Umebarikiwa sana kaka Mungu azidi kukupa ufahamu uzidi kuwa kutuelimisha hakika haya nimambo yakweli kabisa kwetu wanawake kuoneana wivu kusikokuwa na msingi nimejifunza sana leo
Nanauka has changed my Thoughts! Kila sku lazma niangalie videos au kusoma nakala zake na Hua nnashauku ya kuwa Zaidi ya Jana, juzi kila siku..ni siku mpya ya kujifunza.. Allah alie juu akuweke!
Asante brother, kama mm katibu wangu wa hospital ambayo nafanya kazi hata nikimsalimia haitikii lakin sikumbuki kumkosea, mm nimesoma Uganda hospital nzima nipo peke yangu yaani nawakilisha kaskazin A, anapita nje ya office yangu haingii ndani, changa moto zangu hazifanyii kazi nakosa Amani kwa kweli
Nimejifunza sana ni somo zuri!! But kwa wanawake pia nimejaribu kuuliza wengi wanasema wanawake hawapendani!! Hebrew 13:1. 💕🙏❤️✍️ Much respect bro, Joel Nanauka!!
Waooo ua blessed bro nimekutana na ujumbe huu leo, en napitia the same situation. natamani kuhadithia ila hapa ni mtandaoni, acha niendelee kupambana na Bwana anisaidie
Hongera sana kwakweli wewe nibonge la muamasishaji kila nikifungua post zavideo zako ua naenjoy sn ubarikiwe sana najua umebarikiwa namungu kuw hivyo na pamoja najuhudi zako mungu akubariki zaid 😍
Wivu mbaya ni roho mbaya toka kwa shetani,ni matokeo ya Anguko, ni Dhambi ya asili. Yesu pekee akiingia ndani yako mioyo ya mwanamke anaweza kumbadilisha kabisa.
Mi nnawivu wa maendeleo ila wadogo zangu na kaka zangu hawana Habari Nipo uarabuni nawatumia pesa fanyeni biashara hii jifunzeni kitu hiki ili na sisi tufanikiwe ktk maisha lakini wapi.mpaka nimechoka pesa zunakwenda hawana walichofanya nimeamua kufanya yakwangu sasa hivi sina hata Habari nao.Fainali Uzeeni.
Wanawake wajinga sana! Tumuogope Mungu!wengi wapo hivi jaman kwenye familia zetu,Jamii zetu wapo hao watu tena kwa wingi kabisa.sipo ivyo namshukuru sana Mungu❤
Yaani hapo Joel wamekusikiliza kwa sikio hili imepita kwa sikio lile. Si unaona walivyobinua midomo. Kama ilivyo tamaa kwa wanaume na wivu ni kwa wanawake. Very hard to master. Alafu shetani aliona hiyo advantage kwake ndo maana wachawi wengi ni wanawake.. wivu ni catalyst ya uchawi.
Hakika Tanzania tunamwalimu wetu Anaetuongoza kiroho na kimwili nasimwingine ni Joel Nanauka ❤️💯
Asante umesema vema ndugu yangu
Be Blessed for Good Teaching!
bro Joel ni maombi yangu Mungu azidi kukuweka tuendelee kujifunza mambo mengi na mazuri kutoka kwako, I'm proud of you brother.
Ila ww kaka mungu alikuleta dunian kwa makusud ya kusaidia watu😘😘
wanawake Mungu atusamehe. ukitaka kutizama how the ladies wameguswa, wako focus kwenye simu zao😂😂😂😂. tunajifanya kama sio sisi tuko tunaambiwa ukweli
Hata wanaume wapo sampuli hiyo tena wengi
Umebarikiwa sana kaka Mungu azidi kukupa ufahamu uzidi kuwa kutuelimisha hakika haya nimambo yakweli kabisa kwetu wanawake kuoneana wivu kusikokuwa na msingi nimejifunza sana leo
Yani mr Joel Mwenyezi Mungu akubariki sana maana unafanya maishayangu yaende bila kumhofu mtu.
Sir I love the speech you nailed every point correctly. The truth that women's and also men need to hear . God bless you 🙏 for these message.
