Daah Paula kwa saut hiyo ya upole na unyenyekevu na hauna Papara Wallah nimekupenda bure na Mungu awajaalie muowane na muish maisha ya furaha kwny ndoa yenu
Hao kwa dalili zote wataoana ni suala la muda tu. Wazazi wa Paula nadhani ndio wanasubiriwa watoe tamko. Hivi karibuni wameshatumwa watu kwenda kulieka vizuri hilo jambo.
Hakuna mwanamke kicheche,basi tu ni vile anakuwa hajampata mwanaume sahihi kwake wa kumpenda sana na kumbadilisha kupitia huo upendo,kujali,kuheshimu n.k Paula nimekupenda sana, lakini Mario nimempenda zaidi kwa sababu kambadilisha binti!🎉❤
Marioo alikuwa na Machunusi usoni lkn angalieni paula anavyo jua kumtunza marioo vizuri kamtunza ss hv Marioo soft uso umsafi kapendeza Mashallah 😂😂😂 Mpeni sifa zake paula
Paula nimurembo San wanaomukubali Paula kama mim tujuane apa❤❤❤❤🎉🎉🎉🌹🌹🔥🔥💪💪
❤❤❤
wakwanza me
Namkubali sana paula
Namkubali kabisa ❤❤❤
Paul yupo tofauti na watu wanavyomsema ana haiba ya mwanamke katulivu sanna mashallah ❤❤nawapenda mie
Mpoleee utulivu sili yke
Amina
Yes
Kweli upo sahihi watu wanamsingiziya mabaya bure
Watu wanatakag mtu acharukwe
Couple Tulivu walisema sipati bebe huyu nani Marioo hongera ❤😘
Nimependa jinsi Paula alivyo jibu kwa upole na heshima ndo hivyo mwanamke inabidi iwe yani umenifurahisha Paula zainab from Australia much love
Brother marioo umepata mke huyo kwanz mpole mstaarabu mashaallah mpende sana mkeo❤❤❤🎉
Kuwa muzili sawa
Ila sasa ana galama muno huyo
Yani marioo ajipange tu
Kabisa
😊😊🎉🎉
😅😅wanakuwaga jeuri hao
Daah Paula kwa saut hiyo ya upole na unyenyekevu na hauna Papara Wallah nimekupenda bure na Mungu awajaalie muowane na muish maisha ya furaha kwny ndoa yenu
Amina 🙏
nimependa sana namna ambavyo paula anavyomwangalia mpenzi wake marioo na jinsi anavyocheka kila akimtazama yaani mapenzi yapo wazi kwa hawa watu ❤❤❤❤❤
@@RoseGeofrey umeonaeee daah nakuaminia 👍🤝
Anampenda
She is so sweet kwakwel yaani even kuongea kanaongea kwa heshima❤
Paula very beautiful ❤❤❤and very humble, Marioo umepata mke mwema ukimwacha aende hasara kwako
Masha Allah paula na marioo penzi lenu lidumu mlee binti yenu🙏umenawiri mwaya ❤
Wow Paula is so sweet and a quite girl, she only talk when necessary, always ana smile,she's so gorgeous and respectful 🤩 so lovely
Your collect
Paula mpole..anaona haya...mtulivu...tena mrembo sana...I have come to fall inlove with her calmness.. good girl
Hata mm pia naupenda wimbo wa marioo n harmoniz naogopa naupenda sanaaa nyimb nzr sana ❤❤❤🎉
Kweli kabisa,paula ni nzuri sana. MUNGU awape maisha marefu na Marioo,muweze kumlea mtoto wenu.
Nimepitia comment nyingi sana sifa nzuri nyingi ni za paula kama nikweli gonga like za paula hapa❤
Nawapenda sana ❤❤❤
@@AnethPeter-qz9zqNampenda paula mie
Paula mzuri walai...❤ mtulivu na hana vituko.
Alafu inakaa yuko mpole sana❤❤
Sio muongeaji kbs kapole kazuri sn ndoa hyooooooo❤
Paula mrembo mpole mstaarabu yan Mungu awatangulie waoane ❤🙏🙏
Njinsi anavyoangalia marioo wake adi.raha❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Nawapenda n naipenda caple yao, kipaula kichidren jaman ki msweet sweet kishununu aah😘😍 inshallah kheri iwatangulie mfanikishe jambo la ndoa
Mashaallah paula hayo ndo mavazi sasa.Umependeza Mashaallah
Nawaombea kwa Allah wafunge ndoa haraka kwa sababu kuishi bila ndoa Allah anakasirika sana ingewezekana mngefunga ndoa hata Leo hii hii
Ameen ameen ameen...
Aamin
Hao kwa dalili zote wataoana ni suala la muda tu. Wazazi wa Paula nadhani ndio wanasubiriwa watoe tamko. Hivi karibuni wameshatumwa watu kwenda kulieka vizuri hilo jambo.
