Maashaallah ukhty wangu nmekupenda kwa ajili ya Allah taala kwa hakika umetoa somo zuri sana Allah akuhifadhi ukhty wetu na akusamehe ulipokosea amiiin allahumma amiiin
*📌Maoni ya kwanza,...naonelea nguo ya kumuoshea maiti, isiwe cotton, bali iwe ya mpira / nylon. Itakua rahisi kwa waoshaji na yeye maiti. Hata ikichafuka, nylon ni rahisi kuiosha na ku recycle. Lakini cotton ikiingia maji kama tulivyooneshwa **22:35**, itawapa waoshaji na maiti tabu kisha kubadilisha tena mara ya pili, na pia itamuonyesha uchi wake maana inashika mwili. Ikiwa washonaji wataweza kushona kama raincoat isiyokuwa na mikono kama nguo za hospital itakua bora. Maoni ya pili,... Pia kitanda cha kumbebea maiti kinafaa kitengenezwe cha chuma. Chuma ni durable. maana mna maiti wanene na mbao huweza kuvunjika. Niliona video ambayo mbao ilivunjika na kidogo kimtupe maiti. Maoni ya tatu,...Waoshaji wanapovaa gloves, wavae pia mask, gumboots, na manila apron. Nataraji tutayazingatia maoni haya. Shukran* ❤
Allah atupe husnulkhatima na qaulu thabbit,shukran sister asya Allah atupe fahamu mzuri tunapofikwa na msiba tusiwe ni wenye kuchanganyikiwa upande wa kustiri wenzetu,jazakumullahu khayran.
Jamani mi naona si vibaya kama alivyosema mwenzetu tutajitahidi kujirekebisha tunapokosea ingawaje hatukumaanisha vibaya bt tutatumia ukhty ama dada turudi kwa utamaduni wetu na dini yetu,shukran
Assalamualaikum Allah akulipe kheri dada kwa nia yako ila tumia jina ukhty Asia au dada badala ya sister Asia hili jina la sister wanatumia sana wagalatia
Jazzakkah Allah kheir dadangu.umefanya jambo lisilo fanywa na wengi.somo hili ni muhimu sana waama kwa wale walio silimu na wapo maeneo ya bara.nipo sehemu za bara maeneo ya Lugari,mbali na kuwa misikiti ni michache elimu hii niadhimu.
Waaleikum msalam warahmatullahi wabarakatu mamangu katika iman shukran sana wallahi jazaa yako.kwa Allah utaipata,,yani nmefurahi kujua kukufini maiti kwan najua kumswalia ila sikua najua anavyaoandaliwa hadi kufikia kwa swala,,shukran sana jazakallahu kheyr
Alhamdulillah MashaAllah Tabaraka'Allah shukran sanaa kwa somo zuri la dino,Allah akulipe khery Duniyani na kesho akheera, Allah atujaalie mwisho mwema ya rabby tuwe miongoni mwa watu wema tukutane peponi na kipenzi chetu mtume mohamad s.w.a.
