VIASHIRIA 10 VYA MWANAUME MUOAJI - MIN.SUNBELLA KYANDO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 ноя 2024

Комментарии • 613

  • @faridalilolapasi3011
    @faridalilolapasi3011 3 года назад +60

    Mungu nione na Mimi jamni nipate mwanaume Bora 🙏 nimechoka kuteseka

  • @annertz9969
    @annertz9969 Год назад +6

    Mwenyezi Mungu nisaidie nipate mwanaume mwema anaetoka kwako🙏

  • @esternsimbila5359
    @esternsimbila5359 Год назад +5

    Amen 🙏🙏🙏Mchumba wangu anazo hizo sifa zote na soon tunafunga ndoa, Asante mtumishi kwa somo zuri na Mungu akubariki nimejifunza somo zuri san

  • @fatmamussa1161
    @fatmamussa1161 3 года назад +21

    😊❤️Mashanlla wakwangu bado hajanioa lkn sifazote anazo alhamdulillah na hataki tufanye chochote adi tuoane anamifano mizuri sana na mipango

  • @maimunfaridah5448
    @maimunfaridah5448 Месяц назад +1

    Alhamdulillah Wang anazo zote ulizotaja mwenyez mungu atulinde na atupe afya njema na pia akakamilishe malengo yetu InshaAllah🤲

  • @mwajabushombe4936
    @mwajabushombe4936 3 года назад +37

    Jaman natamani nimpate mwanaume wa aina hiyo Mungu nisaidie.

  • @queenrm7516
    @queenrm7516 3 года назад +22

    Ubarikiwe pastor zote 10 anazo huenda sbb ni mcha MUNGU ..Mungu amtunze tufikie malengo...

  • @liyloveonimakeuptv2400
    @liyloveonimakeuptv2400 3 года назад +18

    Wahoooo I’m seeing my marriage soon by special grace of almighty God. God give me grace now on. In Jesus Christ name. Amen 🙏

  • @fridasanga2494
    @fridasanga2494 2 года назад +4

    Ameni ameni ninamfurahia Bwana katika somo hili la leo kwakweli wenzangu ambalo bado jifunzeni Ktk hili somo utamjua mume wakweli mapema sana Mungu akubaliki mtumishi wa Mungu

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 3 года назад +8

    Nkweli,, lakn wengne wanafanya hayo kwa muda baadae wanageuka, ahsantee kwa somo zuri. Mungu atukutanishe na waume wenye mpango huu.

    • @husnamohammed8199
      @husnamohammed8199 2 года назад

      Boniface beatrice kweli baadae wanakubadilikia wanakuacha njiani hawakuowi wanaowa kwengine ww wanakuachiliaga maumivu

  • @fatumayusuph183
    @fatumayusuph183 2 года назад +4

    Mungu nijalie mie na me nifikie hatua ya kuwa na mume wangu

  • @happymbuma9154
    @happymbuma9154 3 года назад +10

    Ahsante sana baba nimeelewa mno,namuomba mungu amfanyie wepesi mume wangu mtarajiwa

  • @GloryShayo-q7y
    @GloryShayo-q7y 3 месяца назад +1

    wow asante mwalim lkn pia namshukuru mungu coz anasifa zote ulizozitaja mungu atie wepes katika mahusiano yetu tu🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mrashsuedi5324
    @mrashsuedi5324 3 года назад +10

    Namshukuru mungu mpk mda huu wangu anasifa zote hz alla azd kumsimamia my husband to be

  • @StellaA-n4i
    @StellaA-n4i Год назад +1

    Amen namimi wa kwangu anahizo sifa MUNGU amlinde jaman

  • @leahphilbert153
    @leahphilbert153 3 года назад +8

    Asante Mungu kwaajiri ya mume wangu, umenioa mume Bora endelea kumfanya awe Bora zaidi

  • @naomilutindi3528
    @naomilutindi3528 3 года назад +7

    Asant mtumishi nimejifunza dah asant uyu Wang Kama sifa zote anazo 🙏

  • @neywinnie9404
    @neywinnie9404 3 года назад +6

    Ahsante sana baba, nashukuru anazosifa zote ulizosema naomba Mungu amsaidie asibadilike nampenda sana

  • @successfuldoc
    @successfuldoc 4 года назад +11

    Amen! Nimejifunza kitu ubarikiwe mtumishi

  • @rosemarymsafiri2340
    @rosemarymsafiri2340 3 года назад +6

    Asante San mung Wang ye ana sifa zte hzo mung tusaidie tufkie malengo yetu🙏🤗

  • @princesschamgenzi6328
    @princesschamgenzi6328 3 года назад +5

    Hubby thanks for being mine.nashukuru Mungu sana sifa zote unazo.. asantee tutor

  • @tatuhongeranurushaus485
    @tatuhongeranurushaus485 3 года назад +7

    Asante mungu mchumba angu anazo hizi sifa zooote 💪💪💪💪💪💪👌👌👌👌👌👌👌👌👌🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😥😥😥😥😥

  • @rosepeter246
    @rosepeter246 3 года назад +8

    Ahsante MUNGU msaidie mchumba wangu asibadilike.

