Kuzini Na Wanawake Hawa Ni Bora Zaidi Kuliko Kuzini Na Mwanamke Huyu // Sheikh Nurdeen Kishki

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 253

  • @LatifahCarlos
    @LatifahCarlos 3 дня назад +1

    Allah tufanyie wepes tustirike zinaa mbay sana .Allah tutazame cc watot wakike

  • @AshrafyYousuf
    @AshrafyYousuf Месяц назад +5

    The way I love the way this man speaks with emphasis,only Allah knows...may Allah protect us atucaguwe katika alie warehemu

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 3 месяца назад +59

    Sheikh kishki yuko sahihi, wala hajahalalisha zina watu hawana ufahamu, na ukiwa huna ufahamu ni shida kila jambo utapiga kelele na hata ukieleweshwa hutofahamu, kila kitu kina ubaya na ubaya zaid na kila kizuri kiko kizur zaid, na mfano huu kauanza mwenyewe Allah subhannahu wataallah, Kwa wenye akili ni wepes kuelewa, Pepo ziko nyingi sana lakini kila pepo ina ukubwa wake neema zake raha zake inapishana na mwenzake kwa darjah, na moto ni hivyo hivyo uko mkali na mkali zaid na ya ukali na hata thawabu zina darja kwa tendo hilo hilo moja, na makosa nayo yana darjah katika kulipwa hata kosa ikiwa ni la aina moja kwa wafanyaji, lakini ikiwa kichwa ni kibovu huwezi kujua, hata katika kutoa mfano sadaqa munaweza kutoa shilingi alfu moja moja watu 10 lakini malipo mbele ya Allah yakawa tafaut, kosa moja linaweza kuwa na hukmu mbili mpaka 3 tafauti kwa watendaje, kama kichwa ni kibovu utasema kosa ni kosa tu dhambi ni dhambi tu, darsa darsa ni muhimu sio kupayuka, kila jambo lina uzito wake na malipo yake hata kama yanafanana

    • @abuually-ol2xc
      @abuually-ol2xc 3 месяца назад +2

      Hakuna ijtihadi ktk uzinifuu huwezi ukasema Bora uzini na wanawake 10 kuliko kuzini na mwanamke wa aina flani je hiloo neno boraa umelitoleaa wapii ??? Uzinifu ni uzinifu tu hakuna Cha Bora Wala uwafadhali maana ni kuvunjaa amri ya mwenyezimungu tu 😢

    • @abuually-ol2xc
      @abuually-ol2xc 3 месяца назад +1

      Na ndio maana tunasisitizwa zana tujiepushe na riwayaa ambazo zinaenda kinyume na qur Ani matatizo yake ndio hayaaa unajikuta unafadhilisha uzinifu wa wanawake 10 Kwa mwanamke mmoja😂 kama si upungufu wa elimu kitu gani hapoo ?

    • @tafarelynews1243
      @tafarelynews1243 3 месяца назад

      ndugu yangu dhambi ni dhamb kweli ila hivu unajua kuna ukubwa wa dhamb na dhambi iliyo kua rahis kusamehewa ​@@abuually-ol2xc

    • @tafarelynews1243
      @tafarelynews1243 3 месяца назад +3

      ​@@abuually-ol2xcmsikilize vizur uyu shekhe utamuelewaa vizur, hivi unajua kwanin, mzinifu wa alie ndan ya ndoa hukmu yake tafaut n mzinifu asie kua ndan ya ndoa, sasa apo angalie ukubwa wa zinah, n alicho kimanisha

    • @atambitomotesTz7100
      @atambitomotesTz7100 3 месяца назад

      Masha Allah,Allah akuzidishie ume eleza vizuri sana

  • @NaimaBushie
    @NaimaBushie 2 месяца назад +10

    Inna lilallah wainna ilah rajiun Allah atusamehe madhambi yetu

  • @kabwefrancine99
    @kabwefrancine99 2 месяца назад +33

    japo mimi ni mkristo ila mafundisho haya ni mazuri sana mungu awa samee wote ambao walisha tenda zambi hiyo ya uzinifu 😭😭

