Ahsante Mungu kwa kunipa chaguo sahihi Mungu mtunze Mme baba2 wangu mpe maisha marfu zaidi asibadirike tutuze adi wajukuu❤️ uko kote yeye hayupo mapungufu yake naweza kuvumilia🙏
Shukran sana doctor kwa mafundsho lakn pia umenipa nafasi ya kujua kuwa wanawake ndo wanateseka sana na mapenzi kuliko wanaume...ina maana ndo wenye mapenzi ya dhati kwenye mahusiano
@@naomikatharinaandrewmnkai6760 na huo ujambaz anao ufanya mwanamke yeyote yule bas jua ni kwasbb ya maumiv ya mapenzi, mapenzi ni fumbo kubwa sana ambalo halina mjanja.
sio wanawake tu ata sisi wanaume tunateseka mfano mm mke wangu yeye ana dada ake wa iyali amechangia kumuacha mke wangu japo nampenda inauma sana kupetezeana malengo dar
Asante sana Dr. Nimeamua kupiga hatua nyingine maana uliyoyasema yote almost mume wangu ndo anayoyafanya. Nimekuwa nikiogopa kuwalea wanangu peke angu au kuwaacha akawaletea mama mwingine akawanyanyasa ila naona mwenzangu hawazi juu ya hilo. Hajali kuhusu uwepo wangu,ananitamkia maneno mazito na anapenda sana wanawake na ndugu zake. Kila siku ndo naona yanazidi kwa sasa nimevaa ujasiri na kumove on.
Yes nilikuwa na ndoa km hii nilitaman dunia inihame but God was with me.nilimsomesha pia ili kujenga maisha kmbe mwanamke hasomeshwi niliishia kuchanganyikiwa yote hayoo ni100%true.udongo na chuma never haviwez ungana
So perfect DR.MOST of us yanii tunaish na watu wenye imani tofautii uku tukifalijiana aaah tutaona wengi wetu tunaishii umu ilaa kipind cha uchumba hatutaona shida shida itakuja kipind cha ndoaa apoo umenifumbua ...tuishi kwa akili
Mm nilikuwa na mchumba wa Iman tofaut alikuwa ananipenda lkn nikamwacha MN roho wa Mungu alinisuta kwel nkaon itakuwa changamoto kwenye ndoa na familia
Asante kwa ujumbe huu niliyapitia yote, maana Yale alinitendea ni machungu mno,Nikiya kumbuka machozi huwa yanadondoka, lakini nilimwacha aende, naami Mungu atanibariki na mume bora
Dah!!;Yaani wa kwangu alikua anasikiliza wazazi kiasi hata mzigo hupewi kama mamake au baba au ndugu yake yoyote anaumwa. Mpka mama aseme kumbaf sana. Mungu leo hii kanipa tulizo glory to God
1.Ukilazimsha sana akupende akuamini 2.Tofauti kubwa za ki imani 3.Tofauti kubwa za misimamo na misingi ya maisha 4.Ukiona ana tabia mbaya zilizo sugu 5.Ukiona anaongozwa na mawazoya ndugu,wazaz am marafik
Umejifundisha sana.nilikuw na mpenz wang mm nilikuwa nafanya kazi ya bar kaunta.tulipendana san na alikuwa ananisaidia kweny mambo yangu mungu akanijaria nikafungua ofisi angu bado tukawa pamoja lakn nilipata matatizo ya kifamilia hapo ndo akaanza kubadilika.ck nilimfumania na mwanamke mwingine alinipiga lkn akaniomba msamaha lkn baada ya ck tatu nikamfumania tena.yan toka hapo tukawa watu wakugombana san yan dharau,matusi akawa bize na mambo yake mara anifukuze kwake mara anirudishe.yan kwa kweli ikafikia mda akapata mwanamke anafanya nae kaz moja nikamuuliza mbona sikuelew akasema chukua nguo zako nenda.ila kupitia ujumbe wako huu nimekuwa imara japo nasuasua kibiashara ila nimebaki huru.yana watu waliofanikiwa kimaisha sio wa kushindana nao tuwaache waende jaman
Mimi niko tofauti na haya mnayoyasema ni mafundisho mazuri...😢 MAANDISHO YANASEMA:USIMWACHE MWENZIO KWA KILA SABABU ILA KWASABABU TU YA UASHERATI UNARUHUSIWA KUCHAGUA KUMWACHA ...NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE
Ubarikiwe sana kaka Hili somo limekuwa baraka kwangu maana katika uliyoongea haujaacha hata moja ktk yanayojiri kwenye maisha tuliyonayo. Endelea kufungua ubongo mgando nyingine ambazo bado zinaweka tumaini kwenye mahusiano kama hayo. Hata kama ni ndoa hakuna kutoka kimaisha hapo na amani utaisikia kwa watu wengine tu kwako itabaki historia.
