Mie kiukwwri mpenzi wangu yupo bize sana nami kiukwwri ila mimi ndio napenda sana kudeka nae mara nimenuna mara nimecheka kiukweri nijilekebishe nisije nikajuta bure badae kwani ananijali mno mungu asante asije badilika
Wanawake wengi tunavilio vyamausiano xnaa,,,,,Ebu tugeuke Sasa tumgeukie Mungu maana yy anafanya mambo ambayo mwanadam hawez kuyafanya njia sahh kwa Mungu peke yake
Dalili za penzi la mpezi wako limeisha, 1: kuhamaki Mara kwa mara 2 : kupungua kwa kiu ya kukufurahisha 3: anakosa muda na ww 4: kujali kwake kunapungua 5: kupotea gafla kwa mawasiliano 6: kuongezeka kwa siri kufanya vitu kwa siri 7: anaweka mpk wa maisha yake na yako
Hakika kweli dr Chris umesema kweli mm na miaka 31 kwenye ndoa nimo kuyapitia na omba aamuwe hataki hayo yote ulio ya sema nimesha yapitia na ninaendelea kuyapitia asante sana
Wa kiapo ana kuambia mm na ww tumevunja ahadi wakt ww unampenda bado,, ss hapo unaweza mtafuta tena au manaa yeye kimyaa ww ukituma sms hajinlbu sasa hapo una fnyeje😊
Asante sana kunifuatilia, Matumaini umesha subscribe channel hii. Usiache kwa Balozi mzuri kwa kuwakaribisha marafiki na wengine wengi waje kufurahia shule nzuri. Asante. Dr. Chris
Mimi naona ukijipenda ww nafsi yako kwanza ata akakufanyia lipi halitokushtua tatizo sisi wanawake tunapenda kufosi mapenz ndio mana tunaumizwa. Mtu kesha kuonesha haya yote bado tu unamngangania. Jitoe uendelee na maisha yako
Mungu nisaidie haya yote ndio naiona kwa sasa lakini naomba nijifunze kunyamaza kabiza😭😭😭nkimwambia kitu aweza nijibu baadaye ama akose iam so in pain but I hope God will do something
Hivi nyie mnaoandika comment mwa kingereza ili mie nisisome au Aaaah Tafadharini bwana andikeni kiswaili au kiarabu bwana mie najua kiarabu 🤣🤣🤣 AISEEE shikamoho mapenzi sina hamu mie na wanaume wote mataperi 🙌🙌😌😌
Waah kw kwli imenigusa sna 😭😭 izi sababu zote kwngu zpo ila n baada tu ya mm kusfr amegeuka km c yy ila jamaa zke unpa moyo maybe n hasira likuwa amezoea kila siku ,asante Dr kw kutufungua mackio ubarkiwe
Asante kwa somo nzuri Dr Chris. Ni vizuri kuweka mipaka ktk mahusiano ya aina yoyote unapoona mambo hayaendi kwa jinsi yanavyotakiwa yaende. Furaha ni kitu muhimu ktk maisha.
Zakiya almaas , sijuwi unazungumzia uhusiano gani, kupenda ni vizuri, usiache kupenda watu, wapo wazuri na wanaojari, usidhani kila bmwanadamu ni mbaya, wengine wazuri. Wasamehe, lakini weka mipaka, pia usipoteze muda mwingi kufanya mambo ya watu, fanya tu kama una muda na vitu vya dhiada, upendo wako usije ukawa msalaba wako
Hahaaaaaa.....men are very strategic they will do all things to get what they want with all efforts once they success their project,,,shading tears will be ur gift ooooooh,,,,mawasiliano ni swala kubwa sana ,akianza kukaa siku 2,3 n.k with no kuongea wakat before sim kila dk hiyo hata dr sio lazima aseme,,,kwishaaaaaaaaaa! Hahaaaa#HAPPYNESS IS YOUR CHOISE# kabisaDr.
