JINSI YA KUSALI SALA YA MAOMBI KUJIBIWA HARAKA (SALAT HAJA)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 931

  • @TeddyAyubu
    @TeddyAyubu Год назад +121

    Mwenyenzi mungu na akupe mwisho mwema nimejifunza sana maana nimeingia uislam hivi karibuni mungu akutunze na akupe maisha marefu uzidi kutufundisha amina

    • @ummuwawili
      @ummuwawili Год назад +3

      Mashaa Allah Alhamndulillah Allah akuongoze atuongoze sote uijue zaidi na ushikamane na dini tukufu ya kiislam....akupe ufaham na wepesi wa kusoma na kufanyia kazi na ibada kwa wakati .....Allah akujaalie mwisho mwema

    • @jaliakamote5485
      @jaliakamote5485 Год назад

      Masha allah

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya Год назад +1

      Amiin

    • @saumnyumbwe4259
      @saumnyumbwe4259 Год назад +1

    • @rukaiyhmagasa2919
      @rukaiyhmagasa2919 10 месяцев назад

      Mashaallah

  • @atubae5004
    @atubae5004 Год назад +9

    Alhamdulilah jazakaAllah khairan...umenielekeza vizr nimepata Elimu zaid nilikuwa nikiswali lakn kuna mengin sikuwa nayafaham lla kwa Utukufu wa Allah nimepata kuelewa zaid Allah azidi kukupa rehm nying zaid kwa kutufahamisha swala hizi

  • @remmyrammy1373
    @remmyrammy1373 Месяц назад +4

    Barakallahu fikuum.
    Allah Atutakabalie lbada zetu za siri na dhahiri.Amiin

  • @f.w.z2446
    @f.w.z2446 Год назад +63

    Wallah nakumbuka ramadhan ya 29 sikuwa na chochote naiwazia sikukuu sikuwa na pesa wala sina chanzo chakuipata niliamka usiku nikaswali rakaa 2 nikatoka uwani nikainua mikono na kumuomba mungu nikasema ya Allah ww ndo unajua shida zangu zote nakuachia wewe ndio mwenye kutatua matatizo ya waja wako na ww ndo unaejua matatizo ya waja wako Wallah thuma Wallah niliamka asubuhu nikafanya pirika zangu nilivo tulia nikachukua simu nikaingia WhatsApp nikakuta sms mtu ambae sikutegemea kanambia kuna pesa nataka nikutumie nirushie number yako nikajua ile swala mwenyezi mungu kajibu Alhamdulilah

  • @salehsultan-7554
    @salehsultan-7554 10 месяцев назад +63

    Subhana yaa rabby nakumbuka nataka kuowa tanga ilibaki siku 4 niende tanga kuowa na nilishalipa maali na nilikua daresalaam nilipata mtian sina kitu yaan ilibaki siku 4 nisafili nikaowe nanilikua sina ata nauli yakusafili na wala yakulud na mke ntakae muowa uko lakin Allah aliniamsha usku nikaswali hii swala nikatoka nnje niliangalia mbingu uku nalia namuomba Allah walah wabilah asubui nalud nyumban tuu kunamtu ameniita nikachukue milion moja

    • @InezaBahati
      @InezaBahati 9 месяцев назад +2

      Allah akibr rahawura waraquwata ilabi llah radhim hasibun llah wanemar wakir

    • @rukiamashaka7577
      @rukiamashaka7577 9 месяцев назад +4

      MashaAllah Allah azidi kukufungulia njia zko upate rizq kwa wingi,,, ameen

    • @Tiffahmkundia-lz3tc
      @Tiffahmkundia-lz3tc 9 месяцев назад

      Subhanallah

    • @AishaJuma-m5u
      @AishaJuma-m5u 9 месяцев назад

      Allah Akbar mungu ni mwema naomba tumcheni kila uchao.

