Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии •

  • @NoeAron-g4w
    @NoeAron-g4w Год назад +30

    Dah nzuri sana najivunia kumpata mwanaume mwenye vigezo hivyo love so much Wilson wangu❤❤❤❤❤

  • @onderinyaboke
    @onderinyaboke Год назад +13

    Asante sana ni ukweri kabisa hiyo kitu inakushumbua kabisa maisha ukiolewa na yule zio wako.

  • @LilaAl-b3x
    @LilaAl-b3x 2 дня назад +1

    Mh mashallah Mungu. Ntuziye mumewangu umuweke aendelee kunidekeza mm mpaka kifo kitutenganishe ❤❤

  • @SusanWangechi-h1z
    @SusanWangechi-h1z 11 месяцев назад +20

    Nimeamini baby daddy ananipenda sana may God 🙏 protect him always thank you lord 🙏 for bringing this man to my life

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd Год назад +15

    Hii Elimu imechelewa kuja tunamshukuru Mungu kwa ajili yako 🎉🎉🎉🎉

  • @MercyMakale
    @MercyMakale Год назад +23

    Asante sana jamani mpenzi wangu akuivo iyo yote umesema walai Jamani 😅😊😊😊

  • @christinangombe
    @christinangombe Год назад +23

    asante doctor kwa mafundisho mazuri,Mungu aendelee kukutia nguvu na kukupigania🙏🙏🙏

  • @fatinamdoe1894
    @fatinamdoe1894 Год назад +4

    Upo sahihi Kaka mim sipendwi mungu nijaalie unipe yule anaenipenda kiukweli kutoka moyoni Asante doctor

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 9 месяцев назад +4

    Ahsante mngu akubariki

  • @HekimaMgaya-q1q
    @HekimaMgaya-q1q Год назад +10

    Asante docter kwa kutuimaeisha wanawake ❤❤❤❤

  • @MaryamOmary-c4y
    @MaryamOmary-c4y 2 месяца назад +2

    Alhamdulillah popote ulipo ahmedy wang nakupenda sana vigezo kama vyote unavyo bby daddy wanguu❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😊

  • @HilmenJackson-k1l
    @HilmenJackson-k1l 2 месяца назад +2

    Asante mungu napenda sana sifa zote ulizoongea doctor bae wangu anazo

  • @VeronicaMumbi-yd9sx
    @VeronicaMumbi-yd9sx Год назад +6

    Asante sana doctor nmepata fuzo kutoka kwako nakusikiza nkiwa mjini Nairobi kenya

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 11 месяцев назад +6

    Hapo kaka umesema ukweli nao n wengi hao wenye hizo sifza wanaume wenye hizo mashallah Mungu akuzidishie Kwa maono

  • @zawadihozza3500
    @zawadihozza3500 Год назад +2

    Khee kumbe leo ndo nimegundua nammependa Mume wangu jmn yote anayafanya aweee nilikuwa naona hanipend kumbe ndo penyew Asante doctor

  • @Rachel-q9m
    @Rachel-q9m 2 месяца назад +2

    Asante docta,,nasaidika sana na ushauri wako kiukweli,,kwenye tiba urembo na mahusiano nimejifunza mengi sana,, nashkuru sana docta...Sikosi kutazama video zako...Hongera sana docta,,Salma toka Mombasa

  • @ZipporahZippy-ng9rr
    @ZipporahZippy-ng9rr Год назад +8

    Weee aki umenichanua bro nilikua na Nia ya kumwacha wa kwangu juu ya kuniogopea wee kumbe upendo❤️❤️❤️❤️

  • @JoinaMsigwa-lg7vh
    @JoinaMsigwa-lg7vh 2 месяца назад +2

    Asanteee doctor kwa unifunguwa hakirii ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AvillaJuvenaly
    @AvillaJuvenaly 2 месяца назад +4

    Namshukuru Mungu kanipatia mtu huyu naamin ni sahii kwangu❤❤

  • @GraceKimenanga
    @GraceKimenanga Год назад +19

    Mungu akubariki sana mfumdisho yako ni ya kweli kabisa

  • @salehemohamedi6560
    @salehemohamedi6560 Год назад +7

    Ukosahihi Sana Kaka mungu akubariki

  • @raheemhamisi5370
    @raheemhamisi5370 Год назад +3

    Weeee tangaza biashara yako Broooo mwanaume hatabiriki km unavosema wew hahahaaha.