  • @SifaIDAYA
    @SifaIDAYA 16 дней назад +5

    Mwenyezi Mungu atuepushe na zambi ya udhinifu na atupe mwisho mwema

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 3 месяца назад +5

    Mungu akulinde na kila shari sheikhe wetu. Sahihi kabisaa

  • @sodingcantara5041
    @sodingcantara5041 16 дней назад +3

    Jazakallah khery
    Naaaam ukumbusho kwa wenye akili

  • @WycliffMuema2020
    @WycliffMuema2020 День назад

    ❤ mashallah
    Mungu akuzidishie

  • @SalhaAmour-p4z
    @SalhaAmour-p4z 19 дней назад +2

    Allah atuepushe nahilo

  • @HythamHajj-y4w
    @HythamHajj-y4w Месяц назад +4

    Kwel zinaa inatutesa sana .tumuombe Allah atuepushe

  • @Zainab-o9c1c
    @Zainab-o9c1c Месяц назад +4

    Allah tuepushe na zina sisowajawako🙏🙏🤲🤲🕋🕋

  • @SakalKhamis-j9g
    @SakalKhamis-j9g 3 месяца назад +5

    Kichwa cha habar so muhimu Sana muhimu ni kuzingatia tunayoambiwa na kuyafanyia kazi Inshallah

    • @Garrinchael
      @Garrinchael 3 месяца назад +2

      Ni muhimu maana Mimi hadi naangalia hii video icho kichwa Cha habari ndiyo kimenishtuwa apo,, nilitaka niskie kama ni kweli yeye ndiyo kasema hivo shekhe au vipi

    • @rajaballyrajabchaka5302
      @rajaballyrajabchaka5302 Месяц назад +2

      Kichwa Cha habari ni muhimu maana mtu anaweza akasiamama nacho kama dalili

  • @AbdiSarat
    @AbdiSarat Месяц назад +1

    Inshallah mwenyezi mungu atuepushe na sinah

  • @ASHIRAFUATHUMANI-u3v
    @ASHIRAFUATHUMANI-u3v 28 дней назад +1

    yaa, Allah! nakuomba utuongoe kwenye mtihani wazinaa

  • @HidayaMashaka
    @HidayaMashaka 3 месяца назад +6

    Allah atuepushe nazinaa ishaahla

  • @SaidMpenda-r6l
    @SaidMpenda-r6l Месяц назад +4

    tumuogope mungu jaman.

  • @SalhaAmour-p4z
    @SalhaAmour-p4z 19 дней назад

    Shekh sema watu wakati huu imeziid sana zinaa na masheikh hawaisemi wanabababana msiba

  • @MwanamkuuMumbe-q2y
    @MwanamkuuMumbe-q2y 13 дней назад +1

    Maa shaa llar

  • @bakarimakomola
    @bakarimakomola 3 месяца назад +77

    Kichwa cha habari hakiko sawa, kuzini ni haramu tu pamoja uzito unatofautiana wa iyo dhambi
    Nashauri uondoe iyo ni bora zaidi/kwa maana hakuna ubora wowote kwenye zinaa

    • @maulideabdala3832
      @maulideabdala3832 3 месяца назад +9

      Kabisa
      Ata mimi niisangaa, hii bora

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 3 месяца назад +14

      Fikiria ufafanuzi wake Zaidi utaelewa makusidio. Madhambi yanazidiana!

    • @HamisMagambo-gw6ti
      @HamisMagambo-gw6ti 3 месяца назад +2

      Shekh bakari mfano wa hapo ni kumkuta mtu anazini na mkeo kuliko kumkuta anazini na dada yako hapo utakuwa mkali upande gani

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 3 месяца назад +7

      Hajasema ni harali bali analinganisha uzito wa zinaa kwa aina za zinaa

    • @hafidhseif9638
      @hafidhseif9638 3 месяца назад +2

      Ukali wako wewe ,sio unao ongelewa hapo mungu haangalii Ukali wako, mungu ana ana angalia kosa lenyewe

  • @JafariMnyau
    @JafariMnyau 22 дня назад +1

    Alhah akulipe kheri, na uwe na umri mrefu ili utulinganie.

  • @FadhilaKabelwa
    @FadhilaKabelwa 3 месяца назад +5

    Kabisaaa kichwa cha Habari hakipo sawa shekh

  • @yasinsirat1866
    @yasinsirat1866 Месяц назад

    Masha'Allah Tabaraka'Allah shukran jaziilan akhii

  • @baqirmkilindi9369
    @baqirmkilindi9369 3 месяца назад +4

    Shkh Un wan yako haiko sawa

  • @maase2023
    @maase2023 Месяц назад +1

    Huyu nurudin mtihani sana kwa kweli! Hakuna zinaa ya afadhali mbn unahalalisha zinaa ya afadhali tena ww vp?