Mimi mme wangu alikuwa na tabia karibu zote na hizo nilitumia nguvu kubwa kumshauri na kumrekebisha lkn nilishindwa nikamwacha aende. Nalea mwenyewe. Nae anaishi na mama yake. Halafu jamii yote inayowazunguka inawashangaa mama na mtoto wake. Yaani mtoto wa kiume kukubali kuishi kwa mama yake wakati ana familia yake na mama kukubali kuishi na mtoto wake wa kiume ambae ameacha familia. Cha ajabu yeye na mama yake na familia kwa ujumla wala hawaoni kama ni tatizo. Najuta sana kuolewa na wrong person.
Dada mpendwa umefanya jambo jema tupo wengi. Mimi niliondoka bila sent nina Watoto wanne sasa ni wakubwa na mjukuu. Nina furaha tele Mungu alinipa maradufu. Kuwa na imani Mungu atakupatia faraja. Yaliyopita yamepita
Shukran sana kw funzo zuri me yote hayo yalinitokea nikawa nalia kila siku mwisho wa siku kanambia nenda kasalime nyumban kwenu niliivyoondoka tu kanambia skutak tena kanitumia talaka kwenye gari niliumia sana ila kwsasa naona nimepunguza maumivu japo mapezi yanauma😭😭😭
Lack of maturity Lack of responsive Forcing love Forcing honesty Forcing love Forcing honesty Lack of maturity Lack or responsive Relyin on someone decision Lack of vision😢
Mimi nilimuacha aende majukumu yote yangu. Kwenye swala la Imani kwangu ni muhimu sana . Hili somo langu nilimuacha aende tabia yote alikuwa nayo Dr barikiwa sana
Wanaume,wanaume,wanaume tena mara tatu utatu mtakatifu.Mlikuwa mnategemea adhabu ni mpaka ukifa,siku hizi ni hapa hapa duniani cha moto mtakiona mnavyotufanyia familia mama na watoto.
Wanawake mnapenda kutaka kuwatenga waume na familia yao unakuta unaanza kuwabagua bagua mara huyu simpendi wifi mara mama mkwe hapo mambo hayawezi kwenda
Kweli kabisa Mi nimekuerewa Mi nimekuwa na Mwanaume miaka 7 Imani tofauti na alikuwa hataki kuniacha na Mimi sitaki kubadili dini basi ila kwa Sasa nimemwambia atafute wa dini moja aowe kwa Sasa kaowa Nina Amani
Wengine hatukuwa na elimu hii mwanzo,tuliishia kupata mashauri ya wanaotuzunguka au pengine tuliamua kwa upeo wetu TU kwa kukosa watu tuliowaamini kutushauri na sasa tumejikuta tayari tupo kwenye ndoa za namna hii ni vilio ni mateso hakuna upendo kabisa,je ni vibaya kuamua kuondoka? Hata kama ni ndoa ya kikristo?
Inauma sana, tokea mwanzo wa ndoa yangu mpaka sasa sijawahi kuijua furaha, nilikua na changamoto ya kiafya ndo nimefanikiwa mtoto mda huu niko kwetu misimamo na misingi ya maisha hayupo na hataki kuelewa anawasikiliza ndugu zake kuliko mimi, dharau zimezidi😢
Hii clip imezid mwaka lakin ni ujumbe wangu wa Leo ..thank you sir
Duh! Kwakweli kuolewa sio kukurupuka maana sio poa Mungu atusaidie2 jaman😢😢
Mmh!!!! yaani mume niliyenae anatabia karibia zote, Yesu nisaidie🙏
🤣🤣🤣🤣nacheka kama mazuri_pole dear
😂😂😂😂😂
Pole my
Unasubiri nini hapo au mpa jua lizame lote
Na wangu pia
Haya mafundisho kuna majuto yanayo endelea katika maisha ya watu kila siku.