    • @FADHILILUMANI
      @FADHILILUMANI 6 месяцев назад

      Rehma na Amani ziwe juu yako Shekhe wangu

  • @sadisaidi6961
    @sadisaidi6961 Год назад +10

    Asalam alaykm ,shukran shehe wetu darsa ni nzuri sana Allah akupe kila lenye her na baraka afya siha na uzma uzidi kutuelimisha tunaelimika kupitia vipindi vyako naomba utupe na darsa ya sala nyengine km sala ya dhuha na nyengine pamoja na kuooga majosho yetu Allah akupe umri twawili kwenye her

  • @ashiakibwanaashia4934
    @ashiakibwanaashia4934 2 года назад +29

    Allah akulinde na akupe moyo huohuo kweli unatupenda kwa ajili ya Allah n sisi twakupenda kwa ajili ya Allah

  • @JamyDelove
    @JamyDelove 9 месяцев назад +4

    MashaAllah jazakhallahu mwenyezi mungu akuzidishie uelewa wa qar-an ili upate kutufundisha inshallah 🤲

  • @abdulhakhashim764
    @abdulhakhashim764 9 месяцев назад +5

    Ameen Ameen 😭 maisha yetu ya binaadam ni muda mfupi xanaaaa duniani...... Allah atuwekee wepesi
    ...daima Atupe rizki ya Alali , na sio. Pesa ya ushilikina 😭🤲🙏tumtegemee ALLAH , Kila. Kitu....yeye ..ndio...alituumba na yeye ndio. Akituitaji kwake tutalejea.

  • @Wizzymp
    @Wizzymp 2 месяца назад +3

    Wallah shekhe allah akujaalie kher na baraka,kwa kutufundisha hii ibada

  • @omanomqn4345
    @omanomqn4345 2 года назад +21

    Shekhe wetu Allah azidi kukuongoza wewe na Familia yako nasie tunaikufatilia ktk Mitandao,, kwa kweli tunafaidika na mengi Sana,,, na Allah akulipe UJIRA usio kwisha na peponi uingie kwa barka za mtume muhammad SWALALLAHU ALAYHI WASSALAM.

    • @uwesomasawanga241
      @uwesomasawanga241 Год назад +1

      Kwanza nianze kwa kutoa shukrani nyingi kwako mwenyezi mungu haendelee kukupa afya njema ili huendelee kutufunza Yale tusiyoyajua lakini pia kutukumbusha kwa Yale ambayo tumejisahau Kama binadamu, samahani naomba muongozo hapo ikitokea mtu anajua baadhi ya Surat ikiwemo Surat Al fatihah lakin akawa ajui zile Surat zingine ulizozisoma je Kuna uwezekano wa kuweza kuswali hiyo Ibada?

    • @othmanmichaelonline2866
      @othmanmichaelonline2866  Год назад +2

      Ndio

    • @ZaharaOmar-zp7jb
      @ZaharaOmar-zp7jb 9 месяцев назад

      @@othmanmichaelonline2866 Masha Allah

    • @fadyakhalfan8767
      @fadyakhalfan8767 9 месяцев назад

      Assalam alykum ostadh…vp km una udhuru n ramadhan hii n untmn kuomb sala ya tahajud…je kun mbadala wake kufny ibd hy ht km huna udhu

    • @fadyakhalfan8767
      @fadyakhalfan8767 9 месяцев назад

      @@othmanmichaelonline2866 assalam alaykum…hv kuna mbadala wa kusali swla ya tahajud ht km hun udhu n untmn kufny maombi ucku huu wa ramadhani

  • @SuleimanMasoud-u2d
    @SuleimanMasoud-u2d 3 месяца назад +2

    MashaAllah Allah akupe umri mrefu ustadh kwa utuelimisha na maekelezo mimi nimekufutilia miaka mingi sana Allah akuzidishie huna unatoa Tiba bila yamalipo sadaka yako unaelekeza na kama mtu hawezi kufanya unamuzia shukran