    • @NeemaBajuta
      @NeemaBajuta Год назад

      Mungu naomba unisaidie me na mchumba wng tusaidie tufike malengo

  • @aishamwinyi5048
    @aishamwinyi5048 3 года назад +8

    Asante sana kwa kutufunza kwa ponti hiz wallah ndoa yangu kwa uwezo mungu ipo njian Allah atufanyie wepes 🙏 yaan mpenz wang anazo zote izo sifa nashukur sana sana sana

  • @ZaiSalale
    @ZaiSalale Год назад +1

    Asante baba mchungaji. Kipindi kisiishie hapa .mora akujaze nguvu .

  • @jackmassawe7065
    @jackmassawe7065 3 года назад +30

    Hajui hata kama Nina familia au hapana, Mungu nisaidie na mimi😭 nipate mtu sahihi🙏

    • @sharefazngepar8646
      @sharefazngepar8646 2 года назад +1

      Jack usiniuwe Mbavu zangu mie tupo wengi my🤣🤣

  • @michaelsamsoni8147
    @michaelsamsoni8147 Год назад +1

    Asantee snaa nimepataa kwasasahivi mtu anae vigezo vingi hivoo asantee snaa

  • @twaybachellah914
    @twaybachellah914 3 года назад +13

    Asante sana baba.. Wangu yote anayo wallah Mungu atuongoze❤️🙏

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 3 месяца назад +1

    Wangu sifa zote anazo mungu tusaidie tufike tunapo taka kufika 💍❤🙏🏼 asante Sana nimejifunza ❤

  • @ratiphafrolian6284
    @ratiphafrolian6284 3 года назад +3

    Asantee baba kwa ujumbe mzuri mungu atendee kwetuu.. Ubalikiwe 🙏🏻🙏🏻

  • @rosemichael7287
    @rosemichael7287 3 года назад +10

    🙏 tunabarikiwa kwa ufunuo wako... maana mambo yote ni kweli ila mioyo ina tukosea sometimes kwa kusiko sahihi hangali tunajua ... Mungu atupe Nguvu ya kusikia na kutendea kazi.

  • @wiliammulokozi1461
    @wiliammulokozi1461 3 года назад +13

    My name: careen nipo in relationship Jerry.kwa kweli nimelipenda sana somo lako na nimeangalia dalili zote 10 daaaa!nimeamini kuwa ninapendwa kweli kweli..Omg thank you sir god of everything about my relationship... Mungu awape mafundisho mengine tupate kutambua tupo upande gan

  • @editadaffi8706
    @editadaffi8706 3 года назад +4

    Amina 🙏 ubarikiwe Sana Baba Kuna vitu nimejifunza

  • @winfridacasmir9483
    @winfridacasmir9483 3 года назад +3

    Amen🙏🙏Asante kwa somo.
    sijaona hata Moja, Mungu atusaidie

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 3 года назад +2

    Mungu akubariki mtumishi. Maana neno la Mungu linagusa uharisia wa maisha ya kila siku. Bwana Yesu tupe kushinda.Amina

  • @alinedushimirimana-ei7jh
    @alinedushimirimana-ei7jh 5 месяцев назад

    Asant san Mtumish wa Mungu nimeelew san Mungu akufunguliye milang mingi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @johnanthon601
    @johnanthon601 3 года назад +3

    Asante babaangu mungu akubark umenizibua masikio asante

  • @geehans8765
    @geehans8765 4 года назад +13

    Amen daddy ...🙏🏽 Mungu aendelee kukuweka Kwa ajili yetu🙌🏽

    • @tinajulya6876
      @tinajulya6876 3 года назад

      Asanteee Dad Mungu akubark saana

  • @mariamupatric8437
    @mariamupatric8437 Год назад

    MUNGU nakuomba unipe macho yakiloho iliniweze kufaham mwanaume nilie nae anania ykunioa au ana taka stalehe ee MUNGU nisaidie 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @genevievpaul1946
    @genevievpaul1946 4 года назад +10

