Asante Kwa hili somo nilitaka nikafungue biashara sehemu nyingine Asante Yesu ngoja nipambane na hapa nilipoanzisha Adi nifanikiwe in Jesus mighty name Ameeen
Hii kichwa kama ingekuwa tanaiyelewa kwa urahisi kama mimi ilivyonisaidi kuingia katika biashara,Nahisi Tanzania tusingekuwa na vijana wavivu wavivu, tatizo vijana wengi hasa tanzania hatuko aggresive katika kutafuta yale yanayosaidia kutengeneza maisha yetu,kufanikiwa katika maisha,SIKU INZI AKIACHA UJINGA ATATENGENEZA ASALI. ....By POSITIVE THINKER MASTER💪💪💪💪 MR MONEY MONEY.... YESU MOYONI AKILI KICHWANI PESA MFUKONI
Yani mpaka naona haibu mwenyewe Kwa hili somo,nimefungua bihashara mda wa miaka 5 sasa ,lakini nimeshindwa kufanikiwa sababu ya kuchagua njia mbili mara naenda kuajiriwa bihashara naweka mtu Anaya narudi Tena kukaa nilisikia ajira nzuri naenda da Hila mwaka huu nilisema imetosha nikaamua kusimamia katika bihashara naamini mungu atanisaidia
Bro Joel mungu aendelee kukuweka duniani ili tuendelee kupata dhahabu ya maneno yako mimi ni muislam lakini kwenye kupata elimu sibagui dini wala kabila!!
Ukifungua maduka mengi bado hujakosea kwa sababu bado upo kwwnye eneo la ujasirimiali. Kaka Joel anazungumzia unakuta mtu ni mfanya biashara badala ya kuwekez nguvu zake huko, unakuta tena anafanya kilimo wakati huo huo anataka kufuga kuku. Mtu huyo akichagua kimoja lazima atafike mbali
Nimeamua kuwajenga wanafunzi kuyajua masomo ya sayansi kwa vitendo zaidi. Maana hii ndio ngao inayowapa ujasiri wa kibunifu ktk kuanzisha ajira zao wenyewe. Nashukuru sana bro niko najifunza hapa
wapo wengi Sana hasa matajili waliofanikiwa vijana tuwe makini anakuta unapambana anakuja anakwambia njoo tufanye hiki ili wakufelisho shukurani brooo daaa harafu swala la maamuzi ishu Kama kujenga naogopa kujenga kunauwa mtaji broo lengo ni kuteneza maisha Bora na kubaki na mtaji broo
You are totally right Arthur kwa sababu Maandiko matakatifu yanasema hivi alimaye shamba lake kwa bidii atavuna chakula tele bali afuataye mambo ya upuuzi atapata umasikini wa kumtosha.
Kila naposikia kile unachofundisha hua najengeka sana natamani siku nikutane na wewe ili unishauri kwa kile nachokitaka kufanya nacho kupenda, je! utaratibu wa kukuona ukoje
28/10/2023 mimi ni miongoni mwa watu ambao bado sijaweza kuchagua kimoja na siku naona zinaenda tu mpaka naisi kupagawa sijui nitafanyaje nisahidie mwalimu
Mimi nilifanya hivyo nilichagua kuchora kwa mda mrefu sana na nilichekwa sana lakini Leo naona matunda yake vitu vingi nimepata , leo gali nyumba kwangu sio issue sasa na tengeneza biashara ya majengo , Mr Joel hupo sawa kabisa
Mungu akupe maisha maref kaka yan nimekufatilia sana na had saiz nipiga hatua sana yan daaah sina chakupa zaidi ya Asnteee nimeishia darasa la saba tuu lakin daaah huamini kama darasa la saba tuseme mungu ni mwema sana kila wakati🙏Alhamdulillah 🙏 mungu wetu sote 🙏kaka nakupenda sana😍😍😍
Yani hii kit imenisaidia sana leo trh 19 /3/2024 maana nilikuwa nataman kuwa na vt viwil vya kufanya ila kuanzia sasa shetan shidwa ntapambana na kimoja hadi kielewe ❤ Ahsant kaka
Ni bora kaka uwekeze sehemu moja halafu usimamie mwenyewe hasa kwa Dunia ya sasa Mimi nimemuelewa mwalimu sana kwa sababu yalinifika sina hamu kabisa binaadamu wa sasa sio waamifu hasa kwenye pesa
