"KUZIMU NI HALISI IPO NA UNAWEZA KWENDA NA UKARUDI" | MCH.AMIEL KATEKELA ALIYEKUWA WAKALA WA SHETANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 16

  • @ScolasticaHaule
    @ScolasticaHaule День назад +1

    Kupitia mahubiri haya nimebarikiwa sana skukrani kwa neno zuri🙏🙏.

  • @GggyJhh-y4x
    @GggyJhh-y4x День назад +1

    Ameen pastor kwakwel mungu amekutoa mbali sana Jina la bwana libarikiwe

  • @nevianvitalis1141
    @nevianvitalis1141 День назад +1

    Tangia nimeanza kukufaham Mtumishi wa Mungu Amiel.kuna kitu kikubwa Sana nimejifunza .. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki zaidi

  • @RamadhanMarco-o5s
    @RamadhanMarco-o5s День назад

    Amina kabisa

  • @VirginiahMunka
    @VirginiahMunka День назад

    You really bless me mchungaji, I pray to meet you one day

  • @AbelHelandogo
    @AbelHelandogo День назад +2

    Shuhuda zako mtumishi, zimeniongezea ufahamu zaidi juu ya shetani na harakati zake juu binadamu, lakini pia jinsi ya kuishinda hii roho ya uasi..!! Endelea kutufumbua ni nyakati za mwisho kweli.

  • @MarrySanjingu
    @MarrySanjingu 15 часов назад

    Kweli MUNGU aitwe MUNGU

  • @NkwimbaMbogo
    @NkwimbaMbogo День назад

    Amiina mchungaji

  • @janerosejohn8373
    @janerosejohn8373 4 часа назад

    Hubiri dhambi wakatoliki wanasali na dhambi madhabahuni, waokoke!

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy День назад

    Amen

  • @peterwakhungu6895
    @peterwakhungu6895 День назад

    Mchungaji huyo Stephen Kanumba kwenye madhabahu ni Padri wa Kikatoliki?

  • @AgnesKalinga-if3uf
    @AgnesKalinga-if3uf День назад

    Minara ya mashetani ndio ipoje?

  • @Kingsalumoni
    @Kingsalumoni День назад +1

    Amen

  • @Elizabethmuronji
    @Elizabethmuronji День назад

    Amen

  • @MuyaHappy-j8y
    @MuyaHappy-j8y 14 часов назад

    Amen