🤪🤣
Nikiwemo mimi😥😥😥😥
Asante San pr chriss Imani Ina michango mkubwa San kwenye ndoa. Pya utofaut wa Imani unaweza kuleta madhara kwenye familia yenu
WHAAAOOOO GREEEEEAAAAT❤❤❤❤
DR. CHRIS KASEMA MWACHE AENDE
DO YOU GET A POINT LET HIM/ HER GOOOO
THANK YOU DR. CHRIS NMEFURAHI SANA 💪💪💪💪
Walioona hii video 2024 tujuane 🎉😊
❤
❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 leo mie date 3 sept
@@beatricemwaiwishi6833 haujapitwa na mavitu vitu 😁
Among
Ahsante Mungu kwa kunipa chaguo sahihi Mungu mtunze Mme baba2 wangu mpe maisha marfu zaidi asibadirike tutuze adi wajukuu❤️ uko kote yeye hayupo mapungufu yake naweza kuvumilia🙏
Vina mdaa basi
@@mwanaherhussani7425😂😂😂acha roho mbaya
M pia kipenzi changu
@@mwanaherhussani7425😂😂😂😂
Barikiweni sana
Bora niliupa moyo nafasi ya kumuacha aende 🙌 Asante Dr.
Hey Diana
@@stevenomary2933 Hi Steve
Mambo
Nimekusikiliza sana your the best nilikua nawasikiliza wazungu sana wewe ndio Mtanzania imara.
Shukran sana doctor kwa mafundsho lakn pia umenipa nafasi ya kujua kuwa wanawake ndo wanateseka sana na mapenzi kuliko wanaume...ina maana ndo wenye mapenzi ya dhati kwenye mahusiano
Ndio
Asilimia kubwa japo majambazi wapo
@@naomikatharinaandrewmnkai6760 na huo ujambaz anao ufanya mwanamke yeyote yule bas jua ni kwasbb ya maumiv ya mapenzi, mapenzi ni fumbo kubwa sana ambalo halina mjanja.
sio wanawake tu ata sisi wanaume tunateseka mfano mm mke wangu yeye ana dada ake wa iyali amechangia kumuacha mke wangu japo nampenda inauma sana kupetezeana malengo dar
Asilimia 80
Asante sana Dr. Nimeamua kupiga hatua nyingine maana uliyoyasema yote almost mume wangu ndo anayoyafanya. Nimekuwa nikiogopa kuwalea wanangu peke angu au kuwaacha akawaletea mama mwingine akawanyanyasa ila naona mwenzangu hawazi juu ya hilo. Hajali kuhusu uwepo wangu,ananitamkia maneno mazito na anapenda sana wanawake na ndugu zake. Kila siku ndo naona yanazidi kwa sasa nimevaa ujasiri na kumove on.
Mbona wewe kama umenizungumzia mimi🥺🥺
Pole my wanawake tunapitia magumu sana wakati mwingine
Daaah hata mm ntaweza Jmni , umegusa moyo wangu
@@leilajohn4600 hata mm ameniongelea mule mule.😪
Hongera sana Dada,Move on Mungu amekuandalia mahali pazuri sana.
Kazi nzuri Chris nimelazimisha penzi myaka kumi na inne hai kuzaa tunda hata Moja nikajitowa.
Pole
Pole
Asante Kwa kunifungua kweli Bora kumuacha sahz aende kuliko kulia maisha yangu yote🙏🙏🙏🙏
Asante doctor Acha niondoke nimekua nikihisi kua mahusiano yetu hayatofika popote kwasababu Imani zetu ni tofauti
Docta mm Nina mchumba wangu ambaye anatabia namba NNE
Yaaan Kama mm Tu dini tumepishn tukianz kubishan uwiiiiii
@@priyabrown2088 Hapo nikutafuta2 njia mapema ya kuondoka
Umeokoa mahusiano ya wengi Mungu akubariki
Yes nilikuwa na ndoa km hii nilitaman dunia inihame but God was with me.nilimsomesha pia ili kujenga maisha kmbe mwanamke hasomeshwi niliishia kuchanganyikiwa yote hayoo ni100%true.udongo na chuma never haviwez ungana
Ubarikiwe sana dc mwenyezi mungu azidi kukulinda na wabaya
hongera sana nashuru kwa mafundisho Yako.