Nanauka has changed my Thoughts! Kila sku lazma niangalie videos au kusoma nakala zake na Hua nnashauku ya kuwa Zaidi ya Jana, juzi kila siku..ni siku mpya ya kujifunza.. Allah alie juu akuweke!
Sanamu la Joel Nanauka lijengwe East Africa yote😊
Mungu akuongezee ujuzi mwingi kaka wa kizazi hiki
Duuu! Joe anagusa mulemule😂😂😂🤣......huyu kaka🙌🏼
Brother Joel wew n nouma.. Be blessed forever
Asante brother, kama mm katibu wangu wa hospital ambayo nafanya kazi hata nikimsalimia haitikii lakin sikumbuki kumkosea, mm nimesoma Uganda hospital nzima nipo peke yangu yaani nawakilisha kaskazin A, anapita nje ya office yangu haingii ndani, changa moto zangu hazifanyii kazi nakosa Amani kwa kweli
Kakaangu mimi sichoki kukufatilia nakiukweli umenifanya niwe wa tofauti sana kuliko zamani🙏👌💯
Nimejifunza sana ni somo zuri!! But kwa wanawake pia nimejaribu kuuliza wengi wanasema wanawake hawapendani!! Hebrew 13:1. 💕🙏❤️✍️ Much respect bro, Joel Nanauka!!
Mungu anawaadhibu wenye wivu
Asante san Broo kwa somo lako nimejifunza Mambo mengi sana Mungu akubariki sana 🙏💖
Maneno Mazuri Ndugu Nanauka Joel 📚📚📚📚📚📚 shukran 🎙️......
Bro joel wewe ni kiboko sana. Yaani unaongea Fact . Mungu akubariki sana.
Kila somo lako ni hatua ya maendeleo ktk maisha yangu. Blessed broo.🙏
MUNGU akubariki Sana 🙏🙏
Asante somo zuri sana.
Nmejifunza Sana Joel somo nzuri!
🎉🎉🎉🎉
asante sanaa ,mfundisho yako yana nipa juudi
Kaka nabarikiwa sana hakika Mungu akubariki sana
Kwel bro umeongea point sana ila nashukulu maana najifunza kupitia mafunzo yako asante my brother 🙏🙏🙏🙏
Sala na dua zangu ni kuwa Mungu azidi kukulinda sana kwa ajili ya kuliinua taifa letu kimaarifa
Waooo ua blessed bro nimekutana na ujumbe huu leo, en napitia the same situation. natamani kuhadithia ila hapa ni mtandaoni, acha niendelee kupambana na Bwana anisaidie
Ameeeen .Ahsante sanaa kaka Joel Mungu akubariki sanaaaa 🙏🙏🙏🙏
Shukurani sana kaka Joel kwa somo
Brother toka mekufahamu napenda kufuatilia sana mafundisho yako. Barikiwa sana
Avery naic work Joel god bless you more thank 👍🙏
Woooow nashukuru sana Kwa masomo Yako nimesogea Kwa kiasi kikubwa
Glory to God. This is wonderful Kaka Joel. Keep up the good work, God Bless You. 🙏
Good to hear from this channel
Very good 👍 👏 👌 😀
Massage
Big up
Mungu akubariki sana na akufanikishe daima katika maisha yako
Umeongea ukweli kaka, Mungu aendelee kukutumia ili tupone
Tuonamba somo la atahari ya mawazo
Asante kaka Mungu akubariki akupe maisha marefu yenye afya njema.
Hongera sana kwakweli wewe nibonge la muamasishaji kila nikifungua post zavideo zako ua naenjoy sn ubarikiwe sana najua umebarikiwa namungu kuw hivyo na pamoja najuhudi zako mungu akubariki zaid 😍
Wivu mbaya ni roho mbaya toka kwa shetani,ni matokeo ya Anguko, ni Dhambi ya asili. Yesu pekee akiingia ndani yako mioyo ya mwanamke anaweza kumbadilisha kabisa.
Shukrani sana kaka Joel akika mafunzo yako ni zaidi ya kupewa #pesa 🙏🙏🙏
Kaka Joel mungu akubariki sana umekua wa baraka kwa maisha yangu
Amen ujumbe mzuri
Yaani umepita mle mle. It’s very true indeed.