  • @Kassimhaji-pv3ys
    @Kassimhaji-pv3ys 5 месяцев назад +5

    shekhe othaman bin maiko mashaallah mungu akuongoze zaidi ktk mambo ya kheirati ili uzidi kutufunza kwa ajili ya allah

  • @JuliaMukami-o9t
    @JuliaMukami-o9t 12 дней назад

    Mashaalla ALAHU AKBAR! Shukran SHEHE kwa Darasa yko ta kheli, naomba next time unatasfsiri na kiswahili juu wengine hatuerewi kiarambu saana coz tumeslim ila kuna msaafu wa kimombo na kiswahili shukran nakuombea UMLI mrefu wenye mafanikiyo mema ishaallah.

  • @FatnaAlly-hm1xc
    @FatnaAlly-hm1xc Год назад +23

    Allah atujaalue tuwe ni miongoni mwa wenye kufanya ibada yarabi hakika ibada zq usiku ni 💖 😘 maqubuli

  • @shemmaster7swaleyuun228
    @shemmaster7swaleyuun228 Год назад +13

    ALLAH SW AKULIPE NEEMA WEWE NA WAZAZI WAKO. AKUEPUSHE NA ADHABU ZA MOTO WAKE MKALI. AAMIN

  • @zahramahammad916
    @zahramahammad916 Год назад +43

    Am a Ugandan but I love your teaching sheikh may Allah grant you jannatul firdaus.

  • @CharlesJustinian-o2c
    @CharlesJustinian-o2c Месяц назад

    InshaAllah,Asante sana Kwa elimu hii hakika ninafuatilia darasa lako shekhe,Allah akuongezee muda wa kuishi uendelee kutupatia elimu hizi.

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed Год назад +4

    Alhamndulillah Alhamndulillah Alhamndulillah, Umefundisha Habari Njema.Tukitekeleza ina kheri Sana.Namuomba ALLAH Akujalie kutueezesha zaidi.

  • @lovedeetz4461
    @lovedeetz4461 2 месяца назад +2

    Kiufup tu nakupenda kwa ajili ya ALLAH NAPENDA SNA MADARASA YAKO YANAFUNZA SANA JAMAN HADI RAHA. ALLAH AKUPE UHAI MREFU SANA ILI UZIDI KUTUPA FAIDA

  • @RayaSalim-ts6pz
    @RayaSalim-ts6pz Год назад +8

    Masha Allah jazaakallah lkhayr. Allah akulipe kher nyingi. Na akuzidishie elimu n pia iwe ni yenye manufaa makubwa. Allah atujaalie kuwa ni wenye kuyazingatia hayo na kuyafanyia kazi.

  • @SalamaRajabu-c6h
    @SalamaRajabu-c6h 2 месяца назад +2

    Shukran shekhe hosman allah akulipe kher kwa kutupatia mafundish mazur nami nitaanza sala ya maombi nilikua nataman sana ila nilikua siijui

  • @MosiNdundu
    @MosiNdundu Год назад +7

    Mashllah hakika mwezimungu hakujaalie her na baraka tele na hakupe maisha maref Kwa Dua Yako inshallah

  • @HamidaSaid-vh4hr
    @HamidaSaid-vh4hr 5 месяцев назад +2

    Shukran yaarabi nakumbuka nilikaa miaka miwili nyumban kwa kusimama kimasomo skuwa na pesa wala wakunisaidia lakini nilipo swali hii nilipata mteja wakushtukiza wakiwanja changu fasta nikaenda shule hakika Allah ni mkubwa anapaswa kuabudiwa na kuomba msaada

  • @sheikhismaelramadhankenya8928
    @sheikhismaelramadhankenya8928 Год назад +22

    Salatul haja na tahajudi ndio imefanikisha maisha yngu yote. Now iam self employed and my workers . Prüfer walking alone but friendly to every one to improve your time