Subhaan Allah 😭😭😭 yaraaaab tunakuomba tujarie mwisho mwema Amiiin thum Amiiin kwasote yaraaaab shukran san dada Naweza kuipata iyo krep samaan naomba kuipata nataka nitumie kwa familia yangu samaan sana
Tunamshukuru sana ukhty kwa darsa lako la fikhi tumejifunza vizur sana Alhamdilalahi😢 Allah akulipe kila la kheri
🥲🥲🥲🥲Tunariinga lkn mwisho wetu ndo huu😭😭 Allah atujaalie mwisho mwema
Amin yarabi Amin yarabi Amin yarabi 😭😭😭😭😭
Mashaallah mwenyez mungu atujaarie mwisho mwema
Mung atakulip kwa som unalo tufundisha mung akup umur mref mama ang
Mashalah uhty umenifundiaha Jambo jema na muhimu kwakila mwiialam
Masha Allah dada Asia somo zuri sana 🎉na nilamaisha yetu sote tunapitia haya.allah akubarik ❤na atujalie mwisho mwema 🤲
Jazakallah khair Allah akulipe palipo pungua ukhty na atupe mwisho mwema kwa sote somo ni zuri tumejifunza allahuma amiin
Maashaallah ukhty wangu nmekupenda kwa ajili ya Allah taala kwa hakika umetoa somo zuri sana Allah akuhifadhi ukhty wetu na akusamehe ulipokosea amiiin allahumma amiiin
Amin Yarab
😢😢😢 mashaallah mama umetupa ukumbusho nzuri mungu atujalie kila la heri
*📌Maoni ya kwanza,...naonelea nguo ya kumuoshea maiti, isiwe cotton, bali iwe ya mpira / nylon. Itakua rahisi kwa waoshaji na yeye maiti. Hata ikichafuka, nylon ni rahisi kuiosha na ku recycle. Lakini cotton ikiingia maji kama tulivyooneshwa **22:35**, itawapa waoshaji na maiti tabu kisha kubadilisha tena mara ya pili, na pia itamuonyesha uchi wake maana inashika mwili. Ikiwa washonaji wataweza kushona kama raincoat isiyokuwa na mikono kama nguo za hospital itakua bora. Maoni ya pili,... Pia kitanda cha kumbebea maiti kinafaa kitengenezwe cha chuma. Chuma ni durable. maana mna maiti wanene na mbao huweza kuvunjika. Niliona video ambayo mbao ilivunjika na kidogo kimtupe maiti. Maoni ya tatu,...Waoshaji wanapovaa gloves, wavae pia mask, gumboots, na manila apron. Nataraji tutayazingatia maoni haya. Shukran* ❤
Umri wangu wote naona watu wakitumia cotton na haonekan coz watu wanakuja joshon Kwa makin
Shukran Jazzakkah Allah kheir, vzr sana mama kutukumbusha na nimejifunza kitu kimoja likua sijui nimejulia kwako
M/Mungu atupe mwisho mwema
Amin ya rrwabby 😢😢
Mashallah mashallah mwenzi mungu hakulipe mamii ❤
Allah atupe mwisho mwema sisi sote pamoja na wewe ukhty Asiay.... insha'Allah
Allah atustiri hpa Duniani na Kesho Akherra😢....
Atupe na mwisho mwema Yaa Raabb Alaamiiin
Amiiiiiiiiin
Amin ya Rabbil alamin
Amin amin amin ya rabby
Tabarakallah sister Asya wa jazakallah kheir. Allah akuhifadhi na hii sadaqa iwe sababu ya wewe kupata Rehma zake Allah. Shukran
Alhamdullilah nimejifunza ipo siku notapitia haya yarrab nipe mwisho mwema mimi mja wako dhaifu😭😭
Mashallah tabarakallah alhamdulillah yarabi Allah Amin yarabi Amin 🙏🙏🙏🙏🙏 may Allah make it easy for us and good ending yarabi 😭😭😭😭😭😭
JAZAKI ALLAH KHAYRA KIPENZI UKHTY ASYA, WAJINA WANGU MIMI.
YAA RABBI TUNAKUOMBA KHATMA NJEMA AAAMIN
Allahumma Amiin yaraab
Shukran jazzila ukhty Asya
Hongera kwakazi nzuri balikiwa waislam mnapamba vizur
Subhannaallah Subhannaallah 😭😭😭Allah atujalie mwisho mwema 😢😥
Allah atupe husnulkhatima na qaulu thabbit,shukran sister asya Allah atupe fahamu mzuri tunapofikwa na msiba tusiwe ni wenye kuchanganyikiwa upande wa kustiri wenzetu,jazakumullahu khayran.
Jadhakallah kwa Elimu mzuri ya kuosha maiti ustadhati Asya mungu Akulipe mbadala kwa hakika umetuelimisha vya kutosha
Jamani mi naona si vibaya kama alivyosema mwenzetu tutajitahidi kujirekebisha tunapokosea ingawaje hatukumaanisha vibaya bt tutatumia ukhty ama dada turudi kwa utamaduni wetu na dini yetu,shukran
Shukran xn, Allah atujaalie mwixho mwema....