Asante sana bro mimi niko kwa ndoa na ninayapitia yote ulio sema
Asante ni kwel hayo unayosema wangu alikuwa nazo hizo tabiya na nimeachana nae amenishinda
Asante san Docter Mung akuzidishie Barak tele na kujuw vit vong zaid 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮tunakupend
So perfect DR.MOST of us yanii tunaish na watu wenye imani tofautii uku tukifalijiana aaah tutaona wengi wetu tunaishii umu ilaa kipind cha uchumba hatutaona shida shida itakuja kipind cha ndoaa apoo umenifumbua ...tuishi kwa akili
Mimi nimepona mungu aliniandalia hilisomo be blessed my brother
Ishi milele ww baba!🙏 Umekua daktar know wangu asante saaana 🙏🙏🙏🙏
Asante sana Dr kwa mafundisho mazur ubarikiwe
Asante sana Dr mimi nilimuacha aende zake kwa sasa na amani ya moyo
Tuko wengi ndugu yangu 🙏🙏
Nimelia sana nilimpenda ila nimeshindwa mungu anipe mumemwema🙏🙏
Sawa bint Bwana atakupa tu ila usiache kumwomba
Mungu akubariki sana baba unatuponya,unatusaidia saaana saana baba.♥
Kaka unaakili sana sana Mungu akuweke uvushe wengi ninakuombea
Maukiiii😭😭😭😭😭😭😭 nimelia sanaaaa nimemuacha ila nimepoteza muda sanaaaa
Pole dear same to me here napanga kumwacha
@@PrettySkyler-m7t Pole Sana
Asante sana kunifumbua macho kwasababu nimeyapitia mda so mrefu lakini kama mungu tu na shaangaa nakutana na hili somo
Wooow good teaching.The guy that I loved left me and trust me vile alienda God opened was for me nikapata mtu ananipenda genuinely 🙏
Nina swali
Asante sana wacha nimuache aende dah nimeweza sana kumvumilia uyu😢😢 moyo umechoka
Mm nilikuwa na mchumba wa Iman tofaut alikuwa ananipenda lkn nikamwacha MN roho wa Mungu alinisuta kwel nkaon itakuwa changamoto kwenye ndoa na familia
Fact 👍 Dr chris mauki wew ni zaid ya baraka kwangu kila cku lazima nipitie kwenye page yako
Asante kwa ujumbe huu niliyapitia yote, maana Yale alinitendea ni machungu mno,Nikiya kumbuka machozi huwa yanadondoka, lakini nilimwacha aende, naami Mungu atanibariki na mume bora
Amen
Ukona ujube mzuri sana mungu akubariki
😭😭😭😭💔💔💔nime mwacha aendee sababu ninge kuwa tu naji umiza moyo wangu.... Asante kaka mungu aku bariki
Unaendeleaje au ulimrudia??