  • @rahimanuruislam-i1q
    @rahimanuruislam-i1q Месяц назад +1

    Shekhe yupo sahh labda km jamjaelewa

  • @BATURIJABIRI
    @BATURIJABIRI 3 месяца назад +4

    Kichwa cha habar hakiko sawa kabsaaaaaa

  • @Muiana-p5b
    @Muiana-p5b 2 месяца назад

    Shukran sheihk umeongea hapo wako na tunawaona kweli

  • @RamlaQurux-l2z
    @RamlaQurux-l2z 6 часов назад

    May Allah protect us from any sin

  • @HidayaAbdallah-l2l
    @HidayaAbdallah-l2l 2 месяца назад +3

    Eeeeh Allah niepushie mbali na zinaa yarab

  • @MwanatumuAlifani
    @MwanatumuAlifani 2 месяца назад +2

    Allah atustiri na zinaaa

  • @khadijamutali254
    @khadijamutali254 2 месяца назад +12

    Ya Allah niepushe na zinah na unistiri

  • @NuroOscar-y4b
    @NuroOscar-y4b Месяц назад +1

    Mungu atinusuru

  • @abuushumeisa9816
    @abuushumeisa9816 2 месяца назад +1

    Allahu akbar allah atunusuru na hilo dhambi la uzinfu maaana ndo limetawala ulimuengu wa leo

  • @AbdulswamadMchaame
    @AbdulswamadMchaame 3 месяца назад +9

    Duh Mola tunakuomba utuepushe na zinaaa😢😢😢😢

  • @leilamnasha
    @leilamnasha 17 дней назад

    Kizini na mwanamke wa jiriani yako ni mbaya sanaaa

  • @AbdulkarimShosi
    @AbdulkarimShosi 3 месяца назад +3

    Mungu atusitiri zinaa inahalalishwa innahlilahi wainnah ilaihi rajiun sheikh kishki hapa kateleza ama vipi hebu nifahamishwe

    • @MissZayya
      @MissZayya 3 месяца назад +2

      Kichwa cha habari ndo hakijakaa sawa ila ukisikiliza maelezo yanayotolewa utaelewa. Allahu aghlam

    • @nelson-cd7fr
      @nelson-cd7fr 3 месяца назад

      Amin

    • @FadhilaKabelwa
      @FadhilaKabelwa 3 месяца назад

      Hapo kateleza hamna ubora wwte kweny zinaa, kwa kichwa cha habari hiko wakiona wazinifu watafurahi saan

    • @HarithAlyhamadi
      @HarithAlyhamadi 3 месяца назад

      Hajahalalisha zinaa uyo usimsingzye acha uwongo babu wew vip

  • @Mesaidi
    @Mesaidi 2 месяца назад +1

    Lahaula walaakuwatha yarabb tuepushe na gonjwa la zinaaa

  • @AshuraaRamaddhani
    @AshuraaRamaddhani 20 дней назад

    Wewe unae sema Nurdin amehalalisha zinaa umesikiliza mawaidha au yanakutok tu maneno

  • @SaudaSaid-b3k
    @SaudaSaid-b3k 3 месяца назад +2

    Wenye kufahamu washafahamu bora uliza kuliko kutoa hoja yakupotosha mungu anajua yaliyo ndani ya nafsi zetu😢

    • @omarhamad6358
      @omarhamad6358 Месяц назад

      Wa asirru kaulakum au jiharuubih inahughalimun bidhati suddur

    • @LatifahCarlos
      @LatifahCarlos 3 дня назад

      Waliopewa elimu wanatupatia ,fata vilivyohalalishwa sio viliokatazwa

  • @issamakau5841
    @issamakau5841 3 месяца назад +3

    Maana ya kichwa cha habari kwa mtazamo wa haraka ni-: unaruhusiwa kuzini ila sio na mwanamke aliyetajwa.....kwa kuwa limetumika neno "kuzini na wanawake kumi ni bora kuliko"......Ndio maana wenye ufahamu wa lugha ya kiswahili wanapinga anuani ya mada...
    Ni mtihani ila Allaah atuongoze kwenye kumuelewa Sheikh anacho kusudia maana mitandao siku hizi neno Moja linaweza zalisha maneno milioni kulingana na fahamu za kila mmoja... Afuan

  • @FatimaAbdulla-s4i
    @FatimaAbdulla-s4i 2 месяца назад +2

    Astaghfirullah Astaghfirullah, tuepushe yarab

  • @djumaboynteturuye5093
    @djumaboynteturuye5093 3 месяца назад

    SubhanaAllah 😢😢😢😢😢.
    Sheikh kamwaga unga.