Mungu akubariki sana Dr Mimi ninashida ya kutokujiamin
Fact..Mungu akubariki
Nakupata vyema. Nimejifunza kitu
Karibu dodoma
Very fact servant of God
Hpo kwenyewe wamekaa wanaoneana wivu😂😂😂
Sema tupone bro.Nanauka❤❤❤❤❤❤
You're very talented Bro!
Thanks more for teacher me!🙏
Natamani uje hombolo dodoma pastor
Kabisa
Hapo kwa wivu let me be keen 💯
Ujumbe mzuri sana, asanteeee
Hili ni janga, hata Kaini alimuua ndg yake kwa ajili ya wivu, Lzm tumruhusu Yesu atawale moyo.
Congrats Kaka Joel
Wewe ni mwalimu wa ukweli kabsaa
Mi nnawivu wa maendeleo ila wadogo zangu na kaka zangu hawana Habari Nipo uarabuni nawatumia pesa fanyeni biashara hii jifunzeni kitu hiki ili na sisi tufanikiwe ktk maisha lakini wapi.mpaka nimechoka pesa zunakwenda hawana walichofanya nimeamua kufanya yakwangu sasa hivi sina hata Habari nao.Fainali Uzeeni.
Hongera Dada
Fanya yako dada. maana tupo wengi..kama wewe.tuliofanya kama wewe lkn sasa tumejitoa ...tunafanya ya kwetu tu..
🎉umewaponyaaaa natamani hii videooo waioneee wengiii 💪🗣️
Big Joel Nanauka
God blesse you my brother
Hahaha lakin dunia ya leo mpaka wanaume wenye Tania hii wapi eti daaah hatar San huku maofisini broo Joel ujengewe Sanam kubwa
Mwanamke gani wewe hakuna mwanamke kinara hapa
Wanawake wajinga sana! Tumuogope Mungu!wengi wapo hivi jaman kwenye familia zetu,Jamii zetu wapo hao watu tena kwa wingi kabisa.sipo ivyo namshukuru sana Mungu❤
Asante ubarikiwe kaka
Hilo limeeleweka siye wamawake hatupendani sasa kama unawivu dadangu naomba ubadilike, tuko pamoja poster Joel mngu akulinde
daah kaka unajua sana,,
Somo limeeleweka, Asante🤝
Powerful said
very fact kaka
Umetugusa wanawake kwakweri
Be blessed servant of God
Nikweli kabisa,
Nataka nijue saikolojia ya wanaume kuwa na wivu
Ameen
Asante sana kwa hakika umenitoa mbali sana ndio maana nimezihifadhi video zako zaidi ya mia NNE kwasababu ni mwanga maishani mwangu
Aisee nashukuru sana👏🏼👏🏼👏🏼
Kwa makini nakufatilia na kukuelewa mwalimu
It's was nice
Ahsante
Nakupenda bule kaka,yaani unatupa ya ukweli wewe ni mzungu hutaki kuongea pembeni.
Ubarikiwe tupe somo kweli tumezidi kaka yangu.
Wivu ni mwingi wanawake.
Kaka ww nikioo cha jamii
Yaani hapo Joel wamekusikiliza kwa sikio hili imepita kwa sikio lile. Si unaona walivyobinua midomo. Kama ilivyo tamaa kwa wanaume na wivu ni kwa wanawake. Very hard to master. Alafu shetani aliona hiyo advantage kwake ndo maana wachawi wengi ni wanawake.. wivu ni catalyst ya uchawi.
Kijana umesema ukweli
God bless you
nikweli siyobogo papa
Safi
Bomba
Kweli
Maneno yenye afya yanajenga na kuimarisha
TOKA NIMEANZA KUKUFATILIA KAKA JOEL HAKIKA KUNA BILIONS OF USHUPAVU NA SHUJAA NA KUJIAMINI NA MADINI MENGI NIMEYAPATA MUNGU AKUBALIKI SANA
Thanks for the lesson..
Umenena kaka.hizo changamoto zipo kwenye mazingira tunayo yaishi kabisa
💥💥
Kweli , ndomasna hatufiki mbali kimaenfeleo
Kwa fani yangu nipo peke yangu hospital nzima
Nikweli kabisa
Noted.