Dr. Chris Mauki : Jinsi ya Kushughulikia Maumivi na Mateso Kwenye Mahusiano

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 8

  • @FainesKitinusa
    @FainesKitinusa 22 дня назад +1

    Haswaa nimepokea uponyaji Mungu aendelee kukutunza mtumishi wa Mungu

  • @Ruthnyamai-y6l
    @Ruthnyamai-y6l Месяц назад

    Asante mtumishi,umenisaidua sana 😢the right teaching at the right time to me🙏mungu wa mbinguni akubariki.

  • @EstherKaschana
    @EstherKaschana Месяц назад

    Mungu akubariki nikama wanisema mm vile napitia saah kwenye mahusiano yangu😢😢

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 25 дней назад

    ❤❤❤❤❤ Ubarikiwe

  • @marrygervas4618
    @marrygervas4618 Месяц назад +4

    Yaani kaka mauki nimepona kupitia wewe, na natumaini nitakuja kutoa ushuhuda kwako uko mbeleni, na kupitia MUNGU alie juu nitayashinda yote.

  • @hadidjaissa9154
    @hadidjaissa9154 Месяц назад

    🙏🙏🙏❤

  • @LeticiaShoka-me2wq
    @LeticiaShoka-me2wq 17 дней назад

    Nifanye Nini?

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 Месяц назад

    Natamani siku moja na mimi nipate nafasi ya kushiriki.