    • @JasmineYasimen-sv3zr
      @JasmineYasimen-sv3zr Год назад +2

      Nashukur na nakushukur mm huwa naiswali japo ilikua si uswali jinsi ulivyo funza ila nishaiyona matunda yke na nimezid kujifunza kitu ishallwa mungu akuzidishie

    • @sikukuuchuo3093
      @sikukuuchuo3093 Год назад

      Maasha Allah

    • @khairunhkhalidy8463
      @khairunhkhalidy8463 Год назад

      Mashaalla ❤❤

  • @MwahijaMwalange
    @MwahijaMwalange 5 месяцев назад +2

    Alhamdulirah shekh mwenyezi mungu akubariki,,,,napenda sana kuswali ila nilikuwa sijui hata dua za kuswalia ila hapa umenipa muongozo ninaimani nitaweza

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 2 года назад +19

    Jamani mpaka raha Mungu akupe kheri inshallah 🤲 mimi hili fundisho linaniusu kweli

  • @CEWUSi-gs9yb
    @CEWUSi-gs9yb 15 дней назад

    Masha Allah Allah akulipe mwisho mwema akupe unaco muomba!🤲🤲🤲

  • @hassanalihassan5073
    @hassanalihassan5073 2 года назад +16

    Masha Allah sheikh Othman tumepata Elimu kubwa leo shukran sheikh.

    • @ceeceena8385
      @ceeceena8385 10 месяцев назад

      sukuran sheh mm ilikua sijui asant sana

  • @RehemaKitama
    @RehemaKitama 11 месяцев назад +7

    Allah akuzidishie kheri japo Bado cjaswali lakini hakika Imani yangu ni thabit juu ya mola unayemwamini wewe na mimi Aamin 🙏🙏🙏

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 Год назад +3

    Mashaallaah mashaallaah shekhe wetu Allah akuzidishie kila la heri wewe pamoja na familia yako
    Shukran sana shekhe wetu kwa darsa lako wengine hatujajua vizuri lakini wewe watuelimisha

  • @ummyratymalkher2715
    @ummyratymalkher2715 Год назад +274

    Mm sikuwa napesa wala kazi nilifanya hii ibada nikamwambia allah sinakaziwalachanzo cha kupatia pesa ila yeye nimwenyekutoa anipe pesa, nikamwambia mama namuomba mung yeye atanipa pesa, keshoyake saa saba nikapikea ujumbe kutoka bank nimepikea pesa ktk shirika ambalo tulimalizanalo mkatab sikunying sana 😭😭😭😭😭😭nilijua wote tumetumiwa ila iliku nipekeyngu niliiyona miyjiza ya allah mama pia alishangaa sana allah akbaru, sikutumia atanguvu kuomba

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 2 года назад +9

    Ma sha Allah Allah akuzidishie darja kakangu na imani ya juu cz elmu aliokupa nafaidika wengi allahumma ameen 🤲🤲🤲yarabby elmu nilio ipata kwa shekh Othman Michael iwe ufunguo wa shida zangu☝💪🙏

  • @MwilwaMfaume
    @MwilwaMfaume 2 месяца назад +1

    Mwenyezi Mungu akujaariee nimekifunza swala hii na nimeifanya alhamdulilah

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 2 года назад +23

    MashaAllah Jazakhallahu kheiri Sheikh,umenifunza kitu bora maishani mwangu Allah akulipe kila la kheiri InshaAllah😢😢😢

  • @halimamohamed4842
    @halimamohamed4842 Год назад +9

    Maa Shaa Allah Shukrn sana Shekh wetu Allah akulip kheri tumejifunza mengi sana nakupenda sana kwa ajili ya Allah🇰🇪🇰🇪❣️

  • @FatooomaFatoma
    @FatooomaFatoma 8 месяцев назад +3

    Mashaa Allah Allah akuepushe shaar za shetwani akupe mwisho mwema nimejifuza Allahmdullih