    Amen! Asante kwa somo zuri baba Mungu akubariki pia 🙏🏽

  • @gloryissaya4960
    @gloryissaya4960 3 года назад +2

    Asante sana mtumishi mungu akubariki na naiongoze vyema kwenye mahusiano yang

  • @magemushi5594
    @magemushi5594 3 года назад +3

    Nimeelewa sanaaaa akika nimetambua sasa nashukuru kwa jili yako mme wangu mtarajiwa. Barikiwa mtumishi

  • @PrincessOm3285
    @PrincessOm3285 Год назад

    Asante Mungu umeniona na Mimi barikiwa san Mtumishi 🙏🏿🙌🏿🤗

  • @madammesatalks6913
    @madammesatalks6913 3 года назад +4

    Ubarikiwe sana Mtumishi hakika nimepata kitu kikubwa sana Duh! Asante sana kwa somo zuri.

  • @NzeyimanaNadine-x5y
    @NzeyimanaNadine-x5y Год назад

    Mungu nimwema jajawahi ku mtupa mujawake hakika mungu ahendelee kuwa nasi kati kamapenzi yetu tuweze kutimiza ndotozetu

  • @khadijeyjumar6794
    @khadijeyjumar6794 3 года назад +6

    Mashallah🙏🏿mulemule
    ALLAH ajaalia itimiee👏🏾

  • @efugeniaathanas9726
    @efugeniaathanas9726 3 года назад

    Ushukuriwe mtumishi naamin yatanisaidia katk kuanza vyema mahusiano yangu,,, Mungu akutangulie katika utumishi wakoo

  • @MarthaDaniel-l5w
    @MarthaDaniel-l5w Месяц назад +1

    Asante umenifungua macho

  • @GetrudaGodfrey
    @GetrudaGodfrey Месяц назад +1

    Masomo yako ni mazuri mungu nipe mme mwema

  • @GraceMlenga
    @GraceMlenga 5 месяцев назад

    Mwenyezi mungu nami niangalie kwa jicho lako ili awe na vigezo hivyo

  • @agneskainga143
    @agneskainga143 Год назад +1

    Mungu nikiskiza ibada unibariki na mwanaume sahihi Kwa maisha yangu 🙏

  • @jescahmunyendo5699
    @jescahmunyendo5699 Год назад +1

    Mungu nisaindie nipate mume sahii

  • @gladysilavuha8501
    @gladysilavuha8501 3 года назад +15

    Thank you Dad 🙏🙏🙏 you have taught me alot of signs which I couldn't know,be blessed,

    • @estherkimai9788
      @estherkimai9788 3 года назад

      Asantee kwa maneno mazuri mungu akusaidie

  • @rechonuru880
    @rechonuru880 3 года назад +3

    Asante kwa maarifa mazul baba angu mwenyez mungu amfamyie wepes mume wangu mtarajiwa

  • @marymyonga3808
    @marymyonga3808 3 года назад +24

    Ohoo.my God naiona ndoa yangu kwa karibu sana 😂😂

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 Год назад

    Mungu akubariki kwa kutufundisha tuliokosea tufanyaje

  • @HawaAkimana-pc3xc
    @HawaAkimana-pc3xc Месяц назад

    Swadaqta upo sahihi kwakweli ❤❤

  • @lenjakesaile45
    @lenjakesaile45 3 года назад +18

    Hilo La kukutambulixha kwa ndgu au rafkii inategemea unweza tambulixhwa na axkuoe tu wnaume hpna

  • @shazyrahim2429
    @shazyrahim2429 3 года назад

    Asante baba niombee namm Sina ilanaamini mungu atanipa sahihi ubalikiwe baba

  • @lovehamis1332
    @lovehamis1332 2 года назад

    Asante Sana jmni ,niliyekuwa naye zamni alikuwaa Hana sifa Ila niliyenaye anasifa zote

  • @judithfrancis-n6n
    @judithfrancis-n6n 6 месяцев назад +1

    Mungu nisaidie na Mimi nimpate wangu aliye sahihi kwa damu ya Yesu

  • @janeflorencesajjabi1545
    @janeflorencesajjabi1545 Год назад

    MUNGU Akulinde na Kukutunza Man Of GOD.