Aisee kweli kabisa yani nikikumbuka Siku nilimuuliza mpenzi wangu kwanini amebadirika kila nikimtafuta anasema tu niambie nawakati mwanzo hajawahi kuwa hivyo lakini baadae niambie nyingi yani kama yeye hana lolote lakuniambia ilabaada yakuuliza alikasirika mnoo na ilikuwa nijambo analokumbusha kila Siku kuwa nimemkosea sanaa.acha nijipende mwenyewe mie
Dah kaka Chris yanii Mungu akubariki ningekujua mapema nisinge teseka hivyi Ila naamin wakati was Mungu huu nashukurukuru sanaa nimejifunza mnooo ahsant kaka
1.experience hasira za mara kwa mara kitu kdg tu kero 2.kupungua kiu ya kukufurahisha 3.lack of quality time 4.unaona hali ya kujali kwake kunapungua 5.kupotea gafla mawasiliano 6.kuongezeka kwa siri na uwazi 7.mpaka wa maisha yake na yako
Habari zako mtumishi WA MUNGU Nashukuru Sana Kwa videos zote ambazo unasambaza kwenye channel yetu wengine zina tusaidiya Sana. Sasa Ombi langu ni Kwamba ningependeleya utumiye wakati zote Swahili sababu wengine ni vigumu kuelewa English maana Sisi ni wa congolese na kama unatumiya English inaweza kuwa vizuri Sana kufasiriya maana ya hiyo neno. Aksanti sana na Usikivu mwema. Kevin bulambo toka Dr Congo
Mie kiukwwri mpenzi wangu yupo bize sana nami kiukwwri ila mimi ndio napenda sana kudeka nae mara nimenuna mara nimecheka kiukweri nijilekebishe nisije nikajuta bure badae kwani ananijali mno mungu asante asije badilika
Me hapo zote anazo kabisaaaaa,picha limeisha basi new life sasa ndo ipo kwangu.🙌
Umenifanya nicheke japo ni maumivu...ila nakuona uko very strong...utaweza kuishi ktk hali ya upweke..pia naomba listokee kwako.
Safiiii kabisa
We ni mwenzangu
Yani 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣can't stop laughing
Wanawake wengi tunavilio vyamausiano xnaa,,,,,Ebu tugeuke Sasa tumgeukie Mungu maana yy anafanya mambo ambayo mwanadam hawez kuyafanya njia sahh kwa Mungu peke yake
kwa kweli Mungu ndo anajua
Kweli Mungu tusaid na kuomba kwa imani
Mwenye mungu diye mwenye kuwezesha Kila jambo so tujiweke kwa mungu atasuliwisha Kila kitu Bora tumuweke mungu mbele na Imani Kila kitu kitakuwa sawa
Dalili za penzi la mpezi wako limeisha, 1: kuhamaki Mara kwa mara 2 : kupungua kwa kiu ya kukufurahisha 3: anakosa muda na ww 4: kujali kwake kunapungua 5: kupotea gafla kwa mawasiliano 6: kuongezeka kwa siri kufanya vitu kwa siri 7: anaweka mpk wa maisha yake na yako
Thanks for the sammary
Ubarikiwe nimesreenshoot
❤niambie hiyo kitabu😅
Barikiwa sana
Mungu diye muwezesha kila kitu so tumuweke mungu mbele na imani na kila kitu kitakuwa sawa
Ukweli kabisa mungu atusaidie wote wanaoguswa
Hakika kweli dr Chris umesema kweli mm na miaka 31 kwenye ndoa nimo kuyapitia na omba aamuwe hataki hayo yote ulio ya sema nimesha yapitia na ninaendelea kuyapitia asante sana
Afanyweje arudi mwanzo. Maana kama wa kiapo anaumiza sana
Wa kiapo ana kuambia mm na ww tumevunja ahadi wakt ww unampenda bado,, ss hapo unaweza mtafuta tena au manaa yeye kimyaa ww ukituma sms hajinlbu sasa hapo una fnyeje😊
Ndio nijue Rafiki wa kweli ,Nitazidi kufuatilia Mafundisho haya,Mme ni Mungu Hupeana,Amani ni ya Muhimu Sana, Barikiwa Mtumishi 🙏🙏
Asante sana kunifuatilia, Matumaini umesha subscribe channel hii. Usiache kwa Balozi mzuri kwa kuwakaribisha marafiki na wengine wengi waje kufurahia shule nzuri. Asante. Dr. Chris
Mimi naona ukijipenda ww nafsi yako kwanza ata akakufanyia lipi halitokushtua tatizo sisi wanawake tunapenda kufosi mapenz ndio mana tunaumizwa. Mtu kesha kuonesha haya yote bado tu unamngangania. Jitoe uendelee na maisha yako
Nikweli kabisa
Nikweli kbsa
Kweli kabisa
Mm ata nlichoka na nkatoka nchini kabsa, bora ntafute pesa niendelee na maisha yangu. Men will always be men 🚶♀️🚶♀️💃
Asante kwa ushauri mungu akutunze
@@merryjackline5961 🙏
Mimi sijui nikwanini tukigombana na mpenz wangu kidog tu ananiambia km umrmove on niambie nanimara kwa Mara nisababu pia penz limeisha
Mm naogopa mahusiano kabisa, sijawah kubahatika katika maisha yangu. Mpaka moyo umekufa ganz
Pole ndg muombe Mungu akusaidie kuna watu wanakuja Kama wana mapezi ya dhati kumbe waongo tu
Mm nimetendw
Pole beb
Very sorry my dear...but soon atakuja mwenye kheri na ww.