  • @NaifilAlly
    @NaifilAlly 3 месяца назад +1

    Ammin yaarabb

  • @SabilaAbdallah
    @SabilaAbdallah 2 месяца назад

    Waislamu siyo mda wkulaumiana huu kama mnaona kichwa cha habari siyo sahihi basi muelekezeni vzr cyo kuanza kutoa Kashif

  • @SalhaAmour-p4z
    @SalhaAmour-p4z 19 дней назад

    Allah atuepushe nahilo 6:29 6:30

  • @FauziaFaruk-g7w
    @FauziaFaruk-g7w 14 дней назад

    Allah huakibar 🤔😭😭😭😭😭

  • @MaryamJuma-mi2si
    @MaryamJuma-mi2si 2 месяца назад

    Eeh Allah tujalie nas ambao bado atujaanza kuwa na familia zetu ili tuwasimamie watot wetu

  • @ismailmuna1604
    @ismailmuna1604 Месяц назад +1

    Shekh Kishki Omba Stighfar Hakuna Dhambi Yoyote Ilio Bora Kuliko Nyengine Dhambi Yoyote Ni Haramu Kuipa Ubora Kuliko Nyengine Shekh Hapo Umekisea Shekh Madhambi Kuna Makubwa Na Madogo Madogo Lakini Hakuna Dhambi Bora Sasa Uamuzi Ni Wako Shekh Allah Karim Ndio Mjuzi Wa Yote

  • @FatumaMussa-h9r
    @FatumaMussa-h9r 2 месяца назад +1

    Kwel kabisa ila zinaa yoyote ni dhambi hakuna unafuu kwa mmja wala kumi hiyo haiko sawa

  • @allywaziry7489
    @allywaziry7489 3 месяца назад +1

    ADMIN jitahidi kichwa Cha habari na maudhui viendane basi ..hii Chanell ni kubwa Sana

    • @qiblatainonline
      @qiblatainonline  3 месяца назад +1

      Mbna ndicho sheikh alochokizungumza akhy wangu

    • @izzymonterey5811
      @izzymonterey5811 Месяц назад

      ​@@qiblatainonlineJe wajuwa uzinifu na uzito wake walingana na mwanamke?Tujilinde.......Mada ingelikaa namna hii hamna angelisema. Tunakuomba uibadilishe manake wengi wanaangalia na haipendezi

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 3 месяца назад +1

    SubhanaALHA 😢 Pana nipa kelema Sinto faham Jeni hapo

  • @jumamhina9744
    @jumamhina9744 11 дней назад

    Hajahalalisha ila kichwa cha habari hakiko sawa kabisa akuna ubishi

  • @Mona1-j9g
    @Mona1-j9g Месяц назад

    Takbir

  • @MrpMbinho
    @MrpMbinho 2 месяца назад

    Huyu shekh apewe maua yake bismilah warahman rahm

  • @alawi6796
    @alawi6796 2 месяца назад +1

    Subhanallah

  • @SabihaAbdallah-x7o
    @SabihaAbdallah-x7o Месяц назад

    Yaa allah niepushe n hy zinaa

  • @IbFhg
    @IbFhg 2 месяца назад

    Allah atuepushie na zinaa zinaa huleta ukafil

  • @KassimBakari-mw8ey
    @KassimBakari-mw8ey 2 месяца назад

    Sheikh kishk , " mtu aaiyeoa au kuolewa hawazini ila wanafanya tendo la ndoa ", kassim Bakari Bindo

  • @MwanatumuAlifani
    @MwanatumuAlifani 2 месяца назад

    Atupe ufahamu molawetu tuwembali nazinaa

  • @farahali6041
    @farahali6041 3 месяца назад +4

    haja halalisha tatizo hamuelewi

  • @SafiaHaji-t3y
    @SafiaHaji-t3y 2 месяца назад

    Alie andika kichwa Cha habr ndo anae makosa mana alivo Anza sheikh tofaut na alicho kiandika muandish hapo juu

  • @AshaAli-u3w
    @AshaAli-u3w 3 месяца назад +9

    Wazinifu watabeza tu hapa mara kichwa Cha habari hakipo sawa 😂

    • @ismailyabdurahman8761
      @ismailyabdurahman8761 2 месяца назад +1

      😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂me napita tu ahahaha

  • @AthumanMagele-s3o
    @AthumanMagele-s3o 2 месяца назад

    Faham zetu kama wanaadam ziko tofauti so kwa utambulisho wa darsa hii itawapotosha wengi nakuienda zinaa, hivyo mwenderezo wake

  • @MohamediSleyum
    @MohamediSleyum Месяц назад

    Huo ni mtihan mzito sana.