Dah!!;Yaani wa kwangu alikua anasikiliza wazazi kiasi hata mzigo hupewi kama mamake au baba au ndugu yake yoyote anaumwa. Mpka mama aseme kumbaf sana. Mungu leo hii kanipa tulizo glory to God
Dr Mauki Much Respect To You Unatusaidia Sana Kwel Kaka MUNGU Ukusaidie Na Akulinde
Mungu wangu kazi ipo amina sana🙏
Bora ulizaliwa Mungu akubariki Sana sana.... Good job🙏🙏
Asante mungu kwakunikutanisha na hii
Hapa nmeongelewa mimi kabsa nitafanya maamuzi🙏🏽
Mtumishi barikiwa ata mm mme anasujudu sana ndugu,atimae kakimbia mji kisa ndugu
1.Ukilazimsha sana akupende akuamini
2.Tofauti kubwa za ki imani
3.Tofauti kubwa za misimamo na misingi ya maisha
4.Ukiona ana tabia mbaya zilizo sugu
5.Ukiona anaongozwa na mawazoya ndugu,wazaz am marafik
Awaz chochote kuhus kesho
Umejifundisha sana.nilikuw na mpenz wang mm nilikuwa nafanya kazi ya bar kaunta.tulipendana san na alikuwa ananisaidia kweny mambo yangu mungu akanijaria nikafungua ofisi angu bado tukawa pamoja lakn nilipata matatizo ya kifamilia hapo ndo akaanza kubadilika.ck nilimfumania na mwanamke mwingine alinipiga lkn akaniomba msamaha lkn baada ya ck tatu nikamfumania tena.yan toka hapo tukawa watu wakugombana san yan dharau,matusi akawa bize na mambo yake mara anifukuze kwake mara anirudishe.yan kwa kweli ikafikia mda akapata mwanamke anafanya nae kaz moja nikamuuliza mbona sikuelew akasema chukua nguo zako nenda.ila kupitia ujumbe wako huu nimekuwa imara japo nasuasua kibiashara ila nimebaki huru.yana watu waliofanikiwa kimaisha sio wa kushindana nao tuwaache waende jaman
Ahsante Kaka kw Mafundishoazuri kwa kweli wanawake wengi ndio tunateseka, sifa na utukufu tumrudishie Mungu kwa kukuleta wewe hapa duniani.
Amina
wanaume wengine hawapendeki
Asante sana,, umefanya note machozi,,mume wangu alikua na hizi tabia zote,,ila nlimuacha aende
Yaani umenigusa, nilimuacha kwa Kwani alikuwa na sababu zote hizo. Now I thank God I get the good one
Mshukuru Mungu na umuombee pia asije kuwa kama aliyepita mamy
❤
Mimi niko tofauti na haya mnayoyasema ni mafundisho mazuri...😢
MAANDISHO YANASEMA:USIMWACHE MWENZIO KWA KILA SABABU ILA KWASABABU TU YA UASHERATI UNARUHUSIWA KUCHAGUA KUMWACHA ...NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE
Maandiko samahani
Mama usisahau kuwa tunaishi zama za mwisho na maandiko yanasema kutakua nyakati za hatari kwani kutatokea waalimu wengi makundi makund
Asante sana nimejifunza kitu 😢😢 yaani Kama umeniongelea mimi umu😢
My God, My Lord this subject touched me🙆♀😳
Thank you for advice dear Mr bro❤yes ni wakati wangufumbua macho na tutasame mbele😢🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana kaka Hili somo limekuwa baraka kwangu maana katika uliyoongea haujaacha hata moja ktk yanayojiri kwenye maisha tuliyonayo. Endelea kufungua ubongo mgando nyingine ambazo bado zinaweka tumaini kwenye mahusiano kama hayo. Hata kama ni ndoa hakuna kutoka kimaisha hapo na amani utaisikia kwa watu wengine tu kwako itabaki historia.
Asante acha niendelee kumuchunguza mchumba wangu coz bdo namuona yuko Saw Kwangu
🙏🏾🙏🏾 It’s Hurts lkn hakuna jinsi namuacha aende 🙏🏾🙏🏾
Barikiwa kaka nimekuelw vyema 🙏
Haha pole sijacheka kwa ubaya
😅mvumilivu hula mbivu
Hapo kwenye ndg ss ndio mtihan asee ,mungu akubark
Just bumped into this video...New follower from kenya
Napenda sana mafundisho yako,wala sitaki kukosa hata sehem yafundisho yako.shukran kwakutupatiya mafundisho haya,kwani yanatukaza moyo tena zaidi
I need counseling Dr Chris,,please nisaindie
umeshindwa kusoma qur-an upate mafundisho unasema hayo ndio mafundisho mungu atusemahe huyu kijana anatafuta hela elimu thabiti ipo kwenye Qur-an
Dah brother umenifanya nilie Yani mke wangu Ana tabia zote ulizozita Asante bro ubarikiwe
Mimi mme wangu alikuwa na tabia karibu zote na hizo nilitumia nguvu kubwa kumshauri na kumrekebisha lkn nilishindwa nikamwacha aende. Nalea mwenyewe. Nae anaishi na mama yake. Halafu jamii yote inayowazunguka inawashangaa mama na mtoto wake. Yaani mtoto wa kiume kukubali kuishi kwa mama yake wakati ana familia yake na mama kukubali kuishi na mtoto wake wa kiume ambae ameacha familia. Cha ajabu yeye na mama yake na familia kwa ujumla wala hawaoni kama ni tatizo. Najuta sana kuolewa na wrong person.