Hali kadhalika
Loh Bora nimejua ukweli hapa kujiongeza tuu😃😃😃
Mungu nisaidie haya yote ndio naiona kwa sasa lakini naomba nijifunze kunyamaza kabiza😭😭😭nkimwambia kitu aweza nijibu baadaye ama akose iam so in pain but I hope God will do something
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@@ChrisMauki1doctor nahitaji kuongea na wew nakupataje
Umh me pia Niko hvyo nw.... Lakini nampenda huyu mke wangu, wanawake wengi mnakosea padogo tu mnajisahau......
Hivi nyie mnaoandika comment mwa kingereza ili mie nisisome au Aaaah Tafadharini bwana andikeni kiswaili au kiarabu bwana mie najua kiarabu 🤣🤣🤣 AISEEE shikamoho mapenzi sina hamu mie na wanaume wote mataperi 🙌🙌😌😌
Umenigusa sana 🙏🥰🥰 shukurani 🙏 Baba yaani Acha Tu alafu yuwarudi tena yukuambia yukupenda siurongo huwo
Sina nia ya kujiuliza maswali mengi asante Dr majibu ya maswali yangu nimeyapata
Mm ndo nimeshachoka kabisaa maana hayo uliyoyasema ndo yanayofanyika kwa huyu wa kwangu .Mungu anisaidie tuu maana kama kulia nimeshalia sana.
Tupo wengi tunao lia jaman
Waah kw kwli imenigusa sna 😭😭 izi sababu zote kwngu zpo ila n baada tu ya mm kusfr amegeuka km c yy ila jamaa zke unpa moyo maybe n hasira likuwa amezoea kila siku ,asante Dr kw kutufungua mackio ubarkiwe
Mmmmh Asira ndio zimefanyaje🤣🤣
Chris,kuna kitu Mungu ameweka ndani yako, endelea kubarikiwa
Polee sna Dada wallah yanauma
Naomba no yako Chris Nina mengi ya kukuliza
Asante kwa somo nzuri Dr Chris. Ni vizuri kuweka mipaka ktk mahusiano ya aina yoyote unapoona mambo hayaendi kwa jinsi yanavyotakiwa yaende. Furaha ni kitu muhimu ktk maisha.
Jamani kupenda mm no
Zakiya almaas , sijuwi unazungumzia uhusiano gani, kupenda ni vizuri, usiache kupenda watu, wapo wazuri na wanaojari, usidhani kila bmwanadamu ni mbaya, wengine wazuri. Wasamehe, lakini weka mipaka, pia usipoteze muda mwingi kufanya mambo ya watu, fanya tu kama una muda na vitu vya dhiada, upendo wako usije ukawa msalaba wako
Asante kwa kunifumbua mapema kumbe tulikuwa twapotea bila kujijua
Iyo ya tano inanihusu sanaaa...natuma txt sijibiwi
Ubarikiwe Dr maana umenibadirisha Kwa kias kikubwa ahsante sana
Hahaaaaaa.....men are very strategic they will do all things to get what they want with all efforts once they success their project,,,shading tears will be ur gift ooooooh,,,,mawasiliano ni swala kubwa sana ,akianza kukaa siku 2,3 n.k with no kuongea wakat before sim kila dk hiyo hata dr sio lazima aseme,,,kwishaaaaaaaaaa! Hahaaaa#HAPPYNESS IS YOUR CHOISE# kabisaDr.
