Dr. Chris Mauki: Mambo 5 wanaume huyatazama sana kwenye uchumba

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии •

  • @julianalameck9045
    @julianalameck9045 3 года назад +13

    Duuh, kaka Ubarikiwe mno Mungu akuzidishie neema yake

  • @selemaikowelo7086
    @selemaikowelo7086 2 года назад +3

    Barikiwa sana mtumishi,ila kuna wanaume uwe na hayo yote lkn bado haridhiki,ni ukorofi tu

  • @Angel-e4c1y
    @Angel-e4c1y 2 месяца назад

    Kupitia wewe Dr hakika nimebadilika sana na nimepata ujasir na kujitambua.

  • @AnnetUchi
    @AnnetUchi 3 месяца назад

    Asante Sana Mungu akubariki, Nimejifunza.

  • @ErickAMinja
    @ErickAMinja 3 года назад +7

    I agree with you Dr. Mauki 100% 🙌

  • @aisisobo189
    @aisisobo189 2 года назад +4

    Unaupiga mwingi DR. MAUKI

  • @Metrinr
    @Metrinr Год назад +2

    Wow congratulations mwalimu today am happy

  • @NyangethaMissenye
    @NyangethaMissenye 4 месяца назад

    Asante sana dr kwa mafundisho yenye uponyaji

  • @jellynesssemu9406
    @jellynesssemu9406 3 года назад +3

    Asante sana ﹰDr. Kwa somo zur sana Mungu akubaliki🙏

  • @bettyanthoney3988
    @bettyanthoney3988 2 года назад +2

    Asante dr umenifungua macho

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 10 месяцев назад

    Ahsante kwa kunifunza Nakuelewa Vizuri

  • @ElizabethApelesi
    @ElizabethApelesi Год назад

    Asante Sana umenifundisha kitu kikubwa sana

  • @maryhhera8808
    @maryhhera8808 Год назад

    Ubarikiwe Dr kwa somo nzuri.

  • @nurumutiojameskhankhanjame7337
    @nurumutiojameskhankhanjame7337 3 года назад +2

    Asante Sana

  • @Mama__Greccy
    @Mama__Greccy Месяц назад

    Nahitaji kuzungumza nawewe dr

  • @janetdaniely7945
    @janetdaniely7945 2 года назад +3

    Nimekubar Dr💯

  • @esterjimmy7573
    @esterjimmy7573 3 года назад +2

    Ahsanteee Dr Chris

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 года назад +2

    Shukran

  • @skolayusta7655
    @skolayusta7655 2 года назад +2

    DR ungekua mc ungependeza sana

  • @libestit1759
    @libestit1759 Год назад

    Mungu akubariki

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 года назад +3

    Thanks

  • @رحيمةهاري
    @رحيمةهاري 3 года назад +2

    Mashallah shukran sana

  • @janethmtuka7157
    @janethmtuka7157 2 года назад +2

    Asante sana🙏

  • @RukiyaButoyi-sk5nm
    @RukiyaButoyi-sk5nm Год назад

    Tunashkru tena kaka Duuh hakika unasomesha

  • @erickwaya7508
    @erickwaya7508 2 года назад +2

    Thanks for that

  • @DorikasDipoo
    @DorikasDipoo Год назад

    Unaushauri mzuri kaka

  • @rehemampangala5544
    @rehemampangala5544 Год назад

    Mungu akubatiki Dr

  • @fransiskarafael5697
    @fransiskarafael5697 2 года назад

    Duuu Asante Sana nimejifuza

  • @yusufgagamuhammad2674
    @yusufgagamuhammad2674 2 года назад +4

    Asante zime kithili na masha ALLAH. ..na wote niwa nikina dada kkkkkkkk
    Tuko makini sana tumetulia tu mukijifanya mnapenda pesa zetu

  • @evadindi7243
    @evadindi7243 2 года назад

    Asante sanaa dr,

  • @mariumpeter6147
    @mariumpeter6147 3 года назад +2

    Asante sana Professor CMauki

  • @MarthaDeus-fo5sd
    @MarthaDeus-fo5sd Год назад

    Kweli kabisa nimeviona ivyo kwa mchumba angu

  • @desdeliamwigani8991
    @desdeliamwigani8991 3 года назад +2

    Mm najiona kabisaaaa nitacheleeewa saaaana

    • @jennytugara9470
      @jennytugara9470 2 года назад

      Mungu atafanya njia ndugu yangu stay positive

  • @FrankSaburi
    @FrankSaburi 9 дней назад

    Nina mke wangu wa ndoa zamani kabula usijamuowa alikuwa ananijali sana lakin nilivyo muoa tu akaaza kuishi nae akaaza kubadilia sana sasaiv anijali ata nikitoka wewe neend tu ata nikirudi aogei chochote ata nikienda kazin aniagi ata nikirudi asemi za kazi mume wangu anapend kushidana na mimi nikiogea kitu ananijibu kwazalau mimi nifanyeje maana ninapenda sana mke wangu sitamani kumuwacha ata kidogo

