Nimependa najua hii mada sio ya hapa Mimi na mchumba wangu tuko mbali geographically Love languages yake Ni physical touch na mahusiano yetu Yana mda wa mwezi mmoja tangu tuwe mbali ananiambia hayuko happy kwasababu there is no physical touch as a way to be Happy Nifanyaje
Dah dokta mungu akupe maono zaidi mimi nimekua mwanamke wakutengeneza nyumba isiyotengenezeka. Watu wengine niwagumu kuwaweka sawa.nimeamini wengine ndivyowalivyo kwenye koo zao
Dr mauki ubarikiwe kwa kutufunza na kuweka akili mpya ndani ya vichwa vya watu wengi tunapitia mengi katika yote unayofundisha lakini tunapona sana ubarikiwe
This is one of the Best video katika video ambazo Dr nimekutana nazo..hakika hii Nita I play mpaka iwe scratches, plan yangu ni kuwa bora na makini kwenye mahusiano yangu. Kweli mahusiano yanajengwa hayajijengi kama wengi tunavyodhani. Maarifa, vitendo, uvumilivu ndio dawa ya kusonga mbele na kufanikiwa kwenye hili eneo
Hii inatugusa moja kwa moja wanawake, aisee asante sana Dr Mungu akubariki nimejikuta nabadilika kwa mafunzo yako namsaada wa Mungu, kwasasa ni furaha tu maana namuelewa
Dr mm nagombana na mume wangu sababu hataki kurekebishwa akikosea hataki kuulizwa na mambo yake anafanya mwenyew anashirikisha marafiki zake halafu anawanawake wengi sana nikimuambia anasema kama unakula unashida gani dah inaumiza mimi nilifata kula kwake kweli dah inauma sana mungu atusaidie
Very inspiring videos. Thanks. Please do more on communication between two people living together or husband and wife and listening to gossip would break relationship
yan kwenye ndoa yangu tunagombana Sana mke wangu ananiambia kuwa Mimi Malaya na wakati hiyo tabia Sina kabisa unazani hiyo ni dalili gan nikichelewa kidogo tunagombana yaan ugomvi ndan ya nyumba Kila ikipita mwez sababusababu zinakua nyingi Sana
Samahani Dr,m na mume wng tumekuwa tukigombanana mume wng na kila tukigombana amekuwa akiniambia kila mtu afanye yake na amekuwa akinitelekeza na kwenda kuishi na rafiki yake lakini na anarudi tena nampokea
Sante jamn sisi tukiwa maliza wiki tumuombee Mungu yaan mwez hauishi Ugomvi usio na sababu mtu anatoka na Maneno hko anakuja kuuliza ukijib kosa ni ugomvi
Dr,Mungu akubariki me nina mume wangu tumezaa nae lakin hatujafunga ndoa lakin kuna kipindi tunagombana hadi inabidi niondoke nirudi nyumban ili kupunguza hasira lakini kuna mda yani tunaongea vizuri hadi naona raha nifanyaje na sijui huwa inakuwa shida ni nn
Nimejifunza tena mm nimegunduwa ninatabia mbaya lakini Sasa nimeacha kuanzia Leo nimejifunza kabisaa ahsantee mauki kwa somo lako zuriii
Kumbe mi ndo chanzo,Asante kwa ushauri wako umenibadirisha sana,Mungu awe nawe🙏🙏😊
1) Mawasiliano mabovu
2) Kukosekana uelewa
3) Kutokuwepo uelewano
4) UBINAFSI
5) Tabia ya kudhania
NB: Tusifanye hayo
Safi Sana
Nimependa najua hii mada sio ya hapa
Mimi na mchumba wangu tuko mbali geographically Love languages yake Ni physical touch na mahusiano yetu Yana mda wa mwezi mmoja tangu tuwe mbali ananiambia hayuko happy kwasababu there is no physical touch as a way to be Happy
Nifanyaje
Nisahihi kabisa ,ila kweli Mungu aturehemu 🙏❤️
3: kukosa uvumilivu
Asante San doctor nimekuelewa San mungu Akubariki San mausiano yangu yanachangamoto San mi kila cku Ni MTU wa kulia tu
umenisaidia sana
Dah dokta mungu akupe maono zaidi mimi nimekua mwanamke wakutengeneza nyumba isiyotengenezeka. Watu wengine niwagumu kuwaweka sawa.nimeamini wengine ndivyowalivyo kwenye koo zao
Tunamuhitaji sana Mungu
Nashukuru sana Mwl. Kwa masomo mazuri unayotupa Mungu wa mbinguni akubaliki sana
asante sana
Doctor hili ni kweli kabisa mm ni muhanga wa hilo halafu mm ndy mwenye hizo tabia
Nimejifunza kitu nitajirekebisha barikiwa sana mtumishi wa mungu🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Dr mauki ubarikiwe kwa kutufunza na kuweka akili mpya ndani ya vichwa vya watu wengi tunapitia mengi katika yote unayofundisha lakini tunapona sana ubarikiwe
Dr ubarikiwe sanaaa nimekuelewa vzr,ila wanaume wengi ni pasua kichwa Mungu atusaidie wamama tulio kwenye ndoa jamani.