  • @asmahtamla4749
    @asmahtamla4749 Год назад

    Asante Sana Kwa ushauri wako mzuri, ubarikiwe

  • @nelraphy8637
    @nelraphy8637 Год назад

    Naamini mwenye sifa hizi zote, anakuja..kwa mapenz ya mungu

  • @aishamwinyi7820
    @aishamwinyi7820 Год назад

    Daaaha hivi viashirio vinanipa matumaini mana bhana wangu viashirio vyote anavyo wallah ila ndoa ndio tatizo mpk nimefika kukata tamaa ila hivi viashirio vimenipa faraja na moyo wa kuzidi kumpenda 🙏

  • @desderiafrancis1404
    @desderiafrancis1404 4 года назад +9

    Daaaaaah that's true Oooh God make me strong I love this man of God

    • @merryjakobo3392
      @merryjakobo3392 3 года назад

      Day ni kwelii

    • @elizabetevans9268
      @elizabetevans9268 3 года назад

      Dady boy frendy wngu anataka mtt kwanza cjui kwann zote yko pour lkni yy mtt tu kwanza

  • @EstaEdwin-q4r
    @EstaEdwin-q4r Год назад

    Asante sana pastor kwa somo zuri

  • @azizaleontine4883
    @azizaleontine4883 2 года назад

    ❤❤Mungu akubariki wangu amevuka 9 . Tuna kwezi tu 4 leo iyi nimetabua uju kwanaume anani penda sana🙏.

  • @salomeezekiel734
    @salomeezekiel734 3 года назад

    Asante sana baba angu nina changamoto hiyo ya 9 mpenzi wangu anataka nimzalie mpaka anakuwa ananiambia sina uwezo wa kuzaa asante umenifundisha pia nimepata ujasir naomba uzidi kuwepo ili utufunze mengi 🙏🏼🙏🏼

  • @eliethkwesigabo1990
    @eliethkwesigabo1990 3 года назад +2

    Amen,,,Asante naiona ndoa inakuja

  • @hellenaidan4601
    @hellenaidan4601 3 года назад +2

    oh thanks GOD fransis assenga wangu anahizo sifa Mungu tusaidie tuoane

  • @greaternzilano8432
    @greaternzilano8432 3 года назад +1

    Asantee Sana kwa somo nzur, MUNGu azidi kukubariki.

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 3 года назад +4

    Asante sana jamani nime pata mume Mungu utusadiye

  • @HappynessCharles-m2w
    @HappynessCharles-m2w 10 месяцев назад

    Pia namuomba MUNGU anipatie mwanaume wa dizaini hii Barikiwa mtumishi

  • @sophierseyyd1162
    @sophierseyyd1162 3 года назад +4

    Yan hapo mawili tyu la 5 na la mwsho bhas lakin hayo mingine mungu atende miujiza

  • @hadijamuhunzi3779
    @hadijamuhunzi3779 3 года назад +25

    😂😂😂mwanaume wangu apo hana ata mojaa..jah bless me

    • @aishamwinyi5048
      @aishamwinyi5048 3 года назад

      Hahahahaha acha ujinga dear

    • @faudhiahaji6757
      @faudhiahaji6757 3 года назад

      😂😂😂😂😂

    • @aishamwinyi5048
      @aishamwinyi5048 3 года назад

      Umenifurahisha my dear

    • @hadijamuhunzi3779
      @hadijamuhunzi3779 3 года назад

      @@aishamwinyi5048 😂😂😂unasubir itatajwa ata moja lakn hola na miaka sasa inakata mko pamoja nhc icho kilio ktakua ch mbwa

    • @aishamwinyi5048
      @aishamwinyi5048 3 года назад +1

      @@hadijamuhunzi3779 hahahhahahaha jaman niombee dua dear usiniambie hiv😭

  • @reysymon7160
    @reysymon7160 3 года назад

    Asantee pastor umenena mambo mhimhu Sana kwa muelewa atachanganua

  • @nyawiranyaga9614
    @nyawiranyaga9614 Год назад +1

    Barikiwa sana mtumishi. Nashukuru sana ever since I bumped into your sermon; 'Give me this mountain'...I've been following and learning alot.
    Nashukuru Mungu kwa anjili yako.
    More grace and lots of love from🇰🇪

  • @EsterBilia
    @EsterBilia 5 месяцев назад

    Barikiwa Sana kwa mafundisho mazur

  • @diffa1245
    @diffa1245 3 года назад

    Asante san pp mungu akumbari san iyonikweri mimi nivyote🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @halimasuleiman5460
    @halimasuleiman5460 3 года назад +2