Ni kweli unaweza kuwekeza sehemu zaidi ya moja ila iwe baada ya ile ya kwanza kusimama vizuri. Ni Kama mama akijifungua harakaharaka kabla mtoto wa kwanza Hajakua vizuri lazima itampa shida kwenye kuwalea na kuwakuza Ingawa wote wanaweza kuwa hai ila afya zao Zita prots na yeye Atachoka kwa majukumu
Mungu akubaliki baba umenifungua nimejifunza nanimekuelewa asante namuomba mungu nipate kuyaishi maneno yako katika kila atua ninayo ipitia katika maisha yangu asante🙏🙏🙏
Hongeraa sana joel kwa maono yako nazani nimtu uliyejikita sana na mambo yanayo wa felisha watu wengi dunia lakn ukitaka kufanikiwa lazima uwe na uwenani zamu na malengo yako nakumbuka nilipo kuwa darasan la nne 2005 niliwahi mwambie mwlimu wang wa darasan na taka nije kua mwalim bora nitakaye kua na shule ya medium school itakayokua unafanya vizur kitaifa ilipo fika mwaka 2018 nilifungua kitu cha masoma ya ziada marufu kama tuition ni na mwanafunzi mmoja ndani ya miez mitatu baadaye nikapata wawil leo hii nimefungua shule ya medium nursery na najitayarisha kufungua midium na shule yang sas inatotoa wanafunzi bora sana kiwilaya kimukoa nami ya tatimia yale niliyo kusundia namini sana katika mtazamo chanya. Na kushukuru sana joel nanauka kwa kunoa ubongo wang unamakal sana napenda kujifunza kusoma vitabu na kutenda na sina mzaza na maandui wa ndoto zang
Kfanya na kuacha umwondoa mtu kwenye focuse,,nikwli kaka,,unakuwa mtu ,mku KWA kumaliza vitu,sio KWA kuanza na kuacha ,kuna shida ya watu kutokumaliza vitu,unaishia njiani nitatiz kaka,wengi KUFIKA mwisho,,

Kaka Joel ishi Sana umekuwa tiba katika maisha yangu.
You are such a smart man.
Umeletwa kuwasaidia wengi.
Mimi apo kwenye kuweka akiba ndio changamoto yangu kuu
Bro Joel mungu aendelee kukuweka duniani ili tuendelee kupata dhahabu ya maneno yako mimi ni muislam lakini kwenye kupata elimu sibagui dini wala kabila!!
Ni somo zuri lakn nikiwekezaa seem Moja tuu Kwa mfano dukaa jeep likiunguua Kwa moto au kuibiwaa
Ukifungua maduka mengi bado hujakosea kwa sababu bado upo kwwnye eneo la ujasirimiali. Kaka Joel anazungumzia unakuta mtu ni mfanya biashara badala ya kuwekez nguvu zake huko, unakuta tena anafanya kilimo wakati huo huo anataka kufuga kuku. Mtu huyo akichagua kimoja lazima atafike mbali
Waza mawazo chanya Acha mambo mengine
Nimeamua kuwajenga wanafunzi kuyajua masomo ya sayansi kwa vitendo zaidi. Maana hii ndio ngao inayowapa ujasiri wa kibunifu ktk kuanzisha ajira zao wenyewe. Nashukuru sana bro niko najifunza hapa
wapo wengi Sana hasa matajili waliofanikiwa vijana tuwe makini anakuta unapambana anakuja anakwambia njoo tufanye hiki ili wakufelisho shukurani brooo daaa harafu swala la maamuzi ishu Kama kujenga naogopa kujenga kunauwa mtaji broo lengo ni kuteneza maisha Bora na kubaki na mtaji broo
Daaa, kichwa Cha Joel Ni Zaid ya vichwa 100
Vichwa vya Malaki ya watu # sio 100 tu
Shindana nawewe mwenyewe wa JANA usishindane na wengine 😌
Nashukuru sana mola akuzidishie Abdallah Awadh kutoka lamu 🇰🇪
Tangu nikuone mtandaoni ukifundisha nimebarikiwa sana na naendelea kujifunza. MUNGU AKUBARIKI SANA MWANA WA MUNGU.