Pole sana
Duu pole madame asiaswedia8945
Pole sana Strong Queen
Dada mpendwa umefanya jambo jema tupo wengi. Mimi niliondoka bila sent nina Watoto wanne sasa ni wakubwa na mjukuu. Nina furaha tele Mungu alinipa maradufu. Kuwa na imani Mungu atakupatia faraja. Yaliyopita yamepita
Mpnz yalinikuta kama yako jamani tupeane pole tu. Pole my.
Mungu atakulipa kher Dr.
Nzuri sana umebarikiwa na MUNGU BABA
Kaka shukran ❤❤ Ujaliwe kheir
Mungu akupe viwango vya Doctor unatupa dozi kisawa sawa jamani mindoa yangu kwakweli inapumulia mashine nimeichoka
😅😅😅
Mungu Akusimamie❤❤❤
Asante sana doctor..mm nmepitia machungu sana,,,adi nkikubuka machozi yanitoka..pesa nlikua nnapata ananisaidia, lkn nkakosa Amani kabsa, kla siku nkunichapa, mapenzi ya lazma, matuz.,.yani nmepitia magumu sana..me nlkosa kuvumilia, nanikaeda,. asante sana...
Shukran sana kw funzo zuri me yote hayo yalinitokea nikawa nalia kila siku mwisho wa siku kanambia nenda kasalime nyumban kwenu niliivyoondoka tu kanambia skutak tena kanitumia talaka kwenye gari niliumia sana ila kwsasa naona nimepunguza maumivu japo mapezi yanauma😭😭😭
Pole Sana warda ni kweli mapenzi yanauma
Kama vile nakufaham
Polee
Doctor umesema kweli kabisa
Acha mungu ata mullaaan
Asante sana doctar mungu akubarik sana
Lack of maturity
Lack of responsive
Forcing love
Forcing honesty
Forcing love
Forcing honesty
Lack of maturity
Lack or responsive
Relyin on someone decision
Lack of vision😢
😂
Pole dear kwel watoto wa mama hawo Mara nyingi wanasumbuwa
Asante mungu niliyagundua haya mapema na akaniacha na mtoto afadhali single mather kuliko kuteseka maisha yako yote
Mume wangu anatabia ambazo mpaka mama mkwe anampogeza mwanae lakini maisha yangu yakawa ayana fura leo kaoa ameniacha na watoto wawilo
daah pole xn
Asante sana mwalimu
My story is different. The girl I wanted to marry rejected me, her mother rejected me, her grandmother rejected me, just because I am an orphan 😭😭😭😭😭
Oooooooh so sorry 😢😭
If you are a muslim ì can accept your proposal if not NO
Duuh pole sana Bro! So sorry Life shouldnt end there keep up utampata atakayekukubali!
Nimekuelewa saaana IMANI hiyo Mimi nilitolewa kama mbwa sababu ya IMANI. Sasa namuomba Yesu anipe wa kumaliza nae safari ya maisha.
Kisasi, michepuko, malipizi, mitabia mibayaaa hisiyorekenishika. MUACHE AENDEE
No 5imenigusa Ahsante barikiwa Sana Sana kweli niliondoka na nimeshukuru mpk Leo nipo vzr
Daah imenigusa sana me mpenz wang ni muislam af me ni mlristo tulikuwa tunatarajia kuoana sem din changamoto 😭😭😭😭
Duh kweli jaman nimejifunza Leo ahsante doctor
Asanteee kwa hili somo nimejiuliza kwann mm kisha nikakubali nimuache Aende
Asante saana najutia kuchelewa kuyajua haya
Mimi nilimuacha aende majukumu yote yangu. Kwenye swala la Imani kwangu ni muhimu sana . Hili somo langu nilimuacha aende tabia yote alikuwa nayo Dr barikiwa sana
Naomba unishauri kuhusu hali yangu maana najikuta natengwa kwenye mahusiano
Shukran saana na m/mungu akubariki
Mungu akuongezee miaka my brother,
Nataka msada mpenzi wangu anitaki sababu simuowi❤
Wanaume,wanaume,wanaume tena mara tatu utatu mtakatifu.Mlikuwa mnategemea adhabu ni mpaka ukifa,siku hizi ni hapa hapa duniani cha moto mtakiona mnavyotufanyia familia mama na watoto.