Hakuna kitu kama hicho hao wanazini mmoja mkiristo mwengine Muslim
Watafunga ndoa ye serikali
MashaaAllah kazur kana aibu kapole Allah awaaalinde mfunge ndoa mdumu mzikane
Hakuna mwanamke kicheche,basi tu ni vile anakuwa hajampata mwanaume sahihi kwake wa kumpenda sana na kumbadilisha kupitia huo upendo,kujali,kuheshimu n.k
Paula nimekupenda sana, lakini Mario nimempenda zaidi kwa sababu kambadilisha binti!🎉❤
Kweli kbx
That's
Kabsa
Kwa kweli Paula n mzur bila make up ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Paulah ni mpole jaman mpaka ongea yake yupo mwaaaaa 😘❤️👌
Umesahau kichambo alichompa Rayvan? Alimwita 'pipiro'
@@gloriadaniel3827Anakuja the way utakavyokuja Paula alinyamaza sana ila Rayvan ndo aliyataka
@@amdee99ni kwel😂😂
@@gloriadaniel3827 Paula kafanana babake kila kitu, Mpole ila jeuri, ukimchokoza uvumilivu ukamshinda anakujibu
@@gloriadaniel3827 rayvanny aliaribu huyu mtoto akaonekana mbaya kabisa mungu akatuma marioo mtulivu saaana
Marioo alikuwa na Machunusi usoni lkn angalieni paula anavyo jua kumtunza marioo vizuri kamtunza ss hv Marioo soft uso umsafi kapendeza Mashallah 😂😂😂 Mpeni sifa zake paula
Jamani hawa watoto Mungu awajarie waishi miaka mia kw a jinsi wanavyowndana
Amen mungu amesikia ombi rako👍🏾🙏🏾
Zinaa@@chany9950
Hakuna ndoa hapo wanapigana mashine tuu
M
Mi nawapendaa hii couple! hadi asubuhi nikajikutaa nawa wazaa jamani si waoanee tu ! Suddenly hawa hapa mungu aongozee dira zenu 🤲🙏✍️❤️
W\
Ata mm
Jmn❤🎉
Nawapenda Sana mungu awatuze muendeleee hivo hivo❤❤❤
Paula unazid kuwa mrembo jmn❤❤❤❤kwel kajala kajua kuzaa mrembo sana,Mungu awasimamie mdumu kwenye mahusiano yenu
Mashallah mashallah mashallah,the best interview nazidi kuwapenda Kila siku🥰💖💞💖💞💖💞💖
Mario wewe sio GenZ your a millennial 😅😅😅😅😅,Paula is so calm and kind may God bless this relationship
Amen
Paura kwa kwer ni muzuri xana Mario amepata mwanamuke mpore munyenyekevu mm nawatakia maisha mema🎉❤❤❤
Paula is very beautiful and humble girl🥰
Nyimbo za marioo alizomshirikisha harmonize ni 🔥🔥🔥🔥... can't wait for "wangu"
Ila pau mzuli mashalla 🥰 kiukweli kilamwanamke akipata anapostaili ana tuli jamni 🎉🎉🎉
Ww vp mbovu😂😂😂
Sahihi🎉❤
Ni mzuri sana na baba na mama wote wazuri mungu kawapa mrembo
Kabisa
Paula ni mpole sana , Marioo umepata mke mzuri
paula n mrembo mashaAllah alafu kapole mwenyew sio kama watu wanavyomdhania jamn
Kbsaaa yani
Jmn nawapenda Sana p and m nawkubali sana
Lots of love from Birmingham we love you Paula so much ❤❤❤❤❤❤ and the best of luck in your future with your family
Ana smile nzuri mnoo 😊😊😊
Paula mpole mzuri marioo kapata mchumba mzuri❤❤❤❤
Mashallah me nawapenda sana Mungu awasimamie mjefunga ndoa lnshallah mwanamke ndoa na Allah awakuzie bint ❤yenu
Nilichogundua kajala ndio alifanya huyu binti aonekane mcharuko kumbe huyu mtoto ni mpole hivi nime mpenda sana marioo oa huyu mtoto ❤
Kwani Paula ni mcharuko?