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 3 месяца назад +3

    Wanao ona ni kosa kwenye kichwa cha habari, tatizo ni uwelewa wa lugha. Keuzeni mupeleke kwenye Mafhuml mukhaalafa. Kuna kitu bora na bora zaidi,kuna khatari na khatari zaidi. Hata mtume swala na salamu zinfikie aliulizwa. Ipi dhambi kubwa zaidi? Akasema: kumshirikisha Alla... Akaulizwa tena kisha lipi? Akasema kuzini na mke wa jirani yako. Je na hili lieleweke yakwamba kuzini na mwanamke asie kua wajirani yako sio dhambi? Lá huo ni uwelewa mbovu. Kuna kitu alikua anafundisha hapo.

  • @AshaAli-u3w
    @AshaAli-u3w 3 месяца назад +8

    Sikiliza maudhui usiangalie kichwa Cha habari hujasoma kiswahili vizuri itakuwa umepata F

  • @bin.jubairy1754
    @bin.jubairy1754 Месяц назад

    Ila maelezo ukibadilisha itakua vyema zaidy

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 3 месяца назад +3

    UPOONA MAKOSA KWA NDUGU YAKO KTK IMANI,..MPE UDHURU KISHA TAFUTA NAMNA BORA YA KUREKEBISHA

  • @KassimBakari-mw8ey
    @KassimBakari-mw8ey 2 месяца назад +1

    Sheikh asalam àlaykum , mi naitwa kassim Bakari Bindo kigamboni ungindoni dar " kuzini sio dhambi kwa mtu asiyeoa , ila ni dhambi kwa mtu aliyeoa au kuolewa "

    • @zahbinatsuleyman4438
      @zahbinatsuleyman4438 Месяц назад

      Mh asieoa anatakiw aoe aache kuzin zinaa sio halali

    • @MikiIssa-s5u
      @MikiIssa-s5u 14 дней назад

      Subhanaallah, zinaa nizambi hata kwa asie owa au awe miyaka 15 tu au 10, bas anapata Zambi zinaa niharamuu kwa kila mtu awee kipofuu au kiziwi awemlemavu bas kwake niharamuu ukiwa unaakili timamtu ujuwee haramu zinaa haramu.

  • @AminaYusuph-o4u
    @AminaYusuph-o4u Месяц назад

    Tumuombe allah atuongowe

  • @FarijikaFaraja
    @FarijikaFaraja 3 месяца назад

    Acheni kuhararisha zinaa,, dhambi ya zinaa Iko pale pale hata kama umezini na nani.

  • @MaryamJuma-mi2si
    @MaryamJuma-mi2si 2 месяца назад

    Yani kila kitu kinatoka kwa wazazi kinaanzaa kwa wazazi wetu 😢😢😢😢😢

  • @AshrafyYousuf
    @AshrafyYousuf Месяц назад

    Allah atu epushe na hili zambi 😭

  • @JuyaJuya-l9e
    @JuyaJuya-l9e 2 месяца назад

    Ewe ya lab tuongoze pamoja na ambao umewaongoza na utujalie mwisho mwema 13:03

  • @AliKhamis-n9p
    @AliKhamis-n9p 21 день назад

    ana maana ya kua kuna zinaa nyengne hua na uzito zaid kuliko nyengne

  • @abuually-ol2xc
    @abuually-ol2xc 3 месяца назад

    Ewee Allah tueushe na itiqadi za kiwahabi 😢

  • @Zainab-o9c1c
    @Zainab-o9c1c Месяц назад

    Allah tuepushe na zina 😭😭😭😭😭

  • @brahKijux
    @brahKijux 3 месяца назад +1

    Kichwa cha Habari na Maudhui yenyewe hayaFanani 😢

    • @albashirnur
      @albashirnur 3 месяца назад

      Iko sawa kabisa kwasababu Kuna watu wanapenda zinaa watapenda kujua 😅

  • @SalhaAmour-p4z
    @SalhaAmour-p4z 19 дней назад

    Sikiliza anachose sema kwanza usiongee ivo

  • @MusaNjalo
    @MusaNjalo 3 месяца назад +1

    Je allah ana sema wala tazilu waazitan wizira ukhura na Kishki anasema tofauti?

