Amen makofi kwa Yesu na ubarikiwe sana ninataka vitabu na nilazima nifike kenya kwanza ndio utaniambia vile nitazipata na pia nataka kuungana na nyinyi kwa maombi
Alafu mwalimu niulize? Ni siku gani zuri unafaa kuomba kama umefunga?? Kwa mfano, MTU akitaka kufunga mara mbili Kwa wiki, anafaa afunge lini na lini🙏🙏🙏
Asante sana ubarikiwe
Aamen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana
ameeeen barikiwa sana kwamafundisho mazuri
Hallelujah Glory be to Jesus Christ Holy name
Amen makofi kwa Yesu na ubarikiwe sana ninataka vitabu na nilazima nifike kenya kwanza ndio utaniambia vile nitazipata na pia nataka kuungana na nyinyi kwa maombi
Amen, listening from Qatar Doha 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏
Asante sana barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu
Mtumishi .AMEEEEN.BARIKIWA SANA KWA MAFUNDISHO YAKO MAZURI...YAMENIGUSA SANA.
Amen 🙏🙏🙏
Amen glory to Almighty God.May Almighty God continue blessing you Servant of God,
Glory to Jesus Christ Thanks for listening
Mungu akubaliki mtumishi wetu
Amina 🙏🙏🙏 nimejifunza kitu hapa mwalimu...
Alafu mwalimu niulize? Ni siku gani zuri unafaa kuomba kama umefunga?? Kwa mfano, MTU akitaka kufunga mara mbili Kwa wiki, anafaa afunge lini na lini🙏🙏🙏
Amen Glory to almighty God
Wao mafuzo mazuri mungu akubariki
God 🙏🙏🙏 bless YOU
Mungu akubariki sana
Mungu akubariki saaaana nimebarikiwa nahii mafundisho
Asante yesu
Asante mungu Audi kukubariki kunifundisha
Asante mtu mishi somo limeingia
Amen amen amen
Saaa tisa 🙌nikweli kabsa
GOD bless u
Amen
So good
Ameen 🙏
Mtumishi, swala la ndoto kufutika ama kuzisahau ni tatizo la watu wengi. Mtu aombeje kurejesha ndoto zake zilizoibiwa?
Mwombe ROHO MTAKATIFU AKUSAIDIE na soma zaidi BIBLIA na kuacha DHAMBI, kusamehewa na kutohukumu watu