    Kwel kbsa , nimepnda sna maan unaongea point muhm ambz tyr nishazion 💯💯

  • @dorcasasia2819
    @dorcasasia2819 Год назад

    Eee mtumishi umesema kweli hapo umegonga ndipo uamuzi ni mtu mwenyewe Kuna uzima mauti chagua uzima barikiwa sana ,hiyo ni kali sana

  • @gloryjoram3583
    @gloryjoram3583 3 месяца назад

    No3✅🙏4✅🙏5✅🙏6✅🙏8✅🙏9✅🙏10✅🙏asante mume wangu🥰nakupenda sana nitazidi kujitunza kwaajili yako🙏

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 3 года назад +3

    Ahsnte mngu naomba dua siku za usoni nakuona ndoa yngu insha'Allah

  • @gaudensiajoseph9364
    @gaudensiajoseph9364 3 года назад +5

    Somo zuri❤.Mungu akutunze mtumishi wa Mungu

  • @neemahealthpuritytz8709
    @neemahealthpuritytz8709 3 года назад +7

    Ooh thank you very Much for this great lesson, thy blessings be into you my mentor

  • @mkamatabonwa1195
    @mkamatabonwa1195 3 года назад +1

    Thank You pasta am learn something unaviatabu vya kusoma na unapatukana wap

  • @joyobungu-rm7xf
    @joyobungu-rm7xf 5 месяцев назад

    Mungu nami pia nipe mwanaume wa maisha yangu milele

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 3 года назад +49

    Sina mtu ila tuu nimejifunza kitu washa nivumilie Naamini nitampata tuu. Yesu nisaidie.

    • @heriethndunguru865
      @heriethndunguru865 2 года назад +1

      Amen ....daah nami sina mtu Mumgu wa mbinguni atusaidie

    • @lovenesskalenge2683
      @lovenesskalenge2683 2 года назад

      @@heriethndunguru865 Amen Maana yeye umuona Kila mtu

    • @heriethndunguru865
      @heriethndunguru865 2 года назад +1

      @@lovenesskalenge2683 ni kweli kbx

    • @DianaFilbert-s2e
      @DianaFilbert-s2e 14 дней назад

      Kumbe nimejifunza kitu ubarikiwe mutumishi nip kwenywe mausiano kumbe uyu muchumba yup siliasi na mimi mak ulivoviongea baadhi anafanya mungu azid kumutia nguvu muchumb wangu asant mungu kwa kunijb maomb yangu

  • @maggietotty9881
    @maggietotty9881 3 года назад

    Duh leo umenibamba leo kbsaaa,mungu abariki mahuciano yangu

  • @venerandangole2934
    @venerandangole2934 2 года назад

    Asante,nimelipenda darasa lako

  • @ervinmwesigwa7648
    @ervinmwesigwa7648 2 года назад

    Asante Mtumishi Wa Mungu,Yesu akubariki

  • @JanethIlunda
    @JanethIlunda 9 месяцев назад

    Jaman namshukuru mungu amekosa mojaa tu❤❤

  • @frolavitalis8215
    @frolavitalis8215 3 года назад

    Asante nimejfunza ving Mung nipe ujasili kwenye hili

  • @aminaramy7035
    @aminaramy7035 3 года назад +14

    Acha nilie kilio cha mbwa haya maumivu yasikieni tu ila naimani Mungu anayaona machozi yangu Ameeen atajibu tu.

  • @ninettehappynessninettehap7007
    @ninettehappynessninettehap7007 2 года назад +4

    Mungu wangu 🙏🙏namuona wangu kila mala ananiongeleya akiona wengine wako bawir anaskia wivu anatamania kuawa mipango wake ananambia pia familia yake wanatamani wanione asante mwalimu🙏🙏

  • @lululifa9908
    @lululifa9908 4 года назад +7

    Amen , mtumishi wa Mungu somo zuri sana

  • @victoriatilona1026
    @victoriatilona1026 2 года назад

    Najifunza kila siku, Mungu akubariki sana

  • @justinafyondi8455
    @justinafyondi8455 3 года назад +2

    ##Dah## nimejarb kupitia coment,, wanawake weng 2na xhdaa!! Ila mung atuximamie make,, Ni hatar..

    • @magrethmassawe5911
      @magrethmassawe5911 3 года назад

      Umeonaa eeh alf wengi wanajikosha wangu anazoo sifa zotee wakt wengine wanamegwaa na kuachwaa wanadhan ndoaa ni matikiti majii tu yanaenda nunuliwa sokon

  • @kanezaadidja6038
    @kanezaadidja6038 2 года назад

    Kbsaaaa upo sahihi ubarikiwe sana