    • @FrankSaburi
      @FrankSaburi 9 дней назад

      au nimuletee zawadi gani ili ananijali lakin ana mimba

  • @SaidiIddi-vk2cs
    @SaidiIddi-vk2cs Год назад

    Santeeee sana kaka unasomo zuli

  • @jovinejoseph1252
    @jovinejoseph1252 Год назад

    Thanks alot🎉

  • @tracymasangula213
    @tracymasangula213 Год назад +1

    Aiseeeh nimejikuta nacheka😂😂🙌

  • @joycemsangira4823
    @joycemsangira4823 3 года назад +2

    Bado nipo nipo sanaaa

  • @emilykilwake1991
    @emilykilwake1991 Год назад

    Umesema ukweli sana

  • @blessgaudence4392
    @blessgaudence4392 3 года назад +2

    Ahsant sana 🙏🏽

  • @josephkadeghe4720
    @josephkadeghe4720 3 года назад +6

    Kweli hizi ni nyakati za mwisho tunajifunza zaidi kuwa wanafki na sio kuwa halisia

    • @holySpiritchoir24
      @holySpiritchoir24 3 года назад

      Sio unafiki dear..hii pia ni tabia njema ambapo asili yake hutegemeana na malezi pia...kwamba mtu huyo amelelewa kwenye mazingira gani?!

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn Год назад

    Nimekuelewa kaka

  • @mercylinekerubo6425
    @mercylinekerubo6425 Год назад

    Be blessed

  • @fgfh1786
    @fgfh1786 Год назад

    ❤ asante sana ❤

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 3 года назад +2

    Wanawake wengine jau TU kujituma hawawezi yye kila kitu hutegemea

  • @frida-oi6kw
    @frida-oi6kw 4 месяца назад

    Kabla hata ya kuangalia upendo...wanaangalia iyo mambo😂😂😂😂😂😂😂...HESHIMA NA UNYENYEKEVU

  • @AgnesBenjamin-u1j
    @AgnesBenjamin-u1j 9 месяцев назад

    Asante

  • @aminakipande5645
    @aminakipande5645 3 года назад +17

    Wao wanazo hizo heshima unajua vitu vingine vyakera ww umetulia unamuheshimu lkn unakuta hakuheshimu kabisa kila siku kukucheart tu sasa docta hapo kuna mapenzi kweli nahuyo anafaa kuendelea kua nae kweli

    • @sophiajackson5001
      @sophiajackson5001 3 года назад +1

      @@augostinermercy1542 😁😁😁😁😁😁😁😁😁

    • @augostinermercy1542
      @augostinermercy1542 3 года назад

      @@sophiajackson5001 😂😂😂😂😂😂

    • @birusidesmond3245
      @birusidesmond3245 2 года назад

      @@augostinermercy1542 🤣🤣😅😅😅😂😂

    • @rafidaomar210
      @rafidaomar210 2 года назад

      ​@@augostinermercy1542 jameni make ncheke

    • @swaumamiriy2234
      @swaumamiriy2234 Год назад

      @@augostinermercy1542 😃😃😃😃

  • @anithayohana6063
    @anithayohana6063 3 года назад +2

    Ahsanteeeeeeee....

  • @josephkadeghe4720
    @josephkadeghe4720 3 года назад +3

    Kwa mafundisho ya namna hii watu wataoa mapepo, kwasababu tunajifunza requirements tu, ambazo hata pepo linaweza kuzifuata

    • @birusidesmond3245
      @birusidesmond3245 2 года назад

      🤣🤣🤣

    • @asmasaid5315
      @asmasaid5315 2 года назад

      Kuna watu wanapewa mvujo wa mtihani na bado wanafeli 😂😂,tabia ni ngozi

  • @theresiamwandara7990
    @theresiamwandara7990 2 года назад +2

    Kuna wanaume wengine hawapendi ndugu zao.

    • @jennytugara9470
      @jennytugara9470 2 года назад

      Some really wrong with him basi hata hawako hato wapenda huyo hafai

  • @thebroski9763
    @thebroski9763 3 года назад +2

    Truuu 🙌🏾

  • @winfridayesaya1994
    @winfridayesaya1994 2 года назад +3

    Dr mimi nahitaji cancelling unapatikana wapi?