Amiin
Asante Sana Father
Umenigusa sana ubinafsi chake chake chako chake da Dr upovizurisana
Pole sana jaribu kumchunguza nakumuuliza Mungu mwana mkeatakiwi kuwa ivyo bali anatakiwa kukuombea lakini akikufumania iyo ni tiketi
Asante nimekuelewa mungu akubariki
This is one of the Best video katika video ambazo Dr nimekutana nazo..hakika hii Nita I play mpaka iwe scratches, plan yangu ni kuwa bora na makini kwenye mahusiano yangu. Kweli mahusiano yanajengwa hayajijengi kama wengi tunavyodhani. Maarifa, vitendo, uvumilivu ndio dawa ya kusonga mbele na kufanikiwa kwenye hili eneo
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Hii inatugusa moja kwa moja wanawake, aisee asante sana Dr Mungu akubariki nimejikuta nabadilika kwa mafunzo yako namsaada wa Mungu, kwasasa ni furaha tu maana namuelewa
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Dr mm nagombana na mume wangu sababu hataki kurekebishwa akikosea hataki kuulizwa na mambo yake anafanya mwenyew anashirikisha marafiki zake halafu anawanawake wengi sana nikimuambia anasema kama unakula unashida gani dah inaumiza mimi nilifata kula kwake kweli dah inauma sana mungu atusaidie
Amina Mungu akubariki sana kwa mafundisho mazuri
Chris unafundisha vizuri. Nawapenda wote wewe na mke wako Miriam. Mbarikiwe Sana Sana kwakweli
Amen Mungu wa mbinguni akubariki
🎉Doctor 🎉mauiki ❤
Napenda unavyofundisha Dr Chris
Asante kwa Somo zuri me mwenyewe ni muhanga wa jambo Hilo
Dokta Nina kuelewa aisee ahsanteee sana dokta
Ahasante Dr Chris's mimpka hpa tumeishagombana
Shukran kaka mauki kwakutupatia elimu bora
Asee somo zuri Sana nimejfunza kitu kikubwa Sana
Asante sana apo umipa elemu xx nnimejua hongora dctr
Tunashukuru Kwa elimu Yako doctr
Namuomba Mungu nipate mme sahihi
Na iwe HIVYO
Nawe Uwe SAHIHI KWAKE
Teacher i love your topc so yanabadirisha maisha yangu GOD bleas you
Uko sahihi Brother. Mimi ndie nilikuwa muhanga wa hizi tabia zote ulizotaja hapo. Shukran sana NITABADILIKA
Ubarikiwe San Docter nikipata mahusiano mapya nitaishiii na ivi vitu
Nimekuelewa sana
Asanteee kwa somo zuri nimejifunza kitu ndio maana magomvi yanatokea sana sana
Asante dr nawezaje kuongea nawewe mimi nipo Mozambique
Natamani ila inashidikana sijui kwanini,,from Burundi 🎉❤
Daaah uwelewaa nimejifunzaa 🥺
Mungu akubariki sana chris mauki 👏🏾
Ahsant kwa somo🙏
Asante sana Dr saivi nimebadilika sana na mume wangu ananifurahia nilikuwa na vimaneno mimi jmn
Stopic hoi imenifungu akili thaks
Asante sana kwa somo hili ambalo limekuwa ni mimi umeniongelea hadi natafuta plani B sasa
Asante sana kwa somo zuri
Very inspiring videos. Thanks. Please do more on communication between two people living together or husband and wife and listening to gossip would break relationship
Sijawahi kuka wiki sijagombana nae mapaka nimechoka 😢😢
Kwel Dr unajua
Asante Sana Doctor Nimejifunza Mambo Mengi Sana Ubarikiwe Sana
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Doctor ninashida sana namsaada waushauri ninamgogoro mkubwa kwenye mahusiano yangu nanimjazito pls dokta
Mimi ni yatima wa mapenzi😢😢
Nimepata somo kubwa
Asante sana kwa ushauri mzuri
yan kwenye ndoa yangu tunagombana Sana mke wangu ananiambia kuwa Mimi Malaya na wakati hiyo tabia Sina kabisa unazani hiyo ni dalili gan nikichelewa kidogo tunagombana yaan ugomvi ndan ya nyumba Kila ikipita mwez sababusababu zinakua nyingi Sana
Asante sana Mtumishi wa mungu, umenigusa mimi moja kwa moja,,,,, 😱 😱
Mungu/MUNGU sio mungu
Somo zuri sana mm nina mpenzi wangu ambaye hataki kunielewa hususan upande wa fedha ety akoradhi nikope ili yeye anunue nguo mpya za sikukukuu
Barikiwa sana kwa somo zuri.