Allah atujaalie mwisho mwema Amiin
Mashallah ukhty asya allah akulipe kheir kwa kutufundisha. Allah sw atakulipa inshaallah
Maasha Allah dada etu Asya shukran sana Allah akulipe kheri duniani na Akhera nimejifunza mengi Alhamdulilah
Assalamualaikum Allah akulipe kheri dada kwa nia yako ila tumia jina ukhty Asia au dada badala ya sister Asia hili jina la sister wanatumia sana wagalatia
Nikweri kabisa hata mim nilitaka kusema hivyo
Tafauti ya majina Ukhty Dada au sister maanake nini
Sister ni kiingereza but ni sawa majina yote yamaanisha dada, ukhty pia the same
Majina yoote ni sawasawa
Sister ni dada ukht
@shamzone388 kwa Nini usitumie lugha ya mtume mnamtumia lugha yamagharibi
Ahsanteee, nxhaona kupanga sanda... ❤
Ma Shaa llah tabbaraka llah,, Mwalimu mzuri sanaa nimejifunza vzr naelewa sasa
Shukran sister Asya Allah akulipe ujira mwema na uendelee kutufunza❤❤❤❤❤❤❤nakupenda sana
Shukran shukran shukran San dada yetu endlea kutufundisha kheri zaid inshallah naiman Allah atakulipa Ameen 🤲 thumma Ameen 🤲
Shukran ALLAH atujalie mwisho mwema yarab😢
Masha Allah mungu akuzidishie heri
Shukran dada Kwa elimu uliyo tupatia
Mwenyezi mungu akulipe kheri pamoja na kizazi chako
Shukran sana sana kwa kutufunza kukosha maiti Allah atakulipa kila la kheri na atakuzidishia elmu ameen
Mashaallah Allah akujalie umri mrefu Inshaallah
Asalamu Aleikum mashallah shukran sana Mungu akuli jaza yako na akupe umri uzidi kutuelimisha
Mungu akulipe kwa somo lako mungu akubarik
Assalaam Aleykum Dada Asya. Asante sana kwa darsa
Mashaallah Dada Asia somo zuri sana sijawai kujua wala kuona Allah atupe mwisho mwema
Shkran sana kwa kutuelimisha Allah atujalie mwisho mwema
Mashaallah allah akulipe heri somo zuri mno wengi wetu hatujui .
Yaaa Allah tujaalie mwisho mwema
Jazakallahu kheir dada umenitoa kizani somo lako zuri sana endelea kutufunza inshaallah Allah atakulipa wema wako
Allah atupe mwisho mwema yarabbi ameen
Jazzakkah Allah kheir dadangu.umefanya jambo lisilo fanywa na wengi.somo hili ni muhimu sana waama kwa wale walio silimu na wapo maeneo ya bara.nipo sehemu za bara maeneo ya Lugari,mbali na kuwa misikiti ni michache elimu hii niadhimu.
Mwenyezi Mungu akuhifadhi na kila shari akulipe kulingana na ambalo unayofanya
Wallah mwenyez MUNGU atujaaliye mwisho mwema😢🙏
Shukran jazakAllahu kheir kwa mafundisho ya kukafini maiti alhamdulilah.wengi watapata kujua shukran.