Kwel kabisa
Kwass mapenzi tuwaaachie watoto tu....bora ibaki story
Aisee kweli kabisa yani nikikumbuka Siku nilimuuliza mpenzi wangu kwanini amebadirika kila nikimtafuta anasema tu niambie nawakati mwanzo hajawahi kuwa hivyo lakini baadae niambie nyingi yani kama yeye hana lolote lakuniambia ilabaada yakuuliza alikasirika mnoo na ilikuwa nijambo analokumbusha kila Siku kuwa nimemkosea sanaa.acha nijipende mwenyewe mie
OK,asante Kwa mengi unayo endelea kuelekeza Jamiii❤
Nice 🎉🎉🎉
Amina yote haya nayapitia lakin namwachia mungu ndo mwenye jib true Na pia nipo kimya
Naomba kuuliza mpenzi wangu anaficha hisia zake sijui Kama kweli ananipenda
Wale tunaoishi ktk jumba la makumbushoo mikono juu...kweli shikamoo mapenzi doc Asante Sana kwa tiba
✊
Unapatikanaje,nahitaji ushauri wako Dr Mauki
Dah kaka Chris yanii Mungu akubariki ningekujua mapema nisinge teseka hivyi Ila naamin wakati was Mungu huu nashukurukuru sanaa nimejifunza mnooo ahsant kaka
Wooi am relating to all this ..Thanks much for opening my eyes..
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Asante...afadhali nliamua kukaa pekee yangu..shida tupu...
But i believe in God...He will make a way
He will surely do
Uwiiiiiiiiiiii....natakiwa nimove on...haraka sanaaaa
Jamani roho imeniuma wallah najikuta machozi yananitoka hakika yote yananikuta yamenikuta mapenzi au mahusiano ✋
Mapenzi tumeyafanyia nini jamani
Kweli kabisa kaka umenigusa sana ooooo Nalia mimi naumia na mapenzi mimi mpenzi wangu nampenda sana lkn saiv ni mkali hatali
True chris mauki..umenisaidia sana hya yote n yakwangu
1.experience hasira za mara kwa mara kitu kdg tu kero
2.kupungua kiu ya kukufurahisha
3.lack of quality time
4.unaona hali ya kujali kwake kunapungua
5.kupotea gafla mawasiliano
6.kuongezeka kwa siri na uwazi
7.mpaka wa maisha yake na yako
Mung atupstie macho Matatu ,ubarikiwe
Yan hyo mm kabsa aisee..... Hyo ya kwanza kwel kabsa
I've gone thru all these things,,,naked truth likiisha unaelewa tu😒
Thank alot l'm done
Napata huzuni kwakweli😊 hao wanaowatoa out wanapatikan wap😀
Duh Asante sana Dr.Mmmmmh nimejifunza
We baba unaelewa sana mahusiano wallah
Nashkuru sana
Yote niliyapitia weee mungu nisaidia
Upo sawa kiasi maana mpka kufikia hapo huyo mwanamke kutakuwa kuna kitu amefanya usiegemee sehem moja lazima kuwe na sababu ya yote hayo
Bora nilivyoamua kukaa peke yangu😀😀
😂😂 hii ni shida sana
@@janekikoti2179 kuna mahali ukifika inabidi iwe ivoo cause it pains
@@odiliasafari1461 your right dear!