Umenigusa
Tangu nianse kutasama vidio yako kwaushauri wako umenikosowa makoza mengi sana, MUNGU akubariki sana kazi yako
Hakika mafundisho yako yanaponya God bless you 🙏
Hongera saana nilikuwa nafanyia mafundisho yako ya nyuma, sasa naanza kupata dozi mpya.
Nitazingatia haya yote ... Na Mwaka 2022 Mungu nisaidie. Asante Mentor of all times
Naanza kuanzia sasa kutulia
Mentor inamaanagan tafadhali
@@mariamyoyote8172 mwalimu
You are totally right Arthur kwa sababu Maandiko matakatifu yanasema hivi alimaye shamba lake kwa bidii atavuna chakula tele bali afuataye mambo ya upuuzi atapata umasikini wa kumtosha.
Kila naposikia kile unachofundisha hua najengeka sana natamani siku nikutane na wewe ili unishauri kwa kile nachokitaka kufanya nacho kupenda, je! utaratibu wa kukuona ukoje
Kweli bro nakubali darasa rako God bless you 🙏🙏🙏🙏🤲👂👂👂👂👂
Mungu akubariki baba, nakuita baba sababu unachunga akili zetu vijana🙏
Asante sana kaka Joel nanauka kwa kupitia mafundisho yako nilianza kujiajiri niko kazini na sasa nimeacha kazi na nimejiajiri mwenyewe
28/10/2023 mimi ni miongoni mwa watu ambao bado sijaweza kuchagua kimoja na siku naona zinaenda tu mpaka naisi kupagawa sijui nitafanyaje nisahidie mwalimu
Barikiwa kaka joe umekuwa changuo langu ninavyo ingia mtanaoni kujifunza mengi unayo tufunza mbona inanifanya najiona niko sawa sawa paletu nilivyo anguka uanifunza nixikumbuke yaliyo pita
Mimi nilifanya hivyo nilichagua kuchora kwa mda mrefu sana na nilichekwa sana lakini Leo naona matunda yake vitu vingi nimepata , leo gali nyumba kwangu sio issue sasa na tengeneza biashara ya majengo , Mr Joel hupo sawa kabisa
Na jee kama unabiasharaa na niyamuda mrefu unatakaa kuanzisha biashara nyingne kaka joel iyo inakuwaje
HII video naipenda sana..yaani imenifumbua macho
Je nipo kwenye AJIRA natamani nilime huku nimeajiriwa je nitakuwa nimekosea
Upo sawa lakn je usimamizi unao
Mungu akupe maisha maref kaka yan nimekufatilia sana na had saiz nipiga hatua sana yan daaah sina chakupa zaidi ya Asnteee nimeishia darasa la saba tuu lakin daaah huamini kama darasa la saba tuseme mungu ni mwema sana kila wakati🙏Alhamdulillah 🙏 mungu wetu sote 🙏kaka nakupenda sana😍😍😍
Asante brother kweli kaka nimekuelewa nitakuishi Sana
Yani hii kit imenisaidia sana leo trh 19 /3/2024 maana nilikuwa nataman kuwa na vt viwil vya kufanya ila kuanzia sasa shetan shidwa ntapambana na kimoja hadi kielewe ❤ Ahsant kaka
Kaka Sina lakusema Ila mungu azidi kukupa maisha marefu kupitia wewe mimi nimekuwa Bora zaidi
Kiukweli kaka mafundisho yako ni daraja mtu akikusikiliza na kukuelewa, mwenyezi Mungu aktunze.