Hongera
1.Mawasliano mabovu (kuskiliza ,kufahamu lugha ya mwezio,kushirikshana)
2.Kukosa uelewa
3Kukosa uvumlivu
4.Ubinafsi
5,kifikiri
Barikiwa Dr. Chris unanifanya napiga hatua
Umeningusa sana
Kazi mzuri brother
Thanks nabarikiwa Sana na mafundisho yako
Aisee 😮🎉❤
Yaaani ni kweli kbs.....be blessed
nasemakutoka moyonimwangu hakunaulijo kisema ambajo sijawahi kukumbana najo katika ndowayangu nimepitiya mengisana shidanyingi sana nikiyanza kusimuliya utaniyoneyahuluma kweli achatu
Congratulations Dr mauki your the solver to us heart breakers
Indeed he teaches very well
Asante sana kaka mauki
Barikiwa sana kaka
Nimejifunza sana
Asante sana imenikusa mazima
Duu Asante kaka kwa ushaul wako
You are ablessing in Dr
Thank you sir
Ahasante kwa ushaur mzur Kaka
😢😢 ndoa nikirio kikubwa
Samahani Dr,m na mume wng tumekuwa tukigombanana mume wng na kila tukigombana amekuwa akiniambia kila mtu afanye yake na amekuwa akinitelekeza na kwenda kuishi na rafiki yake lakini na anarudi tena nampokea
Inanigusa sana Dr
Umeniongelea mimi maana hata sasahivi siko sawa na mke wangu ahsante kwa mafunzo nitakaa chini kujifunza ili tuishi vyema
Thank you 🙏
Thanks somo zuri sana
Perfect💯
kweli kabisa, unasikia wewe wakati wengine wameshasikia miaka mingi Sana, unapokuja kusikia wewe wanakushangaa
Asante dr nawezaje kuongea nawewe mimi nipo Mozambique🇲🇿
Uko zawapi sufo,me niko pemba
Palma
Asant San Dr Chris 🙏
Mungu azidi kukutunza Dr.Chris🙏
Kweli iro somo lime nigsa sana mm nampenzi wangu tnagombana ovyo
Mwalimu mimi shemeji yangu alinitukana toka hapo nikaaza kumchukia mke wangu chanzo alikuwa yeye mke wangu hadi sasa upendo umepungua sana
Mafunzo mazuri barikiwa San.
Sante jamn sisi tukiwa maliza wiki tumuombee Mungu yaan mwez hauishi Ugomvi usio na sababu mtu anatoka na Maneno hko anakuja kuuliza ukijib kosa ni ugomvi
Dr,Mungu akubariki me nina mume wangu tumezaa nae lakin hatujafunga ndoa lakin kuna kipindi tunagombana hadi inabidi niondoke nirudi nyumban ili kupunguza hasira lakini kuna mda yani tunaongea vizuri hadi naona raha nifanyaje na sijui huwa inakuwa shida ni nn
Kwel kaka
Kweli kabisa huyo ni mm lkn maisha ndo yanafanya hivyo ndugu watu tunaokutana na balaa
Nikweli baba
umeningusa kabisa mimi
Najifunza mengi sana
Broo bigi up sana broo wahaya sina hamu nao malaya wakubwa
Umalaya ni Tabia Ya Mtu kila Sehem wapo wanao kuwa hiv
Sio kabilaa ila ni mtu binafsiii at makabila mengne wapo
The best lesson 🙏
❤
Kweli kabisa na Mimi ico kitu kinanifikiaga ten nasisi tunagombana na Mme wang san
Blessing
Kweli kabisa yani mm ni mtu wa kupanic mnooo
Mimi na mpenz wangu tunagombana sana na mim ndie chanzo na yeye uchukua atua kunifukuza kwake ikisha sijui kwa nini ila maray sana
Mr chris nakupataje unisaidie