😂😂
😢😢moyo wangu unavuja damu😢😢😢
Kabisa kabisa yote yapo kwa upande wangu ila nachagua furaha tu nilee watt wangu
Alihamdulilah nisaidie mwnyez mungu
hayo ndiyo ninayo pitia sijui utanisaidiaje DR
Yani nimejikuta nacheka Mungu akubaliki Mtumishi wa Mungu hapa naishiwa nacheka kwa comments yani nilikua najua ni mimi peke kwa hio acha nikae kabsa
Daaaaaaaah unagux mlemle kam ulion Dr axant xan kwaxom
kweli kabisa brother umenigusa sana na maneno yako
Asante sana dk mauki maana yote uliyoeleza yameniingia san
Wonders this life no balance that is what am going through now but thanks to GOD you have adviced me,much love DR.whatching you from saudia Arabia
Asante kwa kunifundisha
Ukweli unauma ila inabidi uzoe natamn ata nisiige sikia haya maneno dah kumbe ndo nimeachwa ivyo mm nikijuwa ubusy wa kaz dah asante dear umenifumbua
Asante sana kaka kwa mfundisho mazuri unayotupatiwa mungu akibariki sana
Daaaaah yaaani kwangu ni shida..hamna mapenzi
Thanks my kaka Allah akulipe naskia umenigusa moyoni
Shukran sanaa kaka kwa somo
Ahsate kwa somo nimekuelewa sana
Hizo ishara zote mpenzi wangu anazo, sacha nitembee kiatu
Ndo,,,yaliyopo kwangu,,,,ni huzun kwakwerr😪😪
God bless you 🙏 uzidi kutupa ujuzi kila siku yaan naona kila kitu kimenigusa Mimi
Duuuhhh kweli wanaume nyokooo hujakosea hata moja lkn kwa upande wangu msondo ngoma akili kumkichwa km maslah yapo mi nakomaa yy atajua mwenyewe
Weee utajutaaaa
Wanaume wa siku hizi sijui wanataka nini kwa kweli
Me nateseka Sana
Ann.
Yameniguza yote niliachiya mungu nanikanyamaza
Asante Sana nimepata kitu
Mapenzi,mapenzi , mapenzi haya hapa ......Hardly to explain.
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
ukweli mchunguu huuuu uwiiiiiiii nimejikuta nalia tu
Aah mm sijawah kupendwa
Mungu atusaidie tu,
Ukweli kabisaa yamenikuta na mtu mwenye jina km lako,hataki kushaurika hata chembe
😂😂😂😂nacheka tu maana yote mi nayaona sitaki kufa mimi acha tu nicheke
hahaaaa poee maaa. jipe raha mwenyewe
😂😂
Tupo wengi mama..ngj tupambane
😎
🤣🤣🤣🤣🤣
Mungu amekujalia kipawa kikubwa sana my brother
Nashkuru sana Maureen, niombee dadangu
Ukiisha elewa tu na shukuru mungu Kwa kila Kitu mungu atakupa mwengine
Ubarikiwe sana Dr. Haya unayo ya fundisha ndo changamoto kwa wana Ndoa wanateseka sana. Mi ni Pastor nasuluhisha migogoro hizo Kila mala.
Eeh 🤔🤔😭😭nimekwisha Dr.Haya ndiyo yananikuta kwa sasa naomba unisaidie zaidi plz,maana hata na kosa furaha na amani moyoni mwangu
Zote zipo kwangu..😢😢 itabidi nijitoe tu
Daaaa inauma jamani niko na hali hii yaani ni mbichi uwii 😭😭😭 na ninalea watoto aaah
You nailed it dr Chris mauki 🤣🤣🤣🤣everything is really big up 👍👍👍
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Habari zako mtumishi WA MUNGU
Nashukuru Sana Kwa videos zote ambazo unasambaza kwenye channel yetu wengine zina tusaidiya Sana.
Sasa Ombi langu ni Kwamba ningependeleya utumiye wakati zote Swahili sababu wengine ni vigumu kuelewa English maana Sisi ni wa congolese na kama unatumiya English inaweza kuwa vizuri Sana kufasiriya maana ya hiyo neno.
Aksanti sana na Usikivu mwema.
Kevin bulambo toka Dr Congo
Thanks so much my brother Mungu akubariki Sana
Naomb kuuliza doctar hv mt anayekupend anawez kutania kukuacha
Haya.yote nilipitia kwangu asante kwa haya mazungumuzo.ad that l quited
Dr. Mauki IMEISHA HIYOOOO!!!
Na imeisha kweli🤛
Duh dalili zote mume wangu anazo Ila ananambia bad ananipenda nifanyaje
Yaani Dr acha tu NI nyamaze maana hayoyote yameshanifika asanteeee
Dalili zangu kabisa hizi deal ✔ 👍
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
mungu tuu nisaidie maana ww ndio unajua
Kwan ty ni mtoa riziki ahaaaaaaa watoto wa kike tafuten hela