  • @MwanaidiMsongo
    @MwanaidiMsongo 2 месяца назад +1

    Jazakallahu khairan..May Allah grant u jannat firdausi

  • @sharifamohammed4503
    @sharifamohammed4503 Год назад +4

    Mashaallah mashaallah,,Allah akuweke shekh Othman,,hakika nimekuelewa vyema mashaallah shukran jazila Allah akuzidishie zaid

  • @mrsahmadhajraah1550
    @mrsahmadhajraah1550 Год назад +2

    HAKIKA ALLAH ANAKUMIMINIA KHERI KILA WAKAT KW KUTUFUNDISHA HI SWALA YA HAJA AMBAYO MTUME ALIISWALI SANA HAKIKA IMENIFAA ALHAMDULILLAH MUNGU AKUZIDISHIE ELIMU SHEKH NIMEKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH KWA MAAN KUNA HADITHI INASEMA QAIRIKUM MANTAGHAL WL QUR'AN WAGHALAMAHU (NI MBORA ALIYEISOMA QUR'AN NA AKAIFUNDISHA)KAMA NIMEKOSEA HERUF KATK HI HADITHI MTANIREKEBISHA , SHUKRAN ALLAH KUMPA ELIMU HUYU SHEKHE🤲

  • @rajabujuma9030
    @rajabujuma9030 Год назад +6

    Mashaallah,Allahu (SW) akubariki we kwayo,nasi tunufaike nayo maishani mwetu Inshaallah. by mwl,jhr.Mkoba wa Tununguo Ngerengere Morogogro.

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi Месяц назад

    Shekh uko vizuri mno, maneno yako yamenyooka. Mashekh waache kuwa ombaomba.

  • @MashaMpulu-vq2fj
    @MashaMpulu-vq2fj Год назад +5

    Nashukulu Sana nilikuwa nashida san ila niliomba asubui nilifanikiwa 😭😭😭 sasa shida zangu zote namlilia wewe wewe m/ mungu ndoanajuwa atanitatulia kwa njia gan

  • @ElsieMunezero
    @ElsieMunezero 6 месяцев назад +2

    Shukran sheikh mwenye zimung akuzidishie kila lakheri apa dunian na akhera nimejifunz mengi kupitiy kwako

  • @BathulBathul-ep1iu
    @BathulBathul-ep1iu Год назад +8

    MashaAllah tabarakallah Allah akupe kheri pamoja na family Yako,,,,,, Allah akupe mema InshaAllah Biithnillah 🤲

  • @AbdallaMakame-s5f
    @AbdallaMakame-s5f Год назад +2

    Wajaa-al haqqu, ujumbe umetufika waislamu shime kuw karib na Allah jalla waàla. Allah akup taufiq na hikma katika mafundisho yko, na akulip yakheri katka Dunia na akherah

  • @mariamramadhan4296
    @mariamramadhan4296 2 года назад +7

    Mashallah allah 🙏 shekhe wetu allah akuzidishie kipaji taufiq akuondolee husda mitihan

  • @salimsebo7939
    @salimsebo7939 Год назад +5

    Masha Allah nduguzangu katika Imani mungu hakutuumba tuwe mafukara lahasha tutakua mafukara kwakupenda wenyewe mungu amlipe kheri fiddunia Wal akhera napepo ikawe maisha yako ya milele amin

  • @zafaranmrisho8788
    @zafaranmrisho8788 2 года назад +13

    Jazakallah kheir shekh wangu, nakupenda kwa ajili ya ALLAH , na ALLAH azidi kukuinua duniani na akuinue Zaid akhera

  • @HalimaMuhammad-ei1qc
    @HalimaMuhammad-ei1qc 8 месяцев назад +2

    Allah Akulipe kila la kher dunian na Kesho Akhera❤

  • @rehemamkakile5028
    @rehemamkakile5028 10 месяцев назад +5

    Mungu tujaalie tuwe watu wa kufanya ibada na kukumbuka wewe ndiye kila kitu hapa duniani na akhela