  • @Isccobah
    @Isccobah Год назад +2

    Asante kaka Kwa mafunzo mungu azidi kukupa nguvu ya kutufundisha zaidi

  • @aishakassim75
    @aishakassim75 Год назад +34

    Kumbe sipendwi😂😂

  • @AsmaMatu-d4q
    @AsmaMatu-d4q 2 месяца назад +1

    Asante Sana inno mushi ❤️ kwakunipenda ilq nauuzuka kwasababu umechelewa kuja katika maixha yangu 😭😭😭 ila na 🙏🙏🙏❤️❤️❤️

    • @TEDY-MTEMY24
      @TEDY-MTEMY24 2 месяца назад

      Uhuzinike nini kama upo naye wakati huu furahia maisha na ndyo muda wake

  • @RukiyaButoyi-sk5nm
    @RukiyaButoyi-sk5nm Год назад +3

    Kweli Kaka unafundisha vizuri kabisa Mungu akubariki

  • @HawaMushi-q6w
    @HawaMushi-q6w Месяц назад

    Ahsante mungu kumbe amir wangu ananipenda saaana , mungu akupe maisha marefu my heart and I love you more

  • @JoyceOcharo-y9h
    @JoyceOcharo-y9h Год назад +8

    Asante kwa mafundisho yako dock❤

  • @SamiJonathanMadekizy
    @SamiJonathanMadekizy Год назад +1

    Asante sanaaa kwa mafundisho mazur...

  • @LatifaMohamedy-mn2qf
    @LatifaMohamedy-mn2qf Год назад +1

    Mungu akubarik azid kukup nguv na kibali utup mafunz zaid

  • @AdolpheZakaria
    @AdolpheZakaria 10 месяцев назад +1

    Nakupenda sana mpenzi wangu ila na huzunika kwa nini haukuja mapema kwenye maisha yangu

  • @StellarKway
    @StellarKway 9 месяцев назад +1

    Asante sana jaman nimegundua napendwa sana❤😊

  • @fayjeff3651
    @fayjeff3651 Год назад +3

    Umenisaidia sana thanks so much
    from 🇰🇪

  • @agnessndabhalu
    @agnessndabhalu 6 дней назад

    Asante sana kwa ujumbe mzuri

  • @invocavitmbise5296
    @invocavitmbise5296 Год назад +6

    May Almighty God bless you

  • @bibip9181
    @bibip9181 Год назад +4

    Doctor true but,nimependa elimu nzuri ❤❤

  • @secymndeme-wb4mu
    @secymndeme-wb4mu Год назад +138

    Nimepitia comment karibia zote😇 asee hongereni mnapendwa sana,, alafu kuna Mimi sasa😂😂😂😂

  • @AishaMbuba
    @AishaMbuba 3 месяца назад +1

    Ni kwer kabisa brooo Asante sana

  • @MonicaGeorge-l3e
    @MonicaGeorge-l3e 24 дня назад

    Mungu Asante kwa kunipa mume mwenye vigezo kama hivi G wangu nakupenda sana❤❤❤

  • @رحيمهكينيا
    @رحيمهكينيا Год назад +4

    Shukran sana kwa mafudhisho yako doctor

  • @Marykishimba
    @Marykishimba 11 месяцев назад

    Nashukuru Mungu me nmempata mwanaume mwenye hzo vgzo mungu amubark xana mme wang kipenz🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @maryamnasir5911
    @maryamnasir5911 Год назад

    Asante Mungu kwa mafundisho haya nimejua niko pahali sahihi

  • @JackMartin-002
    @JackMartin-002 10 месяцев назад +5

    Asante sana katika hizo sifa zote bado amna ata moja Kwa mtu wangu

    • @sadasa3955
      @sadasa3955 2 месяца назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @JackMartin-002
      @JackMartin-002 2 месяца назад

      😂😂​@@sadasa3955

  • @fatumazakalia-yx4kg
    @fatumazakalia-yx4kg Год назад +1

    Asantu sana Doctor nimekuelewa na Asante mungu kwa kuniletea

  • @RegulaPeter-jm7iq
    @RegulaPeter-jm7iq Год назад +3

    Asante mungu 🙏 kubarki utufundishe zaidi

  • @JennyJe-w4h
    @JennyJe-w4h 10 месяцев назад +3

    Asate sn kwaushauri wako kaka 🎉🎉🎉

  • @Gladyshappy-yp4bb
    @Gladyshappy-yp4bb 2 месяца назад +2

    Kumbe napendwa sana ❤ nakupenda bure husband to be❤❤❤❤❤❤

  • @lettingchepkemboi854
    @lettingchepkemboi854 11 месяцев назад +3

    Plz daktari I'm watching u frm gulf naomba tafadhali kwa jina la Yesu kristo nieleze dawa ya heartburn nmetezeka kwa miaka mingi na naamini mungu atakutenda mema

