na siyo kunipenda ingawa amejitolea had kwenda kufanya kaz ambayo hakuwah kutegemea lengo kuu ni kunisaidia ktk mahal sasa naomba ushaur je mtu wa dizain hiii kwel anaweza kuwa mke bora maana naona lengo lake kuu ni kutolewa mahal na kuolewa hata akinipigia sim mal nying hakos kuniuliza juu sku gan tutaenda toa mahal please ushaul wak kwang ni munhimu mkuu

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 5 месяцев назад

    Mimi nimebadilika.sana

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Год назад

    Jamani hapo kwenye ubahili,,,sipendi hiyo tabia

  • @EdithaPetro-jw1qd
    @EdithaPetro-jw1qd 3 месяца назад

    Jmn umenfumbua pakubwa San kak ang nashukur mung akubark san

  • @janethzacharia1868
    @janethzacharia1868 3 года назад +1

    I'm blessed

  • @mercyadangahi1991
    @mercyadangahi1991 3 года назад +1

    You are very right because most marriages differs alot because both are not moving in the same direction

  • @ZawadiBita-s6p
    @ZawadiBita-s6p 2 месяца назад

    Umesema kweli mimi nilimundanga mupenzi wangu

  • @hiland255fundi5
    @hiland255fundi5 3 года назад +2

    Bonge la dude kaka mauki umeua hizi vitu n changamoto sana mtandaoni

  • @hapsaally1860
    @hapsaally1860 3 года назад +1

    Tanx doctor

  • @marikokinyua2144
    @marikokinyua2144 Год назад

    Niko kwa dilema kila wakati tu kwangu ni tuachane akigusa sim tu hivi sijui unata ajy mpaka watu wa familia kampeni hataki niseme na wao

  • @mariamally7440
    @mariamally7440 2 года назад +1

    Pale kweny kuhofia kuachwa umenichekesha san🤣🤣🤣

  • @Nellycious240
    @Nellycious240 6 месяцев назад

    dr naomba utupatie somo la je! ni sahihi mwanamke kuishi pamoja na mwanaume kbl ya ndoa?

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 2 года назад +1

    👏👏👏

  • @naomifinkiri5124
    @naomifinkiri5124 2 года назад +1

    Uyu Ni Mimi kabisa

  • @barnabazawadi9433
    @barnabazawadi9433 2 года назад +1

    Zote hizo ninazo….jina la Bwana libarikiwe sana…

  • @monicabenedicto-r2v
    @monicabenedicto-r2v Месяц назад

    I want to ask...umri gani ni sahihi kwa mahusiano??

  • @SylivesterMambo
    @SylivesterMambo 3 месяца назад

    kaka kunamtu nampenda ila yupo mbali na hataki niende kumuona ila kuchat tunachati vizuri

  • @nuuringoogle4104
    @nuuringoogle4104 Год назад

    🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽👍from Germany 🇩🇪

  • @singinggirl6554
    @singinggirl6554 3 года назад +1

    ❤❤❤❤

  • @fettyqeen5136
    @fettyqeen5136 3 года назад +1

    Jamani nimecheka bwana wangu Mimi yaan tukionanatu ankimbilia cm zangu na akipiga cm nikichelewa kupokea balaaa. hahahahahaaah

  • @AncentTz
    @AncentTz Год назад

    Doct Kuna kitu nashindw kuelew nin mpenz wangu nampend San lakn nashindw kumuelw maan mm Kam sjamtafut amn mawasiliano at akiw ananitafuta anabipu then anaach umtafute ww unamtumia voch ad itaisha lakn ajkutafuta IV kwer Kuna mapenzi ap

  • @umayaomary9576
    @umayaomary9576 2 года назад +1

    Hi natamani kuongea nawewe sik moja napenda sana ushauli wako

  • @d_daryl5770
    @d_daryl5770 2 года назад +1

    Mimi uyo baba ata I

  • @ZawadiBita-s6p
    @ZawadiBita-s6p 2 месяца назад

    Jambo

  • @furestonmajaliwa5315
    @furestonmajaliwa5315 Год назад

    Nina mke aliyefiwa na amehachwa nawatoto 2 Ola mimi sijazaa naye lakini toka tuanze kuhishi hataki tendo landowa, hanashukrani kwachochote,anafikia kuniambia anampenda aliye fariki kuliko mimi ,tukiwa kitandandani hataki mwiliwake kugusana na wangu chameisho nimemtegenezea mazingira yamaisha kuliko alivyokuwa kwa maremu nisaidiye Mtumishi nimuache ao nihendeleye Nate Niko south Africa mwanamke katokea Tanzania

    • @hildathamid7741
      @hildathamid7741 Год назад

      Dah pole sana ila mpe ushaur aliekufa hatorud ata afanye nn kama kakubali ndoa lazima awajibike

  • @moreenmussa8151
    @moreenmussa8151 Год назад

    akidai kwa mtu ambaye upo naye kwasasa kubwa wewe bado ni mpenzi wake wakati yeye anamchumba anaona raha tu akuaribie naomba msaada nifanyeje

  • @GraceMalashitu
    @GraceMalashitu 11 месяцев назад

    Confederation

  • @ShabanMissanga
    @ShabanMissanga 2 месяца назад

    Dr wewe ni jem be

  • @NaomySinkonde-z2r
    @NaomySinkonde-z2r 3 месяца назад

    Iyo ya 4 sio yangu jnm nafeli wap ila 1-2-3-5 Zang IL moj tuu

  • @zainabubigirimana9869
    @zainabubigirimana9869 2 года назад +1

    52

  • @moreenmussa8151
    @moreenmussa8151 Год назад

    doctor naomba unisaidie jinsi ya kufanya pale ambapo ex wako anatumia picha mlinzi piga kipindi uko nayeye kumharibia kwenye mahusiano yako mapya

  • @ZainabuRamazan
    @ZainabuRamazan 10 месяцев назад

    Nahitaji hiz video zako ili nijifunze Zaid elim hii muhim

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 10 месяцев назад

    Doctor Sasa Huyo,, wakukuambia tuachane kila Leo yaan ww una muelewa kuliko yeye anavyo kuelewa kosa dogo kwake kubwa anaa hesabu Makosa yako ukimwambia basi Nisamehe Anasema ww utarudia tu anasema pia hatuwezi fika Mbali
    una mbadilishaje Ila kwnye Neno Nakupenda anasema tu kawaida ila kosa kidg Ndio hapo bora tuachane anafikia haongei na ww likotokea kosa lolote lako lake hadi ww uombe msamha doctor msaada hapo

  • @winfridamwigilwa2107
    @winfridamwigilwa2107 3 года назад +3

    Shida hapo kuwapata wenye hizo akili sasa.

    • @jane.mack_
      @jane.mack_ 3 года назад

      Anza wewe kuwa mwenye akili hizo

  • @hopesteven9732
    @hopesteven9732 3 года назад +1

    Dokt,, nina swali... Hivi mahusiano yenye sex kabla ya ndoa yana asilimia ngapi ya kudumu?!

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 года назад +3

      Yanaweza yakadumu au yasidumu. Sex pekeyake haiwezi kuwa factor ya kudumisha au kutodumisha ila kuna mchanganyiko wa factors nyingine

  • @eray5446
    @eray5446 3 года назад +1

    Thanks sir

  • @mariamphilemon5378
    @mariamphilemon5378 2 года назад +1

    Asante

  • @glorymushi498
    @glorymushi498 3 месяца назад

    Thanks dr