  • @momo-md9hx
    @momo-md9hx 2 года назад +2

    Kuna wengine wanapewa mke yeyote

  • @jamilajohn3730
    @jamilajohn3730 3 года назад +2

    Asnte nimejifunza kitu

  • @noraskamyamba3508
    @noraskamyamba3508 2 года назад +2

    Wow

  • @jackyjacob2105
    @jackyjacob2105 Год назад +1

    Dokta nashukuru sana kwa mafunzo yako yananipa mwongozo mzuri wa mahusiano yangu 🙏🏼🙏🏼 But nauliza ni vizuri kumsaidia mchumba pesa anapokwama kwenye maendeleo ya nyumba yake mpya ambayo tutaishi naye kabla ya kuoana kuna madhara?😢😢 ama

  • @saraelias2928
    @saraelias2928 3 года назад +6

    Mbona vyote tunafanya wengine lakini bado mwanaume anakuona humfai??

    • @jennytugara9470
      @jennytugara9470 2 года назад

      You have to be sincere sio kufanya tu mpendwa

    • @Bbwaoy
      @Bbwaoy 2 года назад

      1. Mapishi yako yako vizuri jikoni
      2. Usafi wako wa mwili na sehemu mnayo lala (Nyumba) kiujumla pako vizuri?
      Kagua hizo sector mbili pia.

    • @neemaamasi6851
      @neemaamasi6851 Год назад

      Endelea usiache ni mbegu

    • @neemaamasi6851
      @neemaamasi6851 Год назад

      Endelea usiache ni mbegu nzuri

  • @MonicaMwoka
    @MonicaMwoka 4 месяца назад

    Tupe tupe tukimeza shauri yetu😂😂

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 3 года назад +2

    Duuuuh asante

  • @EliminaHemedi-if4tp
    @EliminaHemedi-if4tp Год назад

    Co kuchelewa 2 naona akuna kuolew wala kuoa🤣🤣

  • @joycendanundanu9218
    @joycendanundanu9218 3 года назад +3

    badala ya mke, sasa ni mume. je? Apo inakuwaje? Upande wa matumizi na bado mko kwenye uchumba

  • @doricejohn2014
    @doricejohn2014 2 года назад +5

    Je Doctor mwanaume anaweza kukupenda na asikupe hela??

    • @ladyfarajadanda8575
      @ladyfarajadanda8575 2 года назад +1

      😂😂😂😂 eee anaitunza ili aje akutolee mahar

    • @doricejohn2014
      @doricejohn2014 2 года назад +1

      @@ladyfarajadanda8575 😂😂hamna kitu Kama hii

    • @mariamyoyote8172
      @mariamyoyote8172 2 года назад

      @@ladyfarajadanda8575 lady faraja wewe😂😂😂😂😂😂😂😂😔😔😔😔

    • @lindadaudi9735
      @lindadaudi9735 2 года назад

      😆😆😆😆😆😆

    • @ahuriladaniel9849
      @ahuriladaniel9849 Год назад

      😂😂😂🖐️

  • @giftdamrod596
    @giftdamrod596 Год назад

    🙏

  • @joycendanundanu9218
    @joycendanundanu9218 3 года назад +2

    🤗

  • @agnesslucas4744
    @agnesslucas4744 2 года назад +2

    вαlíkíwα ѕαnα ,

  • @jedidahmutheu4088
    @jedidahmutheu4088 3 года назад +2

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏💥

  • @gshbnz4368
    @gshbnz4368 3 года назад +3

    Dr huna no ya wsp cc wngn to nje

  • @gshbnz4368
    @gshbnz4368 3 года назад +2

    💖🙏❤️

  • @sallyraidan6867
    @sallyraidan6867 3 года назад +2

    🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️

  • @luciasoko9354
    @luciasoko9354 3 года назад +5

    Yaan unamujeshim mtu anakwambia unajipendekeza acha kabisa yaan unamatafuta anakwambia najipendekeza acha nyie dahhh

  • @mariamjuma5123
    @mariamjuma5123 3 года назад +2

    😀😀

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 Год назад

    😂😂😂😂😂asante

  • @janethjkavishe589
    @janethjkavishe589 2 года назад +2

    1. Kwenye NDUGU ZAKE
    2.MATUMIZI YA PESA
    3.KUJIONGEZA
    4.
    5.

  • @rwandaruti5297
    @rwandaruti5297 2 года назад +2

    Asante Sana

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 2 года назад +2

    🙏shukran sana

  • @fatimafa3434
    @fatimafa3434 2 года назад +2

    Thanks

  • @GraceMgalla-w6z
    @GraceMgalla-w6z 9 месяцев назад

    Asante sana🙌

  • @Awamagic
    @Awamagic 2 года назад +2

    Asante Sana🙏

    • @aminah3346
      @aminah3346 Год назад

      😂😂😂napend san kukufatilia mim namunyenyekea mchumba wangu wezangu wananichamb nakusema nimushobokea

  • @felistafabianbukhay4042
    @felistafabianbukhay4042 Год назад

    Asante sana

  • @FafaFrancineenjo
    @FafaFrancineenjo Год назад

    Asante sana ❤❤