  • @ProscoviaKokuberwa
    @ProscoviaKokuberwa 10 месяцев назад

    May God protect you my love P
    Sifa zote unazo. True love nk...❤❤

  • @marynjiiri4329
    @marynjiiri4329 Год назад +53

    Mimi hupatana tu na magaidi mpaka nka give up😢😢 nimeamua single by choice😢

    • @ASFAISSA-pm8ck
      @ASFAISSA-pm8ck 6 месяцев назад

      Mambo vo

    • @VeronicaPeter-rm7ky
      @VeronicaPeter-rm7ky Месяц назад

      Ata m n we wote tuko kwenye one boat 😢😢😢😢😢yan I sometimes feel like am not Luck in this Government called love

    • @Sharmy_02
      @Sharmy_02 Месяц назад

      Magaidi😂😂😂

    • @VeronicaPeter-rm7ky
      @VeronicaPeter-rm7ky Месяц назад

      @@Sharmy_02 yan naomba Mungu anisaaide kunipa better spousee. Mana dah awa waaanaume kila unaekutana nae ni anatak kuishushaaa chupiii tu bas

    • @ChikuWarren
      @ChikuWarren Месяц назад

      😂😂😂

  • @salomemakuluga9650
    @salomemakuluga9650 Год назад +4

    Mungu akubariki sana

  • @ImeldaJonnas
    @ImeldaJonnas 5 месяцев назад +1

    Jaman Asante mungu kwakunipa mwanaume mwenye vigezo vyote

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo 23 дня назад

    Ak ahsante nimejua mwanaume wangu ananipenda kweli ❤

  • @neemakatana-ek8ff
    @neemakatana-ek8ff Год назад +7

    ❤❤❤❤ mafundisho mazuri sana mungu azidi kukupa kibali cha mafunzo zaidi

  • @JacquelineMuhayimana
    @JacquelineMuhayimana Год назад +9

    Asante sana mwanaume wangu yuko na sifa zote ulizosema

  • @AshfaynaRajabu
    @AshfaynaRajabu Месяц назад +1

    Thank ue.. aseee napendwa❤

  • @NISHAMTEGA
    @NISHAMTEGA 2 месяца назад +1

    Ahsante Kwa elimu nzuri

  • @cyrilchamungwana6718
    @cyrilchamungwana6718 Год назад

    Asante Sana kaka angu kumbe napenda mie nashukuru mungu

  • @ElizaSiwajibu
    @ElizaSiwajibu 25 дней назад

    Asante sana kwa kunielewesha natamani sana kupata mwanaume mwenye vigezo vyote hivyo😊😊

  • @HajaraIsuja
    @HajaraIsuja 9 дней назад

    Allh akutunze Mohamed wangu nakupenda mchumba angu

  • @FortunataMgalama
    @FortunataMgalama Месяц назад

    Ahsante sana nimejifunza ,

  • @PrincessBella-yi4re
    @PrincessBella-yi4re 7 дней назад

    Asante sana Kaka 🤗😌✍️

  • @mwanapilijumwa-fc2ps
    @mwanapilijumwa-fc2ps 2 месяца назад +1

    Ndio nimejua leo kumbe huyu wangu hunipendi💔💔💔💔 😭😭😭😭mungu naomba unipee huyo wangu wa halali 🤗🤗🤗🙌🙌🙌🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @PaulinaMasali
    @PaulinaMasali Год назад