Asant kaka 🙏
Nafuuu kuwekezaa seem mbili pakigoma ukuu unaamia kwinginee mim natoa mawazo tuu ckupingiii wew ni mwalim mzurii sana
Nilitaka kushangaa unaanzaje kupingana na mwalimu 😂😂
Ni bora kaka uwekeze sehemu moja halafu usimamie mwenyewe hasa kwa Dunia ya sasa Mimi nimemuelewa mwalimu sana kwa sababu yalinifika sina hamu kabisa binaadamu wa sasa sio waamifu hasa kwenye pesa
Ni kweli unaweza kuwekeza sehemu zaidi ya moja ila iwe baada ya ile ya kwanza kusimama vizuri. Ni Kama mama akijifungua harakaharaka kabla mtoto wa kwanza Hajakua vizuri lazima itampa shida kwenye kuwalea na kuwakuza Ingawa wote wanaweza kuwa hai ila afya zao Zita prots na yeye Atachoka kwa majukumu
@@joelnanauka Kabisa Mwalimu✔
Thanks so much this is gift for me
A genius mentor 👏👏
Mimi napendaga sana mashauri yako na yana ni jengaka sana ubarikiwe kwa jumla!! Pokeya ujumbe huu toka Malawi!!!
Mwenyez Mungu akupe afya njema Mr @Joelnanauka
I subscribed tukiwa 200k nafurahi Sana sai tuko 206. God bless you brother 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Safi sana kaka, mimi ni shabiki wako sana
Somo zuri .. barikiwa sana
kweli brooo nilikusikiliza Sana bro nilivumilia na nimefika mbali bro
Neno kubwa ni maamuzi baba yangu inasubua sna ila kupitiya wewe nimejifuza san
Hii Kwa sisi wachumi kufocus ktk kitu kimoja ni risk kubwa. Ss Ili tuipunguze risk tunaigawanya
Upo sahii.mm ni mmoja wao katika wanaojutia kuipoteza mda wao
Mi nmechagua YANGA 💚💛 TAMU 💚.........
Ni kweli ndugu Asante,nilmefaidika Sana na ushauli wako,nilikuwa nawaza kuanza biashara nyingine,
Hahaha uyu nimimi kabisa namie nilianza kuwaza kufungua biashara tena
Usishindane na matumizi ya mtu ujui anapataje pesaa,amina baba
😂😂😂😂😂tunaona beyi😅
Barikiwa sana
Ahsante sana Mwenyenzi Mungu akubariki sanaaaa akupee maishaa malfu sanaaa 🙏🙏🙏
SoMo lako nimelikuli sana ninauri wa miaka62 mpa Sasa japo nimesomesha ningekuwa mbali sana kwa SoMo lako ubalikiwe sana kijana.
Amen
Hakika Africa Ina walimu nitapaa hakika iposiku
Asante mtumishi wa Mungu kwa uponyaji wa moyo kwa kutumia neno ili kunielewa kuhusu kufocus,,, namshukuru mwenyezi MUNGU kwa neno lake
Umenigusa sana brother
Thanks so much for the lesson I love it 🇸🇦
Ahsante kaka umenigusa kwenye ufundi ubarikiwe sasa
Mungu akubaliki baba umenifungua nimejifunza nanimekuelewa asante namuomba mungu nipate kuyaishi maneno yako katika kila atua ninayo ipitia katika maisha yangu asante🙏🙏🙏
Kuanzia leo nashindana na jana yangu
Je nipo kwenye AJIRA natamani nilime huku nimeajiriwa je nitakuwa nimekosea🎉 7:30 7:35
Ata Mimi mpaka Léo I nilikua sijui nacho kitaka Asante mualimu
Hongeraa sana joel kwa maono yako nazani nimtu uliyejikita sana na mambo yanayo wa felisha watu wengi dunia lakn ukitaka kufanikiwa lazima uwe na uwenani zamu na malengo yako nakumbuka nilipo kuwa darasan la nne 2005 niliwahi mwambie mwlimu wang wa darasan na taka nije kua mwalim bora nitakaye kua na shule ya medium school itakayokua unafanya vizur kitaifa ilipo fika mwaka 2018 nilifungua kitu cha masoma ya ziada marufu kama tuition ni na mwanafunzi mmoja ndani ya miez mitatu baadaye nikapata wawil leo hii nimefungua shule ya medium nursery na najitayarisha kufungua midium na shule yang sas inatotoa wanafunzi bora sana kiwilaya kimukoa nami ya tatimia yale niliyo kusundia namini sana katika mtazamo chanya. Na kushukuru sana joel nanauka kwa kunoa ubongo wang unamakal sana napenda kujifunza kusoma vitabu na kutenda na sina mzaza na maandui wa ndoto zang
Pongexi jamaa
Habari ?