  • @hidayahamiduhidaya2529
    @hidayahamiduhidaya2529 2 года назад +11

    Allah akujaalie heri na malipo makubwa kwa mafundisho ya swala ya haja sheikh

  • @fatmazahor357
    @fatmazahor357 2 года назад +4

    Mashaallah Tabarraka Allah Allah akuzidishie kila la khery sheikh na atujalie mwisho mwema waislam wote

  • @hawachrispine6776
    @hawachrispine6776 8 месяцев назад +2

    Allah akupe maisha marefu yenye manufaa ili tuendelee kunufainisha na elimu yako mwalimu wetu

  • @muniramohamed8887
    @muniramohamed8887 2 года назад +8

    Mashall-Allah Allah akuzidishie elim yenye manufaa uzidi kutuelimisha akujalie umri mrefu wa afya amin

    • @Wamanyafu
      @Wamanyafu 2 года назад +1

      Walahi nimelia ustadhi mwenyez mungu akujalie kwahii elimu ulio tupatia tunazalilika kwenye kzi za watu yani mpaka najiulizaga wegine wanapata ss tunakosa kwa nn kumbe tunakosea wenyewe kuongea na mungu wetu

    • @akimanaa6759
      @akimanaa6759 4 месяца назад

      Allahima amin

  • @ShariahajiOmar
    @ShariahajiOmar 11 месяцев назад

    Mashaallah sheikh othman Allah atuongoze waja wake tuweze kuzitimiza ibada zetu ipasavyo na tusimame usiku tumuombe Allah shida zetu tusizalilike kuomba majiani Allah atupe mwisho mwema.

  • @seinabelimi2296
    @seinabelimi2296 2 года назад +8

    mashaa Allah shukran sana sheikh wangu Allah akulipe ujira mkubwa ndani yke Ammyn🤲🤲

  • @mwanapiliali8504
    @mwanapiliali8504 9 месяцев назад +1

    Mungu akulipe kheri nyingi kwa elmu unayoitoa kwa ajili yake na akupe umri mrefu wenye kheri na ww uzidi kutupa yalo mazuri kwa ajili ya akhera yetu na dunia

  • @alijuma8724
    @alijuma8724 2 года назад +15

    MashaAllah, Allah akuzidishie umri na akuzidishie barka na azidi kukuongoza

  • @hajiyusuf3837
    @hajiyusuf3837 2 года назад

    Asante kwa somo zuri sheikh..kwa hivyo rakàa zote mbili unasoma Surat ilkaafiruun

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 года назад +12

    Alhamdullillah, mashaallah jazakallah kheri, Allah akusimamie shekh wetu kwa kla hatua.

  • @naswahajuma
    @naswahajuma 10 месяцев назад +1

    Maashallah tabaarakallah jazakallahu khair..Allah akujaalie kila la kheri shekhe letu..kwa hakika tunapata faida nyingi mno❤❤

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 2 года назад +4

    Mashaallah shukran sana allah akuzidishie elm shekh wetu

  • @NamiHamis-pj8tf
    @NamiHamis-pj8tf Год назад +2

    Salaam Aleikum sheikh, Mashallah mawaidha yako ya kumswalia Mtume Wetu Muhammad. Nitawanza kujifunza. Allah barki

  • @chakumabdallah9939
    @chakumabdallah9939 10 месяцев назад +13

    Kupitia wewe sheikh napenda kufanya ibada sasaivi ijumaa hainipiti na kila alhamis namuomba mungu nasali raka 2 usiku inshaaallah taratibu ntasari sala 5 inshaaallah

  • @mariamomary1343
    @mariamomary1343 6 месяцев назад

    Mashallah nmejifunza mengi sana Sheikh Mungu akuzidishie umri huzidi kutuelimisha