Sio wote bana, wapo wanaojielewa
Asante nimejifuza mengi 1:55 1:57
Thank Dr for the lesson...no 6 umemaliza kabisa 👏👏👏
Yoooooote yapo kwenye ndoa yangu nilikuwa nanyamaza tu kumbe inabdi nichanganye akiri ahsante sana chriss
Ukweli ndoa yangu ilivunjika kwa ajiki ya baba watoto wangu aliongozwa na ndukuze na wazazi hadi ikoporomoka😢😢
Wanawake mnapenda kutaka kuwatenga waume na familia yao unakuta unaanza kuwabagua bagua mara huyu simpendi wifi mara mama mkwe hapo mambo hayawezi kwenda
Kweli kabisa Mi nimekuerewa Mi nimekuwa na Mwanaume miaka 7 Imani tofauti na alikuwa hataki kuniacha na Mimi sitaki kubadili dini basi ila kwa Sasa nimemwambia atafute wa dini moja aowe kwa Sasa kaowa Nina Amani
Haya mafundisho ni Majuto kwenye maisha yangu
Pooole dear
pole sana
Hyo namba 4 inanitesa sana kwa kweli ,nafika stage akili yang sielewi .nashukuru kwa mafundisho haya kka ,Mungu akubariki sana
Asant sana Dr Chris hakika wewe unastahili kuitwa wa wote maana kilamtu anapata kinachomfaa be blessed 🙏🙏
Kuitwa baba wa wote☝️
Nilimpenda Sana Yule kiumbe lkn nilimuacha aende lkn nampenda Sana.
Nilimpenda Sana Yule kiumbe lkn nilimuacha aende lkn nampenda Sana.
@@aminamgema8917 unampendaje? Ambwene aliimba kwamba “ wakati ambapo waona tabia, kasoro na mapungufu, hapo ndipo upendo hupimwa…”
Umenitibu katika ilo,tabia 5 anazo ni moja tu ndio ipo tofauti na yeye na ameshaniumiza sana namuacha aende naamini wangu bado hatujakutana
Ni kweli kabisa kuna mambo muhimu sana yà kuzingati kwenye mahusino kama upendo ,heshima kujali kama hakuna haya muache aende zake
Asante doctor nilikuwa na mtu wenye tabia bàadhi ya hizo kiukweli ni ngumu kuvumilia nilimuacha habadiliki hata kidogo
Ubalikiwe
Be blessed!
Wengine hatukuwa na elimu hii mwanzo,tuliishia kupata mashauri ya wanaotuzunguka au pengine tuliamua kwa upeo wetu TU kwa kukosa watu tuliowaamini kutushauri na sasa tumejikuta tayari tupo kwenye ndoa za namna hii ni vilio ni mateso hakuna upendo kabisa,je ni vibaya kuamua kuondoka? Hata kama ni ndoa ya kikristo?
Umeongea ukweli doctor,barikiwa kwa huduma hii yakutupa elimu ya mahusiano.
Barikiwa sana Dr Najifunza ving kwako
Thanks for sharing this inspiring message.
Mm
Ubarikiwe sana somo limenifunulia kitu kwangu nashukuru sana
Inauma sana, tokea mwanzo wa ndoa yangu mpaka sasa sijawahi kuijua furaha, nilikua na changamoto ya kiafya ndo nimefanikiwa mtoto mda huu niko kwetu misimamo na misingi ya maisha hayupo na hataki kuelewa anawasikiliza ndugu zake kuliko mimi, dharau zimezidi😢
mmh upo wap sasa
uliolewa na mtoto
Uyo ni mm nafanya maisha yangu aishi kabisaa kwenye moyo wangu
Ubalikiwe sana kaka angu nimeyaona hayo yote na nilikuwa nampenda sana ila imefikia mda nikachoka na mimi nimemwacha aende dear x