  • @rajaballyrajabchaka5302
    @rajaballyrajabchaka5302 Месяц назад

    Zinaa ni zinaa tu

  • @MustafaHalake10
    @MustafaHalake10 Месяц назад

    ❤❤❤

  • @BarakaNandute
    @BarakaNandute 3 месяца назад

    Tumuombe allaha atukinge na zinaaa

  • @NuroOscar-y4b
    @NuroOscar-y4b Месяц назад

    Akuna zina ya afazar

  • @hawaAbdul-p8h
    @hawaAbdul-p8h 3 месяца назад +1

    Zinaa ni zinaa tu.. Na uharam wake uko palepale

  • @Anest01-u1x
    @Anest01-u1x 9 дней назад

    😮

  • @wajerahussein3458
    @wajerahussein3458 2 месяца назад

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mzulwa2006
    @mzulwa2006 3 месяца назад

    Habari inaweza kuwa sawa ila inategemea na mandhari husika taarifa ya shweikh ingekuwa sawa kamaeingekuwa ktk darasa lakini kwa siku za mkusanyiko ambao unatumia vyombo vya habari hapo tegemea upotevu

  • @Humphrey-z8c
    @Humphrey-z8c 2 месяца назад

    Solomon alikuwa na wake na vimada 1000
    Bado alikuwa ni Mtumishi wa Mungu

    • @MariaShehemba
      @MariaShehemba Месяц назад

      Na unadhani Mungu alikuwa anafurahia alipokua akizini nao? mwisho ulikuaje?

    • @Humphrey-z8c
      @Humphrey-z8c Месяц назад

      @MariaShehemba watu hawawezi ongezeka kwa kuzaa watoto wawili. Dunia ina hitaji watu
      Wanaume waowe Idadi kubwa ya wanawake

  • @ShafiiKauli-xk2hy
    @ShafiiKauli-xk2hy 3 месяца назад +1

    Innalilah wainnailahi rajiun rekebisha hiyo kauli hueleweki

    • @Ashrafkhalid-ir4up
      @Ashrafkhalid-ir4up 3 месяца назад

      Tukikatazwa tusifanye tunafanya ,lkn kichwa cha habari tu kinawatoa jasho tusikilize kwanza kisha ndiyo tuseme,maana ?????

    • @ibnameyr
      @ibnameyr Месяц назад

      Simwelewi huyu shekh

  • @Imrani-g9o
    @Imrani-g9o 3 месяца назад +3

    Tupe hotuba za kupandisha imani shekh kichwa cha habari ni madhambi tu

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 3 месяца назад

      Anasema Kwel Watu wana zini sna Kwel acha wakatazwee

  • @powerrecordszanzibar3384
    @powerrecordszanzibar3384 3 месяца назад +1

    KWAIYO KUZINI UINAKUBALIKA IKIBIDI, HAWA MASHEIKH WETU BANA

    • @albashirnur
      @albashirnur 3 месяца назад

      Kama ni hivyo hange Sema zinaa... napia angesema inaruhusiwa hangesema ninafuu katika dhambi. Madhambi ndio yako katika dharaja nyingi

  • @mohamedshee4731
    @mohamedshee4731 26 дней назад

    Shekhe fafanulia watu zinaa Gani Bora kuliko zinaa inginee?

  • @SahlanAbdullah-u5g
    @SahlanAbdullah-u5g 2 месяца назад

    Kichwa cha habari cyo sahihi hyo muandikishaj nae binaadam Ila sheikh yupo sahihi anasema n dhambi na haramu

  • @muhasatv9245
    @muhasatv9245 2 месяца назад

    BWANA YESU ASIFIWE WATU WA MUNGU

  • @111dudi
    @111dudi Месяц назад +1

    Wanawake gani hao ?

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 25 дней назад

    KUZINI NA WANAWAKE KUMI NI BORA SI KICHEKESHO HICHO HAKUNA KUZINI KWA WEPESI /KUZINI KUTE NI MUNKARI MSIWAMMBIE WATU WAKIZINI HIVI NI RAHA NA UKIZINI HIVI NI DHAMBI KUZINI NI DHAMBI HATA UKIZINI NA MTOTO WA NANI

  • @bilalmahmood7298
    @bilalmahmood7298 3 месяца назад

    Ondoa kichwa cha khabar kichwa cha habari cha dhalilisha uisilamu

  • @yaasindickison
    @yaasindickison Месяц назад

    takbir