  • @salmatuleteesehem71jmnmahm59
    @salmatuleteesehem71jmnmahm59 2 года назад +5

    JazzakhaAllahu Shkhe Allah akuzidishie akupe umri mrefu uzidi kutufunza In Sha Allah

    • @azamalujina4526
      @azamalujina4526 2 года назад

      Maasha Allah! Hakika tunafaidika sheikh Othman, Allah akujaze kheir

    • @ZainabuNshimirimana
      @ZainabuNshimirimana Год назад

      Asante sana shehe mungu akubariki kwa kutufunza Yale ambayo atuyajuwi mungu akupe kila laheri allahuma amiin

  • @صفيةالمعشري
    @صفيةالمعشري Месяц назад

    Mashaallah sheikh SS swali ni kwamba tufanyeje dua itakabaliwe kwa haraka

  • @ALLYAlLY-ti4tu
    @ALLYAlLY-ti4tu 3 месяца назад +3

    Vp izii rukyaa za shirki za ustadh luqman hukumu yake kwa Allah ofisi zako za MOMBASA guraya

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi Год назад +2

    1:15 Mashallha shehe wetu

  • @sifajacky7779
    @sifajacky7779 2 года назад +8

    Shukran sana kipenzi cha Allah. Mwenyezi Mungu Mtukufu Subhanah Wataala akulinde na akulipe heir hapa duniani na kesho aheirah Inshaalllah 🤲🏻

  • @GoodluckKimolo
    @GoodluckKimolo Месяц назад

    Shukran sana sheikh Allah akujaalie mwisho mwema

  • @lovedloveboy
    @lovedloveboy Год назад +3

    Maashaallah Allah akulinde na mahaasid na Allah akupe kheri juu hii kheri unayotujuza amiin

  • @ShuwekhaOmaryMussa
    @ShuwekhaOmaryMussa 6 месяцев назад

    Shukran sheikh wangu allah akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha nmejifunza sana kupitia ww na umenfamya niwe najikurubisha sana kwa mwnenzimungu na kufanya ibada zangu nimezidi sana nashkuru sana na mambo yangu mengi yameanza kufunguka moja badala moja

  • @halimarajabu2997
    @halimarajabu2997 2 года назад +5

    Asnt kwa kutuelimisha shekh wetu Allah akulipe na atuhfadh na atujaalie mwisho mwema ishaallah

  • @husnamwalugha-qq7by
    @husnamwalugha-qq7by Год назад +1

    Shukran sheikh Allah AKUPE UMRI MREFU Inshaallah nmejifunza mengi Alhamdulillah

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 2 года назад +10

    Mashaallah Allah akubarikie ww na sisi jazakallahu khayr

  • @ZenaMahundo
    @ZenaMahundo 9 месяцев назад

    Shukrani shekhe Othman Kwa elimu, inshallah mwenyezimungu apokee Dua zetu

  • @milonmilestz4312
    @milonmilestz4312 2 года назад +6

    Huna choyo shekh.mungu atakulipa inshallah. endelea kufundika wengi hatukujua.mngekuwa 50 mashekhe kama wewe tungekuwa mbali..

    • @MariamuIrunde
      @MariamuIrunde 7 месяцев назад

      Kweli kabisa tungekua mbali sana maan wengine wanaojua jaman kazi ipo utadhan walizaliwa wanafaham

  • @FawziaFawzia44
    @FawziaFawzia44 10 месяцев назад

    Asante saana shekhe wngu kwa elimu hii nilikua natafuta ufumbuzi in sha Allah nitalifanyia kazi Allah akupe umri marefu