    Aseee xhukran saanaa doctor hyo nko nmeipendaa aseee ❤❤❤

  • @MaryRaphaelRaphaelmary
    @MaryRaphaelRaphaelmary Месяц назад +1

    Asante sana kwaushauli

  • @SuzanJonathan-v1e
    @SuzanJonathan-v1e Год назад +9

    Mungu akutie nguvu🙏🙏🙏

  • @MynahJux
    @MynahJux Месяц назад

    Kumbe napendwa jmn😁 jamn B wng, baby daddy wng nakupendaa Sana❤❤❤❤

  • @MariaJoseph-l9p
    @MariaJoseph-l9p 21 день назад

    Asante Mungu kwa kunipa John

  • @andrewdiganyeck
    @andrewdiganyeck 10 месяцев назад

    Asante kwa mafundisho yako Kuna kitu nime gain

  • @KhadijaAkida-h2x
    @KhadijaAkida-h2x 10 месяцев назад

    Really ✌️ kabcaa ❤❤❤ yaani brother ❤❤

  • @MwanapiliMzungu
    @MwanapiliMzungu Год назад +1

    Aq so true..mume wangu ananpenda sana jaman❤❤❤

  • @Belyse-gs4wd
    @Belyse-gs4wd Год назад +1

    Shukran mafundish mazur San🙏 🥰🥰🥰🔥🔥🔥👌

  • @EvangelineNDUWIMANA
    @EvangelineNDUWIMANA Год назад

    Asante sana kwa mafundisho yako ni ya maana kbs. Mbarikiwe

  • @fatinamdoe1894
    @fatinamdoe1894 Год назад +1

    Asante doctor kwa mafundisho mazur

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 Год назад

    Asante docter kwa ushuri mzuri

  • @SofiaTito-f9s
    @SofiaTito-f9s 3 месяца назад

    Alhamdulillah asante mungu acha nitulizane tu❤❤❤❤❤❤

  • @889lemo
    @889lemo Год назад +19

    😢kuna wengine hata ujuy ni upande gani yupo jaman katika sifa hizo anazo lakin mwambie sasa fanya kumwomba kitu tuu 🤔 atakuambia nadaiwa ,hoo,sina pesa sa iv unashindwa kujua sasa anakupenda na siku moja awezi sema chukuwa ,,,, mapenzi yana mambo magumu sana ✍️

  • @Lilvon-vd6dn
    @Lilvon-vd6dn 5 месяцев назад +1

    Thanks God kumbe nipo maali sahii ❤❤🙏

  • @ErikaBonifance
    @ErikaBonifance Год назад

    ❤❤ Asantee! Sana doctor uishi milele.%100

  • @rebecakebacho2252
    @rebecakebacho2252 Месяц назад

    Asante Sana kwa ujumbe

  • @letisiakunambi5542
    @letisiakunambi5542 Год назад

    Ahsante Sana Mungu akubariki nimerielewa Somo🙏

  • @AgathaPeter-tz8iq
    @AgathaPeter-tz8iq Месяц назад

    Hongera sana brother una knowledge

  • @hanifasururu2509
    @hanifasururu2509 Год назад +1

    Uwa unaelezea vzuri adi nafarijika..That's nice✌

  • @WitnesWit
    @WitnesWit 7 месяцев назад +2

    Jaman kumbenimepata nakupend aly wang❤❤❤

  • @FatmaAlly-d5v
    @FatmaAlly-d5v Год назад +2

    Asante sana

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 Год назад +4

    1,uoga kuelekea
    2,Huonyesha kwa matendo
    3,huonyesha uhalikia wake
    4,hujali kesho yako
    Waoooo😊
    Fear in expressing
    Shows in action
    Shows his reality
    Caring😮
    n action

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад

      Thanks God bless you ❤️ ❤❤❤❤❤❤

  • @HappynesJames
    @HappynesJames 11 месяцев назад

    Duuh sipendwi mie mwenyez mungu nijalie nimpate anaenipenda kwa dhati

  • @JumaFlora
    @JumaFlora Год назад

    Wao my lovely J❤❤❤❤ u my champion

  • @MauaMwasa
    @MauaMwasa 10 месяцев назад

    Alhamdulillah! Wangu ananipenda

  • @ShedMwagila
    @ShedMwagila 3 дня назад

    asante dockta umenifunza mengi

  • @sifamwashite
    @sifamwashite Год назад

    Asante saana kaka wangu mungu akubariki mwaka 8000000

  • @evangelinemunene
    @evangelinemunene Год назад

    Asante daktari na hiyo ni kweli shukrani

  • @AdmiringChameleon-uw6ol
    @AdmiringChameleon-uw6ol Месяц назад

    Nice advice 🎉🎉🎉🎉

  • @AcnathyMboya
    @AcnathyMboya Год назад +5

    Uwiii❤ hata Mimi niko huko jaman kumbe napendwae 😇

  • @MaryPaschal-mm2zb
    @MaryPaschal-mm2zb 28 дней назад

    Juma wangu kwenye sifa hizo umo kweli😂😂😂😂

  • @melodymoraa7094
    @melodymoraa7094 Год назад

    Kumbe napendwa 💕💕 thank you so much daktari kwa mafundisho mazuri

    • @AbubakaliMkombe
      @AbubakaliMkombe 11 месяцев назад

      Kwel kabisa yan🙏🙏🙏🙏💯💯💯

  • @NairatHassan-nm2dg
    @NairatHassan-nm2dg Год назад

    nikweli wanaume wengi asaiv niwaongo nimatapeli wa mapenzi hawapo serious na nakupenda niwaongo atr sio wakweli kbs upo saii kbs kakaangu💯✌🏻

  • @IvonneAlice
    @IvonneAlice Год назад

    Asante sana kaka mungubakubariki popote pale uko Asante sana

  • @CelestinKubaho-wo8ft
    @CelestinKubaho-wo8ft Год назад +1

    Thenk you so much my brother

  • @ShalonJoackim
    @ShalonJoackim 8 месяцев назад

    Asante sana bro unayoyaongea nikweli kbs