Mabinti wengi wakiwa mcharuko ni kwenye hatua za ukuaji tuu sasa kavuka ndio mnamuona mtulivu
Mbona hata kajala ni mstaarabu sana vile tu wabongo tunapenda kupangia watu maisha ila ni bomge la mama
Paula kazur , kapole aaaaaaaaaaaaa ❤shwaini
Endeleaa kuvaaa Abaya unapendez xan ❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤ mnapendeza san Paula na marioo
Nimetokea kukapenda haka ka interview hadi nimehenda kuchukua popcorn 🍿 zangu 😂😂😂 ni watch hadi mwisho 🤣🤣
Kwa kwel 😂
😂😂
Mimi bila hata bila kitafunwa nasikiliza Hadi mwisho
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂 ak wewe
Alaah awafanyie wepesi mfunge ndoa🙏🙏🙏🙏🙏💯💯💯
Mashallah Paula ni mrembo san🎉 ndo unazind kuwa mzur ❤❤
Hii imeenda university Allah awajaalie khr wafunge ndoa na wazidi kupendana daima ❤❤❤
Kusema Kweli Hawa Watu Nawapenda Mnooooooo. Mwenyezi Mungu Awatangurie kwenye Ndoa Yenuuu❤❤❤❤❤❤❤❤
Sauti ya Paula ni nzuri na yeye ni mtoto mzuri mashalaah😫❤️
Tabasamu la paula tamu nyiee❤ katoto karembo mashaalah❤
Nakupenda bure paula ww ni mzr sana bila ya makeup kama ulivyosema maana wengineo hawajiamini hawawezi kutoka bila makeup
Good and nice paula your beautifully and i have liked your behavior
Jamani khabint anampenda mno Omar nimeipenda hii wallah toka moyoni mashallah
Visirani mnaanza kumzunguzia Paula vibaya hebu muacheni chaupole wetu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Mario oa
Wana wivu hao wananikera sana
😂😂😂yaani wee acha tu
Kwamm navyoona hawa wamependana macho tu yana ongea paula anaongea kwa mahaba na pia Mario anajiamini ❤❤❤Nawapenda ❤❤❤
Daaaaah mungu awake maisha marefu jaman ❤❤ wamlee 2 anara wao❤
Mashalah ❤❤❤❤my another couple paula &Mario
Mario umuoe mtoto wa wa2❤❤kapaulakangu
Ata bila make up anapendeza❤❤❤
Allah awajaliye mfike ma lengo le u la ndowa insha Allah mta pendeza sana 😍😍😍😍
She is so humble and beautiful 😍
Mdada mpole mzuri ❤
Marioo na paula mnapendezana sana kwakwer, mung akawe nuru katika maisha yenu ya kila siku 🙏
Paula ametulia sana. Mario oa haraka kwani mwenyezi mungu kakupa mke wa kweli.
Paula she’s so beautiful
Anajiheshim
Very attractive
Mwenyezi mungu awasaidie waowane
Mashallah Mungu ndio kila kitu❤❤❤❤❤ goo gooo baby Paula
Kumbe huyu mtoto mama yake ndio alikuwa anamfanya aonekane mcharuko! Ona sasa kalivyotulia,hapa nampa big up Marioo kambadilisha mtoto wa watu
Aki❤❤❤❤
Hapana nyinyi ndo mlikuwa mwamuona hivyo but mamake hakuwa yuwamfanya hivyo wana wanapenda ku judge sana na hawamjui mtu.
Mbona kajala pia ni mtu na nusu
Mcharuko kvp sasa
Hata mamaake yupo sawa sisi ndio wapambe ndio tunaharibu 😅😅
olewa tu na huyo huyo Marioo. Nawapenda sana.
Nachomsifu kajala mwanae is very humble.
very respectful and well mannered.
And this makes her even more beautiful
Ongera Paula yn simu ya mwanaume aishikwi hata mm Sina tabia iyo❤❤❤❤
Kweli huo ni upumbavu
Yan uyu bint ana adabu nzur sana ingekua mwingine kashajilamba hapo na sifa kama zote ila uyu mtulivu sana❤❤
Paula star toka yupo tumboni ndiyo maana hana ushamba katulia zake maskini😂😂
Paula wangu mpole mtaratibu mungu awajalie mfunge ndoa ❤❤❤❤🎉
Paula nimekupenda buree kwa maongezi yako sana❤❤❤❤🎉 umejib kiumakin
Pau hajuwi kununa kabisa ❤❤
INSHAALAH Mungu awajalie kheri❤❤❤❤
Nimecheka kwa furaha sana ❤❤❤ kwanza kuolewa shule badae marioo umesikia
❤mzidi kupendana jamani
Mashallah yaan ni mstaarabu paula❤❤
Shule inawezekana,kuna sisi tuna watoto watatu ,mume na shule inaendelea vzr tu,kimsingi nia inabeba vyote.
❤❤❤❤ Paula kipenzi cha wengi cha upole wetu
Paula Wewe Ni Mzuriiiii ❤❤❤❤❤
nawapenda sana marioo fanya umcilimishe umuoe mnapendeza sana
Nawapenda sana zaidi ya sana Mungu awabariki sana zaidi ya sana
Penda shana paulah❤❤❤❤❤❤❤
Paula marioooo forever ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Miaka 22 ni umri mzuri sna mana hata mie nilozaa nikiwa na umri huo.
Usijisikie vibaya mrembo wangu
Naipenda sana ihh couple❤
Mungu awasaidie katika maisha yenu❤.
Paula nakupenda jaman❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mungu awajalie muwaibishe wabea
Paula mrembo nyie❤
Paula mzr mashallaah pia umepata muume sahihi
Hongera san mariooo umepata mtot mzuliiiii
The lady presenter's voice is beautiful ❤️ nawapenda❤❤
Paula mzuri sana na mpole sana marioo kapata mke mwema
NAWAPEEENDA saaana jaman msije achana❤
Allah awafanyie wepesi muweze kuoan. Nawapenda Sana kwaajil ya Allah ❤️❤️❤️♥️💖💝