  • @mariamjulius2042
    @mariamjulius2042 2 года назад +5

    Ahsante shkh kwamafundisho manzuri allaah akuzidishie

  • @SITIMOHAMED-tx2ri
    @SITIMOHAMED-tx2ri 3 дня назад +2

    Mashaallah

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 2 года назад +5

    Masha'Allah Ahsant sheikh. Ila sheikh ukisujudu usi tanuwe sana mikona kama msaraba

  • @AsumptaShamsu
    @AsumptaShamsu 3 месяца назад

    Sheikh me nakupenda kwaajili ya Allah❤Allah azidi kutudumisha kweny kheir nabark🎉

  • @zuenawhite4777
    @zuenawhite4777 Год назад +5

    MashaAllah shukran jazillah sheikh wetu Allah akupe umri uzidi kufaidisha umma...

    • @ZaituniLoya-sk8ic
      @ZaituniLoya-sk8ic Год назад

      Waleykumsalaam warahmmatullah taala wabarakatuh,maanshaallah jazakallah khaira

  • @aishahaji9970
    @aishahaji9970 Год назад +2

    MashaAllah Asante shekhe Othman Kwa elimu kubwa kwang Allah akulipe for every things

  • @mwajumaally4040
    @mwajumaally4040 Год назад +8

    Mungu akutunze kwa ajili yetu uzidi kutupa elimu, akujaalie afya na umri sheikh🤲amiin thumma amiin yaarabi

    • @roseoman7543
      @roseoman7543 Год назад

      hakika leo nimepata fuzo kumbwa sana Asante sanaa Shehe 😢😢 Allah akulipe kila lenye heeri na wewe 🙏🙏😢😢😢

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr Год назад +1

    Sheikh nashukul kwa maelekezo ya swala ALLAH akupe afya njema na akuzidishie her

  • @masikasalim3049
    @masikasalim3049 2 года назад +9

    Mngu atufungulie mlango ya pepo🤲🤲

  • @joliemrsk
    @joliemrsk 6 дней назад

    Allah akutuifaziye na atukutanishe peponi inshallah

  • @shamilahashim9544
    @shamilahashim9544 2 года назад +8

    Alhamdulillah sheikh wetu

  • @SamaaMasha-jv4oj
    @SamaaMasha-jv4oj Год назад

    Jazakallahu allah akulipe dunia fillakherah umetupa elimuambayo sisitunaswalisana Suna na wangu kumbe tulikuwa twakosea tumekuelewa sana shukrani sana

  • @fatumahamadi1379
    @fatumahamadi1379 2 года назад +3

    Shukran Shekhe kw Somo zur ALLAH akujaalie mwisho mwema

  • @eshawairimu381
    @eshawairimu381 2 года назад +3

    Shukran sana malimu kwa funzo zuri maa sha llah 🙏

  • @MwaineSeleman
    @MwaineSeleman 4 месяца назад +2

    Allh Akbar Mung akupe Humli mlfu Amina

  • @mwanaamanismail5244
    @mwanaamanismail5244 2 года назад +4

    Mashallah Allah akujaalie mema siku nyingine uje utupatie jingine jema inshaallah

  • @MwatimaHaji-g1g
    @MwatimaHaji-g1g 2 месяца назад

    MashaAllah shekh wetu kwa kutufundisha

  • @kheneyrajababdalla3334
    @kheneyrajababdalla3334 2 года назад +6

    Mashaallah mungu akulipe ujira ulio mwema shekh wetu biidhn laaah taalah

    • @mohdjuma8863
      @mohdjuma8863 Год назад

      Mashaaallah shehe napenda Sana mawaidha yako na nasaha zako mungu akulipe ujira mwema inshaallah

  • @MaArrr-mh2so
    @MaArrr-mh2so 7 месяцев назад

    Mashallah nitaifanyia kazi jmn Allah anijibu maombi yangu ishall ongera shehe mashallah Allah akuongoze mashallah 🙏🙏🙏🙏

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 2 года назад +12

    Man Sha Allah, Jazakka Allahu kher 🙏alhamdhulillahi