Jinsi ya kusolve matatizo kwenye mahusiano1.Kubali kwamba mnatofautiana (mtazamo,haiba 2.jifunze kuwasiliana vzr sikiliza vzr, zungumza vile unataka mambo yawe be a confident speaker 3.jielewe ,jifahamu,jiulize maswali ability to understand ur self 4.huwezi kua perfect wakt wote 5.jifunze na ukubali kurekebishwa 6.be humble accept
Jinsi ya kusolve matatizo kwenye mahusiano1.Kubali kwamba mnatofautiana (mtazamo,haiba
2.jifunze kuwasiliana vzr sikiliza vzr, zungumza vile unataka mambo yawe be a confident speaker
3.jielewe ,jifahamu,jiulize maswali ability to understand ur self
4.huwezi kua perfect wakt wote
5.jifunze na ukubali kurekebishwa
6.be humble accept
Thanks very much Dr Chris
Kiukwel umenigusa sana dr ❤❤
Shukran sir
Asante baba
Hapo kwny mawasiliano duuh 😢
Asante sana