Pt1_USHUHUDA WA SONGO ALIYEZALIWA AKIWA MGANGA MCHAWI WA KUTISHA|"Nilizaliwa kwa uwezo wa Nyoka"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 23

  • @marianaduncan6330
    @marianaduncan6330 14 дней назад +9

    YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi zaidi ya yeye hakuna mwokozi milele na milele

  • @miria659
    @miria659 14 дней назад +5

    Thank you God for delivering him 🙏

  • @DavidRobert-cx8ic
    @DavidRobert-cx8ic 14 дней назад +7

    Yesu tusaidie shetani anatesa sana watu dah

  • @JaneKuyokwa-ng2qf
    @JaneKuyokwa-ng2qf 14 дней назад +4

    Mungu awabaliki watumishi wa promover

  • @patrickkatana8823
    @patrickkatana8823 7 дней назад

    Wueeeeh..ushuhuda mzito❤
    Proud to be delivered

  • @EmmaroseJoseph
    @EmmaroseJoseph 14 дней назад +4

    Hongera sana Paulo huyu mtumishi namfahamu tumesoma nae chuo cha biblia sakila Arusha

  • @Pendo-r6k
    @Pendo-r6k 9 дней назад

    Waaaaa Eee Mungu tusaidie watoto wako,shetani ana mbinu nyingi jmn,mbarikiwe Promover kazi yenu ni njema

  • @isabellarkageha7707
    @isabellarkageha7707 13 дней назад +4

    Yesu kristo ni Mwokozi

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 13 дней назад +2

    Amen BWANA YESU apewe sifa

  • @josykogei
    @josykogei 9 дней назад

    Amen watu watoa watoto wao kwa ajili ya moleki

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 10 дней назад

    Shatani ni mwezi ya watu wa mungu asente Sana jactan Msafiri

  • @GlauryHaule
    @GlauryHaule 10 дней назад

    Jesu kristo ni mfalme wa wafalme

  • @sicholasticamalindogo
    @sicholasticamalindogo 14 дней назад +7

    Yote kwa yote Mungu ni mkuu kuliko vyote

  • @DavidRobert-e5w
    @DavidRobert-e5w 14 дней назад +6

    Jamani shetani hafai kabisa MUNGU tusaidie

  • @annkim2690
    @annkim2690 13 дней назад +2

    Waa aisee unakutana nae unasema umepata mume kumbe

  • @isabellarkageha7707
    @isabellarkageha7707 13 дней назад +3

    Shetani ji muongo sana

  • @Amina-o7x1h
    @Amina-o7x1h 12 дней назад +1

    MUNGU nimmojaTU

  • @annkim2690
    @annkim2690 13 дней назад +1

    Nimechelewa kweli lakini nimefika

  • @charigrace5993
    @charigrace5993 14 дней назад +3

    Hapa sasa ndipo jacktan .
    Lamno ni umuulize maswali peupe kama alivyoeleza chombo Cha usafiri yani ngozi ya mtu HII inarahisisha wakati unaomba unaufahamu ya vyombo wanavyotumia

    • @DenisChacky
      @DenisChacky 8 дней назад

      Wanapendelea kutumia fagio,ungo,gamba la konokono au mwanadamu ila katika ulimwengu wa kiroho yaan roho ya mwanadamu hutumika kama usafiri na ndio maana kuna watu wanaamka asubuhi wanasikia kuchoka na maumivu kwenye mgongo, shingo na kichwa...hii ni kweli mpendwa wangu

  • @jesuspower2390
    @jesuspower2390 12 дней назад +2

    Umechangua jambo jema sana Mchungaji Paulo.. Ukristo ndio dini ya haki na ya kweli... Bwana YESU atukuzwe

    • @KatieMari-z7l
      @KatieMari-z7l 15 часов назад

      Ukristo siyo dini, bali ni mahusiano binafsi kati ya mwanadamu na Bwana wetu Yesu Kristo.
      shalom .😊