USIANZE MWAKA 2025 BILA KUJUA HAYA || JOEL NANAUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 40

  • @GodlyElizabeth
    @GodlyElizabeth 17 часов назад +3

    Aaah Mungu akutunze Sana Kaka JN , wewe ni hadhina kubwa na njema sana kwenye Taifa Letu.
    This Talk imekuwa ni MY NUMBER ONE, THE BEST SPEECH kati ya zote nilizosikia 2024.Hasa kwenye kipengele cha identity, Spiritual & Mental Toughness.
    This speech Imefufua vingi vilivyokuwa vimekufa ndani yangu Na imepanda mbengu njema sana kwenye Maisha Yangu. GOD BLESS YOU HIGHER JN💚🙌

  • @wendynkya1309
    @wendynkya1309 6 часов назад

    Mungu akubariki sana sana kaka Joel,mafundisho yako ni mazuri na yanatutia moyo na kutuvusha wengi,una hekima sana na Mungu akupiganie

  • @hopezakskincare6745
    @hopezakskincare6745 4 часа назад

    Asante Mungu kwa kukutana na huu ujumbe imenipa nguvu ya kuuanza upya kumbe kukataliwa ni daraja pia la kupita kwenda upande wa pili Mungu 2025 God una makusudi na mm

  • @julianabella4258
    @julianabella4258 2 часа назад

    Ubarikiwe sana Man of God🙏🙏

  • @shabanngondavi143
    @shabanngondavi143 14 часов назад

    Da muheshimiwa, yani kusema ukweli hii speech zako nikizisikiliza ziko vizuri sana, mungu akuongoze mana una athari kubwa sana kwenye maisha yetu.

  • @khdj-x3w
    @khdj-x3w День назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤nakupenda sana mungu akupe afya njema kufika mwaka mpya pamoja

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n 16 часов назад

    Asante sana MUNGU BABA wa Mbinguni Akubariki Sana Dr madini mazuri

  • @AlexJefwa
    @AlexJefwa День назад

    Thanks sana kaka Joel...umebadilisha.... Sana maisha yangu toka... nianze kukufatilia... barikiwa sana kwa... kuendelea kutupa ukomavu wa akili 🙏🙏

  • @FrankPaulo-y7r
    @FrankPaulo-y7r 7 часов назад

    Brother Joel katika speech zako zote hii umetisha kaka unareference za kutosha.

  • @easterngiriti5335
    @easterngiriti5335 День назад

    Mungu akupe maisha marefu kaka joel nina mda kidogo toka nikufaham lkn nilikuwa skai nikatulia kukusikiliza, lakin vile nilianza kutenga mda kujifunza maisha na namna ya kuishi aisee mafundisho yako yamenijenga mno na namshukuru Mungu kwajili yako akupe maisha marefu pia kwajili ya watu wake..❤❤❤

  • @josephatdubi6038
    @josephatdubi6038 День назад

    Asante Sana Mtumishi wa Mungu kwa maarifa unayotoa. Nakuelewa vizuri Sana!
    Ombi,
    Kwa mtu yeyote aliye na namba ya simu ya Mtumishi huyu,nisaidie

  • @kingbrand5141
    @kingbrand5141 8 часов назад

    Akika kaka kunasehemu umenitoa Mimi toka nimeanza kukujua mungu akubaliki sana nategemea hii 2025 ntakuwa mkubwa zaidi kwenye biashara yangu kaka

  • @AngelMassawe-nz9sk
    @AngelMassawe-nz9sk 20 часов назад

    Nimeipenda jinsi watesi wanavyohangaika kuharibu na Mungu anavyo wasarambatisha hatimae tunachanua kwa viwango vipya safiii mwl unatuongoza vizuri jinsi ya kujingamua ktk hisia za uongo na kumiliki hisia za ukweli ktk viwango vya ufaulu

  • @ponsianaprotas8990
    @ponsianaprotas8990 День назад

    Asante sana Joel, Mungu azidi kukubariki.