Habari ?
Kaka mungu akubaliki sanaa kwa neno lako
nipo kwenye wakati mgumu wa kufanya maamzi na kufocus ongeza na hofu yaan vita ni kali sana .najiuliza najijibu nakubali mala nakataa
Bro nimekuelewa kabisa najilaum nilichelewa kukufatilia ktk mtandao
Ubarikiwe Sana broo
Asante kaka tashukulu kwa mwongozo
Good bless u kaka Joel nmekuelewa vzr
Nimekupitisha kuwa mwl wangu
Hakika nimekuelewa kaka Tena Sana.
Barikiwa sana coach Joel nimejifunza kitu mungu azidi kukulinda 🙏🙏
Somo zuri sana, nimeandika notice za kutosha.Mungu aendelee kukutia nguvu na afya njema.
Asante kwa somo zuri barikiwa sana na Mungu azidi kukuongezea maarifa couch 🙏🙏
Asante sana mwamba God bless you
Mkuuuu hili ni somo zuri Sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen amen amen amen unanibariki sana sana sana sana
Kaka joeli mungu azidi kukupa afya njema ya mwilini na moyon
Joel hongera saana kwa hiyi video. Nisemetu Mungu akupe afyanjema na umri uzidi ku elimisha watu.
Nimechagua kukusikiliza mwl Joel
Ninafanya na nitafanya jambo moja kwa muda mrefu ❤
Yaan mie nilikua naranda randa na kuwaza kuangaika Asante Yesu
Mungu akubariki sana mtumishi
🇴🇲 MUPOOO
Elimu hii ikiingia vizuri usipofanikiwa na unaishi ELIMU YA HUYU KIONGOZI bas tena utakuwa zaidi ya mwanamke wa serepta aliekutana na Eliya
Ntasimamia biashara yangu hapa hapa nilipo
Hakika kunakitu umenisaidi kupitia somo hili mungu akubariki
Nimekupenda bule endelea mngu akubaliki kunakitu nimejifuza hapa
Somo zuri kaka nakufatilia vizur...barikiwa sana.
Kaka nanauka ..big up skupingi
Asante sana brother tuko pamoja 🙏🙏🙏 so God bless you my brother 🙏🙏
Kfanya na kuacha umwondoa mtu kwenye focuse,,nikwli kaka,,unakuwa mtu ,mku KWA kumaliza vitu,sio KWA kuanza na kuacha ,kuna shida ya watu kutokumaliza vitu,unaishia njiani nitatiz kaka,wengi KUFIKA mwisho,,
Nashukuru kwa ujumbe ndugu 👍👍
Aisee kaka umepigilia sana. Mungu akubariki
Ubarikiweeeee saaaana
Asante sana kaka Joel, kuanzia leo nashindana na jana yangu mungu akubarik sana
Mungu akutunze sana mwalimu wangu ni maombi yangu kwako
Asante sana mtumishi mafundisho yako yananijenga 🙏🙏🙏🙏
Asante sana Mr Joel
Mafundisho mazuri san mungu akubariki uwezi kutupa tena maarifa mengine