Mashaallah mungu akulipe Kila la kheri
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh. Shukran sana mama yetu kutupa kisomo kizuri chakheri. Allah akuzidishiye inshaAllah na akupe umri mrefu
Mashallah 🙏 🙏 🙏
Vazi lisilo na garama uwe masikini uwe tajiri 😭😭😭😭
Waaleikum msalam warahmatullahi wabarakatu mamangu katika iman shukran sana wallahi jazaa yako.kwa Allah utaipata,,yani nmefurahi kujua kukufini maiti kwan najua kumswalia ila sikua najua anavyaoandaliwa hadi kufikia kwa swala,,shukran sana jazakallahu kheyr
Amin waiyyakum
Mashaallah allah atupe mwisho mwema vazi la binadam wote dunian😢😢😢😢
Asante sana ukty wetu mungu akukalie Afyah fill duniya wal akhera Insha Allah,mungu atujalie mwisho mwema
Mashallah.. Asante ukhut kwa darasa nzuri Allah akulipe kheri nyingi
Alhamdulillah MashaAllah Tabaraka'Allah shukran sanaa kwa somo zuri la dino,Allah akulipe khery Duniyani na kesho akheera, Allah atujaalie mwisho mwema ya rabby tuwe miongoni mwa watu wema tukutane peponi na kipenzi chetu mtume mohamad s.w.a.
Jazzakiy llahu kheir😢😢Allah atujalie mwisho mwema
Asalakyum Asante dada yangu Mungu Antankuripa
Allah atujaalie mwisho mwema asante bi Asiya kwa kutukimbusha
Assalam aleikum warahmathulla wabarakathu shukran Allah akujaze sister Asya.
Nakuombea maisha marefu Allah akupe umri akuzidishie matatizo uzidi kutufundisha mengi zaidi
Maashallah 🎉 Allah akulipe kheri duniani na akhera aamin yarabbi
Shkrani allah akulipe akulipe kher shkrani sana
Mashaaallah tabarkaallh mungu athakabali Dua Kwa Kaz yko hhbty
Shukran dada Allah akulipe kheri kwa somo nzuri
jazak kheri Ukty Asya
Masha'Allah Mafundisho mazuri. Mungu awajazi kheri 🤲🏽
Subhaan Allah 😭😭😭 yaraaaab tunakuomba tujarie mwisho mwema Amiiin thum Amiiin kwasote yaraaaab shukran san dada
Naweza kuipata iyo krep samaan naomba kuipata nataka nitumie kwa familia yangu samaan sana
Mashallah ❤️ ❤️ mara yangu ya kwanza kujuwa kuosha maiti ni leo from Kenya 🇰🇪 mombasa 🇰🇪
Nimejipuzaa kitu alhamdulilah 🙏 Mungu akupee mri mrefu inshallah 🤲
Ma shaa Allah
Shukran sana habibty kwa somo zuri
Allah akulipe
Allah Atujalie mwisho mwema.
Shukraan funzo nzuri Allah akupe kila la kheiri uzidi kutufunza❤
Shukran sana kwa mafundisho mazuri Allah akupe baraka Ameen
Waaleikum salam warahmatullah.Allah akutunze mama yetu mzuri❤
Masha'Allah TabarakaAllah ❤ Allah atujaalie mwisho mwema yarabi 🙏
Mungu Akulipe kila la kheri.
MashaAllah nakupenda sana mama yetu aunty Asya
MashaAllah tabarka Allah mamangu kipenzi leo umenifunza nisiyo yajua, Allah akulipe mema na akujalie umri tawili inshaAllah 🤲❤
Asante sana mama etu kwa funzo bola allah atakulipa inshallah
Shukran...jazakhallah kheir..... mashaallah kwa mafunzo mema ....
Mashallah tabarakallah shukraan sister asyaa
Allah akujaze majazo mema ummy alhamdulillah
WOW 😲 mom 🥰 mashaallaah naitaji kujua saidi
Allah atujalie mwisho mwema allahumma amiin 🤲
Barakallahu fiyk yaa Ukhty Asia ❤❤❤
Mashallah mama❤❤❤❤❤❤
Mashaallah ukht allah akulipe kher ,kwa somo lako zuri
Mashaallah maadam
Allah tusamehe madhambi yetu
Amin
Mashallah..mungu akulipe inshallah 🤲
Shukran sana Leo nimejifunza vitu vingii Allah atuhifadhi sote
Alhamdulillah ,mafunzo mazuri sana,Allah tujalie mwisho mwema
Subhanallah 🥺 allah atupe mwisho mwema 😢😢😢😢
Anima mungu atupe mwisho mwema❤❤❤
Samahani nimekose kusema amin