  • @EmmanuelDeus-fs8wv
    @EmmanuelDeus-fs8wv День назад +1

    Asante sana JN brein kubwa

  • @MaltinJon
    @MaltinJon День назад

    Mungu akujalie maarifa zaidi ya hapo kiongozi

  • @zakazakazi-fn6zy
    @zakazakazi-fn6zy День назад

    Joel daima utabaki best nakubali in the future 🔮

  • @MariamMtweve-g8l
    @MariamMtweve-g8l 19 часов назад

    Asante kaka yangu, nilikuwa nakata Tamaa leo umeniinua sana

  • @EMMANUELTHOBIAS-oe4wn
    @EMMANUELTHOBIAS-oe4wn День назад

    Joel kwakwel utaendelea kuish kwenye maisha yangu unapoint kuntu(I believe u).Naitwa Ema Thobias nipo kangae mwanza nakufuatilia sana barikiw na Mungu.

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu 20 часов назад

    God bless you 👏

  • @FelisterDotto-c5y
    @FelisterDotto-c5y День назад

    Asantee mtu wa mungu uzidi katika haya

  • @HappynessHilonga
    @HappynessHilonga День назад

    Mungu akubariki sana

  • @dulayoomari
    @dulayoomari 2 часа назад

    aoo ni watu wa ovyo mnoo mtu anaoongea madini wao wpo kimya ata makofi bac 😂

  • @EsterMatofali
    @EsterMatofali 5 часов назад

    Nikitaka kuhudhuria face to face haya mafunzo nafanyeje naona kusikiliza kwa sm haitoshi.

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy 11 часов назад

    2025 ninaomba mungu kupitia Joel nibadilike na Maisha yangu yabadikike ni kwa mstari ni siwe mguu moja ndan mwingine inje,, noooo

  • @UwesuKalamu
    @UwesuKalamu 21 час назад

    Umeniamsha san mr

  • @SelemanChaku
    @SelemanChaku День назад

    Asante sana kiongozi wangu

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 21 час назад +2

    Kila navofatilia mafunzo ya Joel's napata maalifa yake mengi yanatokana na usomaji wa Vitabu. Hii inanipa picha ya umaskini wa wa Mwafrica dawa yake inefichwa kwenye vitabu

  • @blackangel.58
    @blackangel.58 День назад

    ❤❤❤❤❤🎉 thank you

  • @erickbenson8728
    @erickbenson8728 17 часов назад

    Kaka kuishi milele MUNGU akuweka Ili wengine tuishi Tena barikiwa mno

  • @luganojanken-y5x
    @luganojanken-y5x 15 часов назад

    Pia natamani nipate vitabu vyake

  • @frankalfredy4991
    @frankalfredy4991 18 часов назад

    Great

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 21 час назад

    Asante sana❤❤

  • @TzLughaYaAlama
    @TzLughaYaAlama День назад

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @GodfreyErenesti-w4u
    @GodfreyErenesti-w4u День назад

    Kaka usichoke kutufundisha make tutafel san ishi san

  • @aminajamhuri8231
    @aminajamhuri8231 20 часов назад

    💓💓

  • @KauyeMohammed-wm8cd
    @KauyeMohammed-wm8cd 12 часов назад

    Mmh

  • @sophiesadick5510
    @sophiesadick5510 10 часов назад

    Joel ni vyema mifano yako mingi ingelenga jamii ya Kiafrika au nchi za Dunia ya Tatu na. nchi zilizoendelea kwa uchache.

  • @hopezakskincare6745
    @hopezakskincare6745 4 часа назад

    Asante Mungu kwa kukutana na huu ujumbe imenipa nguvu ya kuuanza upya kumbe kukataliwa ni daraja pia la kupita kwenda upande wa pili Mungu 2025 God una makusudi na mm